2 SAID MWAIPOPO KWANINI NILIACHA UKRISTO 2/4

  Рет қаралды 674,878

AKASHA PRODUCTION TV

9 жыл бұрын

AKASHA DAAWAH DISTRIBUTOR +254 721310082

Пікірлер: 551
@LampardMarcel-ui6ut
@LampardMarcel-ui6ut 8 ай бұрын
Mwenyezi Mungu akujalie kazi njema na akuweke ktk watu wa peponi
@aishamohammed5544
@aishamohammed5544 Жыл бұрын
Allah akupe umry mrefu na akujalie mambo mema mpaka kaburini upate muangaza na akulinde maneno yako yamenitoa machozi
@halimamwachilimwachili5099
@halimamwachilimwachili5099 5 жыл бұрын
Maa Shaa Allah, Allah awatangulie awape umri elmu mzidi kutuelimisha ln shaa Allah.
@kibibimwanamvuamohammadmoh9823
@kibibimwanamvuamohammadmoh9823 7 жыл бұрын
Allahu akbar Wallah maneno aliongea Mwaipopo yatupasa kuyazingatia Kwan umoja wetu ndio nguvu yetu tuache ubinafsi, tumeshindwa na makafiri kwa umoja wao
@othmanabdallah1948
@othmanabdallah1948 7 жыл бұрын
Kibibi Mwanamvua Mohammad Mohammad Asaalam aleykum, upo sahihi kinachotukwamisha ni kukosa umoja mfano mzuri kwenye kutoa zakka huu ni moja wa mtihani mkubwa mno! hapa nyumbani kuna kanisa lilikuwa la bait ila Sasa wamejenga na sio kama una waumini wengi hapana sababu wanaumoja, ila kwetu imekuwa mtihani mkubwa hata Imani petro aliongea point pia, unakuta ndo chanzo cha kutosonga Mbele zakka ina nafasi kubwa mno kwenye dini yetu ndo maana wenzetu wanapija hatua sana, walleykum Asalaam warahmatullahi wabarakatuh
@nadyajuma4108
@nadyajuma4108 7 жыл бұрын
mwaipopo ulio sema ni kwel waislam sie hatuta ushirikiano wala umoja laiti tungekuwa na umoja basi Allaah angetuzidishia baraka ila tunapo elekea Allaah atunusuru na pia wazidishie mnae tupa somo Amiina
@muvobhekinyonga985
@muvobhekinyonga985 7 жыл бұрын
nadya juma Ameen
@Julia-gm1wh
@Julia-gm1wh 5 жыл бұрын
Umoja wa kuleta vita ama mashetani nyinyi
@mobileshop818
@mobileshop818 7 жыл бұрын
mwaipopo Ma shaa Allah kwakujitoa katka ukristo Allah akujaalie kher.
@jumanamata6349
@jumanamata6349 5 жыл бұрын
good
@khayriyamussa5680
@khayriyamussa5680 5 жыл бұрын
Kher kwake.. In Shaa Allah..
@emmanuelyngabani2079
@emmanuelyngabani2079 2 жыл бұрын
Uislamu Ni Uongo Na Hapa Ndio Ushahidi
@mwajabukaseke8710
@mwajabukaseke8710 2 жыл бұрын
@@emmanuelyngabani2079 jingaaa sana ww nyie din yenu inaletwa n binadamuu wenzetuu
@pungopungo411
@pungopungo411 Жыл бұрын
Ajitoe sana tu .nani angewezana nae huyo makanisani hakuna uchawi
@maduuikangira9864
@maduuikangira9864 Жыл бұрын
Hakuna mkristo yaani mwana wa mungu anayeweza kubishania Imani yake na wasio amini, sisi wakristo wa kweli tunajitambua Kama yesu alivyoulizwa na shetani ya kuwa ikiwa wewe ni mwana wa mungu geuza hili jiwe liwe mukate, lakini kwakuwa yesu alikuwa anajitambua kuwa ni mwana wa mungu hakuhangaika kugeuza like jiwe kuwa mkate. Hata sisi ni Wana wa mungu kwa kumwamini yesu alieye mwana wa mungu, Amina.
@rajabumrope8732
@rajabumrope8732 5 жыл бұрын
Subhanaallah MUNGU amekusamehe mwaipopo kuichoma Qur AN
@dottoadam5516
@dottoadam5516 2 жыл бұрын
Mungu atusaid zotee
@abubakaromar4637
@abubakaromar4637 2 жыл бұрын
Mwaipopo Allah akulipe pepo kwa kutoka ukristo
@lightnesselirehema1464
@lightnesselirehema1464 2 жыл бұрын
Huyo kapotea njia!
