AHMED ALLY: MSITUKANE WACHEZAJI/ MO ANIPAMBANIA SIMBA/KALETA MAFANIKIO | PART 2

  Рет қаралды 124,188

Crown Media

Crown Media

Күн бұрын

#MoDewji #AhmedAlly #Simba
Follow us on Social Media Platforms
Instagram:
Crown FM - / crownfmtz
Crown TV - / crowntvtz
Twitter (X):
CROWN MEDIA SWAHILI: / crownmediatz
CROWN MEDIA ENGLISH: / crownmediaen
Facebook:
CROWN MEDIA: profile.php?...
TIKTOK:
- www.tiktok.com/@crownmedialiv...
SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: / @crownmediatz

Пікірлер: 167
@waltermfikwa4361
@waltermfikwa4361 2 ай бұрын
Kuna uwezekano mzur sana na mkubwa wa Ahmed Ally kuwa ndo msemaji Bora ndan ya ligi yetu ya Tz..... 🙏🙏
@kagenzikanala109
@kagenzikanala109 2 ай бұрын
Ahmed Ally umeongea kwa ufasaha sanaa ✊✊ #hapaninyumbani
@yasrikomba7874
@yasrikomba7874 2 ай бұрын
Na like sio kwajili ya simba au kwajili ya ahmed ally like kwajili ya crown media
@AgripaMwangobola-il3bz
@AgripaMwangobola-il3bz 2 ай бұрын
Pafect
@Jay4gNdava
@Jay4gNdava 2 ай бұрын
Utajua ww mchaw
@hamisimsosi6237
@hamisimsosi6237 2 ай бұрын
Wanasimba huyu kijana ni rubi ya kujivunia uwezo wake wa uelewa ni mkubwa Sana hongera ahamedy ally ❤❤❤❤👏👏👏👏👏👏mahuta oyeee tupunguze fitina tufanye kazi
@rajaburajabu3963
@rajaburajabu3963 2 ай бұрын
Crown nawaomba mnipe kipindi cha kuzungumzia masuala ya jinsi na jinsia mana naipenda Crown napenda pia gender issues
@hajihalid8096
@hajihalid8096 22 күн бұрын
Hongera sana Ahmed Ali umejaaliwa kipaji kwa hiyo kz yako kwa hapa Tanzania hupaswi kufananishwa na yeyote upo makini huropoki unaongea point
@BabaStuwartKatojo
@BabaStuwartKatojo 2 ай бұрын
Aijawahi kutokea katika nchi hiii ya Tanzania kutokea msemaji mwenye akiki mwenye ufahamu mwenyekipaji mwenye kira kitu cha usemaji kama Ahamerdy Ally mungu akuweke kaka 🙏🙏🙏✍️✍️✍️
@HalimaPeter-mb4ei
@HalimaPeter-mb4ei 2 ай бұрын
Unaumwa ww
@amonchilongozi1126
@amonchilongozi1126 2 ай бұрын
22qqq222222
@TinaEliud
@TinaEliud Ай бұрын
Wengine hawajui
@jogayatheboss2224
@jogayatheboss2224 2 ай бұрын
hapa ni home kabisa
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 ай бұрын
Semaji wangu umesema kweli❤❤👍👍🙏
@athumankasanzu6343
@athumankasanzu6343 2 ай бұрын
hakuna msemaji kama ahmedi🎉🎉
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA 2 ай бұрын
Kwa ukilaza
@DaudomataAmade
@DaudomataAmade 2 ай бұрын
Crown Média tunaomba kipindi champila live kupitia Crown Média ❤❤❤🎉🎉🎉😅😅😅.
@macheramuhabe5503
@macheramuhabe5503 2 ай бұрын
Kaza kazi bwana mdogo Hemed Ali
@yaseer255
@yaseer255 2 ай бұрын
Ahmed Ally ndio journalist m
@BellaTuyi-hd7tw
@BellaTuyi-hd7tw Ай бұрын
Kaka wew unajua.. maisha marefu semaji la CAF 👏 ✍️ Mabetu &Co
@user-um4fk5ls3v
@user-um4fk5ls3v 2 ай бұрын
Hapa ni nyumbani ndo kauli mbio yetu CROWN 👑❤❤❤❤
@ramahassani9477
@ramahassani9477 2 ай бұрын
Jaman Crown Fm ipo sehem gan kwa hapa dar.
