No video

2. MAOMBI YA KUVUNJA MINYORORO YA KIROHO - MWL. ISAAC JAVAN - (Mafundisho & Maombi)

  Рет қаралды 45,321

Isaac Javan

Isaac Javan

3 жыл бұрын

Hili ni somo la kufungua vifungo. Ni somo maalum kwa watu wote ambao wanataka kuvuka na kusonga mbele kwenye maisha.
Katika somo hili, utajifunza mambo yafuatayo.
1. Maana ya minyororo ya kiroho.
2. Sababu zinazopelekea mtu afungwe na minyororo ya kiroho.
3. Mikakati mbalimbali ya kuvunja minyororo ya kiroho kwa njia ya maombi.
Ni maombi yangu kwa Mungu, mpaka mwisho wa somo hili, Mungu atakutana na wewe, na atakuhudumia na kukupa haja ya moyo wako sawasawa na mapenzi yake. Hili ni somo la siku 5, nami nakutia moyo katika Kristo Yesu, fuatilia vipindi vyote vitano ili upate kitu cha kukusaidia.
Mungu akubariki, chukua daftari yako na kalamu, ujifunze somo hili. Mshirikishe na mtu mwingine ambaye anaweza kunufaika na mafundisho haya. Amen.
HUDUMA/MAOMBI +255 745 76 45 72

Пікірлер: 195
@seacresthotel8998
@seacresthotel8998 4 ай бұрын
Navunja minyororo ya kiroho katika maisha yangu kwa jina la YESU KRISTO.
@IsaacJavan
@IsaacJavan 4 ай бұрын
Amen ubarikiwe na BWANA YESU kwa baraka za milele
@magrethmkemwa9287
@magrethmkemwa9287 6 ай бұрын
Kwa jina la yesu ,,nafuta na minyororo yote ianguke mbele yangu
@IsaacJavan
@IsaacJavan 6 ай бұрын
Mungu akupe ushindi kwa utukufu wa jina la YESU
@rosenanjirawesonga2030
@rosenanjirawesonga2030 Жыл бұрын
Ameen pastor maombi Yako inanisaidia sana imenikomboa mahali
@IsaacJavan
@IsaacJavan Жыл бұрын
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU
@estherjohn2637
@estherjohn2637 9 ай бұрын
Ni somo zuri sana
@IsaacJavan
@IsaacJavan 9 ай бұрын
Amen YESU azidi kukupa ushindi
@user-lq4zd5qn1p
@user-lq4zd5qn1p 9 ай бұрын
Mungu akubariki sana kwa mafundisho yako na maombi
@IsaacJavan
@IsaacJavan 6 ай бұрын
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
@janenkungu1958
@janenkungu1958 11 ай бұрын
Mpka namshangaa Mungu maana nilikua nina mawazo sana mpka nimepigika chakushangaza naamka nakutana neno hili hofu imeondoka mwili umekua sawa ubarikiwe sana mtumishi Mungu aendelee kukutumia
@IsaacJavan
@IsaacJavan 10 ай бұрын
Amen ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote. YESU azidi kukuhudumia na kukushindia katika mambo yote
@cesiliamasumu432
@cesiliamasumu432 Жыл бұрын
Amen ,Amen nikijiangalia nakujichunguza bado naamini hiyo minyororo ya kiroho inanihusu, nakuomba uniombee ili ifunguke maana kunamipaka imewekwa ilinisitoke ,ilinisipone Mtumishi niombee
@IsaacJavan
@IsaacJavan 10 ай бұрын
Mungu akubariki sana. YESU azidi kukisimamia na kukushindia daima. Nakuombea uzima
@isabellakwedho8878
@isabellakwedho8878 3 жыл бұрын
Amina mtumishi haya mambo yote ambayo umeyazungumza karibu yote yananihusu mm ila namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kkuleta kwa ajili ya kuzikomboa nafsi za watu ambao wamefifia kiimani, ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu na pia Mwenyezi Mungu azidi kkutia nguvu na kkupaka mafuta yake matakatifu Ile uzidi kuzikomboa nafsi za watu wengi Amina 🙏🙏🙏.