@sakinamohd8101
@sakinamohd8101 5 жыл бұрын
Alhamdulilah mzaliwa wa zanzibr hakuna mkristo wahamizi ndowanatuharibia
@khalidali1130
@khalidali1130 7 ай бұрын
Allah amlipe kila la kheir sheikh Mwaipopo kwa kuitangaza dini inshallah🙏
@hassansalum8496
@hassansalum8496 7 жыл бұрын
M/mungu anajua mh kumbe wenzetu upande was kushoto watembea na Quran Subhan'Allah
@Officialmasaikhan
@Officialmasaikhan 6 жыл бұрын
Mwaipopo umeongea vzr Sana
@abdirahmanomarofficial3977
@abdirahmanomarofficial3977 2 жыл бұрын
Jazakalah kheiran....for good words for good speech for good words for good story...and May Allah guide us all to the right path...
@allyhamza355
@allyhamza355 Жыл бұрын
Ll58
@ramadanissa2429
@ramadanissa2429 5 жыл бұрын
Najivunia kuzaliwa muislam na n namuomba Allah anifishe nikiwa muislam. Allah atawalip kher kw kaz njema mnayoifany. Inshaallah
@abuudhurkarnayn8833
@abuudhurkarnayn8833 6 жыл бұрын
hakika uisilamu nodini ya hakki Allahu ujaalie uislamu mbele
@amosichacha5675
@amosichacha5675 5 жыл бұрын
MTEI TV Dini hizi hazitatupeleka mbinguni, Bali tutaenda mbinguni kutokana na mahusiano yetu mazuri na Mungu. Hakuna mbinguni mbili, mbingu ni moja peke yake. Na njia ya kuelekea huko no moja tu, Mimi ndimi njia kweli na hukumu mtu haji kwa Baba ila kwa njia yangu. Asema Yesu Kristo tuwe tunataka tuwe hatutaki ndvyo ilivyo.
@minaminaa1669
@minaminaa1669 5 жыл бұрын
@@williamkavaya4794 wenye chuki na uislamu poleni
@omarympambije3221
@omarympambije3221 5 жыл бұрын
kwakwel umat Islam tumejaariwa neema na Allah(s.w)
@labilowabiikongo9338
@labilowabiikongo9338 2 жыл бұрын
Swadakt
@omarkassim6761
@omarkassim6761 5 жыл бұрын
Hakika mwenzi mungu humuokoa amtakae, hakika uislamu in dini ya haki anayepinga apinga kwa kiburi chake tuuu
@pungopungo411
@pungopungo411 Жыл бұрын
Yesu hana shida hata ukimkana yeye ana watu wengi tu. Ni wewe tu mwenyewe utaenda huku na huko yeye yuko palepale. Kila goti litapigwa mbele ya yesu believe me
@mwanamisp0fu760
@mwanamisp0fu760 5 жыл бұрын
Subhana allah, Alhamdhulilah, Allah akbar, Mwaipoipo umewabainishia wakirsto kuwa dini ya haki ni uislam mola akulipe inshaalh
@mudishabani1961
@mudishabani1961 6 жыл бұрын
ukiwa mwiislamu wakweli unarahasa duniani na akhera.
@zenassylvester125
@zenassylvester125 6 жыл бұрын
Ukimuona mtu kamuacha Yesu ujue uyo hana Roho mtakatifu
@alhadjmugisha5216
@alhadjmugisha5216 2 жыл бұрын
Hhhh anaroh yake 🤣🤣🤣🤣🤣
@naninana13346
@naninana13346 2 жыл бұрын
Ata mimi nina nia ya kuwa mwislam ili nijuwe tu kila aina ya uchawi ni wakomeshe wanawo nisumbuwa, mana wislam wamejaliwa tu neema ya uchawi
@salehrashid-fx9rq
@salehrashid-fx9rq 9 ай бұрын
Yesu ni nani?
