Al-Hatimy Amrekebisha Khatibu wa Vetenary Kwa Kusema "Mtume Muhammad S.A.W Hanufaishi wala Hadhuru".

  Рет қаралды 93,041

Ahlusunnah Wal-Jama'a

8 жыл бұрын

La Haula Wala Kuwwata Illa Billah! Leo kwatokea Mtu tena Katika Madaa'i na kutowa matamshi yasio na Heshima wala Adabu Juu ya Mtume Muhammad S.A.W Bila ya Kujali, tena akiwa Juu ya Mimbari ya Mtume Muhammad S.A.W.

Пікірлер: 120
@ismailchilonga2878
@ismailchilonga2878 4 жыл бұрын
Kishki napenda ila Huyu sheikh yupo sawa hana makosa yupo sahihi kabisa mwenyezi mungu amzidishie imani
@aishamalaki1352
@aishamalaki1352 6 жыл бұрын
ALHAMDULILLAH ALLAH akujaalie Sheikh Hatimy maisha marefu yenye kheri ili uwasomeshe nawengine zaidi maana haoulio wasomesha wameanza kusoma sasa INSHAALLAH ALLAH atawabadilisha wajuwe vizuri dini yao
@ramadhanwilbard4685
@ramadhanwilbard4685 4 жыл бұрын
Mimi nadhani Shekh Kishiki alitaka kutuambia ya kwamba Mwenyezi mungu ndiye namba 1 na kila kiumbe kinamsujudia yeye tu na Mtume wetu Mohamedi naye katoka kwake na sisi tunamuheshimu katika imani yetu ya Uislamu Mtume wetu lakini hatumsujudii kama mwenyezi mungu mm kwangu naona Kishiki yuko sawa!
@tiffahbby3697
@tiffahbby3697 5 жыл бұрын
SubuanaAllah,, AstaghfiruAllah AstaghfiruAllah ewe mollah wetu tusamehee na utuweke ktk njia iliyo ya kheir
@binmwerionlinetv1256
@binmwerionlinetv1256 4 жыл бұрын
Wallah elimu ni bahari allah atunufaishe kwa elimu za maulamaa wetu
@nganzirashidi1463
@nganzirashidi1463 6 жыл бұрын
Huyu Sheikh mm nimemuelewa na ninamkubali sana
@abdulsanz7885
@abdulsanz7885 5 жыл бұрын
uyu kishki atatuponza... asante Al Hatim kwa kumkosoa kiakili... Kishki usiwe na Kibri... Kafiri mwenyew hawez kusema ati Mtume hanufaishi wala hadhuru ww umepata wap jeur hii
@jaafaralsadiqchannel1906
@jaafaralsadiqchannel1906 8 жыл бұрын
احسن الله علينا و على المسلمين. و لنعلم ان هذه امتنا امة واحدة فرويدكم رويدكم
@swafiamohammed1708
@swafiamohammed1708 5 жыл бұрын
Allah akukuhifadhi Sheikh Al hadi
@AhlusunnahWalJamaa
@AhlusunnahWalJamaa 5 жыл бұрын
Ameen
@burhanhaji769
@burhanhaji769 6 жыл бұрын
"Na wala hatukuwatuma katka mitume (tuliowatuma), ispokuwa in lugha ya watu wake ili kuweza kuwabainishia(Haki)....QUR-AN 14:3, kwa mujib wa aya hii, imamu WA veterani yupo sahihi kutoa khutba kwa lugha ya watu anaowafikishia ujumbe.
@arqamibnarqam.7185
@arqamibnarqam.7185 4 жыл бұрын
Alhatimi your right.May Allah bless you.
@ustazzaghawiyustazzaghawiy7246
@ustazzaghawiyustazzaghawiy7246 6 жыл бұрын
ALLAAH AKUHIFADHI NA SHARI ZA MAHAASIDI
@user-tl2jz5wg2p
@user-tl2jz5wg2p 5 жыл бұрын
قال تعالى:فماذا بعد الحق إلا الضلالة..سورة يونس
@semenimtoka1121
@semenimtoka1121 4 жыл бұрын
Wallah shekh unaelimu kubwa sanaa lkn msipende kurekebshqn mtandaon mungu akuhifadh al hatimy
@AhmedMohamed-hc6pp
@AhmedMohamed-hc6pp 8 жыл бұрын
Subhan'Allah! what a beautiful reply. I hope you may reply to more of such sheiks INSH'ALLAH
@rahmaabid447
@rahmaabid447 4 жыл бұрын
Mbona unapenda kumkosoa mwenzako....Au unataka umaarufu...
