No video

A - Z: MKANDARASI AMUONESHA DHARAU MKUU WA MKOA, ALICHOMFANYA NI FUNZO!

  Рет қаралды 525,604

Wasafi Media

Wasafi Media

Жыл бұрын

A - Z: MKANDARASI AMUONESHA DHARAU MKUU WA MKOA, ALICHOMFANYA NI FUNZO!
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 800
@jumaamartin7929
@jumaamartin7929 Жыл бұрын
jammani 😭😭😭 kazi ya mungu haina makosa mungu aziweke roho za marehemu wote na mjomba ailaze roho yake mahali pema peponi.🤲🤲🤲
@mkambamaulid447
@mkambamaulid447 Жыл бұрын
Poleni San wa Tanzania wenzangu hata kwetu wapo Mungu atawasimamia🙏🏼 Hongera Sana Mkuu wa mkoa Mwenyezi Mungu aendelee kukusimamia ktk majukumu yako💪🏽👍
@vuqiis2778
@vuqiis2778 Жыл бұрын
Laz
@faridaf3923
@faridaf3923 Жыл бұрын
Baba etu magufuli alisema tutamkumbuka , nakweli tunamkumbuka, R.i.p kepenzi chawa TANZANIA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@innocentmakala6542
@innocentmakala6542 Жыл бұрын
Chumaa. RIP kazi ya Mungu aina makosa
@florencemeza6540
@florencemeza6540 Жыл бұрын
Safi kabisa mkuu, hawa wazungu ovyoooo mnoooooo hii ni kazi ya makamba mbona wa Tz wanaweza kazi tena wakae mwaka
@zakwetuartsdecor9815
@zakwetuartsdecor9815 Жыл бұрын
Magufuli will be missed forever. Hongera mkuu wa mkoa walau kwa kuwabana hawa watu. Wabane hadi mradi ukamilike.
@anathaliamwangamila3296
@anathaliamwangamila3296 Жыл бұрын
Magufuli ni RAISI Bora sana katika wote Yani utendaji wake safi sana, na kusimamia miradi. Yani basi tu kazi ya MUNGU Haina makosa. Rest in peace magufuli😭
@richardyohana6307
@richardyohana6307 Жыл бұрын
Kwako ndio rais bora
@khalifaloya7754
@khalifaloya7754 Жыл бұрын
Kuua upinzani kulikua maana Gani,hebu twambie wewe kama sio kukurupuka
@leonardmrope9528
@leonardmrope9528 Жыл бұрын
Magufuli umeondok ikiwa tunakuitaji Sana Tanzania Mzee wetu,,,,Lala salama uko uliko mambo c mambo
@ufugajiwetu7782
@ufugajiwetu7782 Жыл бұрын
Acheni unafiki kila Kitu magufuli
@abdallahomary5032
@abdallahomary5032 Жыл бұрын
Basi tukutaje wewee 😂
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 Жыл бұрын
@@abdallahomary5032 😂😂😂😂😂🙏🙏
@jamaa2760
@jamaa2760 Жыл бұрын
@@abdallahomary5032 😂😂
@nkoydavid9658
@nkoydavid9658 Жыл бұрын
@@abdallahomary5032 sasa kutaja mtu asieweza kukusaidia huoni kama nao ni ujinga.. fanya maamuzi magumu siyo kulilia marehemu
@thieryniyonkuru5023
@thieryniyonkuru5023 Жыл бұрын
Hahaha Bulldozer ameondoka inchi inajitawala , watu wako kwenye kulamba asali tuu😭😭😭😭
@samwelipaul1462
@samwelipaul1462 Жыл бұрын
Magufuli tutakukumbuka Sana baba yetu 🙏🙏🙏🙏
@RussianSoundKenya
@RussianSoundKenya Жыл бұрын
🙏🏾🙏🏾
@yasiniyamamoto8174
@yasiniyamamoto8174 Жыл бұрын
Huyu ni kiongozi mzalendo lazima utakuwa raisi kwa nguvu za mwenyezi Mungu miaka 1000000000000 respect.
