AHMED ALLY ATANGAZA VITA NA YANGA KISA MAYELE/AFICHUA MAZITO TUSIYOYAJUA YANAYOENDELEA.

  Рет қаралды 415,739

Bwigane TV

5 ай бұрын

simbasc #yangatv #yanga #yangasc #yangasc1935 #afcon #kochamkuu. #kocha #kochawasimba #benchikha #simba #manara #dullamakabila #zaylisa #trending #trendingstories #entertainment #burudani #mapinduzi #mapinduzicup #yanga #soka #live #mlandegefc #simba #ahmedally #allykamwe #azamfc #usajili #simba #yanga #soka #live #ahmedally #azamfc #chama #usajili #mayele #allykamwe #simba #yanga #soka #live #ahmedally #azamfc #chama #usajili #mayele #allykamwe #simba #yanga #live #soka #yangasc #simbasc #simba #yanga #soka #live #ahmedally #allykamwe #azamfc #chama #usajili #mayele #baleke #usajilimpya #kocha #kochampya #simba #soka #yanga #ahmedally #allykamwe #simbasc #yangatv #yanga #yangasc #yangasc1935 #yangabeauty #yangampya #yangascbingwaupdates #yanga #simbanguvumoja #simbasctanzania #simbaday #simbaraha #simba #simbanagpal #azamsports2 #azamtv #azamsports1hd #azamfc #wasafimedia #wasafitv #simbasportsclub #simbar #simbaapp #simbasupercup #thisissimba #WenyeNchi #nguvumoja #daimambele #smallyoutuber #youtubegaming #indianyoutuber #newyoutuber #youtubemusic #youtuberindonesia #youtubekids #youtubeitalia #youtubeuse #youtubeindia #youtubelife #youtubersbrasil #beautyyoutuber #youtubegamer #youtubebrasil #youtuberp #youtubetürkiye #youtubetürkiye #youtubeblogger #youtuberewind #youtubecommunity #youtubefamily #youtubeblack #jualviewyoutube #smallyoutubers #sub4subyoutube #youtuber #youtubetürkiye #yanga #simba #beautyyoutuber #indianyoutuber #jualviewyoutube #newyoutuber #nguvumoja #simbasc #simbasctanzania #tanzania #taifastars #tff #maroc #morocco #wcqualifiers #caf #soka #cafcl #kochampya #kochawasimba #robertinho #tabulele #simba #soka #yanga #live #ahmedally #chama #allykamwe #azamfc #mayele #usajili #kochampya #kochawasimba #simba #yanga #simbasc #yangasc #soka #nbcpl #kariakooderby #simba #yanga #soka #bwiganetv#bwiganetv #bwiganetv #tpa #sokaletu #bandari #simba #yanga #allykamwe #live #ahmedally #azamfc #chama #mayele #soka #usajili #bwiganetv #soka #tpa #interports #bandari #yanga #yangasc #kochawayanga #mechiyaleo #yangavsazam #magoliyote #azizki #simba #azizki #hattrick #yangavsazam #matchday #mechiyaleo #soka #sokaletu #nbcpl #simba #simbasc #yangasc #azam #azamfc #tpmazembe #esperança #esperance #tpmazembevsesperance #yanga #yangavsazam #yangasc #azamfc #afl #simba #simba #harrmonize #soka #ahmedallySimba SC #simba #afl #simbavsalahly #alahly #wataniwajadi #watani #simbanayanga #simba #yanga #simbasc #yangasc #ahmedally #allykamwe #sokaletu #afrika #afl #alahly #live #soka #simba #chama #yanga #ahmedally #afl #africanfootball ##allykamwe #azamfc #mayele #usajili #simba #live #soka #yanga #afl #afcon #drooyaafcon #ahmedally #barakampenja #upete #azamtv #live #chama #soka #simba #yanga #ahmedally #afl #allykamwe #live #soka #simba #simbasc #sokaletu #mechiyaleo #highlights #magoliyote #matchday #yanga #yangasc ##chama #ahmedally #allykamwe #bwiganetv#simba#yanga#live #tff #mechiyaleo #matchday #uefa #ahmedally #simba #yanga #live #allykamwe #usajili #soka #chama #azamfc #mayele #simbavscoastalunion #juakali #siasa #trending #raissamiasuluhuhassan #ccm #sokaletu #sports #ucl #uel #uefa #caf #cafcl #uefachampionsleague #europaleague #liverpool #bayern #bayernmunich #barcelona #joãofélix #namungo #ihefu #saido #baleke #kibu #chama #championsleague #sopu #job #azamfc #bocco #mechi #mzaramo #mgunda #robertinho #kocha #kochampya #kochamkuu #psl #zamalek #pyramid #mayele #psl8 #livescore #matchday #coastalunion #dida #kaze #kagerasugar #mashujaa #efm #wasafi #wasafifestival #muzikiunaongea #wasafitv #mpenjatv #ayomatv #ayotv #millardayo #clouds #rfa #cafclcc #totalenergies #taifastars #tff #pacome #maxi #maxiday #botolapro #jupilerpro #global #mamelodi #tbt #globaltv #throwbackthursday #throwback #feisal #azamtv #mwananchi #live #allykamwe #live #soka #simba #ahmedally #usajili #yanga #mayele #azamfc #chama #live #allykamwe #soka #usajili #yanga #ahmedally #azamfc #mayele #simba #chama #live #soka #azamfc #ahmedally #simba #usajili #yanga #allykamwe #mayele #chama #live #soka #ahmedally #simba #allykamwe #yanga #usajili #chama #caf #cafcl #cafclcc #afcon #soka #live #tff #afcon #caf #sokaletu #taifastars #mayele #ahmedally #allykamwe #live #simba #soka #usajili #yanga #chama #azamfc #live #allykamwe #simba #ahmedally #usajili #yanga #mayele #soka #azamfc #chama #live #simba #yanga #chama #allykamwe #ahmedally #azamfc #soka #usajili #live #simba #yanga #ahmedally #allykamwe #usajili #soka #mayele #azamfc #chama #chemalone #ajali #simba #yanga #usajili #ahmedally #soka #azamfc #goddyyanga #mzaramo #bungenileo #tanzania #israel #palestine #mechiyaleo #matchday #uefa #ahmedally #simba #yanga #live #allykamwe #usajili #soka #chama #azamfc #mayele #msuva #taifastars #simbavscoastalunion #juakali #siasa #trending #raissamiasuluhuhassan #ccm #sokaletu #sports #ucl #uel #uefa #caf #cafcl #uefachampionsleague #europaleague #liverpool #bayern #bayernmunich #barcelona #joãofélix #namungo #ihefu #saido #

Пікірлер: 951
@allymwashambwa5920
@allymwashambwa5920 5 ай бұрын
mungu akubariki sana semaji 😂😂😂😂
@user-lh6yf6rz1c
@user-lh6yf6rz1c 5 ай бұрын
Huwez kumng'ang'ania mtu kam umemtolea posa❤❤❤
@user-tf9cf1rz8o
@user-tf9cf1rz8o 2 күн бұрын
Nikweli fei yupo simba na mayele au naota naipenda simba inje na ndani❤❤❤
@PauloMlumbi
@PauloMlumbi 3 сағат бұрын
Waambie ishi na taaluma yako semaji leetu unaijua Tim yako❤❤❤❤❤❤❤❤🎉❤❤❤❤sana
@hawarashidi
@hawarashidi 5 ай бұрын
Ni kweli kabisa semaji langu umeongea ukweli mtupu nyuma mwiko washamba sana 💪⚽
@salumabeid7092
@salumabeid7092 5 ай бұрын
P
@user-lr8cn4zd1w
@user-lr8cn4zd1w 4 ай бұрын
Uwakika anajua semaji letu
@JoelJames-qk1mc
@JoelJames-qk1mc 4 ай бұрын
Waambieeeeeee semaji letu🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁
@MathiasiRukasi-nh7gq
@MathiasiRukasi-nh7gq Ай бұрын
😊bas mreten
@chacha_tz
@chacha_tz 2 күн бұрын
uko vizuri msemaji wetu ❤
@RamadKasim-t2x
@RamadKasim-t2x 6 күн бұрын
Sema mzee baba
@pastormartinshija374
@pastormartinshija374 4 ай бұрын
Kaka hekima ya Mungu iko ndani yako! Uko vizuri sana semaji langu!
