Kwani hayo maji yalikuwa na macho yakatazama tu Grace then yakamutoa nje nakumpeleka huyu mtu aache ujinga
@MamaRozy-nl6wk2 ай бұрын
Huyo jamaa ndio anajuwa mahali Grace yuko
@afandiemily40212 ай бұрын
Maji ilibeba Grace na vitu zake zote lakini Albert na vitu zake zilibaki. Really?
@carenkimetto2 ай бұрын
It's not adding up imagne
@eunitakesio2 ай бұрын
Whuee how now
@florencendutah89342 ай бұрын
Alibebwa akatolewa hadi inje ya gate ama hadi gate ilbebwa very unrealistic
@chustekimani2 ай бұрын
Something not adding up😢😢😢
@user-qv5bs2kh8u2 ай бұрын
Albert ajue sisi kama wana pasta show tuko sure utatupatia grace.Hio location lazima tutrack
@karanjagladys18272 ай бұрын
How comes alimnebwa na maji na hakupiga duru asaidiwe kumwokoa then bona hakuwacoll wazazi wake hiyo saa
@KADALAtv2552 ай бұрын
Kwa namna hiyo ya kuongea hata sisi huku Tz tunsona huyu jamaa ni muongo kafara hiyo mfuatilieni sio simple hivyo🥰🥰🥰🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@doreennestory30892 ай бұрын
Tz too
@KADALAtv2552 ай бұрын
@@doreennestory3089 Yes oo
@dorothyosoko46612 ай бұрын
These father is guilty..Stano God protect you through this work
@sarasarasarena75462 ай бұрын
Iyo ni uongo akuna kubebwa na maji apo,,uyo boyfriend wake ni yy anajua mahali ako ,,
@rolinekathure30212 ай бұрын
Ungemtrace bila kumwambia stano😢 huyo Albert
@nasykanjawakanyoni14212 ай бұрын
Sure
@gladysmogaka7982 ай бұрын
Haungeenda as far as kumwambia details....mngemtrack tu
@gladysmogaka7982 ай бұрын
If u know where they stay wendee immediately...watahama na wachange numbers
@marywanyoike97902 ай бұрын
Stano nakutolea kofia ata comrade anakutambua.may God keep you n your team.Alafu huyo mjinga mtu akabebwa akanyamaza??
@milliegate27302 ай бұрын
Stano washiliki ya uhalifu siku hizi wanakuwatch kwa media
@nixonnickel30762 ай бұрын
Albert is already a red flag! He must be deeply investigated
@rukiaosman84162 ай бұрын
Huyu mama hata haumwi
@miriammiloyo12122 ай бұрын
@@rukiaosman8416people show grief differently pls don't say that
@emilyondari47962 ай бұрын
Letea Albert apate physical counselling ya Joshua vizuuriii!!!!!!!. Akose kusema ukweli tuone??
@JoyceJoy-sy3zj2 ай бұрын
Albert karibu omondi ako mutakunywa maji ya plipli namuonge ka kameme ,last msichana mtatoa by force by fire,mnataacha bangi😅
@millycate2 ай бұрын
Kuongea nayo wataongea 😂😂😂
@raelmarete49432 ай бұрын
Kama grace alibebwa na maji karibu na kwako , mbona ukujulisha wazazi wake, Albert kama ulinyonga grace sema tu ukweli, wacha kutupigisha senga.
@JoyceJoy-sy3zj2 ай бұрын
@@raelmarete4943 anatoroka nini kweli 🤔?