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Doooo mungu wangu nchi inatokomea na kuteketea wizi mtupu
@doctorsmart9454
@doctorsmart9454 Жыл бұрын
Magu allisemA haya
@shinipapaya846
@shinipapaya846 Жыл бұрын
Napenda sana kwa jinsi Tanzania 🇹🇿 inavyo chezewa safi sana MAGUFULI KATUKANWA SANA TENA SANA nasema tena safi sana 🤣🤣🤣 RIP mzee baba Magufuli 🙏😭😭😭😭
@Dantaata
@Dantaata Жыл бұрын
hapa kw staili hii ukuu wa mkoa ataukosa maana inaonekana hii mifumo haitakiwi sa hv,, watawakwaza wawekezaji
@meryandrew6902
@meryandrew6902 Жыл бұрын
Kwakweli rest in peace jpm 😭😭😭😭
@berthatz
@berthatz Жыл бұрын
Kumanina walahi..🤬🤬
@daimavlog
@daimavlog Жыл бұрын
Tupishe basi Magufuli muda wake ushakwisha, tumepona na udikiteta siye maana ambako angetufikisha Mungu anapajua, yeye aliyemruhusu awe duniani alimchukua, Kama angeona hajamaliza Kazi yake basi angemuacha zaidi
@avitusmichael5
@avitusmichael5 Жыл бұрын
@@daimavlog mkundus ww
@gilbertngemela6752
@gilbertngemela6752 Жыл бұрын
Yaan upumbavu huu unafanyika waziri yupo, Rais yupo...Yaan Kweli RIP 🙏 😢 Magufuli
@sabbob574
@sabbob574 Жыл бұрын
Makamba kaweka miguu juu tu
@efronaaron6772
@efronaaron6772 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 Жыл бұрын
RIP VIVA Magufuli😭😭🙏
@Baba-nm4qz
@Baba-nm4qz Жыл бұрын
Mbona mradi haukuisha tangu 2020 na yeye alikuwepo acheni upumbavu
@abdallahomary5032
@abdallahomary5032 Жыл бұрын
Mbona unaumia akitajwa Magufulii mzee Atabaki kuwa Icon milele hata ukichukiaa 😂😂😂
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 Жыл бұрын
@@abdallahomary5032 😂😂😂😂😂👏🤝👏
@janethpallangyo3855
@janethpallangyo3855 Жыл бұрын
@@Baba-nm4qz RIP MWAMBA
@mariamngorongoromaria6634
@mariamngorongoromaria6634 Жыл бұрын
Piga kazi mh.mkuu wa mkoa
@josephvenus3259
@josephvenus3259 Жыл бұрын
ACHENI wajipigie tu! Miela si ipo tu yakupiga bhana!🤗🤗 Tz chaka la maalamia wa mpunga.
@kazoumareeeyuusuph3919
@kazoumareeeyuusuph3919 Жыл бұрын
Mutanikumbuka tna mutanikumbuk kwa weme Rest in peace jembe letu hakika ha2wez tena kupata kiongoz kama ww
@goldkatelembwe365
@goldkatelembwe365 Жыл бұрын
Kwa Sasa Wasafi Media Kwa Habari Mko Namba Moja Hapa Tanzania Mko Kila Mkoa Kabisa Sasa Ni Mda Wa Kanzisha Kipindi Cha Wasafi News Wasafi Tv Big Move🚀
@rashidyally8715
@rashidyally8715 Жыл бұрын
Wakienda hivi kweli watakua namba moja Ila waache kuweka habari za kimbea na hamonize na Mambo ya michawa leteni habari za msingi Kama hizi
@josephswai2374
@josephswai2374 Жыл бұрын
Kweli una akili sana media zingine wamekuwa machawa wa ras
@jumanassoro1552
@jumanassoro1552 Жыл бұрын
Msoga timu imerudishwa na aliekuwa nyuma yako wa karibu kila idala majipu na kiongozi wa nchi anayetuongoza jipu bwaju bwaju mungu akulaze mahala pema peponi jpm tu nakukumbuka amina
@aukarhassan2197
@aukarhassan2197 Жыл бұрын
Rip tanzania 🇹🇿 mnaliwa hela na hamujui anae kula hela zenu🤣🤣
@rubixrude9954
@rubixrude9954 Жыл бұрын
This is what happens when a nation depends on foreign aid and investments.