@user-zz8qr9gn1f
@user-zz8qr9gn1f 5 ай бұрын
Ahemed Aly inashangaza kama unamtamani shawishi uongozi wako wamsajili usijifanye unampenda sana kuliko wanayanga sisi hatutoki kwenye njia na mpango huo wa kutaka kuidhofisha Yanga basi wewe na waliohusika katika hilo mmefeli sisi tunadonga mbele na mayele ataendelea kupata mafanikio aongeze bidii tu aache kujishirikisha na akina Ahemed washirikina.
@samweli7985
@samweli7985 5 ай бұрын
Mayele analalamika anatumiwa majini nayanga alafu wewe unasema atiye bidii, mshamba kweli wewe
@samweli7985
@samweli7985 5 ай бұрын
Nawewe nikati ya wachawi tu
@AkramIbrahim-c8w
@AkramIbrahim-c8w 8 күн бұрын
Huyo Jamaa Ni Mnafik Muongo Anapenda Kuzusha Maneno Ya Uwongo Niwambie Ahmed Alli Ana Wivu Ana choyo Anaitamani Yanga Ila Kusema Hawezi Nafsi Yk IPO Yanga
@aminaomary5567
@aminaomary5567 21 күн бұрын
❤❤❤Msemaji wetu mleteni mayele . Hvi ndio maana Utoplo wanafunga kila muda. Kumbe wachai.
@johnsonmichael945
@johnsonmichael945 5 ай бұрын
Asante mjomba medi up vizur saan
@HusseinNkuna
@HusseinNkuna 5 ай бұрын
Yani msemaji official kabisa wa Simba ndio anayaongea haya duuh aisee 😂😂
@casbertsosten
@casbertsosten 3 ай бұрын
huyo anakarir history tuuuu hajui kitu kasimliwa tuuu ndo maan analopoka
@HassanMohamed-zy1nq
@HassanMohamed-zy1nq 2 сағат бұрын
Ooyaa udanganywe nin mukiambiwa ukweli huwa hamutaki cku zote nyinyi ayo ni ya kweli hata iwe wewe Mamelody Sandown,Yanga,Simba jamaa anachambua ukweli huyo
@user-kh3fb4nl4w
@user-kh3fb4nl4w Ай бұрын
Kijana yajuzi yaache yalivyo maana ukija kuteleza tu simba unaondoka kwa sasa huna jipya tulia muunde timu ifanye kazi siyo porojo tu
@user-ch2it3qt5z
@user-ch2it3qt5z 5 ай бұрын
Huyu jamaa akili zake ujinga mwingi lkn Tuishi nae tu😂😂😂
@shemsiajuma9113
@shemsiajuma9113 10 күн бұрын
Acheni ujinga mayanga 😂😂
@user-yk3zl7gp2r
@user-yk3zl7gp2r 5 ай бұрын
Chama alishindwa uarabuni kwani mulimutupia majini,twisila alishindwa uarabuni kwani alitupiwa majini?
@bennamush4616
@bennamush4616 5 ай бұрын
Miksoni nae si alienda na akarudi
@user-gp3bx8nq1u
@user-gp3bx8nq1u 3 ай бұрын
Umejaza ujinga tu makelele Ndo maana tunafungwa badala upige Kelele kwa viongoz Ww mjinga
@khadijabhoke4564
@khadijabhoke4564 Ай бұрын
Muda wa usajili huu acha maneno mengi,utaumbuka muda si mrefu😂😂😂
@bkrjma5285
@bkrjma5285 5 ай бұрын
Huyu jamaa hajielewi hata kidogo. Napia jambo lengine anajitengenezea nafasi ili jamaa akifeli huko alipo asiende yanga aende simba.
@BilishangaZegeli
@BilishangaZegeli 5 ай бұрын
Semaji la kimataifa muheshimiwa somaaaa iyoooo
@user-fo4vp3em3p
@user-fo4vp3em3p 5 ай бұрын
Huyu msemaji wa simba hana taaluma ya usemaji ni bora akabadilishwa ,katafutwe mwenye uwezo wa kuisemea simba na wala siyo yanga
@gagalinodenatrick1652
@gagalinodenatrick1652 5 ай бұрын
Vipi wewe unataaluma tukupe kijiti
@EricMakoyola-xo8eg
@EricMakoyola-xo8eg 4 ай бұрын
Hujitambui
@jamalikassim-o4b
@jamalikassim-o4b 9 күн бұрын
sawa semaji la caf wenzetu wamekosa msemaji wana mropokaji
@Davidmayala-mh9ow
@Davidmayala-mh9ow Ай бұрын
Huyo ni maneno tu anawadanganya hakuna Cha mayele Wala mwezake na mayele ikitokea mayele kaja Simba mjue washabiki wa Simba mumepinga
@WilliamPeter-ky7sx
@WilliamPeter-ky7sx 5 ай бұрын
Nakukubali sana semaji la timu kubwa... Umeongea Point
@KharidyPaulo
@KharidyPaulo 5 ай бұрын
wewe ni muimba tarabu acha umbea
@user-rb5pc1qw1r
@user-rb5pc1qw1r 5 ай бұрын
@@KharidyPaulo hiviwewe na Huyu Nani mbea wewe badala usubiri ally kamweaposti ndo ukoment ualetaleta shobo Kwenye vikaovya watu babuuu fatilia laifu yako !!!