@mallemaOg
@mallemaOg 2 ай бұрын
Crown 👑 naomba muwe mnaweka hata beat kwa mbali ya kunogasha mazungumzo
@YogweMwakulola
@YogweMwakulola 2 ай бұрын
Hatutaki mikelele Sisi mziki wa nn sasa hapa hakutakikani fujo Kama wataka mziki fungua redio
@Sampovoice8088
@Sampovoice8088 2 ай бұрын
Ingia Dm au nenda ofsini kaka
@abasilihundu200
@abasilihundu200 2 ай бұрын
😂😂​@@YogweMwakulola
@user-xg5se4sy2t
@user-xg5se4sy2t 2 ай бұрын
Hatutaki kelele iwe hivyo hivyo tusikilize tuelewe
@mohamedyally816
@mohamedyally816 2 ай бұрын
I love @CROWN MEDIA
@HalfaniHassani
@HalfaniHassani 2 ай бұрын
Tupo pamoja Wana simba❤❤❤❤❤
@jameszengwe7889
@jameszengwe7889 2 ай бұрын
Hapa n nyumbaniii
@rojasimbamooooootoroja8309
@rojasimbamooooootoroja8309 2 ай бұрын
Kweli uyu ahamed ni mtu mzur sana wa wa kuongea point
@luckygmdegela8477
@luckygmdegela8477 2 ай бұрын
nikweli kabisa kaka ,,,hakuna mwanasimba wenye akili anae weza mzungumzia vibaya Mo dewj , hao ni yanga sio simba hao
@user-cz9me7mq9r
@user-cz9me7mq9r 2 ай бұрын
CROWN media❤❤❤
@freddiemwela708
@freddiemwela708 2 ай бұрын
Maturity ya hali ya juu kwa ongea yake congrats...
@MajidMajid-ll8mf
@MajidMajid-ll8mf 2 ай бұрын
Mimi ni arsenal tangu mwaka 1982 bado nipo na mapitio yote nipo na simba ni timu yangu tangu nipo mdogo na bado nipo nitakuwepo tu
@TanaMidundo
@TanaMidundo 2 ай бұрын
Ya kwangu kwaajili ya ahmedy na mo
@user-pr9kq4it5c
@user-pr9kq4it5c 2 ай бұрын
Kuna watu wanasema atuachie hata umuambie mnumulie mchezaji mmoja chai yasiku moja hawezi
@user-qw4pm2xe4j
@user-qw4pm2xe4j Ай бұрын
Hongera semaj la caf
@arrickofficial
@arrickofficial 2 ай бұрын
Nice #Crown media
@user-um4fk5ls3v
@user-um4fk5ls3v 2 ай бұрын
Tuko pamoja na CROWN Media 💪
@LetasKomba-br1xh
@LetasKomba-br1xh 2 ай бұрын
Nikweli mhamed Aly Mo ndio kilakitu katika mafanikio ya Simba, hao watu wanaompinga mo hawaujui mpira na hata kama walicheza mpira Kwan sio Kila mwanafunz anaesoma anahakiri kunawengine wanasoma lakin hawaelewi. Ndio sawa na hao wanaompinga mo Kwan ukiujua mpira hua unamatokeo ya kikatiri sana hakuna timu itafanya vizur milele mafanikio ni zamu huwez kulazimisha zamu ya mwingine iwe yako bac huo ni ujinga watu wakulaumiwa hapo ni viongoz na usajili wanaotufanyia kua ni mbovu sana wanasfata majina makubwa na sio watu wenye hamu na mafanikio
@allykalumba3414
@allykalumba3414 2 ай бұрын
Hapa ni nyumbani....
@kheirahmad4064
@kheirahmad4064 2 ай бұрын
Point tupu za msingi, Hapana ni Nyumbani imefaana vema.
