Mungu akutie nguvu, uendelee kufundisha kweli yake.
@paulsemba_TV5 ай бұрын
AMINA
@ezekielbarnaba57855 ай бұрын
Amen Mtumishi
@stephanomganga97435 ай бұрын
Kweli mtumishi hatuwezi kbadilisha majira.......wenye uwezo Ni Mungu pekee yake ,majira na wakati.......Yeye nilikishaji, na huwapa hekima na maarifa. Asante Mchungaji na hongera kwa timu yote ya Orine TV......😊
@sayi19945 ай бұрын
Sema wala usiogope pastor I real appreciate your message