@mussachifu3894
@mussachifu3894 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂xemaji kama xemaji💪💪💪
@IbbuTZ
@IbbuTZ 5 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 Asanteee semaji letuuu languvuuuu umeongea ukweli kabisaaaa
@LoirukoNgekee
@LoirukoNgekee 3 ай бұрын
Ok kaka uko vizuri
@muddymbwana5679
@muddymbwana5679 5 ай бұрын
Msemaji wa clab ingine kaacha kuzungumzia tim yake kahamia kwampinzan
@emanuelgrevazi3483
@emanuelgrevazi3483 5 ай бұрын
Hv Tano tulizowabinua mayele alikuwemo😅😮😢🎉😂❤
@augustshirima9726
@augustshirima9726 5 ай бұрын
Tunasimama bega Kwa bega hii imeenda
@mwinjilistiaristidesmeja1834
@mwinjilistiaristidesmeja1834 5 ай бұрын
Ndio tumegundua kuwa simba mlipotufunga tano tulikuwa tunacheza na majini, hatkukujua sisi
@aamarsuleymain2932
@aamarsuleymain2932 5 ай бұрын
Na 6 na 5 na 4 vip
@user-id5oc7hm4n
@user-id5oc7hm4n 5 ай бұрын
​@@mwinjilistiaristidesmeja1834, majini FC 😂😂😂
@Saditrap-zt1nl
@Saditrap-zt1nl 5 ай бұрын
uyu jamaa akili za pombe hivi ajawahi kuonja moshi uyuuu yaaan anaongea utumbo zama hizi anaacha ongelea utaalam wa soka anasaport giza bila aibu
@christophermbuga9623
@christophermbuga9623 3 күн бұрын
Una jipya kuhusu Mayele? Mambo ya uchawi kwamba alilogwa, kapigwa majini ni upuuzi usio na salio wala gawio. Ahmed Ally unashusha viwango vyako na heshima za mic hizo
@ipyanaandilile894
@ipyanaandilile894 5 ай бұрын
Kwanza hii ni uchonganishi mkubwa. Kumbe mchezaji akishindwa kupaform alikouzwa Ni kutupiwa majini, kumbe wao ndiyo wa Kwanza. Kama anamsifia chama kua alikua wa motoo walipo muuza pamoja na Luis mikison. Lakini walishindwa kufanya vizuri, Kumbe ndiyo kazi yao kuwatumia mashetani wachezaji wao ili warudi tena, na siyo kuendelea mbele. Viongozi wa Simba Muwe making na huyo msemaji wenu, hapo mmepigwa na chuma kizito Sana.
