Artist: 20% Song: Mali za Urithi Director: Bancell Otieno (B.O) Location: Kimanzichana Company: Experience Picturez Contact:0714525272 Email:Bancellotieno@gmail.com www.experiencepictureteam.blogspot.com
Пікірлер: 174
@JuliaMrosso-gx7ow Жыл бұрын
2023 kama umesikiliza wimbo wa uyu jamaa nipe like
@DanielLulinda-is2qv8 ай бұрын
Wanamkubli 20% wekeni like, 2023
@aishaabdj89136 жыл бұрын
Wwe ndo mwenye mziki rudi kwenye kiti chako 20 wanaomkubali kama mmi weka like yko ili tuondoke
@abuukamanda.s.mkenga66875 жыл бұрын
Aisha Abdj yeah
@eliaswegesa67515 жыл бұрын
Aisha Abdj au sio
@isakazuberi45205 жыл бұрын
inatakiwa aludi Kwenye kazi yake
@abdulkhafidh79462 ай бұрын
Nice
@user-pq5kd7du8y9 ай бұрын
20 pa unaitendea haki sanaa ya muziki ❤
@jameskilasa7596 жыл бұрын
Ulikuwa msanii wa kwanza kupata tuzo 5 mfululizo
@muidiniidd25556 жыл бұрын
Tunda
@lucasjacob62455 жыл бұрын
ushauri wangu ukiludi kwenye gemu piga chini makundi yako hayana ushauri mzuri kwako wanapenda uwe kama wao nakukubali sana 20p
@bintalhwamer52916 жыл бұрын
huyu jamani yani nyimbo zake zakufundisha mnoo
@afrodisiusvitus91572 жыл бұрын
Umeshaimba mpaka umezurika na nyimbo zako
@ElizabethMbwambo-dh8nv Жыл бұрын
Kaz yako nzuri sana broo mpaka sasa hakuna zaidi yako uko wapi jaman😮❤
@halimafickra86352 ай бұрын
kama uko hapa 2024 say hi
@elsabio11Ай бұрын
Hi❤
@flowila829 жыл бұрын
Asilimia ishirini hongera mzee wa treu kwa jamii tunakupenda ngoma kali zaidi ya kali
@amanimwidowe94085 жыл бұрын
jamani 20%akisema anataka kurudi kwenye gemu ila hana pesa anaomba kuchangiwa nani yupo tayari kumchangia
@gresicosmas64525 жыл бұрын
AMANI MWIDOWE kama wote yaan
@eliamatofali15795 жыл бұрын
Me wa kwanza kumchangia
@ramadhankijana94422 жыл бұрын
Dah tupo wengi
@pendosamson23132 жыл бұрын
Nipo tayar
@stevenstevengerrardjohn72082 жыл бұрын
Nipo Tayari kabisa
@SomanjeMbewe-rq7dk11 ай бұрын
Bigapu sana pamoja bro
@georgeskamuleteofficial5165 жыл бұрын
My favorite song 20% keep it up bro, if you agrees with me drop your like plz
@athumniahmed34895 жыл бұрын
Safi sana 20% good sanaaa
@mnkandenation87065 жыл бұрын
bado naiangalia hata Leo tarehe 10 January 2019,
@zuberykajembe13595 жыл бұрын
Nakubali 20% kwanza mbona kimya leo talehe 11/4/2019
@user-dd2bv2ru8y6 ай бұрын
Huyu braza haisee harudi kwnye ubora wake, nyimbo zake zakuelimisha jamii kwel kabisa
@hajimnubi45815 жыл бұрын
Nyimbo safi.. ujumbe mkubwa
@maganyarobert700810 ай бұрын
Napenda nipate namba za 20 percent ili niongee naye live tupange bei atoe wimbo wa familia mana hii nyimbo ni muhimu kwa wanaojua Mungu yupo
@jean-claudekisasu54610 жыл бұрын
Endelea kutupa akili kupitia nyimbo zako.
@enockkitomarys49096 жыл бұрын
huyu 20% anaweza xn na nyimbo zake ni za kuelimisha jamii kwa 95% ila nyota haing'ai2 inshalah mungu akufanyie wepesi ufike mbaliiiiiiiii
@kasimuyahaya40105 жыл бұрын
Hawa wasanii wazani hawana mafanikio lakini mungu Ndio alipanga wafanye kazi hii
@Fakama2452 жыл бұрын
Ngoma nzuri nikama umetoka leo
@adeitytony74385 жыл бұрын
Karibu bukoba
@BasmalahSiraji29 күн бұрын
Vizuri
@user-zp5qj3ym5x11 ай бұрын
Jamaa anajua sana maneno yake sio poa big up 20 pasent
@fredricjames7742 жыл бұрын
Asilimia chache sana ulimwenguni 20%
@cayvinderick30324 жыл бұрын
message yako huwaga na maarifa sana man water.rudi kwenye mziki zamu yako babaaaa
@flowila829 жыл бұрын
picha linaanza mzee kapata kiwanja, nomaa haya jamiii zetu hizi
@mkilimamoses23112 жыл бұрын
Hii ndiyo talanta ya muziki.Anybody can listen his songs.Siyo kilasiku nyimbo za mpenzi na matusi tu.