@mohamedschaeublin7374
@mohamedschaeublin7374 Жыл бұрын
It depending with which Foreign nations to deal with. Bt not Country of those 2 people I've seen.
@vt-kn6qf
@vt-kn6qf Жыл бұрын
100% truth
@mcback4384
@mcback4384 Жыл бұрын
The project is funded by loans not aid
@rubixrude9954
@rubixrude9954 Жыл бұрын
@@mcback4384 Aren't loans the new form of slaverly. The terms given to African nations are deadly
@georgeikinya2779
@georgeikinya2779 Жыл бұрын
Very right, my fears are that even this so called mkuu wa mkoa appears not to go far with this .I don't know really when Africa will pull itself successful from this sludge of corruption. Always there has to be a personal force like Magufuli for state affairs to grind aptly instead of institutional drive.
@maikobruno341
@maikobruno341 Жыл бұрын
Ngoja tuendelee kuchezewa mpak awamu ii kuisha tutafika tumechoka sana
@1964AliK
@1964AliK Жыл бұрын
Hiyo ndiyo CCM na serikali zake. Hakuna linalokwenda. Wageni wanawafanya raia wanavyopenda. Allah atusaidie.
@keagleeagle821
@keagleeagle821 Жыл бұрын
Aiaee. Tusamehe Magu Mungu akulaze mahala pema peponi
@humphreyngawamba583
@humphreyngawamba583 Жыл бұрын
R.I.P Baba tunakukumbuka
@noelbryson7840
@noelbryson7840 Жыл бұрын
Baba yupi sasa?
@charlesngwembele4541
@charlesngwembele4541 Жыл бұрын
Baba Ako aikuw tanexko
@TALLUBOY
@TALLUBOY Жыл бұрын
kabisaaaaaaaa
@TALLUBOY
@TALLUBOY Жыл бұрын
uyu mama samia siyomkari urais siyo siyasa tu! ukali kwanza
@zayumar2955
@zayumar2955 Жыл бұрын
💔💔😭😭😭
@saidyahya6392
@saidyahya6392 Жыл бұрын
rip baba jpm tutakukumbuka kwa mema yako
@naomiphilipojohn2940
@naomiphilipojohn2940 Жыл бұрын
Makamba safi mama samia oyeee ni kweli kabsa mnafanana na magufuli akuna tofauti 😭😭
@Dantaata
@Dantaata Жыл бұрын
ndugu utakula chuma juzi jamaa wa go..v kasema wapo wengi kule koloni ila hawjisemi,,
@silverman6930
@silverman6930 Жыл бұрын
Magu Magu Magu we are missing you dearly … this country is in ruin and the leader daily on flights … poleni watz
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 Жыл бұрын
Sasa kwanini uwandike kiingeleza kibovu c andika kiswahili 2
@evanslawrence7764
@evanslawrence7764 Жыл бұрын
@@hajjiomary2383 wee kingereza hukijui dugu' learn English
@testarguy8609
@testarguy8609 Жыл бұрын
Daaaaaah R.I.P MJOMBA Na bado tunazisubiti na Yuro.
@goodlucknnko5493
@goodlucknnko5493 Жыл бұрын
hongera sana mkuu wa mkoa. ila ni AIBU sana kwa viongozi wetu na mikataba ya hovyo
@japhetkafumu712
@japhetkafumu712 Жыл бұрын
Such kind of cases leads to poor Monitoring and Evaluation in many projects of Tanzania thus why our project failed. We need to find people who are well committed and have enough expertise In our project
@williamamon8440
@williamamon8440 Жыл бұрын
Wamejibu vizuri sana, sijaona dharau.