@Esendi5642 ай бұрын
😢😢😢kenya watu wanapata mali kwa watu
@emmiemmi38612 ай бұрын
Yani ni nchi ya ajabu sana
@Esendi5642 ай бұрын
@@emmiemmi3861 unajua lzma unaogopa mea
@mercywangui68912 ай бұрын
True
@teresiakamau94002 ай бұрын
Stano don't call anyone on the air tracker her or him
@mercimerci95402 ай бұрын
Stanooo,huyu msichana na Albert wajua kwanye grace ako
@Kary_2542 ай бұрын
Akaenda na maji na hakuambia wazazi wake 😭😭 woi kama ile ya jack huyo ni kutrack before a change simu card aki na hiyo Lucy hao wawili watatoa grace Anaenda missing huyo lucy amejua ni kumbaya
@ivymugei2 ай бұрын
Uongo maji gani,huyo aliua mtoto Wa mtu
@eunitakesio2 ай бұрын
Leo stano hujatumia Ile piece of mind cheza kama wewe na utawapata
@rachaelmwaniki74872 ай бұрын
Lucy na huyo Albert wameongea sasa
@nellycheptoo58542 ай бұрын
Track this guy akuje akunywe maji ya pilipili
@user-oc7un8cq7y2 ай бұрын
We need Albert on set he knows everything
@lilianstephen76612 ай бұрын
Him putting off the phone is a red flag
@user-cp6mg8we7i2 ай бұрын
Lkn stano kaa mzee anajua kwenye alibert anakaa atampeleka though. Ikafikaje akajua na hajaoa grace
@njerinyambura26912 ай бұрын
Kwani wewe huwezi taka kujua. Place mtoto wako anaendanga ata kama hawajaoana
@dancanomwenga69552 ай бұрын
Huyo jamaa ashikwe mara moja, Stano you are a great person
@esthernjonjo68582 ай бұрын
Stano kwann umechange kazi yako,,bona unatangaza ATI mnaenda Kwa Albert,
@linaruth89822 ай бұрын
Track him as you did to zakayo .maybe lucy wako pamoja na Albert . Joshua kaa rada umfinye Albert na pilipili ikae chonjo
@annkimani25922 ай бұрын
Alibebwa na maji From the house to the gate na akaenda na maji....I don't believe Albert....
@user-se7ox2yo5f2 ай бұрын
😢😢😢😢imagine na yeye akabaki aje
@user-qv5bs2kh8u2 ай бұрын
Kutoka 2nd floor, to 1st floor, to ground floor hadi inje ya gate.Hii ni noma.Albert ashikwe asap
@user-fe8wd8ir4l2 ай бұрын
Alibebwa na maji anyeye akawachwa how??
@linetnyangate13112 ай бұрын
Stano leo mbona umepiga simu unge trunk him
@sarasarasarena75462 ай бұрын
Hao watu ni kama wako pamoja Lucy na uyo boyfriend
@Kary_2542 ай бұрын
Umefanya makosa sanaaaa kukoll ak heri mnge tracker😮😮lucy na Albert wako pamoja
@beatricesisterskeeper32012 ай бұрын
Lucy and Albert should be apprehended. Watu wenye wamepelekwa na maji wanajulikana through news
@annkimani25922 ай бұрын
Good job Stano..... barikiweni
@user-du1tg6jm3n2 ай бұрын
Kuna kitu hapa sio bure😢😢😢😢😢
@emmiemmi38612 ай бұрын
Kazi inaanza kenya itafanya watu waiogope
@marthakiongo2712 ай бұрын
Lucy wako pamoja na huyu jamma
@ediephil41942 ай бұрын
How many other people were carried by floods in that apartments according to albert.Did he report the Grace's diappearnce.Albert and kamiti prisons
@user-df8bx9be7x2 ай бұрын
Albert anafaaa afinywe Hadi akose kwenda chooo aseme ukweli tumia track vile mlishika njoro ...... Za hawezi kimbia siku sote kufa Kwa nyani ufika wakati miti yote uteleza
@user-rs1zj7ex6k2 ай бұрын
Aki kweli tusioleke juu wanaume wameanza ujinga mungu wangu tulinde pamoja na grace mahali alipo
@janeotiso5522 ай бұрын
Stano wai 5:30 kwamukia asubui with the father to grace , to show you the house mtapata Albart. Mkikosa 5:30 you will not find Albert. Hata hama na change number .😢 Eti vitu za grace zilibewa na maji,, Na na za Albert , aje shikanisha dots....