@IsaacJavan
@IsaacJavan 3 жыл бұрын
Amen Amen jina la BWANA YESU libarikiwe milele na sifa zake zivume kwa matendo yake makuu na ya ajabu. Nami namshukuru Mungu kwa ajili yako na BWANA YESU azidi kukupigania na kukushindia kwenye mambo yako yote. Pia napenda kukukaribisha usikilize mafundisho mengine ya "Maombi ya Kushinda Vita ya Nyumba ya Baba Yako" yanapatikana kwenye Link hii kzfaq.info/get/bejne/m8l-fJub3dutkp8.html ninaamini Mungu atazidi kukutana na haja za moyo wako. Amen
@valentinanduku8718
@valentinanduku8718 5 ай бұрын
Ninazikatakata minyororo kwa maisha yangu kwenye ulimwengu wa roho katika jina la Yesu
@IsaacJavan
@IsaacJavan 5 ай бұрын
Amen YESU akupe ushindi mkuu kwa utukufu wa jina lake
@maliampaul9091
@maliampaul9091 Жыл бұрын
ubarikiwe mtumishi yaani minyororo imefunga kuanzia kivhwa miguu mikono na kika kitu
@IsaacJavan
@IsaacJavan 6 ай бұрын
Mungu akupiganie, akutetee na akupe ushindi mkuu
@fridamkiramweni268
@fridamkiramweni268 3 жыл бұрын
Asante Yesu kwa kunifungua minyoro niliyo fingwa kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareti, Amen.
@IsaacJavan
@IsaacJavan 3 жыл бұрын
Amen Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele na zidi kutembea kwenye ushindi
@lilymwasi1221
@lilymwasi1221 3 ай бұрын
Amen amen
@IsaacJavan
@IsaacJavan 3 ай бұрын
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
@victoriasanga4910
@victoriasanga4910 Жыл бұрын
Mungu wangu nisaidie, sivuki kiroho
@IsaacJavan
@IsaacJavan Жыл бұрын
YESU akuvushe katika yote kwa utukufu wa jina lake
@victoriasanga4910
@victoriasanga4910 Жыл бұрын
Amina mtumishi
@damarismwadime7705
@damarismwadime7705 2 жыл бұрын
Asante yesu kwa kunipigania
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Amen Amen BWANA azidi kukubariki na kukulinda
@lucymollel8212
@lucymollel8212 2 жыл бұрын
Amen mtumishi
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Amen mwanangu, ubarikiwe na BWANA YESU milele
@gracekanyanza4816
@gracekanyanza4816 2 жыл бұрын
Amina mtumishi
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Ubarikiwe na BWANA YESU milele
@millyandiva1657
@millyandiva1657 Жыл бұрын
Mungu akupe neema Isaac Javan bila mafundisho yako sijui ningekuwa wapi 🙏😭
@IsaacJavan
@IsaacJavan Жыл бұрын
Amen mwanangu sifa na utukufu kwa BWANA YESU. Zidi kubarikiwa kwa baraka za milele
@jack-mx8et
@jack-mx8et Жыл бұрын
kwelu mtumishi hayo ndo maisha yangu
@IsaacJavan
@IsaacJavan Жыл бұрын
YESU akuonekanie na kukushindia katika yote
@florencekatungu1438
@florencekatungu1438 2 жыл бұрын
Asante
@thelordismystregth
@thelordismystregth 3 жыл бұрын
Mtumishi Wa Mungu Moyo wangu wa mtukukuza Bwana Nakuombea Ulinzi Mkali wa Malaika wa Mungu wakizunguke Wakulinde Mchana na Usiku Damu ya Yesu iendelee kukufunika wewe na Familia yako. Nipo mbali sana ila Yesu amenitrndeea Makubwa mimi na Familia yangu hapa Nyumbani UK Nimefuatisha haya Maombi Tumeona mambo makuu ambayo Shetani na Wachawi ambao ni watu wa karibu na ndugu za Mume wangu mimi na familia yangu. Tumemuona Mungu kwa kwanjia hii ya You Tube. 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🇹🇿🇹🇿