@charlesmihuwa6287
@charlesmihuwa6287 Жыл бұрын
Hii ni shida ya ufisadi tu kazi kama hizi siku hizi Ma engineer wazawa wanaweza kufanya kwa asilimia 100.
@anthonymgina3893
@anthonymgina3893 Жыл бұрын
Ndio wanaweza
@abednego3876
@abednego3876 Жыл бұрын
Sw kwaio kawap kaz ss
@imanibakili8028
@imanibakili8028 Жыл бұрын
Ukiona Mkandarasi anajeuri jua anauhakika wakubwa hawatamfanya kitu
@TamuzaKale
@TamuzaKale Жыл бұрын
Ni kweli. Kwetu CHANIKA mkandarasi wa ndani kidaraja kidogo tu alitumia mwaka mmoja kukijenga! Kidaraja cha miezi mitatu ama miwili, katumia mwaka miezi na nane!
@mzeewahisia9959
@mzeewahisia9959 Жыл бұрын
@@TamuzaKale ok
@mwalimumstaafu8529
@mwalimumstaafu8529 Жыл бұрын
Inasikitisha sana. Mradi mkubwa kama huu unaendeshwa kiuni. Waziri akisimama ni mbwembwe nyingi, matokeo hatuyaoni. Mama wakati umefika kuteua watu wenye uwezo sio takrima. Nimeumia sana kama mtanzania. Wakandarasi hawana uchungu na nchi hii. Mhindi amepata kazi kabla ya work permitt. Inauma sana. Tutamkumbuka JPM daima.
@isaiahisaac7240
@isaiahisaac7240 Жыл бұрын
Kuna viongozi wa kui wa mikoa na wa wilaya wapo vizur sanaa katka utendaj kazi. MUNGU awalinde na kuwapa maisha malefu.
@shupanamugala6266
@shupanamugala6266 Жыл бұрын
Baba baba tunakukumbuka sisi watoto wako
@Baba-nm4qz
@Baba-nm4qz Жыл бұрын
Mbona mradi haukuisha tangu 2020 na jpm alikuwepo?
@abdallahomary5032
@abdallahomary5032 Жыл бұрын
@@Baba-nm4qz mzee mbna kila anapotajwa JPM unaumiaaa Unataka atajwe naniii?
@shinipapaya846
@shinipapaya846 Жыл бұрын
@@Baba-nm4qz 🤣🤣 tulia BORO la Kirugulu likuingie kunako
@edwardpeter8569
@edwardpeter8569 Жыл бұрын
Lord give us another brother like JPM
@majormajomjohn3775
@majormajomjohn3775 Жыл бұрын
Only Chadema will change life of many Tanzanian, ccm to be on power is the huge crisis to the Tanzanians life
@kingtimothythegreat1622
@kingtimothythegreat1622 Жыл бұрын
@@majormajomjohn3775 chademaa matapeli labia
@RussianSoundKenya
@RussianSoundKenya Жыл бұрын
True
@jackobosabore3853
@jackobosabore3853 Жыл бұрын
🙂
@daimavlog
@daimavlog Жыл бұрын
Lord took him, he knew was toxic for our democracy may he rest forever. Tundu Lissu he is the brother we need
@chemstry409
@chemstry409 Жыл бұрын
KINYAAA, KICHEFUCHEFU AND SHEM ON YOU......RIp MAGUFULI......