@ibunmtumbaya1281
@ibunmtumbaya1281 5 жыл бұрын
Alhah Akbar uislam ndo habar ya mjini makafir hawAna jipyaaaaa
@asmaabdallah4055
@asmaabdallah4055 5 жыл бұрын
Hawa wakristo kazi yao wanapenda ku fadhiliwa nawazungu ndio maana wanava uti na wana kuwa ovyo kama wazungu hawana haya kama mahaba wanipenda wazungu anawatumia kutimiza uchumi wao moto unawangoja kesho kiama
@armykyamba3982
@armykyamba3982 2 жыл бұрын
@@asmaabdallah4055 unaujua uislamu lakn
@abordecapester9086
@abordecapester9086 Жыл бұрын
Mungu kaweka dini mbili kwa ajili yaku poteza wabaya wasijuwe kwaku wapotosha waliyo hamini mana vitabu vyote ni vyamungu Nani kweli apingalo hilo basi yeye ana Pinga Mungu.
@amoury1481
@amoury1481 Жыл бұрын
Mungu kaumba dini moja tu Uislamu,Hizi dini Nyingine ni matokea ya mwanadamu
@shaafiabdi8273
@shaafiabdi8273 5 жыл бұрын
hadiith=kulu muskirin haraam "Chochote ki lewasho ni haramu" Miraa ni haramu
@amadeuskimey5521
@amadeuskimey5521 5 жыл бұрын
alitoka katika ukristo kwa maana haku chaguliwa na mungu angelichaguliwa na mungu asingee rudi nyuma angechapa injili
@husseinmohamed5942
@husseinmohamed5942 5 жыл бұрын
Kaiona haki coz ukristo sio dini na Kama unabisha nipe andiko kua ukristo ni dini
@santodelove4351
@santodelove4351 5 жыл бұрын
Mungu wenu mbaguzi kwahiyo anawachagua chagua
@ibrahimabdul5490
@ibrahimabdul5490 8 жыл бұрын
Yaani ukiwa mkristo sawasawa na maiti. Kwanza kabisa ukipata andiko linalosema ukristo ni dini ya Mungu nipo tayali kubatizwa hata sasa hivi.. Yaani ktk kitabu chochote unachokijua wewe..!
@stallonesylvester1988
@stallonesylvester1988 8 жыл бұрын
acaha matusi kaka,tangaza uislamu vyema. yesu ni nani?????
@ygyoung9686
@ygyoung9686 6 жыл бұрын
marayn
@nestarnestar4520
@nestarnestar4520 5 жыл бұрын
kuma ww nyie ndio mizoga kabxa
@amosichacha5675
@amosichacha5675 5 жыл бұрын
IBRAHIM ABDUL Dini hizi hazitusaidia chochote. Mahusiano yetu mazuri na Mungu ndyo yatakayotufanya tumuone Mungu. Mbingu ni moja tu wala hakuna mbingu ya pili. Njia ya kwenda huko ni moja wala hakuna njia nyingine. Mimi ndimi njia kweli na uzima mtu haji kwa Baba ila kwa njia yangu. Tuwe tunataka tuwe hatutaki ndivyo ilivyo!!
@derickluazi5528
@derickluazi5528 5 жыл бұрын
Ibrahimu ww ujitambui ukitoa neno kwenye qurn linalokuonesha wapi ulipo haidiwa ufalume wa milele nitakuwa mwisilamu
@thobiasmsuya6145
@thobiasmsuya6145 8 жыл бұрын
uislamu ni dini ya khaki
@stallonesylvester1988
@stallonesylvester1988 8 жыл бұрын
dhibitisha
@sahariabdul
@sahariabdul 7 жыл бұрын
tafuta video za imani petro na imani akili yako itafunguka na uache weu wa kubuluzwa na neno kristo
@goldmansun5859
@goldmansun5859 6 жыл бұрын
haki iko WAPI?
@fatumaalisaid9816
@fatumaalisaid9816 2 жыл бұрын
Aki mwaipopo umenifanya machozi yakanidondoka, Allha akujaze kheri in sha Allah🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼😭😭😭
@al_aminchannel3292
@al_aminchannel3292 5 жыл бұрын
allahu Akbar walahi nabado watu wanachezea uislamu tu ishikeni uislamu kwa makini
@AishaAli-lk7gh
@AishaAli-lk7gh 5 жыл бұрын
huyu ALLAH amembainisha alokuwa akifanya kwa ukristo sasa wengine wanajenga chuki kwa kusema kweli ukristo sio dini
@kasimothman6940
@kasimothman6940 2 жыл бұрын
Mashaallah
@mbaroukmbarouk498
@mbaroukmbarouk498 6 жыл бұрын
Nyinyi makafiri mujue kua huyo yesu munaemfuata hakuwahi kuingia kanisani wala hakua mkiristo mutachomwa moto nabii Issa (as)ataingia peponi na waislam
@festokivuyo7121
@festokivuyo7121 2 жыл бұрын
Kama mbinguni nikwenu bs hatutaingia lkn kama ni mbinguni ni kwa Mungu bs huna mamlaka huko
@novatusngoloma8080
@novatusngoloma8080 Жыл бұрын
Nonsense, fikiria mara mbili kabla ya kucoment
@lawrencechacha7863
@lawrencechacha7863 Жыл бұрын
Huna tofauti na shetani,maana ungejua tabia ya mungu usingeropoka upuuzi.eleza uzuri wa dini yako na njia ya kumfikia mungu.