@IsaacJavan
@IsaacJavan 3 жыл бұрын
Ninaungana pamoja nawe na familia yako kumrudishia Mungu sifa na utukufu kwa matendo yake makuu aliyoyafanya na anayoendelea kuyafanya kwenye maisha yako na familia yako. Jina la BWANA YESU libarikiwe milele. Damu ya YESU iwafunike na kuwalinda. Mbarikiwe na BWANA milele
@linaurio3641
@linaurio3641 3 жыл бұрын
@@IsaacJavan Amen mtumishi kumajina ninaituwa Lina urio ninaishi mbezi kimara nimepitia changamoto katika Manisha yangu ninashukuru sana mungu mungu akubariki sana mtumishi was mungu
@IsaacJavan
@IsaacJavan 3 жыл бұрын
@@linaurio3641 Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele. Damu ya YESU inene mema kwenye maisha yako na ufanikiwe kwenye mambo yako yote.
@lizzybahati3739
@lizzybahati3739 2 жыл бұрын
Amen
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU
@user-ub4gq4hy7t
@user-ub4gq4hy7t 4 ай бұрын
Mbona inanihusu 100%
@IsaacJavan
@IsaacJavan 4 ай бұрын
Nakuombea YESU akupe ushindi mkuu kwa utukufu wa jina lake
@janeesilayo4435
@janeesilayo4435 Жыл бұрын
Ameen
@IsaacJavan
@IsaacJavan 6 ай бұрын
Amen Mungu akubariki kwa baraka za milele
@ericmajige7857
@ericmajige7857 2 жыл бұрын
Nimefunguliwa minyororo katika jina la yesu, asante mtumishi wa Mungu
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Amen Amen jina la BWANA YESU libarikiwe milele
@chaulayekonia6137
@chaulayekonia6137 3 жыл бұрын
Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu katika Maisha yako yote na Mungu aendelee kukutumia kufungua watu wengi zaidi
@IsaacJavan
@IsaacJavan 3 жыл бұрын
Amen Amen nashukuru sana ubarikiwe nawe pia sana, kwa baraka za milele katika KRISTO YESU
@valentinanduku8718
@valentinanduku8718 5 ай бұрын
Asante Yesu
@IsaacJavan
@IsaacJavan 5 ай бұрын
Amen ubarikiwe na BWANA YESU
@estherjohn2637
@estherjohn2637 9 ай бұрын
Ubarikiwe Mtumishi
@IsaacJavan
@IsaacJavan 9 ай бұрын
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
@edithkilegu381
@edithkilegu381 2 жыл бұрын
Ee Mungu naomba unifingue minyoro niliyofungwa Ili nisisonge mbele ktk nyanja zote za maendeleo yangu.Asante mtumishi wa Mungu kwa SoMo zuri sana.
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele na Mungu akufungulie njia zako
@hildamkumbwa3258
@hildamkumbwa3258 2 жыл бұрын
Aminaaa mtumishi wa Mungu kwa somo zuri na nimebarikiwa sana kufunguliwa.... Mungu azidi kukubariki sana zaidi na zaidi
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Amen mwanangu, uzidi kubarikiwa na BWANA YESU milele
@georgebataze6625
@georgebataze6625 4 ай бұрын
Hakika mtumishi, si mimi pekee yangu imekuwa familia yetu yote. Kila tunapokaribia mafanikio linatokea jambo linaturudisha nyuma. Hususani mimi, nilifanya kazi nzuri sana kiasi wafanyakazi wenzangu walinipongeza na wengine waliona wivu juu yangu, lakini mwisho ukawa kinyume na matarajio yangu.