@barakaothumani6421
@barakaothumani6421 Жыл бұрын
utashangaa Mongela Katenguliwa yani Nchi hii haipendi haki hata kkdogo aliependa haki Mungu alishamchukua
@angelinaeliakim4447
@angelinaeliakim4447 Жыл бұрын
R. I.P Magufuli
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Angekuwepo hayati magufuli hapo mhuuuu mungu amlaze mahali pema peponi ndiyo uhujumu uchumi huo
@emanueli2452
@emanueli2452 Жыл бұрын
Rest in peace baba😭 mam endelea kupand ndege
@khalidmohamed454
@khalidmohamed454 Жыл бұрын
acha tu ndugu, yule jamaa alisema tutamkumbuka
@rukkysayid6613
@rukkysayid6613 Жыл бұрын
Alale salama kweli maana mambo ya kijinga yanarudi hakuna hata anayeshughulika kila mtu anashughulika na lake Magufuli babaaaaa😭
@richardbegga6679
@richardbegga6679 Жыл бұрын
@@khalidmohamed454 to
@zayumar2955
@zayumar2955 Жыл бұрын
💔💔💔😭😭😭😭
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 kwakweli aendelee kupanda ndege
@edisonpeter3894
@edisonpeter3894 Жыл бұрын
Na watatudharau sana aiseeee. RIP JPM😥😥😥😥😥
@kajutiler418
@kajutiler418 Жыл бұрын
😭😭😭tanzania yangu kilakona madudu shamba la bibi
@nyandamoto1105
@nyandamoto1105 Жыл бұрын
Tutamkumbuka sana jp magu lichimondi Tena imeludi
@lengachapati3728
@lengachapati3728 Жыл бұрын
Dah Pole sana Mama angu Shuma utashinda tu mwamini Mungu
@stellah3844
@stellah3844 Жыл бұрын
Magufuli alikua anamapungufu yake lakini Tumepoteza Jembe 😭😭😭,Lakin jaman Tz inamaana hatuna wasomi Mbona wanaweza wakiaminiwa hawa Ngoz nyeupe wanatudharau sana
@faisalhassam3721
@faisalhassam3721 Жыл бұрын
Hawa ngozi nyeupe ningekuwa Rais wasingethubutu kunichezea ningewafunga na ningejua ni watu wa taifa gani ningewapiga stop wasikanyage Tanzania ningejua nchi yao huenda imewatuma watuhujumu.
@Baba-nm4qz
@Baba-nm4qz Жыл бұрын
Mbona alikuwepo 2020 na mradi ulitakiwa kuisha mwaka huo?
@fransdembe4504
@fransdembe4504 Жыл бұрын
Wapo ila kazi wanayoiweza ni kuiba tu
@abdallahomary5032
@abdallahomary5032 Жыл бұрын
@@Baba-nm4qz mzee comment yako ndo hiyo hiyo unarudia kila sehemuuu 😂😂😂😂 He is our champ na naamin siku moja tutapata kiongozi chuma kama yeye apa Tanzania na wapigaji wote watayayuka 😂
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 Жыл бұрын
Aibu tupu, eti anaupiga mwingi loo mmh. Poleni sana watanzania wenzetu.
@HassanAlJabri
@HassanAlJabri Жыл бұрын
Uchunguzii ufanyike. Kuweka ndani hivi si vizuri. Iinakuwa kosa toka mwanzo, nani kawaleta hao???. Tuponye kidonda, chanzo chake nini???
@shinipapaya846
@shinipapaya846 Жыл бұрын
Ndio mkome kubabaikia hao mnaowaona kama miungu yenu safi sana hao ndio wawekezaji wazuri tena waongezeeni mikataba 🤣🤣 RIP mzee baba Magufuli 🙏 wezio huku mbele ni mwendo wa nguo KANIKI
@benjaminsarakikya766
@benjaminsarakikya766 Жыл бұрын
RC mongela Mungu akuzidishie Sana tena Sana hekima na uzidi kutenda kwa hekima na ushujaa huo huo mkuu
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Subuhanallah. Poleni sana
@jimmythedrumer94
@jimmythedrumer94 Жыл бұрын
R.I.P Daddy Magufuli 😢😢😢this is shame this shame this is shame to this country but what i know is nothing is powerful than GOD 😢😢😢😢this is Fvkn crazy
@dj26number2
@dj26number2 Жыл бұрын
Izo ngurewe wakiziachia haki Mwalimu Nyerere ataamkaa 🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥲
@victorishengoma4599
@victorishengoma4599 Жыл бұрын