@iddimmbucwa3618
@iddimmbucwa3618 2 ай бұрын
Kazi kazi
@officialdana5114
@officialdana5114 2 ай бұрын
Naenda kuku follow bro ally uk vzr
@townkidallnight
@townkidallnight 2 ай бұрын
#winning_team
@IbrahimsolicitorIbrahimsolicit
@IbrahimsolicitorIbrahimsolicit 2 ай бұрын
Fact
@brownkihanga688
@brownkihanga688 2 ай бұрын
Siyo kumfagilia tuu ,msemaji Kama mnamuogopa,,lah hasha,,palipo na ukweli lazima watu waseme,,viongoji mmeliwa mamruki mnaiharibu Simba,,watu mtaani tunateseaka Sana kwaajiri ya ujinga wa watu wachsche,,hasajiri watu wampira mnatuletea wacheza dance uwanjani,,Kama nikweli tajiri Ana toa pesa,,ninyi mpiga mgao,,alafu mnatuletea magalasa
@WivinaFrance-xn3mk
@WivinaFrance-xn3mk 2 ай бұрын
Huyu mwamba kweli👍💯
@neemacharles9848
@neemacharles9848 2 ай бұрын
Safi sana ahmed alli umeongea point sana
@rashidkopa
@rashidkopa 2 ай бұрын
Safi sana
@VenanceNtakabile
@VenanceNtakabile 2 ай бұрын
Wanaomtukana mo sio simba watuachie mo wetu na simba yetu ila mangungu atoke hao utopolo wanawafaranakisha wanasimba ili simba yetu ipoteane pia wako mashabiki wanafiki wakijifanya wanasimba na kuitukana simba yetu wasiikatishe tamaa
@FredrickRamadhani
@FredrickRamadhani 2 ай бұрын
Crown media
@Muswaddiq
@Muswaddiq 2 ай бұрын
huna baya ahmed alliy
@abdulrazaqkatoma5648
@abdulrazaqkatoma5648 2 ай бұрын
Hapa ni nyumban
@FarajiDetz
@FarajiDetz 2 ай бұрын
Uko sahihi ila muda mwingine ujuwe uongozi ni mbovu mwenyekiti na c o na wengine wanaoiongoza timu hawana mpiganaji wapo kimaslahi yao mo hana tatizo ila tatizo lipo kwa uongozi tumeelewana sijuw
@kingsmusicfans1416
@kingsmusicfans1416 2 ай бұрын
🔥🔥
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 ай бұрын
Huyu kweli msemaji mchambuzi sana❤❤❤❤
@mdbosco1640
@mdbosco1640 2 ай бұрын
@malingazeboss9351
@malingazeboss9351 2 ай бұрын
Mwamba kaongea ukweli mtupu 🙏🙏🙏
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 2 ай бұрын
Pablo umemkimbia manara basi sasa hivi ataanza vita na crown media
@bmkaskazinib4363
@bmkaskazinib4363 2 ай бұрын
Sumba imeshinda mara nyingi kwa viporo tu,Sumba hawana uvumilivu tu eanadahau kama mbio za ubingwa zina muda Mara huyu na miaka mengine huyu.Mo bado no tegemeo na hamuwezi kuwa mabingwa muda wore kama Yanga nae ataacha ubingwa wachukue wengine.
@sijaonamjungufinias481
@sijaonamjungufinias481 2 ай бұрын
Semaji, shida ya Simba ni kufanya uzembe kwenye usajili na mnakuwa wasiri sana làkn mwisho wa siku mnaleta wachezaji wa kawaida sana, kwani Phir alikuwa na shida gani
@ArafaMoreno
@ArafaMoreno 2 ай бұрын
Hapa ni home
@kichenjewillian5720
@kichenjewillian5720 2 ай бұрын
Ahmed ni Simba .