@chriscao9828
@chriscao9828 Ай бұрын
Waislamu ni watu wamechanganyikiwa kama mtume wao wa kuzimu..
@husseinchiaseeds2653
@husseinchiaseeds2653 5 жыл бұрын
Mwaipopo Allah akuhifadhi
@ftimaramadan4748
@ftimaramadan4748 2 жыл бұрын
amin ya Rabby
@saiditheone_tz576
@saiditheone_tz576 2 жыл бұрын
Allahu Akbar, Allahumma sturu ummata Muhammad (S. A. W)
@rizikiali8173
@rizikiali8173 5 жыл бұрын
walah umependeza kua muisilm mashaalah MUNGU akuzidishie
@ftimaramadan4748
@ftimaramadan4748 2 жыл бұрын
amin ya Rabby
@lisauroble31
@lisauroble31 5 жыл бұрын
Allha.akulipe.mema.mwaipopo.hakika.nafs.yako.imeshaiokowa.allhandulih.leo.nakesho.peponi.sadaka.nimuhimu
@maduuikangira9864
@maduuikangira9864 Жыл бұрын
Wewe huujui ukristo ulikuwa umeenda kusomea kupiga hera, lakini siku ukimjua yesu kristo Kama muumba wako na muumba wa ulimwengu utamwinua juu.
@aminariziki1677
@aminariziki1677 6 жыл бұрын
Uislam ni dini ya haki na ya kweli mbele ya MwenyezMungu.
@gabrielisack7786
@gabrielisack7786 6 жыл бұрын
ukiijua kweli itakuweka huru,siku moja sauti ilisikika ikitoka mawinguni ikisema huyu ndiye mwanangu ninayependezwa naye hivyo msikilizeni yeye.
@brightonwashira5420
@brightonwashira5420 5 жыл бұрын
We mkristo kafiri nini
@dullyvidully7798
@dullyvidully7798 5 жыл бұрын
Tupe andiko sio unatupa porojo tu
@aishaomari1881
@aishaomari1881 5 жыл бұрын
Mungu Hana mwana ila Ana mitume 25 na itabak hv
@jumajaffary9698
@jumajaffary9698 5 жыл бұрын
Yohana 5:37 Neno: Bibilia Takatifu (SNT) 37 Na Baba aliyenituma naye amenishuhudia. Hamjapata kamwe kuisikia sauti yake wala kuiona sura yake. Yesu kasema sauti ya Mungu hakuna aliesikia wakati wowote wala kuiona sura yake.
@ikabako2454
@ikabako2454 2 жыл бұрын
@@jumajaffary9698 umempiga vizuri sana kondoo huyo 🤣😂😅
@zariamutesiwase2371
@zariamutesiwase2371 2 жыл бұрын
Najivunia kuzaliwa Mwislam
@joshuanoel4482
@joshuanoel4482 2 жыл бұрын
Yaani watu wazima kama watoto ndo maana siangaliagi midahalo ya waafrika bora hata marehemu Ahmed deedat
@medinacheronohildah7933
@medinacheronohildah7933 2 жыл бұрын
Yeah na zaik naik Yusuf esteem napenda mada zao juu SI kubishana n kupelekana sawasawa
@salehlofy4251
@salehlofy4251 7 жыл бұрын
wakristo hata aje Yesu mwenyewe watampnga lakn wanakuja ona wakifika kwa Mungu
@salehrashid-fx9rq
@salehrashid-fx9rq 9 ай бұрын
Watamuua 😅
@abcmnbb2610
@abcmnbb2610 2 жыл бұрын
Alhamdulillah kwakuwa muislam
@johnmnonjela9809
@johnmnonjela9809 6 жыл бұрын
umepata hasara ndugu kiroho
@bintichausa4744
@bintichausa4744 5 жыл бұрын
😂😂😋😂😂😂
@ahmadamapande677
@ahmadamapande677 2 жыл бұрын
Daah Mungu awalipe Mashekh natamannijifunze hio kazi
@bimumaulid1171
@bimumaulid1171 7 жыл бұрын
ukristo dini ya feeza hilo tunalitambua lkn makazi Yao fin nari jahanam motono