Makamba juuu
@mudykajunja4832
@mudykajunja4832 Жыл бұрын
Ongera mkuu sema anao wangusha ni mkuu wenu apo ni kazi bure tamkoka la kumtoa lipo njiani
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 Жыл бұрын
Asanteeeee mkuu wa mkoa
@georgemdoe2161
@georgemdoe2161 Жыл бұрын
Ongezeni tozo tujazie hapo tulipoibiwa mana kwetu ndipo ndpo lilipo ficho lenu. Pahala pakupozea umeme kitaifa panaenda kombo tangu mwez May viongozi wakubwa wa nchi hamtambui had kaenda RC 😭😭😭
@ahmedysaidy9874
@ahmedysaidy9874 Жыл бұрын
Rip magufuli kuleni pesa uku mtaani njaa kali taifa linahangamia mkija kushutuka somalia na Sudan inawahusu mtakuja kumbuka shuka kumeshakucha kweli mmetufanya sisi manyumbu
@emmanuelaernext1494
@emmanuelaernext1494 Жыл бұрын
Wanakamatwa na gar nzur hvii
@festoambakisye4999
@festoambakisye4999 Жыл бұрын
Hongera sana mkuu wa mkoa
@frankongete9396
@frankongete9396 Жыл бұрын
Uncle Magu wanyonge hawali na vinywa vyao. Duh inauma Sana
@imma_billy
@imma_billy Жыл бұрын
Hawa Dawa Yao Ilikuwa Uncle Magufuli. Sasa hivi wanatuchezea sana, wanajua hatuna cha kuwafanya ndo maana wanafanya dharau sana 😏😏😏
@happyhousekeeper
@happyhousekeeper Жыл бұрын
😃 natamani angekuwa Majaliwa badala ya mama mpole
@philemonmunuo9310
@philemonmunuo9310 Жыл бұрын
R.I.P Doctor Magufuli
@jamesakhabuhaya3340
@jamesakhabuhaya3340 Жыл бұрын
Magu rest in peace we miss youuuu...miradi haita Isha kabisaaaaa........
@francomkandawile8572
@francomkandawile8572 Жыл бұрын
Jamani jamani mbona hii ni dharau kubwa kwa nchi yetu, mbona huu ni ujinga mkubwa sana. Viongozi wetu simamieni weledi wa kazi zenu msisubili Mungu aingilie kati. Inauma kuona watanzania wenzetu wanahangaika kupata stahiki zao.
@denisrukangula2227
@denisrukangula2227 Жыл бұрын
Inafika mahali MTU ungekuwa Mungu Yehova. Ili umfufue Mwl Nyerere na Moringa sokoine na Dr Magufuli aje aione nchi inavyo chezewa.
@phbtonny4096
@phbtonny4096 Жыл бұрын
Taifa linazid angukiwa na vitu vizito baba nakumbuka msemo wako uku ukila muhindi kuwa mimi ni mtumishi wenu namini mutanikumbuka 😢
@johngyunda3094
@johngyunda3094 Жыл бұрын
This is how Tanzania goes on
@floranceluqman2951
@floranceluqman2951 Жыл бұрын
Kunawatu walizeeka hatare ila kwa sasa wamerudi kuwa vujana tena wamenenepa hatare.Mungu atusaidie
@storytownTv
@storytownTv Жыл бұрын
I really miss uncle MAGU 🙄😔😔 Legendz die young
@UzalendoNaUtu
@UzalendoNaUtu Жыл бұрын
Safi sanaaaa Mongela, kumbe bado kuna watu wenye uwezo wa kufatilia vitu
@maulidndunda6965
@maulidndunda6965 Жыл бұрын
Mkuuu wa mkoabna kupongeza Sana kwailo hata mgao wai WA umeme Kwa Arusha maeneo ya kijenge juu na kimandolu unakatika katika Sana bila mpangilio mtusaidie kwailo
@princehancesam9892
@princehancesam9892 Жыл бұрын
Nimemkumbuka magufuri
@bakarmsangi963
@bakarmsangi963 Жыл бұрын
Tanecko majingaa sanaa yanaona tatizo halafu yako kimya wakati nchii niyao alafu hilo limenejaa yani hongera mkuu wa mkoa ila fatiliaa kuna madudu Kama hayaa mengitu ndani ya mkoa hajazunguka sasa nchi nzima mbona hatumwenzi magufuli vizuri au mlimchukuli poa kipindiii kilee
@jacksonmartin8485
@jacksonmartin8485 Жыл бұрын
Yani huyo meneja nae fukuza ajielewi kabisa
@tinayotham9035
@tinayotham9035 Жыл бұрын
God have mercy on us Waajiriwa wanasauti zaidi ya boss! Tunahujumiwa tukiangalia!!