@shekhally5741
@shekhally5741 3 жыл бұрын
Maashaallh! Allh akujaalie kheri na ziada ktk elimu yako inshaallah.
@osmanhazard6103
@osmanhazard6103 3 жыл бұрын
Amiin
@asiaissa976
@asiaissa976 3 жыл бұрын
صلى الله عليه وسلم
@rukiasalim1834
@rukiasalim1834 7 жыл бұрын
Kuwa na Elim ni raha sana
@UNO-xt7we
@UNO-xt7we 4 жыл бұрын
يُؤْتِي الْحِكْمَةَ مَن يَشَاءُ ۚ وَمَن يُؤْتَ الْحِكْمَةَ فَقَدْ أُوتِيَ خَيْرًا كَثِيرًا ۗ وَمَا يَذَّكَّرُ إِلَّا أُولُو الْأَلْبَابِ (269)
@hassanowgennogenno5740
@hassanowgennogenno5740 5 жыл бұрын
tunaomba masheikhe wetu wa ahlusunna watembee kote kufahamisha wengi waliopotezwa .wallahi wengi hawafahamu dini
@mohamadbakar7203
@mohamadbakar7203 3 жыл бұрын
mashalaa
@maryamoman5926
@maryamoman5926 5 жыл бұрын
Aallah akuhifadhi nudin
@mohamedseph9379
@mohamedseph9379 6 жыл бұрын
Sheikh Al - Hatimy achana na babu wa vetinari ss tunamjuwa kama mfanya biashara tu
@KO-gi3gp
@KO-gi3gp 2 жыл бұрын
آللهم افضل سلام عليه ♥️🤲🏽
@jumasalum5769
@jumasalum5769 4 жыл бұрын
Dah! Sheikh wangu #Al_Khatimy hiv nifanye nn ili nipate kuonana na wew live me niko Mwanza Tanzania Sheikh maana naham sana ya kukuona
@maryamoman5926
@maryamoman5926 5 жыл бұрын
Subhanaallah
@alhajrialhajri4026
@alhajrialhajri4026 3 жыл бұрын
Kama kishki kakosea kamkosowe mwenyewe mkiwa wawili sio mitandaoni hii tabia haifae kwa mashekh kama nyinyi
@yusufumpepo5836
@yusufumpepo5836 5 жыл бұрын
tatizo hupinga vitu bila kuvielewa katika branch zote lugha ya kiarabu.
@medymtoro7403
@medymtoro7403 3 жыл бұрын
Naaaaam shekhe umezungumza ki ilmu
@rachelevarist70
@rachelevarist70 4 жыл бұрын
Mimi napenda mauridi sana maana yametutoa mbali yametujenga kushkamana yalituonganisha kiukweli mtu anayepinga mauridi huyo ana ajenda yake
@rc4370
@rc4370 4 жыл бұрын
Inshaa lah waislam kumbukeni kujenga hospitali na vyuo vya Kati ufundi na vyuo vikuu
@omaryhaytham6567
@omaryhaytham6567 7 жыл бұрын
kishk amefeli sana hapo awezi kutoa mfano dhalili km huo..... msiba huu
@slamecktz
@slamecktz 8 жыл бұрын
Shekh AL-Hatimy Mwenyezi Mungu akuongezee umri mrefu na akuongezee hekima uendeleee kuitangaza dini ya haki ya Mwenyezi Mungu.
@alimaalima6016
@alimaalima6016 6 жыл бұрын
Subhana Allah
@RekhaRekha-es8br
@RekhaRekha-es8br 5 жыл бұрын
MASHA LLAH shekh wetu
@mbaroukznz2331
@mbaroukznz2331 5 жыл бұрын
Sheikh kishiki soma kwanza hayo maneno sio ya nahau fikiria kwanza kabla kuropoka . uwahabi utakuponza.
@kijeshiabdalla6316
@kijeshiabdalla6316 3 жыл бұрын
Kupitia haya, hivyo waislam tunapaswa kutafuta elimu popote pale ili kuufahamu vizuri uislamu.