@rahmakhamis111
@rahmakhamis111 5 жыл бұрын
ndiyooo
@hassanshemawia4587
@hassanshemawia4587 5 жыл бұрын
Imejipiga
@eladiuspeter586
@eladiuspeter586 5 жыл бұрын
bimu maulid wew kabla ya waarabu babu yako hakua na dini
@evelyneongachi9486
@evelyneongachi9486 6 жыл бұрын
Peter kumkata MTU maskio,,yesu akakiokota akairudisha,ambapo so kawaida kwa binadamu yeyote
@thomasnachenga795
@thomasnachenga795 5 жыл бұрын
ILO MOJA yesu kafanya maajabu MENGI kupita hayo....lakini bado HAWATAKI KUAMINI NI MUNGU. hehehe ata wao wanamjua
@samiramohamed98
@samiramohamed98 5 жыл бұрын
Ss Tomas yes mungu kipind alipokua tumbon dunia ilikua yaendeshwa na nan
@samiramohamed98
@samiramohamed98 5 жыл бұрын
Maryam angekufa kwa kifafa cha uzaz kwahy kusingekua na mungu??
@kenzanzibartours1529
@kenzanzibartours1529 7 жыл бұрын
allla akuhifadhi na fitna mwaipopo
@makanikiamsanga906
@makanikiamsanga906 6 жыл бұрын
HUYO MCHUNGAJI NI MNAFIKI. NI WA UONGO. KAMA AMEHAMA UKRISTO, KWA NINI BASI AMEVAA VAZI LA KICHUNGAJI, ILI AWAAMINISHE WATU KUWA YEYE NI MCHUNGAJI, NA ASIVAE VAZI LA KICHUNGAJI BASI. HUYO NI MCHUNGAJI WA UONGO NA MKRISTO WA UONGO. BIBLIA ILISHA ONYA MBELENI.
@amosichacha5675
@amosichacha5675 5 жыл бұрын
Makanikia Msanga Mchungaji wa kondoo wa Mungu, aliyeitwa kuwa mchungaji hawezi kufanya haya. Yeyote yule anaweza akajiita kuwa ni mchungaji na asiwe mchungaji. Hawa waliojiita wenyewe ndiyo leo hii tunashuhudia wakifanya vituko.
@husseinmohamed5942
@husseinmohamed5942 5 жыл бұрын
Anawakejeli wale mafala wanaojiita wakristo
@abdallajuma6262
@abdallajuma6262 5 жыл бұрын
hakika umeongea ukweli uislamu ndio dini sahihi mbele ya mungu
@irenemboka1401
@irenemboka1401 2 жыл бұрын
Hapa unajidanganya ndugu sisi wote watoto wa Ibrahim kumbuka YESU CHRISTO ndo njia pekee ya MUNGU siasa haina mahali itatupekeka
@armykyamba3982
@armykyamba3982 2 жыл бұрын
Na vip ktk uislamu kusoma uchawi wa kitabu (faraki)
@rizikiali8173
@rizikiali8173 5 жыл бұрын
mwenyezimungu akupe mazur
@chenzhenlee7633
@chenzhenlee7633 5 жыл бұрын
Waislam ndio makafiri kama hawajasoma Qur'an yao
@isaacmafole2136
@isaacmafole2136 5 жыл бұрын
True
@user-kf5lh4jk3b
@user-kf5lh4jk3b 3 ай бұрын
Wakristo makafiri hawana dini wakifa kwa imani hiyo ni motoni
@JeromeAbu
@JeromeAbu Жыл бұрын
Kaji zuri cheikh wangu
@joykhaphimpa4545
@joykhaphimpa4545 6 жыл бұрын
Kwakweli shetani ni mjinga sana coz anajua kufunga watu macho iliwaingie gizani wasijue ukweli
@seifhabib5987
@seifhabib5987 Жыл бұрын
Uislam hasa raha bana eee
@rajabuselemani3586
@rajabuselemani3586 6 жыл бұрын
nakubali sana ukristo uchafu watu hawafanyi kazi eti pesa zawaumini zitafanya kazi duuu
@asmaabdallah4055
@asmaabdallah4055 5 жыл бұрын