@user-eg9ne2sb9c
@user-eg9ne2sb9c 3 ай бұрын
Uyu jamaa ajui ni mshamba achana naye aongee
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 5 ай бұрын
Uko sahihi sanaaa semaji rakafu ❤❤❤❤ utoporo wanaroho ya kichawi Sanaa wanaroho yakwanini kila mchezaji akiondoka utoporo razima kuwe nashida hawapendi wengine wapate washamba sanaaaa wanaroho mbaya nena washamba kweli
@user-ww9uz9mx7l
@user-ww9uz9mx7l 5 ай бұрын
Mnateseka sana aiseeee polen
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 5 ай бұрын
@@user-ww9uz9mx7l sawa mdogo wa nabii Tito🤣🤣🤣
@greysonkisinda7390
@greysonkisinda7390 5 ай бұрын
Na bado ww tukutupia majini dadeq,jipendekeze tu naww
@WhiteYusto-bu9ym
@WhiteYusto-bu9ym 5 ай бұрын
Shida yenu mnajikuna na kucheka wenyewe, harusi sio yenu lkn wewe na hilo la kuropoka lenu hilo na mtakula Tano zaidi tena
@WhiteYusto-bu9ym
@WhiteYusto-bu9ym 5 ай бұрын
Shida yenu mnajikuna na kucheka wenyewe, harusi sio yenu lkn wewe na hilo la kuropoka lenu hilo na mtakula Tano zaidi tena
@Gwa-Kayaga
@Gwa-Kayaga 5 ай бұрын
Mnajishushia hadhi yenu kwa mambo ya ajabu😢
@MedyHamisi
@MedyHamisi Ай бұрын
Haaaaaa hivi huyu Ahmed ally kaishiwa na yakusema pole sana broo 😂
@GaudentusWillium
@GaudentusWillium Ай бұрын
Hahaha heheheheeee sima kaka penda sana
@kudramzee5769
@kudramzee5769 5 ай бұрын
Haya mambo una ushahidi nayo siyo unaropoka tu yasije yakakukuta ya haji manara shauri yako mdogo wangu ahmed ally
@user-gd9yi1gv1v
@user-gd9yi1gv1v 5 ай бұрын
Chizi karogwa tena, Kwa taarifa Yako hatutoki mchezoni
@mckobatz5861
@mckobatz5861 5 ай бұрын
😂😂😂
@Omarymwesongo227
@Omarymwesongo227 Ай бұрын
asante ahmedi watambue hao hawajui
@Oman-bg1bj
@Oman-bg1bj 9 күн бұрын
Wambieeee ❤❤❤❤
@user-hs4pk5sj1n
@user-hs4pk5sj1n 5 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 huyu jamaaaa bwana
@user-lr8cn4zd1w
@user-lr8cn4zd1w 4 ай бұрын
Anajua
@user-su9fg7dp8k
@user-su9fg7dp8k 5 ай бұрын
Hakuna ukweli Mayele anatafuta timu Tena Tanzania.
@user-gg2be4un5s
@user-gg2be4un5s 3 ай бұрын
Simba kwa kosa la huyu mbwa ximba mkipigwa 10 tena mxilaumu anaroboka sana
@machanokkhamis5407
@machanokkhamis5407 4 күн бұрын
Ahmed uko powa endelea
@hassanrashid9436
@hassanrashid9436 5 ай бұрын
😂😂😂 pasua jipu semaji majini fc wanazid kuumia soon majini wa yanga watakasirika😂😂😂😂
@donathakimaro5276
@donathakimaro5276 5 ай бұрын
We mgawa tako kaa kimya
@user-md7sd3hk6l
@user-md7sd3hk6l 5 ай бұрын
mbona matusi tena ndiyo tabia yako nini kutoa tako
@joshualutengamasomwakilawa1025
@joshualutengamasomwakilawa1025 5 ай бұрын
Unajikomba tu kwahiyo akina chama na mickson mliwatupia majini ndiyo maana wakashindwa kwa waarabu
@MichaelDeogratius-g2p
@MichaelDeogratius-g2p 9 сағат бұрын
Huyo mayele kiwango kimeshuka tusidanganyane punguzen propaganda za bila singi wowote.
@elishakayagwa9371
@elishakayagwa9371 5 ай бұрын
Mkubwa jinga 😂😂😂😂😂
@Mumewangu
@Mumewangu 5 ай бұрын
Majini fc
@shemsiajuma9113
@shemsiajuma9113 10 күн бұрын
Acheni ushamba mayanga 😂😂
@hajihassan5433
@hajihassan5433 5 ай бұрын
Mimi najuwa Yanga wana unyama mwingi kumfunga Simba 5.
@NeemaRajabu-ux6bl
@NeemaRajabu-ux6bl 5 ай бұрын
Kamawewe msengee mhshamba baba akosisi atujakusajiliwewe
@NeemaRajabu-ux6bl
@NeemaRajabu-ux6bl 5 ай бұрын
Unaongea ujingatuu msengewewe
@Mumewangu
@Mumewangu 5 ай бұрын
Yanga kafungea sita
@imrankweka4752
@imrankweka4752 5 ай бұрын
Umeonaee!!!?