@mugabekazimiriam6693
@mugabekazimiriam6693 3 жыл бұрын
shekh mimi kwa maoni yangu mimi huyu kishki ni muwahab wale mashekh ambao wanakuja kuuvunja uislam sababu wote wanakuja na sauti yao
@salehpandu2250
@salehpandu2250 3 жыл бұрын
Salam amakweli kuwa mwarabu sio kujua tafsiri ya kur - ani imedhihirika kishk hanahamu tuwe makini nae
@tajireco
@tajireco 5 жыл бұрын
Naomba kujua jina la kasida iliyopo kwenye CD ya majibu anayotoa sheikh Alhady
@nccmndnd8065
@nccmndnd8065 7 жыл бұрын
kweli yako
@abdulhalimmohamed3643
@abdulhalimmohamed3643 6 жыл бұрын
Kishki ıkiwa Allah subhanahu wataalaa na malaikat wake wameswalia mtu sallAllahu alayhi wasallam je sisi tunaweza kumpandisha deraja kuu zaidi?
@haleemasulthan4894
@haleemasulthan4894 4 жыл бұрын
Kishik yupo sahii sana
@bintshariffmuhammad620
@bintshariffmuhammad620 3 жыл бұрын
ALLAHUMMA SWALI WASALIM ALAYH
@sulimounsulimoun699
@sulimounsulimoun699 8 жыл бұрын
Mgema akisifiliwa tembo huitilia maji Ndivyo kisshki
@zainabudave1799
@zainabudave1799 4 жыл бұрын
ALLAHU AKBARU
@tiffahbby3697
@tiffahbby3697 5 жыл бұрын
Asallama Allayku Sheikh Alhatimy naomba namba yko kakangu
@asiaissa976
@asiaissa976 3 жыл бұрын
وعليكم السلام ورحمةالله وبركاته
@fetysukafetysuka9056
@fetysukafetysuka9056 3 жыл бұрын
Shekhe Allah akuongoz maana wewe huna unalolijua zaidi yakukosoa wenzio
@minaminaa1669
@minaminaa1669 6 жыл бұрын
MashaAllah kwa elimu yako
@mugabekazimiriam6693
@mugabekazimiriam6693 3 жыл бұрын
mazuri mazuri yaku laghaii watou na vuarabu vingi sana basi sisi ma amuma tukisikia viarabu vingi basi tuna sema huyo ni shekh mkuuu kbs
@abdulrahmanbakar5416
@abdulrahmanbakar5416 8 жыл бұрын
dah kusoma ni muhimu sanaa
@noffelsalim830
@noffelsalim830 2 жыл бұрын
Kishki anapotosha tu
@docdicha1131
@docdicha1131 4 жыл бұрын
Iman yangu ktk Islam mwanzo wake ni maisha tu ya mtume (S. A. W). Watu hawaelewi point kubwa ktk jambo hili vijana wangapi wame dhurika na wasanii? Na wangapi wame pata Imaan kutokana na watu wema? Allah atulinde sote.
@user-ql2om7qj3v
@user-ql2om7qj3v 4 жыл бұрын
Kishki uko sawa kabisa
@mfaumeatimwanga9227
@mfaumeatimwanga9227 5 жыл бұрын
sijuwi kama unahabari kama huku mitaani yamepungua kiasi kikubwa. watu hawana mpango nayo.pole sana shekhe
@lolooman9170
@lolooman9170 4 жыл бұрын
Mtume Muhamad kapata wahay kwa Allah na yeye anamtegemea Allah jalajalal
@bashmargasalmy225
@bashmargasalmy225 8 жыл бұрын
kishki sifa tuu mmh hatari Subhallah
@saidzainabomar1650
@saidzainabomar1650 2 жыл бұрын
TAKBIR
@twaibungwira8843
@twaibungwira8843 6 жыл бұрын
Bismillah rahman rahim,Hivi waislam tunaenda wapi mbona kila kukicha ni kukosoana tu ,Yaani waislam wa zama hizi baada ya kuungana ili kuusambaratisha ukafili,wao wanafitiniana wenyewe kwa wenyewe,Jamani waislam tuungane siyo kufehezesheana haifai tumwogope mungu,mambo ya kuwahusia waumini yako mengi nyinyi mmeacha kuamrishana kazi kupondana tu,waislam tuwe kitu kimoja kama mtu amekosea zipo taratibu siyo tuchafuane mitandaoni sio vyema hivyo
@bdulkadirmahsen1826
@bdulkadirmahsen1826 8 жыл бұрын