@IsaacJavan
@IsaacJavan 4 ай бұрын
Mungu akupe ushindi katika yote, na akulinde na akutetee siku zote
@georgebataze6625
@georgebataze6625 4 ай бұрын
@@IsaacJavan Amina mtumishi, naimani nitayashinda yote kwa damu ya Yesu kristo
@IsaacJavan
@IsaacJavan 4 ай бұрын
@@georgebataze6625 Amen Amen
@dafemadafema1365
@dafemadafema1365 2 жыл бұрын
Amina mwalimu mungu akubariki kwa kutupa neno la kutufungua kiroho
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Amen mwanangu, ubarikiwe na BWANA YESU milele
@kabalizasekanabomarko6063
@kabalizasekanabomarko6063 2 жыл бұрын
Sijuwi kwa nini nasumbuka na magonjwa kwa 23. Na ndoto mbaya mbaya kila siku. Sijuwi kwa nini mimi siendi mbele, narudi nyuma kila mwaka. Ila maombi yako vol3 Nimesikiya maombi yako kwa muda wa siku 19. Na nimeona kabisa mkono wa bwana. Ubarikuwe sana mtumishi wa Mungu
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Amen mwanangu, ubarikiwe na BWANA YESU milele
@aishanelly2026
@aishanelly2026 2 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu 🔥🔥🔥🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿nimerudia kusikiliza na kwa vitendo nimeuona Mkono Mungu🙏🏿🧚🏿🧚🏿🧚🏿🧚🏿🧚🏿Nimejifunzaaaa somooooo kubwaaa ………asanteee sanaaaaaaaaaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Jina la BWANA YESU litukuzwe na kubarikiwa milele. YESU azidi kutenda mambo makuu maishani mwako kwa utukufu wa jina lake. Amen Amen
@yahayatemu1003
@yahayatemu1003 3 жыл бұрын
Mungu, akuinue, nafarijika sana kwa elimu ,ninayo ipata, na kujifunza jinsi ya kuomba, Mungu akuzidishu umri ili uzidi kutuelimisha. ubarikiwe .
@IsaacJavan
@IsaacJavan 3 жыл бұрын
Amen Amen jina la BWANA YESU litukuzwe sana na sifa zake zivume milele yote. Ninamshukuru Mungu kwa ajili yako, nami namuomba Mungu azidi kukuhudumia na kukutana na haja za moyo wako. Karibu sana, mkaribishe na mtu mwingine ndugu/jamaa/rafiki kwenye channel hii, ambaye anaweza akanufaika na mafundisho haya. Ubarikiwe na BWANA YESU milele
@saleenaj7357
@saleenaj7357 2 жыл бұрын
Mutumish naomb tu uniombee mm sijiskii vizur n at maish yang pia siyaelw mim mchngaji nsaidie
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Mungu akutane na haja za moyo wako mwanangu, na akupe ufumbuzi wa jambo lolote linalokusumbua kwenye maisha yako, ili furaha yako na amani yako iwe kuu. Ubarikiwe na BWANA YESU milele
@jacklineoduor5708
@jacklineoduor5708 3 жыл бұрын
Asante Mungu kwa kunifungua minyororo na watoto wangu pia na familia yangu mbarikiwa sana mchungaji 🙏
@IsaacJavan
@IsaacJavan 3 жыл бұрын
Amen Amen zidi kubarikiwa pia, wewe na watoto wako na familia yako. Damu ya YESU iwafunike siku zote. Amen
@carolynebitama3865
@carolynebitama3865 2 жыл бұрын
