AKASHA DAAWAH TRADERS +254 721310082 KWA WALE WANAOISHI NNCHI ZA MBALI TAFADHALI TUWASILIANE KUPITIA #viber free calling
Пікірлер: 51
@omarmoroa52435 жыл бұрын
Yaa Rabbi mlinde na umhifadhi sheikh wetu huyu Othman Maalim, na umjaalie kheri hapa duniani na kesho akhera..na umjalie mwisho mwema..ur ma role model forever and ever.💟💟💟
@mussaally23695 жыл бұрын
mashaa'ALLAH ALLAH wahifadhi mashaukh zetu na uwajalie mapenzi wapendandane kwaajili ya ALLAH
@birdofpry38976 жыл бұрын
Mashaallah sheikh wetu kwa kipaji alicho kujaalia Allah hakika tunafaidika sana kwa uwepo wako Allah akupe elmu zaid uzidi kutuelimisha sisi pamoja na vzazi vyetu
mashaallah allah sh othumani maalim unatufumbua macho sana allah akupe mwisho mwema
@fawziaabdurrahman22515 жыл бұрын
amin na amzidishie umri azidi kutusambazia ilmu. darsa za othman maalim mashallahu. natamani na mwanangu asomee huko aalikosomea sheikh othman maalim. mashallah mashallah. Allah amtakabalie juhudi zake. amin
@ahmedhamisi3285 жыл бұрын
Masha Allah mwenyezi mungu atuifadhie mashekh wetu ili tupate kutoka kwenye giza
@mohamedsurur27265 жыл бұрын
Allahu Akbar
@ffbobnosbob6506 жыл бұрын
Mashallah mungu akupe kher ktk hii dunia na kesho akhera
@hemedishaban67786 жыл бұрын
Ffbob Nosbob Amin
@hamidsaidi28397 жыл бұрын
Jazaka Allahu kheir Sheikh Othman Maalim. Amiin
@bnbnbnbbnvbn90064 жыл бұрын
OTHAMAN MAALIM JAZZAQAL KHAIRE SHEIKH
@athumanrashid24845 жыл бұрын
Allah akupe maisha marefu yenye afya njema kabisa Sh. Othman Maalim. Tunaelimika sana kupitia wewe. Tunakupenda sana.
@bnbnbnbbnvbn90064 жыл бұрын
Allah akulipe kila la khaire
@nafesamohamed75535 жыл бұрын
MashaAllah jazakAllah kheri ustadh Otham
@salehsuleimanmbaruk26453 жыл бұрын
Hii Ni neema allah katubariki shukran ya rab kwa ukumbusho huu mlinde na mhifadh sheikh wetu huyu ewe Allah tunakuomba Allah
@abdinasirmohamedali69255 жыл бұрын
mashallah may Allah protect you, be blessed sheikh
@dennisrodman9744 жыл бұрын
Mungu akulipe heli dunia na haela
@maryah46013 жыл бұрын
Maasha Allah Tabarakaallah Allah Akuhifadhi Sheikh maalim othumani
@mariamathman35722 жыл бұрын
Allah akulinde na akuzidishie elimu,Shekh Ukelele uliwauwa watu je Nabii Swalehe alisalimika
@shuwehaharunaomariikwena2337 жыл бұрын
mashaalah
@samsungj7pro64gb53 жыл бұрын
Subbuhana walhamdulih shukranii sana Allah akuifadhi shekhe wetu
@salehsuleiman9407 Жыл бұрын
Kila la kheir maalim allah akuzidishie elimu na afya njema
@fadhilasalim74644 жыл бұрын
Subhanallah
@salehenassor15783 жыл бұрын
Masha Allah mungu akulipe zaid sheikhe wetu Amin Amin