kishki mbona hujui kupima maji na unga wafananisha mtume mtukufu na rais wa tanzania
@mannuhussein1601
@mannuhussein1601 8 жыл бұрын
😠
@alhabibismail3031
@alhabibismail3031 4 жыл бұрын
Alafu sioni haja ya kukusoana huku, uislamu hauna sfa izi..tujarbu kufanya vtu vnavyoleta umoja kuliko kutukosanisha Inshallah
@rachelevarist70
@rachelevarist70 4 жыл бұрын
Kishk usitake kilakitu unakijua sio vizuri usilazimishe watu wote tuwe wahabia sio siri wahabia nawachukia sana mmekuja kutuvurugia dini
@yassiralbajun5065
@yassiralbajun5065 4 жыл бұрын
Husda sio jambo zuri hata kidogo
@swafiamohammed1708
@swafiamohammed1708 5 жыл бұрын
Astaghfirullaaah! Kishk salaaaala yaonekana una chuki na mtumi wetu Muhammad SALALLAHU ALAYHI WASALLAM mpk wamlinganisha na raisi? Ati Mtume hadhuru wala hanufaishi! Inna lillah wa inna ilayhi rajiun
@chrisbrown9657
@chrisbrown9657 4 жыл бұрын
Nam sheh Sisi tuko comoro wahabi wanatuharibia mambo mengi
@asiamsellem9562
@asiamsellem9562 7 жыл бұрын
kama mtume ananufaisha kwann asimnufaishe ami yke na yy mwnyw kwni alikua akishinda na njaa baadhi ya C ku.na kudhuru mbona hakuweza kuwadhuru waliokua wakimkera na kukusidia hadi kumuua. nani mwny uezo huo thn actumie uwezo wake
@abuuabdulrahmanhafidh8443
@abuuabdulrahmanhafidh8443 8 жыл бұрын
qul inni laa amliku dhwarran wala rashada
@saidbakhlaaofficialchannel3950
@saidbakhlaaofficialchannel3950 3 жыл бұрын
Hiko kishehe kishki kina matatizo ya ubongo.
@nooraallahuakibarumwenyeez3079
@nooraallahuakibarumwenyeez3079 3 жыл бұрын
Hhhhhhh
@abdulkarim7856
@abdulkarim7856 7 жыл бұрын
طيب: العلم اولي من مواقف
@mohammedhamad9392
@mohammedhamad9392 4 жыл бұрын
Swadakata
@mbossowcb1915
@mbossowcb1915 4 жыл бұрын
Kishk hana ilim ndio sababu kila aongealo anakosolewa
@ismailiidarusi132
@ismailiidarusi132 5 жыл бұрын
nimesoma zote ila comment ya asia mselem ndiyo kaongea kweli
@abuuabdulrahmanhafidh8443
@abuuabdulrahmanhafidh8443 8 жыл бұрын
sheikh kishki allah amhifadhi na aelewe na aikubali manhaj iliyosalimika na bidaa na shirki
@saidalsalmi9313
@saidalsalmi9313 2 жыл бұрын
Kishk akasome asipotoshe watu
@amohamed6948
@amohamed6948 8 жыл бұрын
Alhamdulillah Sh Kishki amesharekebishwa katika kuwakufurisha wengi wanaopenda kuisoma wasila Shafi. Kwa hivyo ilo baki aje mbele ya mimbar aombe msamaha siye nyie.. Ikiwa hawezi basi asiengilie mambo ya mizozo kwani yaonekana ya kuwa Shaikh Al Hady hayupo tayari kumuacha apumuwe. Wapenzi wa Kishki nothing personal. Take it easy and see where truth lies,
@seifpandu9051
@seifpandu9051 6 жыл бұрын
Lau wakusanyike watu wote ili wakunufaishe mpaka mtume awemo hawatakunufaisha isipokuwa alilolipanga Allah na wakikaa kukudhuru pia hawatakudhuru ila alilolipanga Allah. Naona kama hapa pana shirki mtume hajuwi kinachoendelea duniani kafa kama waliokufa wengine
@kenyanforever260
@kenyanforever260 5 жыл бұрын
Allah awastiri mashekhe nyote wawili bali watu hawarekebishani kwa mavideo Hio ni riyaa. Kama kweli mnataka kurekebishana ni muitane mupange cha rekebishana sio kwa mavideo...