Nauona kufanikiwa kwaja kwa damu ya yesu ubarikiwe mtumishi wamungu🙏🙏🙏
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Amen mwanangu, zidi kubarikiwa na BWANA YESU
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
BWANA YESU asifiwe. Mafundisho haya yanapatikana Boomplay. Unaweza kusikiliza na kudownload kupitia link hii; www.boomplay.com/songs/91263077?from=myPlaylists&srModel=COPYLINK&srList=WEB
@lyrejr6565
@lyrejr6565 3 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi. Mungu anifungue minyororo ya kiroho ninayopitia..amen
@IsaacJavan
@IsaacJavan 3 жыл бұрын
Amen Amen Mungu akufungue kila eneo ulilofungwa katika ulimwengu wa roho, katika jina la YESU na kwa damu ya YESU
@beatriceamisi4196
@beatriceamisi4196 3 жыл бұрын
yaani umetufungua mtumishi haya mafundisho umeyatendea haki 🙏🙏🙏
@IsaacJavan
@IsaacJavan 3 жыл бұрын
Amen Amen jina la BWANA YESU libarikiwe milele. Zidi kubarikiwa na endelea kufuatilia mafundisho haya na mengine kwenye channel hii. Ubarikiwe na BWANA YESU
@sarahmghamba704
@sarahmghamba704 Жыл бұрын
Ameni nimeta kitu
@IsaacJavan
@IsaacJavan Жыл бұрын
Amen mwanangu YESU akufungue na kukupa amani
@mariamwaweru6049
@mariamwaweru6049 2 жыл бұрын
Asante Sana kwa mafundisho mazuri barikiwa Sana mtumishi wa Mungu
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU
@matildaff6728
@matildaff6728 2 жыл бұрын
Amen 🙏
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Amen ubarikiwe na BWANA YESU
@annamushi7357
@annamushi7357 Жыл бұрын
Very powerful. Mungu akubariki mnoo Mwalimu. Namshukuru Mungu kwa ajili yako. Ee Mungu nakushukuru kwa kutupa watumishi wa kweli Tanzania
@IsaacJavan
@IsaacJavan 10 ай бұрын
Amen Amen uzidi kubarikiwa na BWANA YESU milele yote
@theopisterbulamu9497
@theopisterbulamu9497 2 жыл бұрын
Ameen_kweli kila unachofanya hufanikiwi
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Mungu akubariki mwanangu, na afanye njia kwa ajili yako
@fgggvh6090
@fgggvh6090 2 жыл бұрын
Amen nmebarikiwa mtumishi Mungu akubariki mafundisho mazuri
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU
@ashurasenzia7203
@ashurasenzia7203 Жыл бұрын
Kweli
@IsaacJavan
@IsaacJavan Жыл бұрын
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU
@estherjane8378
@estherjane8378 3 жыл бұрын
Deep revelation
@dolphinemwirash297
@dolphinemwirash297 3 жыл бұрын
Asante mtumishi wa mungu kwa hii mafunzo mazuri kila kitu umenena kinaniuhusu asante mungu kwa kunifungua n familia yangu mungu akusaidie
@IsaacJavan
@IsaacJavan 3 жыл бұрын
Amen Amen jina la BWANA YESU libarikiwe milele. Nashukuru Mungu kwa kuyagusa maisha yako. Zidi kutembea kwenye ushindi kwa damu ya YESU. Karibu ufuatilie na masomo mengine tunayoyaweka kwenye channel hii.