Mjinga kila kinato lewesha ni haramu kwa waislamu labda kwenu ni halali kwa maana nyinyi kazi yenu kulewa tu
@zairesoyosoyohabura7513
@zairesoyosoyohabura7513 10 ай бұрын
So touching story sheikh mwaipopo ❤❤❤😊
@abdulyhamidy5081
@abdulyhamidy5081 5 жыл бұрын
Mwenzimung atkakusaidia ktk kufkisha dini y MW/mung
@aishamzeehamissi6859
@aishamzeehamissi6859 Жыл бұрын
ASALAM ALEIKUM PROFESA MAZINGE A MWAIPOPO ALLWAAA AWAPE UMRI MREFU KUTUELIMISHAA JAMIÌII NIKWELI WASHEKHE HAWAELIMISHI JAMI NAKUITOWQ MIHADHARA NIWAO WENYEWE TUU ILIMU WANAKAA NAZO MAJUMBANI
@marwamasiku18
@marwamasiku18 Жыл бұрын
Masha llah mungu atuafikishe halikua waislamu ameen
@dottoadam5516
@dottoadam5516 2 жыл бұрын
Mungu msaidimwaipopo
@abubakaromar4637
@abubakaromar4637 2 жыл бұрын
Allah walipe kheir kwa kazi yenu inshallah
@officialmatambi5550
@officialmatambi5550 6 жыл бұрын
Duh huyu mwaipopo kumbe anasumbuliwa na njaa tu, anaomba achangiwe na hela tena.
@goldmansun5859
@goldmansun5859 6 жыл бұрын
sisi tunatoa coz tukimtolea Mungu wetu tunastaw,alah(pepo)atambarik nani?ndo mana kutwa utawakuta wamejazana kwa waganga na wasomanyota
@mariamwazir1125
@mariamwazir1125 5 жыл бұрын
Safi
@captenndunga9385
@captenndunga9385 5 жыл бұрын
Bernad wee ni kafir hilo linajulikana
@dallaxngaona1345
@dallaxngaona1345 5 жыл бұрын
Nani kakwambia shoga wewe
@dullyvidully7798
@dullyvidully7798 5 жыл бұрын
Hana shida na michango yenu makafiri wakubwa
@ishoboyyoung1507
@ishoboyyoung1507 2 жыл бұрын
Tusibaguane kwa dini na rangi kila mmoja afate anapoamini vibaya hivyo kuweni
@omanbarka1588
@omanbarka1588 2 жыл бұрын
Mazinge kapatikana
@mariamsindano1953
@mariamsindano1953 Жыл бұрын
Mungu pekee ndio anajua, watu wamejaa makanisani na wanaponea huko
@sweetnanashow5611
@sweetnanashow5611 2 жыл бұрын
Akati wenzenu wanatafuta uzima Nyie mnatafuta ujinga haaas
@tabasamtv6728
@tabasamtv6728 2 жыл бұрын
Wamekaa kbsaaa busy kubishana upuuzi.
@yusuphsimon8151
@yusuphsimon8151 6 жыл бұрын
hahaaa waislam bhnaaa ubishi mwingi ukwel mnaujua
@anjelinawiliam5415
@anjelinawiliam5415 6 жыл бұрын
mungu awalehem maaana hamjui mlitendalo maaana lisilo wezekanakwamwanadam kwamungu yawezekana
@thedymatei8171
@thedymatei8171 5 жыл бұрын
najivunia kuwa msilm
@sophianolle4007
@sophianolle4007 5 жыл бұрын
we mwaipopo umeongea utumbo tu hata cjakuelewa ni bora hata ungelala tu, maana huwezi kubadilisha imani yetu ya kikristo kwa mtindo huo na tambua kwamba mungu hana dini matendo yako ndyo yatakupeleka jehanamu au peponi kafili wewe
@abdullahibaris7182
@abdullahibaris7182 5 жыл бұрын
ALLAHu AKBAR
@eunicebukokhe6805
@eunicebukokhe6805 2 жыл бұрын
Mazinge wacha kuaribu sigara hapa uarabuni sigara inaasha nyingine wa maanisha waarabu ni makafiri?
