Ustadh mbarak Naomba Allah akujazie kila la kher furaha ninayo ipata moyoni mwangu baada ya kuanza kukufuatilia tu uwezi amini nakupenda sana ustadh Namuomba Allah Atukutanishe Ishaa Allah
@sidneykanumba81655 жыл бұрын
Mashallah Alhamdulillah Allah akuzidishie sheikh
@ahmadnyidad20506 жыл бұрын
JaazakaLAllahu KHEYR.., akhsante kwa Darsa nzuri,
@mabydal55564 жыл бұрын
Ahsnte saana shekh wetu na watu wako wote kwa hakika tunafaidika mno kutokana nanyi allah akufanyieni wepes mzidi kutufaidisha ...
@salamakhamis72455 жыл бұрын
Baaraka LLAHU fiiqu Allah akulinde na shari za adui zako
@hassanadan67924 жыл бұрын
Manshallah Allah akujaliye afya njema ili uzidishe ilm zaidi Sheq
@hassanrapandowesonga20145 жыл бұрын
جزاك الله خيرا
@abdallahmuhammad47295 жыл бұрын
Shikran sana Sheikh Allahu baarik
@suleimanhemed92344 жыл бұрын
جزاك اللهُ
@nurdinmndoholele37863 жыл бұрын
Nimestafidi sana Shukran Sana sheikh Allah akulipe mema zaidi duniani na akhera!!
@hashimsalum56873 жыл бұрын
Allaah akueke tufaidike na ww shekhe wetu
@nurinuris18492 жыл бұрын
Masallah
@NurdinKishik5 жыл бұрын
yaallaah
@nooraallahuakibarumwenyeez30793 жыл бұрын
Mm nataka nije nisome kwako shekhe Allah akuhifadhi ktk dini na dunia na akhela pia Leo nimekuelewa