@anabeljas2616
@anabeljas2616 3 жыл бұрын
Somo nzuri sana,
@IsaacJavan
@IsaacJavan 3 жыл бұрын
Amen jina la BWANA YESU libarikiwe. Usikose kufuatilia sehemu ya tatu ya somo hili. Ubarikiwe na BWANA YESU milele
@sarahmghamba704
@sarahmghamba704 Жыл бұрын
Nimepata kitu
@IsaacJavan
@IsaacJavan Жыл бұрын
Amen mwanangu ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote
@sarahsamatwa3211
@sarahsamatwa3211 2 жыл бұрын
Amen.jina la Bwana lihimidiwe
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Amen Amen jina la BWANA libarikiwe sana. Ubarikiwe na BWANA YESU milele
@risperbaraza260
@risperbaraza260 Жыл бұрын
Amen Mtumishi wa Mungu
@IsaacJavan
@IsaacJavan Жыл бұрын
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele
@zaridilan4733
@zaridilan4733 Жыл бұрын
Amen🙏🙏
@IsaacJavan
@IsaacJavan Жыл бұрын
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele
@aminam267
@aminam267 3 жыл бұрын
Amina wa Kenya 🤲❤❤
@IsaacJavan
@IsaacJavan 3 жыл бұрын
Amen Amen, tunafurahi kupata salamu za kutoka Kenya. Ubarikiwe na BWANA YESU milele
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 Жыл бұрын
Stay blessed mtumishi maneno yako nafsi yangu inapona
@IsaacJavan
@IsaacJavan Жыл бұрын
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU
@danielladavid2251
@danielladavid2251 2 жыл бұрын
Daddy leo nimepata kitu kikubwa sana kupitia hili
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Amen Amen mwanangu. Ubarikiwe na BWANA YESU
@mariamwaweru6049
@mariamwaweru6049 2 жыл бұрын
Tufungue ee Yesu Mungu wa huruma
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Amen Amen YESU asikie kuomba kwako na akutane na haja za moyo wako katika jina la YESU
@gracedamas5883
@gracedamas5883 2 жыл бұрын
Ameni Kwakweri mm naona Kama na shindwa kila jambo
@pendomtobela5238
@pendomtobela5238 2 жыл бұрын
Mungu akubariki kwa UFUNUO huh,kweli Mimi na familia yangu tumefungwa haya yote naoyaona
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Mungu akutane na haja za mioyo yenu na awafungue katika eneo lolote lililofungwa, kwa jina la YESU na kwa damu ya YESU. Amen
@brendawaswa6052
@brendawaswa6052 2 жыл бұрын
Amen, mungu nifungulie minyororo ya kiroho pamoja na family yangu Amen 🙏ubarikiwe mtumishi wa mungu kwa kutufunza neno la mungu
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Amen mwanangu, ubarikiwe na BWANA YESU, na ushinde katika mambo yote
@suzzyyank7446
@suzzyyank7446 3 жыл бұрын
Strong words .....mungu niondolee minyororo yote ...baba mungu nisaidie
@IsaacJavan
@IsaacJavan 3 жыл бұрын
BWANA YESU akushindie na kukuweka huru kwa utukufu wa jina lake
@suzzyyank7446
@suzzyyank7446 3 жыл бұрын
@@IsaacJavan Amina Amina
@josephkhaulebaraka1305
@josephkhaulebaraka1305 2 жыл бұрын
God bless you and your family.
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Amen son, thank you indeed. May God shower you and your family with everlasting blessings
@polynekiggira4438
@polynekiggira4438 Жыл бұрын
Amen.Barikiwa sana Mwalimu.