@johnkimani79442 ай бұрын
You're all boring me when u use past tense like "MSI hana wetu alikuwa mzuri ' instead of "ni mzuri"... why are u confessing defeat...si muliomba mkianza
@promiseirene14302 ай бұрын
The way this guy talking anajua mahali grace yupo coz how comes nitoke kubuy mboga na my fiance then mimi ni mbebwe na maji aiiiii kuna something hidden
@dianachivui2902 ай бұрын
Exactly....if he really loved Grace why didn't he try to rescue his fiancee
@lilinalamri76432 ай бұрын
Kazi Safi stano na Joshua
@milliegate27302 ай бұрын
Bona unamwambia kwa simu
@omanoman20442 ай бұрын
Huyu mzee stano mumchunguze san
@Kary_2542 ай бұрын
Wah c utafanya atoroke bona unamwambia??ymefanya makosa sana heri ungetracker
@hildanjoki83172 ай бұрын
TRUE IT WILL BE SO DIFFICULT, HE COULD NOT HAVE CALLED HIM,
@milliegate27302 ай бұрын
Stano don’t call the suspect on line live you are giving them chance of disappearing
@vincentayuku20892 ай бұрын
Huyu jamaa angejua, hangedhubutu kucheza na kigosi cha Pasta 🍝 Show. Stano fanya ile kitu
@user-yx4uc5dd6m2 ай бұрын
Mungu awafanikishe
@J1n28912 ай бұрын
Yaani maji haikubeba mtu Kwa ground, ikapanda Hadi first floor ikabeba Grace plot mzima
@Sanyu1482 ай бұрын
stona tunakwamina Sana na team yako huyu Albert anajuwa visuri Mali penye Greece ako
@raelmarete49432 ай бұрын
Lucy na Albert wako pamoja, kama itawezekana muende dirrect kwa Albert na mtawapata uko, na muarakishe b4 they go missing.
@sasharose13552 ай бұрын
Albert know that we're coming for you don't know who you are joking with Huyu ni DCI mwenyewe. Ukiona hadi Comrades reffered this to family to pasta show, ansjua their work.
@ladytosha2 ай бұрын
Maybe madem walikutana kwa Albert then mmoja akaua mwingine na wakamrusha kwa maji kuficha evidence.
@mercysimiyu92262 ай бұрын
Pia hii ina make sence
@lillianmasinza17872 ай бұрын
HOW LONG DID ALBERT TAKE TO REPORT GRACE BEING CARIED BY WATER ? WHAT HAS HE DONE TO RECOVER GRACE ?
@annkaranja12952 ай бұрын
Kama Grace alibebwa na maji bona hakwenda kuripoti ama apigie mamake grace am ajipeleke Kwa akina grace cox anajua kwao nyumbani red flag
@user-uc9vr7jd2p2 ай бұрын
Kwani kwa iyo barabara anasema walikuwa tu wawili.haya kwa iyo apartment yenye anasema maji ilikuwa ikifika kwa.well iliigia ikichangua grace tu
@bethueltahash9272 ай бұрын
Aki its so painful the only child in this family God pigania hii familia Mungu wangu what a painful moments aki marafiki r dangerous
@bethueltahash9272 ай бұрын
Red flag let's pray for grace God to intervine same way God did to brayo
@CatherineMuthue2 ай бұрын
Tumia tracker
@SurprisedBirdBath-qh2nn2 ай бұрын
Albert he knows everything plz hyo alimuuwa ety maji ilimpeba aje xx
@emilyondari47962 ай бұрын
Jesus is aouund the corner if maji yanaweza kuwa selective kiasi hicho cha kuchoose grace tu. Na albert abaki bila kureport kwa wazazi wake.