@mohagurey2214
@mohagurey2214 3 жыл бұрын
The heading looks nice but there is nothing he corrects but just make a comedy
@thabitikioza6727
@thabitikioza6727 4 жыл бұрын
Kama yupo serious akutane na wahusika ana kwa ana wafanye mdahalo
@abusufyan2952
@abusufyan2952 4 жыл бұрын
Munashindana ama
@eliasamudiki9794
@eliasamudiki9794 7 жыл бұрын
kishki rudi kasome brother.tabu yenu mnaabudu mishahara
@thabitikioza6727
@thabitikioza6727 4 жыл бұрын
Msidhani kama anabishana na shk ana kwa ana bali yeye na cd
@jabirimabada3967
@jabirimabada3967 6 жыл бұрын
Nakuomba nakuomba kishki kasome upya maana huna lolote nisauti tuu kinanda
@alishariff8657
@alishariff8657 5 жыл бұрын
Kishki ni celebrity sio sheikh hata kua bahati mbaya.
@Skomi-0nedayyes
@Skomi-0nedayyes 3 жыл бұрын
Kwa upande wa maurid shekhe Kishk yuko sahihi. Kuna qasda haramu kabisa na nmewahi kuskia kwa mashekhe pakstan, ndomana wengine awapendi kabisa madufu yenu ni mangoma huwezi msherekea Muhammad aliyakua hata sunna ya ndevu mtu hana wanaimba qasda za vijembe nawana dancing hakika ni bidaa kubwa na maaswiya.
@twayibmood7319
@twayibmood7319 4 жыл бұрын
Kishki yupo sawa sawa Anae weza kuzuru na kunufaisha ni mmoja tu Allah s w
@Platnumz11
@Platnumz11 4 жыл бұрын
Jamani mtume hawezi kuzuru ila ni Allah tu
@mohammedhamad9392
@mohammedhamad9392 4 жыл бұрын
Mapambano nani zaid Mie nixhamjua astaghfllah
@user-tl2jz5wg2p
@user-tl2jz5wg2p 5 жыл бұрын
من أحدث في أمرنا هذا ماليس منه فهورد
@alikaisaak3771
@alikaisaak3771 6 жыл бұрын
Never judge someone in public if u see ur correct tell him in private not public
@salehkhamis9978
@salehkhamis9978 5 жыл бұрын
sheikh kishki upo sawa endelea kuelimisha jamii
@awadhhadi446
@awadhhadi446 4 жыл бұрын
Huyu kishki anajifanya ana ilmu sana kumbe hana k2
@sharifmuadham2454
@sharifmuadham2454 6 жыл бұрын
wehunslolote. unaonekana km.unaupinzani.na (kishki
@madarakambegu4977
@madarakambegu4977 5 жыл бұрын
shekh umesoma lakini elim yako hauna elim nayo waislam wanarekebishana sio kukosoana mitandaoni
@OmarOmar-jh8sq
@OmarOmar-jh8sq 5 жыл бұрын
Zako n chuki tu na kishki wala si kitu nyingine ju ata kama ingekua io kukosoa lkn ungetumia lugha ambayo yaonyesha kukosoa lkn ww watumia kejeli ,,,,,Hakika ya Allah ndie hakimu mkuu kati ya wewe na huyo kishki na walimwengu woote kwa ujumla na kila mmoja Allah anamjua nia yake vyema
@khadijahussein692
@khadijahussein692 6 жыл бұрын
Acha izo shekh mbona unakata hiyo CD, sababu kitu najua mm ni kuwa Sheikh Nurdin anapoanza khutba lazima amsifu Nabii Mohammad (S. A. W) kwa sifa zinazo stahiki acha kusema hivo
@AliMohamed-xy3hz
@AliMohamed-xy3hz 8 жыл бұрын
Asataghfirullah! Astaghfirullah! Astaghfirullah!!!... Ah!!! Sasa Mashia wana afadhali kuliko hawa Mawahabi? Mashia hukejeli baadhi ya Maswahaba wa Mtume, Huyu Kishki humkejeli Mtume wetu hasaa!!! ??? Ah!!! Mimi Bado siamini masikio yangu.... Twawatafuta Makhawarij na nihawahawa kumbe? Makhawarij walitumia Ayah za Mungu na Kumuua Sayyidna Ali na sasa leo watowa Ayah za Mungu kumkejeli Mtume??? Dah!!!
@omaryhaytham6567
@omaryhaytham6567 7 жыл бұрын
kishk km mashia vile
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 57 МЛН
Gym belt !! 😂😂  @kauermtt
00:10
Tibo InShape
Рет қаралды 17 МЛН
لقد سرقت حلوى القطن بشكل خفي لأصنع مصاصة🤫😎
00:33
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 17 МЛН
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 44 МЛН
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 57 МЛН