@IsaacJavan
@IsaacJavan Жыл бұрын
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU
@mariamwaweru6049
@mariamwaweru6049 2 жыл бұрын
Mungu wangu nisaidie
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Amen Mungu akubariki na kukulinda
@margaretnafula2407
@margaretnafula2407 2 жыл бұрын
Amen be blessed am really blessed
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Amen God bless you forever
@janewanjiku5570
@janewanjiku5570 2 жыл бұрын
@@IsaacJavanAmen Amen Amen MUNGU NA JESU MWANA WA MUNGU ASIFWE NA wewe uparikiwe NA MUNGU MWEMA
@dennismakunza9968
@dennismakunza9968 2 жыл бұрын
MUNGU AKUBARIKI MTUMISHI
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU
@jack-mx8et
@jack-mx8et Жыл бұрын
Roho yakunifilisi Roho ya Magonjwa hela inaishia kununua dawa
@IsaacJavan
@IsaacJavan Жыл бұрын
YESU akuponye mwanangu
@Bahati-fv3tp
@Bahati-fv3tp Жыл бұрын
Baba mimi naomba nisaidie haipiti wiki naota ndoto nipo shulen au ndan ya wiki naota ad mala tatu na maisha yangu yamekwama yaan nipo nipo tu
@IsaacJavan
@IsaacJavan Жыл бұрын
BWANA YESU asifiwe mwanangu. Pole kwa yote unayopitia kwenye maisha yako. Nakushauri ufuatilie maombi haya kwenye link kzfaq.info/get/bejne/jbZglthy15nGkoU.html
@akhalakwalubisia1738
@akhalakwalubisia1738 Жыл бұрын
Thank you Jesus
@IsaacJavan
@IsaacJavan 6 ай бұрын
Amen Amen
@kariukimaina7463
@kariukimaina7463 Жыл бұрын
Very true
@kariukimaina7463
@kariukimaina7463 Жыл бұрын
May Almighty God bless you
@IsaacJavan
@IsaacJavan Жыл бұрын
God bless you
@IsaacJavan
@IsaacJavan Жыл бұрын
Amen God bless you too with everlasting blessings
@magekakanga8488
@magekakanga8488 2 жыл бұрын
Mtumishi naomba uwe unanikumbuka katika maombi yako! Ubarikiwe sana
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Mungu akutane na haa ya moyo wako na kukushindia kwenye maisha yako, katika Jina la YESU
@magekakanga8488
@magekakanga8488 2 жыл бұрын
@@IsaacJavan nina ujauzito napenda kufatilia mafundisho namaombi yako, Jana nilifatilia maombi yakuvunja minyororo usiku nikaota npo hospital nataka kufanyiwa operation nikawa naomba moyoni dawa nasindano walizokichoma zikagoma kuafanya kaz nikaona wanataka kuniongezea dozi lkn nilikua nalia mana sikutaka kufanyiwa hivyo, nikashtuka
@rosechepkemoi4465
@rosechepkemoi4465 2 жыл бұрын
Amen 🙏 ata mm uniomboe
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Amen ubarikiwe na BWANA YESU
@salomeonyango448
@salomeonyango448 3 жыл бұрын
Amen. Mungu unifungulie minyororo ya kiroho katika maisha yangu na Familia yangu🤲🤲🤲🤲
@IsaacJavan
@IsaacJavan 3 жыл бұрын
Amen Amen Mungu akutane na haja ya moyo wako na akufungue kila mahali ulipofungwa kwa jina la YESU
@tatushemsanga1642
@tatushemsanga1642 2 жыл бұрын
Ameeen
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Amen ubarikiwe na BWANA YESU
@kapiriisavictoria4175
@kapiriisavictoria4175 2 жыл бұрын
Amen Amen 🙏 🙌
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU
@suzanakamala3615
@suzanakamala3615 3 жыл бұрын
Mungu atusaidie. Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
@IsaacJavan
@IsaacJavan 3 жыл бұрын
Amen ubarikiwe na BWANA YESU
@florencekatungu1438
@florencekatungu1438 2 жыл бұрын
Ee Mungu, asante sana kutufunulia haya. umbariki mtumishi wako na utufungue waana wako. Amina
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 Жыл бұрын
Aisee Yani najiuliza mbona nafanya kazi Sana napata hela Ila siwez zimiliki🤔🤔
@IsaacJavan
@IsaacJavan Жыл бұрын
Mungu akubariki na kukushindia katika yote
@Mimi-wf7mb
@Mimi-wf7mb 2 жыл бұрын
Naomba part 1 plz
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Ubarikiwe na BWANA YESU. Part one ni hii hapa kzfaq.info/get/bejne/aNiXmslh2ZfDpKM.html
@annasasineminja6896
@annasasineminja6896 2 жыл бұрын
@@IsaacJavan alllppppppppppppppppppppppppppppppppplppppppppppppppppppppppppppppppppppppppp000000000pp0ppppp0000pp00p0p000ppppppppppppqPpqq0qqqqq0p0p0pp00pp0p0p0pppppppppppppppppppppppppppppp~££
@cnm2976
@cnm2976 2 жыл бұрын
Mbona inarudia yaleyale ya part1?