@Esendi5642 ай бұрын
Huyu mzee amekaa km kuku imetoka kwa maji anajua kitu
@Kary_2542 ай бұрын
Wachana na mzeee hii tabia mmesoea kutusi wazee mtakoma
@YESUNIBWANA-fp4ky2 ай бұрын
Huyu sio arosi 😂😂mzee is clean
@Swalha5772 ай бұрын
Mzee is clean washaa m sanitize
@Esendi5642 ай бұрын
@@Swalha577 oky
@collinskiprono75432 ай бұрын
Mzee ako clean this is not Arozi
@christinekerubo92242 ай бұрын
Very red flag that guy knows where grace is Joshua over to you finya mtu aseme ukweli
@jecintawanjiku98582 ай бұрын
Huyo Jamaa anajua everything, hakubebwa na maji
@christabelimonje49642 ай бұрын
The father is soo guilty .The boyfriend ndio anajua kwenye grace ako
@emmydiana18572 ай бұрын
Big up Big Man Stevo for referring this case to Pasta Show, even the case of Mercy could have been referred here too
@Esendi5642 ай бұрын
Hii suit ta mzee unasema mmbo yote
@user-qv5bs2kh8u2 ай бұрын
😂😂😂😂
@danielmosiria50632 ай бұрын
🙆🤔Jushua make sure hiyo mbuzi , Albert aseme Ukweli aliua Msichana Walai 😭😭
@bethueltahash9272 ай бұрын
What men has turn into in this kenya aki where r we ending as young generation aki Mungu saidia kizazi ya lei
@VaneVane-yo8zr2 ай бұрын
That's not enough 😮Grace akibepwa na maji where was Albert??what did he do?
@juliusseurei46102 ай бұрын
Please track the lady friend to Grace and you will get all the information in her phone 📱, she colluded with Albert to do what they did....
@user-nr2hw3pm6c2 ай бұрын
Love makes ladies to risk aki
@jackiewambui50072 ай бұрын
Woiye Baba ako na stress aki
@assumptamuhia88262 ай бұрын
Albert knows where Grace is Stanno fanya mambo tunakuaminia God will help you mtoto wa mtu c nguo eti utaomba mtu.
@beckymaria21252 ай бұрын
Albert pls bring Grace home , trace Abert may God protect Grace wherever she is??
@sofiaogega9502 ай бұрын
Mulisikia aloys wanauza hadi matiti nowadays binadamu wanauliwa tu juu watu wanakula pesa za uwachi
@user-fj3jg5gm6b2 ай бұрын
Mkona stano polepole, naniyule mzee, stano twakuaminia zaidi pekua kila kitu mpaka mwisho hadi tujue hatima yake grace ni gani.
@winfredgithinji92042 ай бұрын
Stano you are a hero..may God bless you
@user-lh1rn5qm4rАй бұрын
STANO AND JOSHUA MAY GOD CONTINUE BLESSING YOU ABUNDANTLY BECAUSE YOU GUY'S CAN GET A REFERRAL FROM SOMEONE YOU ARE MARVELOUS. LIKES TUKISONGA
@JoyceNyambura-kt9bm2 ай бұрын
Stano you went missing after kupata brayo,,,,,,,,we missed you and welcome back
@everlynechepkoech56492 ай бұрын
Track the numbers..those two culprits knows something
@user-nb7nj5ex4w2 ай бұрын
Albert na lucy wakunywe maji ya pilipili
@monicanderitu73782 ай бұрын
Lucy and Albert wako kitu one....trace them Stano tunakuamiania
@decacheru70652 ай бұрын
Albert and Lucy the have a hand in grace’s missing kama unaona hivyo gonga like tukiwishia our dcl best luck
@emilyondari47962 ай бұрын
Albert ndiye aliua!? Basi!!
@uwimbabaziesperance84782 ай бұрын
Huyo kijana nimuongo alimuuza,sababu kenya wamezoea kuuza binadamu
@danielmaina20012 ай бұрын
That Albert and Lucy washughulikiwe haraka iwezekanavyo
@divinahmachuka18592 ай бұрын
Watu msiwekelee mvua ata kma
@bethdora92552 ай бұрын
Mzee ameathirika yawa😢😢😢😢
@SiaCollins2 ай бұрын
Mmmmmh alibart tayari kimemramba huyo ndio mhiusika mkuu,,,stano DCI tunakuaminia haki itapatikana
@mercymumbi25102 ай бұрын
Ama ni organ harvesting wanafanya 😢😢😢😢😢😢😢
@user-wc1xk7wd5p2 ай бұрын
Tafuteni Albert ASAP 😮
@dennyosoko80752 ай бұрын
By that time where was she while grace alibebwa na maji who were the eyes witness and did he tell them immediately
@emmydiana18572 ай бұрын
This Pasta Show is more of investigative channel than Loyalty test