@user-yc7cx8lw8h
@user-yc7cx8lw8h 9 ай бұрын
Alhamdulillah 2023
@al_aminchannel3292
@al_aminchannel3292 5 жыл бұрын
kwa Allah aliyenufanya muslamu
@rizikiali8173
@rizikiali8173 5 жыл бұрын
yakupendeza daima
@fatumaramadhanmashaallahal9966
@fatumaramadhanmashaallahal9966 5 жыл бұрын
Kweli kabisa uislamu tunajiangusha ss wenyewe heri inshaallah
@greysonmheni5176
@greysonmheni5176 2 жыл бұрын
Njoo kwa Yesu,hatakuangusha
@ftimaramadan4748
@ftimaramadan4748 2 жыл бұрын
kumbu nilikuepo kwa baba mazinge zamani 😀😀😀
@ftimaramadan4748
@ftimaramadan4748 2 жыл бұрын
unatisha baba mazinge tupo pamoja sana
@omarahmed7708
@omarahmed7708 5 жыл бұрын
Mwaipopo njooni na kwetu mafia
@mohammemoh7355
@mohammemoh7355 6 жыл бұрын
ALLAH jazakallah kheri Mwaipopo
@marcelinenakafu7039
@marcelinenakafu7039 6 жыл бұрын
ukiona mtu akiacha ukristo na kwadaku waslam mkristo awesitusitika kwasababu yesu alisema sikuzamwisho kutakuwa mambokamaayo watu watajitenga na imaniyao mwaipopo iyoantiko hakuiyona?
@zaitunimutombo66
@zaitunimutombo66 5 жыл бұрын
Takbir Allah Akbar
@jamalathman6219
@jamalathman6219 2 жыл бұрын
Mashallah jazakallah kheir
@felixgitonga6783
@felixgitonga6783 Жыл бұрын
Mazingi ni kafiri mukubwa wa motoni wapinga kristo
@dktabbaimran2002
@dktabbaimran2002 2 жыл бұрын
Uislamu ni nuru. Kila chenye kinabadilisha akili ni haramu
@captenndunga9385
@captenndunga9385 5 жыл бұрын
Ukristo ndo ufreemason wenyewe wanatufumbafumba tuu lakini ukweli ndo huo.. kama unabisha bisha kwa mapungufu yako...
@stevensosipita2851
@stevensosipita2851 2 жыл бұрын
Wee nawe umepotea kama huyo mwaipopo.poleni sana hamjui mlitendalo.
@alufamauridi711
@alufamauridi711 5 жыл бұрын
Uisilam ndio din yahakhi nyie wakilstoy rudin kwenye din ya hakk
@stevensosipita2851
@stevensosipita2851 2 жыл бұрын
MATENDO YAKO MEMA NDO YATAKAYO KUINGIZA PEPONI SIYO DINI PEKEE POLENI SANA
@hosealutaha8588
@hosealutaha8588 6 жыл бұрын
Yaani hawa makristo hata yesu mwenyewe akija watamkataa na kumpiga kwakuwa akili zao wanadhani yesu ndo huyo wanaomuweka kwa makanisa mmh nyie ni sawa na magogo
@stevensosipita2851
@stevensosipita2851 2 жыл бұрын
TULIENI TUNAJUA FIKA NYIE NIMALI YASHETANI HUBIRINI DINI YENU NA IMANI ZENU NDO ZIKAKAZO WAPONYA MNAKWAMA WAPI?MTUPISHE TUPITE YESU YU KARIBU KURUDI SIMMESHAPOKEA HATA CHANJO CHAPA 666 KAZI MNAYO.
@stevensosipita2851
@stevensosipita2851 2 жыл бұрын
AFU WEWE NDO WAKINA MWAIPOPO MMESILIMU KUFUATA UGALI MMEPOTOKA KWELI KWELI POLENI YENU AFU MMESHINDWA KUFUATA IMANI YA DINI MLIYOIFUATA KAZI SASA UNAFIKI UCHOCHEZI MARA YESU ALIKUWA HIVI MARA VILE HIYO NIDHAMBI KUBWA MUNGU ATAWAHUKUMU WOTE WALIOSALITI DINI ZAO NAKUSHINDWA KUFUATA IMANI YADINI WALIZOZIFUATA KWANI MUNGU NIMMOJA OLE WENU WENYE IMANI HABA SIKU YAHUKUMU MTALIA NAKUSAGA MENO.
@khadijanjama9016
@khadijanjama9016 5 жыл бұрын
والذين كفروا يتمتعون ويأكلون كما تأكل الانعام والنار مثول لهم
@hassanabalkasim7143
@hassanabalkasim7143 2 жыл бұрын
Muislamu aokoka
@hanadialabed8635
@hanadialabed8635 7 жыл бұрын
Mungu awazidishie mashekh wetu umri na hikma na awajaze mioyo ya kueneza dini na mungu awajaalie mwisho mwema na kauli thabiti kwenye mauti yenu na waislam wote
@armykyamba3982
@armykyamba3982 2 жыл бұрын
Sawa mungu gani awasaidie
@amosichacha5675
@amosichacha5675 5 жыл бұрын
Maamuzi uliyoyachukua mwisho wake yana majuto kilio na kusaga meno. Kwa sasa unaweza usielewe ila utaelewa badae!!
