ALHAJJ: DR. SULLE | HII NDIO SABABU YA MTUME S.A.W | KUSALI MAHALA ALIPOZALIWA NABII ISSA

  Рет қаралды 261,890

MASJID MTORO ONLINE TV

3 жыл бұрын

ALHAJJ: DR. SULLE | HII NDIO SABABU YA MTUME S.A.W | KUSALI MAHALA ALIPOZALIWA NABII ISSA
#Masjid_Mtoro_Online_Tv #DrSulle

Пікірлер: 191
@HabibaSwalehe-bx4wr
@HabibaSwalehe-bx4wr 4 ай бұрын
Mashaalla ww dokta sulle ni kiboko wallah alla akupe umri mrefu uendelee kutufungua Maana wengi hawakulijua hili
@rahmatonystan2691
@rahmatonystan2691 Жыл бұрын
Mashallah
@aishasaid6749
@aishasaid6749 3 жыл бұрын
Hahahaha Allah akuhifadhi akuzidishie riziki za halali siha na afya njema
@nooraallahuakibarumwenyeez3079
@nooraallahuakibarumwenyeez3079 3 жыл бұрын
Huyu shekhe mm ananichekeshaga wallah namkumbuka shekhe nyundo hawezi kuhutubu mawaidha bila kufurahisha hhhhhh Allah akuhifadhi shekhe ktk dini na dunia na akhera pia Allah akuzidishiye kipaji
@sawdaasawdaa7903
@sawdaasawdaa7903 3 жыл бұрын
Imana ya yesu yeye ni nabi na nikiumbe ca mungu ambaye ni mutu na atawakana nanjomana yupo na mamulaka duniyani nambinguni ya kukukana ayo ambayo wamemuzingishia atawakana nakuwahukumiya mumekoseya siyajuwi ayo mambo ya ucristo mimi muislam Allahuma sali wasali MUHAMADI S.A.W
@naimatmussa8746
@naimatmussa8746 3 жыл бұрын
Mashallah Allah
@husnahemedy8376
@husnahemedy8376 Жыл бұрын
Manshallah unatufundisha mengi Allah akulinde na atujaalie tukutane kesho akhera
@jumanjenga7682
@jumanjenga7682 3 жыл бұрын
Good job. Masha Allah. watching from Boston USA
@asiaissa976
@asiaissa976 3 жыл бұрын
Shikran ya sheykh nimekupata vyema allah akuhifadhi yaarabbi
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 3 жыл бұрын
Allah Akbar
@twalaataib9297
@twalaataib9297 3 жыл бұрын
Mashallah Sheikh
@naissabard2519
@naissabard2519 Жыл бұрын
Good
@sawdaasawdaa7903
@sawdaasawdaa7903 3 жыл бұрын
Wambiye wacristo wajuwe uisilam ndiyo dini ya yesu ambao wawo wamepotoshwa nakuwekewa ati ndiye mungu wawo wacristo wamepoteya na ukipoteya hutofika mpaka uelekezwe na coroani inasema nakumaliza mucristo wakweli huamini coroani nakuifata takbir docter sule nawapenda sana ma sheikh Allah awahifazi
@ashaomina1136
@ashaomina1136 3 жыл бұрын
MashaAllah sheikh jazakallah kheir
@TheM1953
@TheM1953 3 жыл бұрын
Mashaa Allah Tabarakallah!
@brothermuslims4130
@brothermuslims4130 3 жыл бұрын
Nimepata elimu n Allah azidi kukupa elimu zaidi ili tujue uislamu wetu
@kulthumsaid2919
@kulthumsaid2919 3 жыл бұрын
Mashaallah
@amirially750
@amirially750 9 ай бұрын
Maashallah
@aminamkumba3549
@aminamkumba3549 2 жыл бұрын
We kichwa, mashaa Allah
@yasalaam590
@yasalaam590 3 жыл бұрын
Amiin amiin amiin Shukran ya heykh
@kakandaali1522
@kakandaali1522 Жыл бұрын
Aksante Sana sheikh
@hafsaali7976
@hafsaali7976 3 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah
@ukhtyruqyah7860
@ukhtyruqyah7860 3 жыл бұрын
Allah akulinde babaangu kesho inshaAllah naenda kuslim nliokoka
@masala8099
@masala8099 3 жыл бұрын
Mashaaallah dada karibu sana ktk uislam kwa sapoti yangu naomba unicheki 0686 142368
@Mbumbuko
@Mbumbuko 3 жыл бұрын
Maashaa Allah
@yasalaam590
@yasalaam590 3 жыл бұрын
Mashaallah sheykh mungu akuhifadhi
@zahramurangara2508
@zahramurangara2508 3 жыл бұрын
Mashallah tabaraka Allah
@mohamediramadhani6120
@mohamediramadhani6120 3 жыл бұрын
Mashaallah!