@greysonkisinda7390
@greysonkisinda7390 5 ай бұрын
​@@NeemaRajabu-ux6blwe si mdada kabisa ww,,mdada gani uko hivyo hata kanisani au msikitin unaendaga kweli mbn unatoa matuc kwny jambo la utani ,kwan unahisi hata msemaji wenu yuko serious hapo ,wenzio wakikutana wanacheka tu nyie ndo mmekazana kutukana tu huku na ubongo wenu wa panzi
@user-bx3je8jf7v
@user-bx3je8jf7v 4 ай бұрын
Sema babaaaaaaa wape vidonge vyao😂😂😂😂
@jafariMakunga
@jafariMakunga 18 күн бұрын
semaj la caf ni unyama sana❤❤❤❤❤❤❤
@user-qz9dr7es7w
@user-qz9dr7es7w 5 ай бұрын
Hivi huyu jamaa huwa anajielewa kweli?
@Mumewangu
@Mumewangu 5 ай бұрын
Wewe jee unajielewa majini fc
@PaulPyumpa
@PaulPyumpa 5 ай бұрын
Wew ndio hujielew
@lukehaprimary2574
@lukehaprimary2574 5 ай бұрын
Kwani humuelewi anachosema
@kakorejrboyz6447
@kakorejrboyz6447 5 ай бұрын
Anajielewa Sana ndio mana anawaita WASHAMBA
@hassanrashid9436
@hassanrashid9436 5 ай бұрын
wewe ndo hujielewi jini mshamba wewe😂😂😂😂
@yusuphonesmo1791
@yusuphonesmo1791 5 ай бұрын
Yani sikutegemea Kama msemaji wa simba unangelea Mambo ya majini, hujamaa ni mjinga Sana,kwa wazifa wake huo hapaswi kuongea hivyo, mjinga Sana,
@user-wg3oh5ll7g
@user-wg3oh5ll7g 4 ай бұрын
Sema babaa
@karupothulaakhil4481
@karupothulaakhil4481 2 күн бұрын
kwa kweli unatisha pokea mauu zako🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@aminaomary5567
@aminaomary5567 21 күн бұрын
Semejii wetu:mimi nasema hivi mwachen chama aende yangu ridthiki ya simba imeisha anawapisha wengine. Makocha wa nje hatuna haja nao:msimpoteze muda. MGUNDA ANATOSHA KABISA. Tunaka damu mbichi ya wachezaji. Akiwepo Mayele:Feitoto na wengine mbona fresh tu.
@user-tb7fz8jl2o
@user-tb7fz8jl2o 3 ай бұрын
Huyu jamaa mpuuz anajikomba atapigwa nyuma na mayelee
@sarahkinyashi6213
@sarahkinyashi6213 3 ай бұрын
Kumbuka na ww ni MTANZANIA,kasema anajuta kuja kucheza TANZANIA,unaongea pumba aisee,KWAHIYO ULITAKA TUWAIGE NYIE??!!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣huna jipya pambana na Hali yako.kwahiyo ww ndio umemjaza UJINGA MAYELE??!!! tumekuelewa msemaji wetu usiepata posho💚💛💪💪💪💪🙏🙏🙏🙏
@user-sb3bp9yz5v
@user-sb3bp9yz5v 3 ай бұрын
Hao majini kwao ndo nyumbani ndomana wanapambana kuishusha simba kwa uchawi lkn watashindwa kwa uwezo wa mungu
@DorcasAkyoo-mp6bj
@DorcasAkyoo-mp6bj 4 ай бұрын
Kwa heshima ulizonazo hukupaswa kuongea hvy bro pole sana majini utakuwa ww mganga wao unaowapatiaga✅✅ yukwap sasa mbna hajaja kwako
@AlmasRamadhani
@AlmasRamadhani 4 ай бұрын
Uko vizuri
@bethmahela2182
@bethmahela2182 5 ай бұрын
Swala la morison yupo avict ,acha ushaiki na umbea na kaja kwa kocha wa viungo anaendelea mpk atakapikuwa sawa,unaongea mwisho wa siku utaambiwa utoe ushahidi,sisi ni washabiki wa simba kiwango chetu sio kizuri kama mechi ya geita tupo ovyo,tujadili ya kwetu haya hayatuhusu
@IvanGerald-tp4hu
@IvanGerald-tp4hu Ай бұрын
Umetisha semaji la caf
@user-ey1yp6jk7g
@user-ey1yp6jk7g 6 күн бұрын
Kubwa jinga kweli kweli. Ata ahibu hana magori 7 yamepelekea kuwa mropokaji.