@jeffkonki8279
@jeffkonki8279 Жыл бұрын
Hongera mama na waziri wako makamba mnaupiga mwingi hii ndio tz ya leo na wanataka kusifiwa mda wote ukisimama kukemea unaonekana ni mpumbavu na mjinga wa hali ya juu si jui tumerogwa na nani daaah
@eliyakinyaiya
@eliyakinyaiya Жыл бұрын
Hapo kunapesa tiali zimeshaliwa na huu mwaka 2022 na 2023 tutaona mengi sánå
@khalidmohamed454
@khalidmohamed454 Жыл бұрын
acha tu
@eliyakinyaiya
@eliyakinyaiya Жыл бұрын
@@khalidmohamed454 kipindi hiki ni chakupiga pesa tu hakuna chengine
@hajiissa9200
@hajiissa9200 Жыл бұрын
Mkuu wa mkoa hongera sana . Daaa wazir wa nishati yupo lakin
@epafrangweshemi4014
@epafrangweshemi4014 Жыл бұрын
Hivi watanzania tutatesana hadi lini? Ukifiatilia Kuna mtu anashikilia malipo kinyume cha utaratibu ili apewe mzigo na huu ni utaratibu wa wenye dhamana wengi ktk miradi nchini. Rushwa, Udhalimu na uonevu pia ugandamizaji ni mwingi. Ikitokea mkuu wa wizara husika so mtu wa kujali watu wa chini ndio watu hubaki wanalialia hivyo na kukumbuka wahenga. Hatarii! Tunaomba mhe. mama Samia, tafuta wateule wazalendo ili kazi iendelee kwa kasi na ufanisi.
@eliezaseme1674
@eliezaseme1674 Жыл бұрын
Nzuri hiyo
@rabsonased7106
@rabsonased7106 Жыл бұрын
Safi mkuu wa mkoa kwa uwamuzi mzuri
@haibreus2005
@haibreus2005 Жыл бұрын
Ukifuatilia ndani zaidi utagundua Tanesco amezingua payments. Hii miradi inakwenda na pesa tu hata ikisimama ni juu ya pesa tu.
@silver0707
@silver0707 Жыл бұрын
Rest easy Magu
@uthmanmaluja7005
@uthmanmaluja7005 10 ай бұрын
Kiingereze chenyewe mkuu wa mkoa hajui Kuna kazi kweli hapo..
@abuunasfar6016
@abuunasfar6016 Жыл бұрын
Kiongozi yoyote aliyepewa dhamana ya mkoa au wilaya, au dhamana yoyote hapa nchini ni lazima asimamie haki za watanzania kwa ufahasa otherwise tutakuwa tunaishi katika hali ya ukoloni au ujima ndani ya ndan ya nchi yetu, kesi hizi ni nyngi sana katika project zinazoendelea hapa nchini
@user-ut3gf1tg2n
@user-ut3gf1tg2n 6 ай бұрын
Huu mradi n hatar sana 😢😢 shida wakandarasi hawasemi ukweli wao wanasumbuliwa na hao hao watanzania mpaka mkandarasi anachoka
@wilfredmmbando689
@wilfredmmbando689 Жыл бұрын
Ok
@naomiphilipojohn2940
@naomiphilipojohn2940 Жыл бұрын
tutamkumbuka milele john p
@fbfabien4709
@fbfabien4709 Жыл бұрын
tanzania hooooooooo mburekabisa
@rahimshoki208
@rahimshoki208 Жыл бұрын
Hatari sana ..............