@jumahamad4419
@jumahamad4419 3 жыл бұрын
Mashallah Dr. Sule...
@huaweiphone1681
@huaweiphone1681 3 жыл бұрын
Mashaallha
@salmanassir7886
@salmanassir7886 3 жыл бұрын
Mashallah Sheikh Sulle
@wakujajuma8952
@wakujajuma8952 3 жыл бұрын
Assalaam aleikum
@zamzamzam3920
@zamzamzam3920 3 жыл бұрын
Shukran sheikh
@sultankinqhussein7136
@sultankinqhussein7136 3 жыл бұрын
Naaam shekh wt
@aishatarimo6780
@aishatarimo6780 3 жыл бұрын
Masha Allah
@musitemusite4316
@musitemusite4316 3 жыл бұрын
Maashaallah
@imeldakibuga4779
@imeldakibuga4779 3 жыл бұрын
Inshaallah ramadhani kariiim
@mohdshebe5640
@mohdshebe5640 3 жыл бұрын
Mashaall Mtoto mzuri huanza na Jina jamani Mashaall
@starboytz3450
@starboytz3450 3 жыл бұрын
Allah azid kukuzidia shekhe watupatia darsa
@rakshanbilally-1341
@rakshanbilally-1341 2 жыл бұрын
Good work 😍👏👏
@abubakarmpole4000
@abubakarmpole4000 3 жыл бұрын
Twayyib.
@umctv3800
@umctv3800 3 жыл бұрын
allah akbar
@majorsaidi7951
@majorsaidi7951 3 жыл бұрын
Mashaalah
@asiaissa976
@asiaissa976 3 жыл бұрын
Subhanallah
@missrukia9661
@missrukia9661 3 жыл бұрын
Mashallhaaa
@jumaomari2808
@jumaomari2808 3 жыл бұрын
nakupenda kwajili ya allah
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 3 жыл бұрын
Ameen 🤲🏽
@hasaditukinge7876
@hasaditukinge7876 3 жыл бұрын
Mashaallh Alla bariki uishi kwenye twaa mpaka mwisho wa maisha yako
@hashirishabani2805
@hashirishabani2805 3 жыл бұрын
Alla akupe mwisho mwema
@saay4273
@saay4273 3 жыл бұрын
Shekhe Shukuran sana
@yasalaam590
@yasalaam590 3 жыл бұрын
Hiyo mech jamani mashallah
@yasalaam590
@yasalaam590 3 жыл бұрын
Waalaikumu ssalam warahmatullahi wabarakatuh
@hajimganda6085
@hajimganda6085 3 жыл бұрын
...
@samirybinaliy2564
@samirybinaliy2564 3 жыл бұрын
umetsha sheh
@msangibakari1521
@msangibakari1521 2 жыл бұрын
Allah mkubwa
@goodluckzmtae
@goodluckzmtae 3 жыл бұрын
tuvumiliane kwenye mambo ya iman
@kambiyusufu7709
@kambiyusufu7709 3 жыл бұрын
Ah yani hutuba ina dakika 24 lakini naona kama ni secunde 2 jinsi maneno yalivyo matamu
@sawdaasawdaa7903
@sawdaasawdaa7903 3 жыл бұрын
Wacristo hawana adabu ku anziya kwa yesu mpaka namanabi wamekana MITUME wote ukimufata muongo nawewe unaitwa muongo akheira InshaAllah Allah anifishe nikiwa muisilamu kamili analinde ayo mandugu washetwani
@aminatatu5692
@aminatatu5692 2 жыл бұрын
Amin sote piya insha allah
@mohammedrajabumwamba1322
@mohammedrajabumwamba1322 3 жыл бұрын
Sheikh sijuinikupe nini dr. Wangu Allah Akujaalie kilalakheri nduguyangu kipenzi bi idhnillah
@s.a.bchannel6014
@s.a.bchannel6014 3 жыл бұрын
Masha allah
@halimakihame1744
@halimakihame1744 3 жыл бұрын
Dr sure we mwisho Allah akulinde
@wakujajuma8952
@wakujajuma8952 3 жыл бұрын
Assalaam aleikum warhamatullah wabarakatuh
@halimakihame1744
@halimakihame1744 3 жыл бұрын
@@wakujajuma8952 walayka ssalam walhmatu llahi wabarakatu
@alwatank8963
@alwatank8963 3 жыл бұрын
Kibaka
@adamgwasa2397
@adamgwasa2397 3 жыл бұрын
Wayahudi kama maji usipoyaoga utayanywa huku unasema kizazi cha wayahudi ni cha ibrahimu huku unasema Ibrahim hakuwa myahudi
@user-cz7kz7cj9v
@user-cz7kz7cj9v 8 ай бұрын
Mwenye Mungu akujaliye,n akuzidishie mara.