@MustafaFella
@MustafaFella Ай бұрын
Yanga washamba sanaaaaa awajitambi
@user-bi8hr3nu6g
@user-bi8hr3nu6g 5 ай бұрын
Huyu sawa na changudoa lazima tumuchukulie batua se.eji La majin
@hassanswale
@hassanswale 3 ай бұрын
Simama na mayele ukutane kitu kizito
@ListonNyamoga
@ListonNyamoga 4 ай бұрын
🎉Huyu ana uthibitisho wa hayo majini kutoka Yanga au anaropokwa!.
@user-ml5in1um4n
@user-ml5in1um4n Ай бұрын
Anao eee
@AllenKangwa
@AllenKangwa Ай бұрын
Usajiliwayanga
@lenardgidiba9385
@lenardgidiba9385 16 күн бұрын
Big up
@user-ib3fd1tc3r
@user-ib3fd1tc3r Ай бұрын
Unateseka brother
@madarakaiddi
@madarakaiddi 28 күн бұрын
We ahmed kama mambo mengine huyawezi usijilazimishe nenda kwenu kalime ming'oko SWINE
@elinadaniel5990
@elinadaniel5990 5 ай бұрын
Msemaji wa Yanga... Semaji la Fiston Kalala Mayele, The King😂😂😂😂 Kama unakumbukumbu vizuri kabla ya Mayele kuondoka yanga Alisema mwenyewe siondoki Yanga kwasababu ndiopo penye bahati yangu... mwishoni akasema "naondoka kwasababu timu imeamua kuniuza, hakuna mkubwa kuliko timu"
@donaldbenedict5761
@donaldbenedict5761 5 ай бұрын
Ismaily Adena Rage aliposema wanasumbua na mashabiki wake ni mambumbumbu nilizani akiwakosoa wanasimba na mashabiki wake kumbe alikuwa anamaanisha kwa sababu ndio alikuwa anawaomba za na kuwaburuza kwa umbumbu wao uthibitisho wa hayo angalia huyu msemaji wa ngada fc aka mikia Makolo hajitambui baada ya kuisemea simba amekuwa msemaji wa mayele sasa,ila Ahmed Ally ipo siku utambiwa urete uthibitisho wa hayo mambo unayoyasema utakuwa tayari kuleta?
@user-eu4ml4gu2z
@user-eu4ml4gu2z 5 ай бұрын
Washabiki wa simba ugomvi wa mayele na yanga ni ugomvi wetu hata wakitaka tuununue tuko tayari tutachanga.
@shabanikalangula9954
@shabanikalangula9954 5 ай бұрын
Kwani simba hamna cha maana kwenu
@dannyismael2613
@dannyismael2613 5 ай бұрын
Mm napenda kumuita mr nonstop jamaa anabonga bila kukatishwa
@BarakaSanga-x4i
@BarakaSanga-x4i 20 күн бұрын
Chama aende hatuna noma name ndo Maisha ya soka
@AminaAmimu-gp9po
@AminaAmimu-gp9po Ай бұрын
Usiwe msemaji mnafiki ww ulikuwepo wakati mayele anatupiwa majini ww ni mfa maji tu uwachi kutapatapa unashindwa kuongea Cha maana unaongea pumba sema tu kama unamtaka ndio Maana unajisemesha ujinga tu Mimi naona simba hawana msemaji Wana pumba huyu anatakiwa kuwa msemaji wa timu za kuku na mbwa
@swebeyongo8030
@swebeyongo8030 3 ай бұрын
Huyu jamaa uchizi unamsumbua mlimleta manzoki Yuko wapi hafai kwanye Brandi ya Simba wamtumue tuu toka zako
@khamisomar5659
@khamisomar5659 5 ай бұрын
We semaji si unatoa povu kwa Mayele bcoz utopolo walikuramba jero tu si unatoa cheche!
@NeemiaLotti-wl7hu
@NeemiaLotti-wl7hu 4 ай бұрын
Wewe Ahamed ally unajitambua kweli. Unaacha kuzungumzia simba unahangaika na yanga nakudhauri uache kupotosha umma kuhusu mayele.hakuna MTU anamlioga mayele anajiloga mwenyewe.mayele hawezi rudi simba akitaka kurudi Tanzania aje acheze yanga na wala cyo simba.simba inauwa vipaji vya wachezaji. Pumbavu sana mwache mayele acheze mpira.