@banguha
@banguha Жыл бұрын
Yani hii dhalau aliyoonyesha uyu mzungu nimesikia hasira utadhani ni mimi ivi uncle Magu angekuwepo wangeweza kujibu hivi kwa dhalau uwiii Baba rest in peace yani leo leo wangepanda ndege kulud kwao yule jamaaa alikuwa na maamuz ya kishujaa hakuna mwingine Tz kwishaa
@diomedesmtayoba4016
@diomedesmtayoba4016 Жыл бұрын
Kila mda tunakatiwa umeme ingali kuna watu wanatuchezea, upuuzi huu s wa kuvumilia hata kidogo tanesco hapo arusha ni jipu, Eeh Mungu mbariki mama Tanzania
@Shakazulu1
@Shakazulu1 Жыл бұрын
That white European with glasses knows all the answers
@ericksagara1719
@ericksagara1719 Жыл бұрын
SPK, si ajabu ni kigogo mmoja wa CCM. Ndio maana hili limeisha. TANESCO wanajua kinachelea, ndio maana wanajitafuna. Pia hawa watu wanachelewesha maksudi maana wanajua TZ kwa sasa umeme hatuna.RIP JPM
@johnwilliam2013
@johnwilliam2013 Жыл бұрын
Waziri yuko wapi?
@abednego3876
@abednego3876 Жыл бұрын
SAFI SANA NA BADO, , ADI AKILI ZA WATZ ZIAMKE MANINA
@yasiniyamamoto8174
@yasiniyamamoto8174 Жыл бұрын
JPM mfalme wetu tunamuomba mwenyezi Mungu akufufue,mkuu Wa mkoa ni mzalendo atakuwa raisi mwenyezi Mungu akulinde jembe letu mongela.
@yonajoseph
@yonajoseph Жыл бұрын
Ulishaambiwa nendeni mkazikwe nae!
@aayanayo8800
@aayanayo8800 Жыл бұрын
Hela yetu inachezewa sana jamani. Mungu isaidie nchi yangu Tanzania
@liannsambu7264
@liannsambu7264 Жыл бұрын
But hapo MUNGU alishafanya kila kitu shida ni sisi wenyewe ndo hatujitambui , Ata mtoto wa darasa la kwanza ambaye anauelewa hawezi kufanya hivyo , Kuna changamoto kubwa sana kwetu kukosa uzalendo na watu hawawajibiki sijajua WANAJISIKIAJE KUONA KILA SIKU NI MAJANGA , UTAKUTA HAPO HUYO KIONGOZI ANAANGAIKA KUWAPELEKA NDANI KUMBE BYUMA YA PAZIA ANAZUNGUKWA TENA ,YANI NI SHIDA TUKIIKATAA RUSHWA NA WATOTO WAKE WOTE NCHI HII ITAPONA LAKINI HII YA KUBEBANA BEBANA HATARI SANA
@richardburengengwa6998
@richardburengengwa6998 Жыл бұрын
Ooooo africa magufuli akiangalia haya kwakweli anaumia Sana, kushindwa kuendelea chenye mzee aliwaanzia noma Sana ooooo africa
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 41 МЛН
Викторина от МАМЫ 🆘 | WICSUR #shorts
00:58
Бискас
Рет қаралды 6 МЛН
Doing This Instead Of Studying.. 😳
00:12
Jojo Sim
Рет қаралды 29 МЛН
Harley Quinn lost the Joker forever!!!#Harley Quinn #joker
00:19
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 20 МЛН
VITUKO VYA MUGABE NI AIBU NA USHUJAA !!!
15:21
Wasafi Media
Рет қаралды 801 М.
Wanamwabudu Nani? By Pastor Faustin Munishi
6:25
Munishi TV
Рет қаралды 6 МЛН
ROASTING NDARO VS LEONARDO BONGO MOVIE VS BONGO FLEVA
23:04
Cheka tu
Рет қаралды 719 М.
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 41 МЛН