@allyomar2876 жыл бұрын
Usichoke kk 20%rudi ktk kazi ipocku mungu atakuona naww
@emmanuelmbunda44417 жыл бұрын
nakushauri rudi kwenye gemu
@tigger5940 Жыл бұрын
Gonga like Kama unaipenda Kama mm hii song
@salehehassan13305 жыл бұрын
Big up sana broo kwa ujumbe unaogusa jamii usikate tamaa usichoke wala usibadirishe mziki wako maana upo poa achana na akina furani wao kila siku mapenzi tuuuuuu eh
@adeitytony74385 жыл бұрын
Twenty per cent wanakuita sina cha kusema we mkali nimekukubali mda mrefu
@benjaminsteven7350 Жыл бұрын
2023 malegend tujuane...
@kellyfrancis39965 жыл бұрын
huyu yupo wapiiiiii jomoniiiiii mrudisheniiiii
@violetteniyonzima15683 жыл бұрын
Muziki namba 1twenti wewe wajuu nimafundisho
@abiafrancis6545 жыл бұрын
kazi mzur kwakwel
@machechejuma88502 жыл бұрын
Nakubali Sana Kaka Nyimbo Zako Zina ujumbe
@gaudensiamgeni58675 жыл бұрын
Upo juu twent
@benjaminsteven7350 Жыл бұрын
Yupo wap huyu mwamba anajua sana
@abelmwaita774510 ай бұрын
Ujumbe mzuri na wa nguvu
@UMUCO-WIJAMBO-MINISTRIES4 жыл бұрын
Rudi Bwana wewe we need you because the world can learn many things through your songs we are here we are waiting for you Come back
@gudeboy49186 жыл бұрын
rudi kwenye game broo
@user-lb7gx6cb1q8 ай бұрын
Msanii mwenye mashairi ya kueleweka
@mahesenitunduma24385 жыл бұрын
Mziki mtamu wa bongo flava ulikuwa zamani = 2019 lakini mziki bado unaishi .
@geshormemwamalili4985 Жыл бұрын
Daaa nakukubal Sana mwamba weweeeee
@greathope25146 жыл бұрын
Twenty namurespect so much reality nimusician anayeelemisha au kueducate societies so hata waweza angalia nawazazi nyimbo zake. Ooooh wahooo twenty well done hata your movie's very well.
@behewameja50585 жыл бұрын
Rudi jamani 20 tumekumisi sana mashabiki zako kaka 😍😍😍😍 12’ 25 ‘2018 bado nasikiza bado siku tano tuingie 2019 ila sijachoka kak
@colilnsmulastborn85626 жыл бұрын
huyu mwalimu 20per kapotelea wapy jamani daah!
@giftjuliass60025 жыл бұрын
Daaa lud kweny game dady lake💗💗💗
@frankntenga12625 жыл бұрын
Dunia mungu akupe maisha marefu sanaaa kwa ujumbe mzuri sana sijui kwanini hawa vijana sasa hawataki kujifunza kwako wimbo huuu hata ifike miaka therathini mbele bado utakuwa juuuu zaidi msg ya ukweli
@ElizabethMbwambo-dh8nv Жыл бұрын
❤😂
@mwajumakweli67536 жыл бұрын
20% ludi my bro
@rajabseleman17086 жыл бұрын
kiukweli broo nyimbo zako ziko fiti sana kwetu
@farooqfarooq57658 жыл бұрын
niukweli pamoja sana 20%👏👏👏
@kelymbilinyi22743 ай бұрын
2024 tujuane hapa🎉😊
@kedmondkepha77075 жыл бұрын
Broo uko wapi hebu rudi tena tunakuhitaji bado nyimbo zako zina message nzuri hasa hii naikubali sana
@salimakuluwa20635 жыл бұрын
Oyoooo 2018
@pascalmgaya12065 жыл бұрын
20bgap sana
@jumabundala73076 жыл бұрын
Rudi kwenye gem kaka unaweza sana.
@simonjoshua6692 жыл бұрын
Unstoppable song🔥🔥🔥🔥💪💪.
@PatsonIkula9 жыл бұрын
Ukweli nafurahia kazi zako 20% kinachonishangaza ni jinsi nyimbo kama hizi hazisikiki hewani! Endelea kutupa radha. Hubahatishi unaijua kazi yako. Hivi una official page you Tube au Twitter? Tupatie kama unazo.
@samweliecawilondja50376 жыл бұрын
Patson Ikula uyo Diamond ame tumwa na shetani kaja kutu aribu familia zetu
@suleimanmohamed59915 жыл бұрын
20% percent mfollow instagram kisha ingia kwny bio yake