@firo0ozdawah378
@firo0ozdawah378 2 жыл бұрын
Hakuna mtume wa kizungu Sasa munatawaliwaje na wao ... Historia yote inarudi Kwa waarabu
@hassanissa611
@hassanissa611 6 жыл бұрын
Yesu ni nabbii wa ALLAH ila nyiyi makarifi mnamfanya km MUNGU???😳😳😳😳😳 inallilah wainalillah rajiun🤑
@lightnesselirehema1464
@lightnesselirehema1464 2 жыл бұрын
Huyo Isa wenu ambaye hakufa siyo Yesu Christo. Yesu Kristo alikufa, akafufuka na akapaa mbinguni. Na yuko mbinguni na atakuja kuwahukumu walio hai na wafu.
@sahariabdul
@sahariabdul 8 жыл бұрын
unaelekea kuchanganyikiwa
@makanikiamsanga906
@makanikiamsanga906 6 жыл бұрын
UNASIKIA? AMEWATAKA WAISLAM KUWAIGA WAKRISTO KWA KUJENGA HOSPITALI NA SHULE, HAO WANAOITWA MAKAFIRI MUJIFUNZE KWAO, YAANI MUWAIGE KUJENGA HOSPITAL, LAKINI MUNAWAITA MAKAFIRI.
@hgfivcj1832
@hgfivcj1832 2 жыл бұрын
Kwani hapo Unaskia unaongea nini kwani hiyo hospital imejengwa kwa gharma za makfiri? Jibu
@salmasalama3754
@salmasalama3754 8 жыл бұрын
waipopo umesema kweli
@armykyamba3982
@armykyamba3982 2 жыл бұрын
Unaijua kweli mpendwa
@sudeysswai2862
@sudeysswai2862 7 жыл бұрын
kuliko uwe mkristo bora uwe fremason kwamana Wote motoni bora fremason utapiga pesa ila ukristo utakuwa unapigwa pesa msingi wa kweli nikuwa mwislam ustasalimika na moto wakiama
@hamisimdunga9955
@hamisimdunga9955 2 жыл бұрын
Ooooooooo the way out ok I'll get back
@khadijaalrawahy8069
@khadijaalrawahy8069 5 жыл бұрын
mwaipopo mwenyez mungu atakulipa Akher inshallah
@brucemandara2708
@brucemandara2708 5 жыл бұрын
Huwezi kumbadilisha mtu imani aliyo nayo kwa kuisema imani yake vibaya, tuendelee kuombea taifa letu AMANI, hawa si waislamu wa dini in\wezekana wameahidiwa kuboreshewa maisha na familia zao, wengine wanashangilia tu, bandera hufuata upepo mtazolewa na wapigaji wa fedha.kama umezaliwa ndani ya uislamu TULIA na kama umezaliwa ndani ya pia TULIA kama ulivyojikuta umezaliwa mwanaume au mwanamke, sote tumejikuta kwenye tawala za kiarabu au za wazungu watanzania tuache hizo tunahitaji kuishi.
@stevensosipita2851
@stevensosipita2851 2 жыл бұрын
Mwenyezi mungu halipi mtu kwa kumuombea analipwa kwa matendo yake mema ila kwahuyo MWAIPOPO ni moto wa JEHANNAM
@stevensosipita2851
@stevensosipita2851 2 жыл бұрын
KWANZA HUYO MWAIPOPO LAANA YA MUNGU INAMTAFUNA WALA HAYUKO SAWA KAWEHUKA HANA JIPYA KILA SIKU UCHOCHEZI SIKUPENDAGI HATARI
@markokayanda9625
@markokayanda9625 2 жыл бұрын
Sawa shekhe wangu
My little bro is funny😁  @artur-boy
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 13 МЛН
He sees meat everywhere 😄🥩
00:11
AngLova
Рет қаралды 10 МЛН
MEGA BOXES ARE BACK!!!
08:53
Brawl Stars
Рет қаралды 35 МЛН
1 or 2?🐄
00:12
Kan Andrey
Рет қаралды 40 МЛН
My little bro is funny😁  @artur-boy
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 13 МЛН