@RamadhanMajebele
@RamadhanMajebele 2 ай бұрын
Ushind razima wanasimba
@kassimntara6901
@kassimntara6901 2 ай бұрын
Ahmed acha kutukana mashabiki kumbuka hao ni wengi na wanamchango mkubwa kwa timu ndio maana huwa unaungua jua kuwafuata hao washambq wajae uwanjani kama hawana mchango unawatafuta wanini kuja uwanjani,kununnua jezi nk,kazi ya shabiki ni kupongeza na kukosa ama kushangilia na kuzomea,kumtukana mo si sahihi lkn hayo yanatokea kwa ukimya wake malalamiko yoyote yasipo PATA ufafanizi huzua taflani Alisha wahi kusema atawataja viongozi wanamkwamisha aliwasema? Ama alichukua hatua,na wewe umevimba umaarufu ndio maana unatutukana sana
@AmaniKasekwa-uw8hp
@AmaniKasekwa-uw8hp 2 ай бұрын
Simba nguvu. Moja
@RaphaelKapinga-zr5hz
@RaphaelKapinga-zr5hz 2 ай бұрын
Hapo ni hm 2
@user-ut4vs9qo2e
@user-ut4vs9qo2e 2 ай бұрын
❤❤❤
@MathiasJohn-jq1lf
@MathiasJohn-jq1lf 2 ай бұрын
Upo sahihi sana semaji
@selemanimusa7649
@selemanimusa7649 2 ай бұрын
Semaji nguli
@erickjohnglobal1536
@erickjohnglobal1536 2 ай бұрын
Identity Identified🎉
@geophureysamsoni5033
@geophureysamsoni5033 2 ай бұрын
Moo ana moyo Sanaa kutege eza,Hadi kiwanja hawa maruki wametoka wapi
@HassanSeif-up3ly
@HassanSeif-up3ly 2 ай бұрын
Nakubal
@donatusnicolaus6403
@donatusnicolaus6403 2 ай бұрын
Siku zote Hutu tu kichaa anaropokaga Sanaa ila Leo kaongea kiutu uzima sanaaaa
@modykimaro5480
@modykimaro5480 2 ай бұрын
🎉
@user-cz9me7mq9r
@user-cz9me7mq9r 2 ай бұрын
Semajiiii umesema kwl nakuonga mkono
@yakobojoshua3213
@yakobojoshua3213 2 ай бұрын
❤❤🎉🎉🔥🔥
@IvanJaphes-qt5tg
@IvanJaphes-qt5tg 2 ай бұрын
Kila kitu kitakaa sawa sisi tunaimani na tim yetu huu ni mpito
@sebastianmbazi2811
@sebastianmbazi2811 2 ай бұрын
👍
@sergebaleke695
@sergebaleke695 2 ай бұрын
Nani kaona huu jama mwalikwa ame fanana na Ali Kiba
@user-xg5se4sy2t
@user-xg5se4sy2t 2 ай бұрын
Wewe leo kwenye hao viongozi hapo naomba nikutukane kidogo kuma yako ya nyuma viongozi wabovu
@sundaymushi9640
@sundaymushi9640 2 ай бұрын
Izo camera ni humu tu humu tu kubababake 😂😂😂😂
@charleskuyeko4400
@charleskuyeko4400 2 ай бұрын
Muulize Ahmed kwanini Simba imepoteza ubingwa misimu mitatu sababu ni nini?
@RamadhanMajebele
@RamadhanMajebele 2 ай бұрын
Point tatu muimu
@jamesjames2368
@jamesjames2368 2 ай бұрын
Semaji sasa umeelewa kinachoendelea. Mercenaries wako wengi, na waandishi wa habari wako humo. Simba Nguvu moja 🎉
@yaseer255
@yaseer255 2 ай бұрын
Daima Mimi n shabiki wa Simba sio shabiki wa matokeo Mo dewj ndio alie itunza Simba ad leo Hakuna muwekezaji mwenye moyo wa mapenz ya dhati na Simba #crownmediahapaninyumbani welcome home at crownmedia visit rutalekigoma visitgombenationalpark
@ernestkamata2555
@ernestkamata2555 2 ай бұрын
Ni sahihi kabisa, maana hata kama timu haijafanya vizuri baadhi ya michezo, siyo vurugu zinazosemwa mitandaoni, ni mamluki tu.
@YOHANAJOSHUA-mo8vi
@YOHANAJOSHUA-mo8vi 2 ай бұрын
Uko sahh
@officialdana5114
@officialdana5114 2 ай бұрын
Bro sijui pabro fanya mazoezi ya sautu ni nzito haisikirizik
@AbeidyMashamba
@AbeidyMashamba Ай бұрын
Wakupe tuzo ya msemaji Africa mashariki umeongea vyema ila tengenezeni jobo zuri la usajili
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 ай бұрын
Mabadiliko yawepo kwenye wàchezaji hadi viongozi. Ndipo timu itakuwa tamu sana. Lakini kama mo atatoa fedha kutafuta wachezaji na kuacha uongozi ule ule Tutaferi vibaya mno.