@sawdaasawdaa7903
@sawdaasawdaa7903 3 жыл бұрын
Ukiona filamu zawarumi ndio utaona warumu hawamupendi yesu mwenyewe ata kumusikia wanakwepa mafundisho yake aliyopewa na Allah nakutengeneza masilahi yao namafanyikio yawo hawana hoja KWELI
@fathiyaanwar4535
@fathiyaanwar4535 2 жыл бұрын
allahu akbaarr
@HatibuBakari-cp8rt
@HatibuBakari-cp8rt Жыл бұрын
Allah abkar
@khalfanalrawahi3082
@khalfanalrawahi3082 3 жыл бұрын
Hii inaitwa baitul maqdis NA sio baitul maqdas.
@husha6372
@husha6372 Жыл бұрын
Jeremiah 52:31
@humphreymurithi6851
@humphreymurithi6851 3 жыл бұрын
Sarara tunajivanya tunajua
@mlevimweusi5593
@mlevimweusi5593 3 жыл бұрын
haaaaaah'
@themagnet4236
@themagnet4236 3 жыл бұрын
Doctor Tapeli !!!!!
@simaimcha7237
@simaimcha7237 3 жыл бұрын
.
@asiaissa976
@asiaissa976 3 жыл бұрын
Hahaha
@abdullah-eq3lt
@abdullah-eq3lt 3 жыл бұрын
wakina baba na wakina mama tujitahid kuwapa watot we2 majina mazuri
@khalidtv6200
@khalidtv6200 3 жыл бұрын
Hakika ndio maana hata mtume Muhammad S.A.W hakuwapa watoto wake jina la Mama yake "Amina"
@emmakifimbo3855
@emmakifimbo3855 3 жыл бұрын
Wewe mpumbavu Kama mungu ameweza kumpatia mimba bila mume je atashindwaje kumleta duniani hata kwa mwezi mmoja
@kishingokishingo1840
@kishingokishingo1840 3 жыл бұрын
Ufahamu vizuri kwa mujibu wa maandiko tunaelezwa Kama mimba ilitimia miezi Tisa
@cetriclugonyi4452
@cetriclugonyi4452 3 жыл бұрын
Mimba ya isa niya miezi mingapi kwa ushahidi wa quran leta aya achana na bibilia maana muda wa kuzaa nimzi tisa
@mangeraalbert7982
@mangeraalbert7982 3 жыл бұрын
Swali sheikh wetu
@user-jp1do3yh8s
@user-jp1do3yh8s 10 ай бұрын
Mtoto hazaliwi miezi sita,sawa lakinj jibu unalo,Maria alifanya ngono na mwanadamu????
@aswibuchacha7313
@aswibuchacha7313 3 жыл бұрын
Ahahahahahaha mpira wa Simba na yanga nyiye watoto mnaujua ?__ndio__ ! Yes huo huo😀😀 Allah awe nawe
@khalfanalrawahi3082
@khalfanalrawahi3082 3 жыл бұрын
Tunaomba aya iliyosema vinatoka peponi, Qur, an imesema من عند الله. Kwa hio qur, an Haikutaja pepo.
@1nesoch
@1nesoch 3 жыл бұрын
Vimetoka kwako sasa, ao Kariako ? Wewe ulipo andika من عندلله hapo umeisha jijibu we mwenyewe. Zaidi ya hapo itakuwa ni iblis inakuchezea akili.
@khalfanalrawahi3082
@khalfanalrawahi3082 3 жыл бұрын
@@1nesoch Hata mtume muhammad ni من عند الله. Je ina maana mtume kwa kuwa anatoka kwa Allah Ndio maana itakuwa ametoka peponi ?
@1nesoch
@1nesoch 3 жыл бұрын
@@khalfanalrawahi3082 Haya basi, wewe niambie chakula cha Mariyam kilikuwa kinatoka wapi ? Nasubiri jibu .
@khalfanalrawahi3082
@khalfanalrawahi3082 3 жыл бұрын
@@1nesoch هو من عند الله Kinataoka kwa Allah
@1nesoch
@1nesoch 3 жыл бұрын
@@khalfanalrawahi3082 Hiyo unayosema ni tafsiri inayo julikana kama " kalimat bil kalimat " ao kwa jina lingine ni " Tarjamat fauriyat ". Sio " Tafsirul Ma'ani ". Allah yuko kila fasi, lakini bil umuum, inafahamika kwamba Allah yuko pahala panapoitwa Peponi ambapo sisi watu hatujuwi. Ndugu, wewe uko unataabishwa na kitu kinachoitwa: waswasatu nafsi, na hio waswasatu nafsi inatoka kwa iblis ao shaitwan. Allah akukinge na tash'wish za iblis. Allahuma Amin.