@wizardmobile5493
@wizardmobile5493 Ай бұрын
Yani simba unyamwa mwingi ahmedi Ally ni bala yani ni semaji la kweli kweli😊
@user-jd2jg6gy8e
@user-jd2jg6gy8e 5 ай бұрын
Hapo sw semaji la kimataifa ❤❤
@brayanjoel921
@brayanjoel921 5 ай бұрын
Yanga kwenye zile goli tano walitutupia majini maana ivihivi hawawezi nainaonekana yalikua mengi
@gerrymimi9387
@gerrymimi9387 5 ай бұрын
Yaani Ahmed unaamini kweli kuna majini ya kutuma Bongo - Cairo enzi hizi za sayansi? Au ni kwa kuwa umepata la kusema kuhusu mbabe wako? Wewe mwenyewe wasema. NYUMA MWIKO. Hautoturudisha huko
@EdgerMsapila
@EdgerMsapila 4 ай бұрын
Mumekosa vya kusema yakwenu yanawashinda yanga yanga na samata anavyouzwa simba ilikuwa haikujui wewe...😅😅
@Davidmayala-mh9ow
@Davidmayala-mh9ow Ай бұрын
Amedi Ally tatizo unongea Sana punguza maneno bas
@MtotoDangote
@MtotoDangote 16 күн бұрын
Funguka kaka Ahmedy
@gabinuskasigwa
@gabinuskasigwa 5 ай бұрын
Unadhani kwa kuropoka huko ndo atshawishika kuja simba😅😅😅😅😅
@user-gb1jq9zz1j
@user-gb1jq9zz1j 2 ай бұрын
Ushindi wao n majini akuna team isofungwa wao nani wenyewe wanajiona wababe kwa mijini yao.
@user-xl3xw8gy6o
@user-xl3xw8gy6o 5 ай бұрын
Katika wasemaji ambao hana hakir Tanzania hii msemaji wa simba
@richardromano6592
@richardromano6592 5 ай бұрын
Mhaho wa nyuma mwiko 😂😂😂wazeee wa my muna😊
@StellaLazaro-o1y
@StellaLazaro-o1y 4 күн бұрын
usimsifu mtu kwenye hamna hiyo ahemed ropo tu namasifa ndo yamemja as hata hatushangai tumemzoea😮
@Philiponada
@Philiponada 5 ай бұрын
Kumbe hata huyu jamaa ni mjinga. Yaan anaongeea kwa nguvu akiongelea majini ya mayele. Kumbukeni mliogelea Tano bila mayele
@DoroselaAudax
@DoroselaAudax 14 күн бұрын
Ukisema cha nn wenzako wanawaza watakipata lini bababababa upon full house 🏠
@ishowawesomeSpeed-mg3bz
@ishowawesomeSpeed-mg3bz Ай бұрын
😂😂😂washamba kweli kweli Yani wanangang'ania mtu asifunge
@UlediShabani-g2v
@UlediShabani-g2v 19 күн бұрын
Acha ushamba mayele ameshaoa ucjipendekeze kwake.
@Economically-Growth-Musicians
@Economically-Growth-Musicians 5 ай бұрын
Ahmed unataka kusema zile 5 ni za majini???😂😂😂🤦
@Josephkalonga-le9mf
@Josephkalonga-le9mf 5 ай бұрын
wewe ni mshamba kanye
@FrankEnockmabundu
@FrankEnockmabundu 5 ай бұрын
Huyu jamaa yuko vzuri wanasimba tumpeni Maua yake 🎉🎉
@rashidally656
@rashidally656 3 ай бұрын
huyu jamaa ache kuizungumzia yanga azungumzie simba jee ubingwa watachukua anawadangaya watu wa simba tu uongozi umewashinda washie ngazi ache ngojera
@veronamayange7017
@veronamayange7017 5 ай бұрын
Chuki zote zilianza pale tarehe 5 november, mbwa wewe na bado utaongea sana kenge we peleka sauti yako kama sho........ si useme tu kuwa mnamtaka Mayele 😂😂😂😂😂na ole wenu siku mukimchukua halafu tukakutana tunawapiga tena 10 kudadek, na hlo la 10 huyo mayele wenu ndo atajifunga mwenyewe kwa presha, potea acha majini yetu yajiridhihirishe