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Hapana mwanangu. Sikiliza vizuri
@alinepascalin8777
@alinepascalin8777 2 жыл бұрын
Amina
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Amen ubarikiwe na BWANA YESU
@fredrikndinda7553
@fredrikndinda7553 2 жыл бұрын
Amen
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Ubarikiwe na BWANA YESU mwanangu
@lilymwasi1221
@lilymwasi1221 3 ай бұрын
Amen amen
@IsaacJavan
@IsaacJavan 3 ай бұрын
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
@stephanosospeter1709
@stephanosospeter1709 5 ай бұрын
Ameen
@IsaacJavan
@IsaacJavan 5 ай бұрын
Ubarikiwe na BWANA YESU milele
@AMANIQWARSANAQWARSAN
@AMANIQWARSANAQWARSAN 3 ай бұрын
Amen
@IsaacJavan
@IsaacJavan 3 ай бұрын
Amen ubarikiwe
@breakingnewstz8396
@breakingnewstz8396 5 ай бұрын
Amen
@IsaacJavan
@IsaacJavan 5 ай бұрын
Amen ubarikiwe na BWANA YESU
@gracekahinga9018
@gracekahinga9018 2 жыл бұрын
Ameen
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Amen mwanangu, ubarikiwe na BWANA YESU milele
@josephkhaulebaraka1305
@josephkhaulebaraka1305 2 жыл бұрын
Amen
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU
@kiyobejeanne7167
@kiyobejeanne7167 2 жыл бұрын
Amen
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Amen ubarikiwe na BWANA YESU
@mohammedmangale6804
@mohammedmangale6804 3 жыл бұрын
Amen
@IsaacJavan
@IsaacJavan 3 жыл бұрын
Amen Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
@childrightsmediafoundation5667
@childrightsmediafoundation5667 3 жыл бұрын
Amen
@IsaacJavan
@IsaacJavan 3 жыл бұрын
Amen Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
@khakinagentrix3982
@khakinagentrix3982 3 жыл бұрын
Amen
@IsaacJavan
@IsaacJavan 3 жыл бұрын
Amen Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
@irenelucas6323
@irenelucas6323 Жыл бұрын
@@IsaacJavan shalom, somo hili Bado linanguvu. Nafunguliwaje?
@fridahmaangi4079
@fridahmaangi4079 2 жыл бұрын
Amen
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana na BWANA YESU
MAOMBI YA KUVUNJA NGUVU ZA KICHAWI - MWL. ISAAC JAVAN - VOL.03
27:57
World’s Largest Jello Pool
01:00
Mark Rober
Рет қаралды 101 МЛН
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 21 МЛН
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 52 МЛН
Получилось у Миланы?😂
00:13
ХАБИБ
Рет қаралды 4,7 МЛН
MAOMBI YA SAA TISA USIKU/KUVUNJA MAAGANO YA UHARIBIFU-Pastor Myamba
27:10
AINA YA MAOMBI AMBAYO MUNGU ANAJIBU Mwl Mpoki Jafari
21:44
mpoki jafari
Рет қаралды 19 М.
3.ITUMIE DAMU YA YESU KAMA SILAHA YA VITA
2:07:59
MGMN TV
Рет қаралды 41 М.
MAOMBI YA UREJESHO WA KILA KILICHOIBIWA NA ADUI -   Pastor Myamba
28:05
Pastor Myamba
Рет қаралды 120 М.
World’s Largest Jello Pool
01:00
Mark Rober
Рет қаралды 101 МЛН