@Ester-vz4xy
@Ester-vz4xy Ай бұрын
Semaj
@eliud21savage48
@eliud21savage48 2 ай бұрын
Semaji
@MichaelLinda-vd8rx
@MichaelLinda-vd8rx Ай бұрын
Kabisa semaji ata sisi tuko shamba tunaipenda simba yetu ila tunapata changamoto kubwa na mashabiki wa upande wa pili ao ndo watukanaji sio wanasimba
@user-yh3dv2bl7u
@user-yh3dv2bl7u 2 ай бұрын
Hamkai vizur nawachezaji Chemalony ameongea tatizo uongoz Ahmerd hapo usitudanganye kaeni vizr nawachezaji mchezaji usipo ishinao vizur lazima wakuonyeshe uwanjani tunaewa uwezo wachezaji Kwann sehemu tu yakushkuma mpira uende golin mtu anaekt amekosea
@marosproduction01
@marosproduction01 2 ай бұрын
HII Tv Ina Quality Kubwa Ya maudhui
@user-hu4el2rx2u
@user-hu4el2rx2u 2 ай бұрын
Tupeni kadi za uwanachama hili ndio tatizo kwenu mkitupa kadi za uwanachama matatizo haya yote yatapotea tunataka kuwa wanachama halali wa Simba
@daudishaban-rl7tk
@daudishaban-rl7tk Ай бұрын
simba nguvu moja naimani itakuwa sw 2 kilakit kinamwaz na mwisho kwahiy naiman haya tunayo pitia itafika mwisho yatapita 2
@macheramuhabe5503
@macheramuhabe5503 2 ай бұрын
Mimi ni simba damdam miaka yote mbaka siku ya mwisho
@Anna-ze5no
@Anna-ze5no Ай бұрын
Semaj kiukweri umenena ukweri hao wamevaa nguo zayanga yanajidai simba sio simba hao
@user-wu2yn1lb2e
@user-wu2yn1lb2e 2 ай бұрын
Hao wote ni mamluki tu hawana mapenzi na club ya simba sports club wala asiwe na shaka yeye afanye kazi aachane na mamluki hao
@user-xg5se4sy2t
@user-xg5se4sy2t 2 ай бұрын
Mo hana ttz shida ni viongozi naww kwakua ndo mabosi zako ila kiukweli hawatufai
@sakarabukakimwana755
@sakarabukakimwana755 2 ай бұрын
semaji bora
@allymtunge5530
@allymtunge5530 2 ай бұрын
Shida uku nikuchekana. Ni ushamba uliopo
@Ester-vz4xy
@Ester-vz4xy Ай бұрын
Simba inahitaji muda tu
@NivoAfrica007
@NivoAfrica007 2 ай бұрын
😂😂😂😮😮😮😅
@sophialikongolo3746
@sophialikongolo3746 2 ай бұрын
Baba wewe ni msemaji
@joachimgolola62
@joachimgolola62 Ай бұрын
Hakika semaji hakuna km MO,wanao mubeza akili ni fupi.
@jakuvuai1428
@jakuvuai1428 2 ай бұрын
Bosss kiba hiki kipindi mpe shavu mziwanda
@user-ce3tx7mr8v
@user-ce3tx7mr8v 2 ай бұрын
SIMBA MNAPIGA KELELE SANA
@MchanaLive
@MchanaLive 2 ай бұрын
we una uchawa wakitoto sana uwoni aibu
@mohdsaad2736
@mohdsaad2736 2 ай бұрын
Hapo kwenye makombe hapo 😂😂😂😂
When teenage Messi TERRORIZED Juventus and Fabio Capello
8:19
SombreroFlicks
Рет қаралды 1,2 МЛН
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 7 МЛН
Iron Chin ✅ Isaih made this look too easy
00:13
Power Slap
Рет қаралды 36 МЛН
как пройти скулбоя за 36 секунд?
0:22
Holy Baam
Рет қаралды 810 М.
Они так быстро убрались!
1:00
Аришнев
Рет қаралды 2,2 МЛН
как пройти скулбоя за 36 секунд?
0:22
Holy Baam
Рет қаралды 810 М.
Я НЕ ОЖИДАЛ ЭТОГО!!! #Shorts #Глент
0:19
ГЛЕНТ
Рет қаралды 1,1 МЛН
как пройти скулбоя за 36 секунд?
0:22
Holy Baam
Рет қаралды 810 М.
THE FLOOR IS LAVA 🌋🔥! Blippi Watch Out! #blippi #shorts
0:55
Blippi - Educational Videos for Kids
Рет қаралды 14 МЛН