@majaliwamaheru5368
@majaliwamaheru5368 3 жыл бұрын
Hv! Wenzetu Elim hz wanazpata kweli?
@uwimanauwimana7692
@uwimanauwimana7692 3 жыл бұрын
soma sana dni utalewa kila kitu 🙏🏾
@abdallahjuma8168
@abdallahjuma8168 3 жыл бұрын
😂🤣😂 umetsha kuhusu ugali!!!
@ismailhassan5662
@ismailhassan5662 3 жыл бұрын
Huyu nimwongo sana tapeli anatoa visa vyauwongo visokua namashiko waislam mashekh hawa msiwasikilize.
@ashuraattanas3704
@ashuraattanas3704 3 жыл бұрын
Muongo mama ako
@ismailhassan5662
@ismailhassan5662 3 жыл бұрын
@@ashuraattanas3704 msenge ww ndomana unanuka kuma malaya ww.
@kishingokishingo1840
@kishingokishingo1840 3 жыл бұрын
@@ismailhassan5662 kwa maneno yako tu unaonesha huna hekma tusimskilize yy anaewaidh watu.tukusikilize ww unaetowa matusi mtandaoni
@ramyramsmkereti8793
@ramyramsmkereti8793 10 ай бұрын
Bro nenda soma sura y 3 tafsir y quran utaelewa ukoo mzma wa yesu
@sawdaasawdaa7903
@sawdaasawdaa7903 3 жыл бұрын
Sasa wanatwambiya wacristo yesu ni MUNGU muku imrani anakuwa nani sasa wamepoteya waje tuwaonyeshe njia nisawasawa nakutembeya na feza fake unakuwa haupo huru
@iam-penolive
@iam-penolive 3 жыл бұрын
Thank your God I don't understand this broken Swahili. Mfitinishaji wa dini mkubwa ww!! Asokuwa na haya Ni ww,unajifanya umekamilika Wala ukamilifu huo sioni 🧐🧐nyooo
@AceB4real
@AceB4real 3 жыл бұрын
rudi kasome vizuri bible we jamaa acha kudanganya wenzako, eti hakuna kitabu kilichoelezea vizuri historia ya yesu kama Quran....Afu kwanza Yesu na Yohana mbatizaji wanawahusu nini.....Si mzungumzie wa kwenu huko au hamna?
@cetriclugonyi4452
@cetriclugonyi4452 3 жыл бұрын
Muongo mkubwa musa na Aaron na marriam wanaitanaje
@kuruthumulikomboleka1735
@kuruthumulikomboleka1735 3 жыл бұрын
Mbona umepanic vp?
@hassanseleman1965
@hassanseleman1965 3 жыл бұрын
Maashaallah
@gshdhvdhf8283
@gshdhvdhf8283 3 жыл бұрын
Sheikh ugali yaitwa PORSHO MEAL...CHUKUA HIYO usiseme hakuna...
@issamohd9955
@issamohd9955 3 жыл бұрын
Tena mwenyeo ndo unajiona bingwa kwakumkosoa sheikh wetu ukweli utabaki palepale kama alivosema sheikh kua jina halisi katika english hakuna kuna vijina vyakuchomeka chomeka tu kama icho kijina chako
@saleemmuhammed292
@saleemmuhammed292 3 жыл бұрын
Mashallah
@bellbell9294
@bellbell9294 3 жыл бұрын
Mashaallah
@Julaybib238
@Julaybib238 3 жыл бұрын
Masha'allah
@khalfanalrawahi3082
@khalfanalrawahi3082 3 жыл бұрын
Hii inaitwa baitul maqdis NA sio baitul maqdas.
@mussamussa952
@mussamussa952 3 жыл бұрын
Umeandika nini?
@ruqayyaharun26
@ruqayyaharun26 3 жыл бұрын
Cjakuelewa
@khalfanalrawahi3082
@khalfanalrawahi3082 3 жыл бұрын
@@ruqayyaharun26 Ndugu sule ameiita Baitul Magdas, NA sahihi inaitwa Baitul Magdis.
@ruqayyaharun26
@ruqayyaharun26 3 жыл бұрын
@@khalfanalrawahi3082 umechapia na ww
@khalfanalrawahi3082
@khalfanalrawahi3082 3 жыл бұрын
@@ruqayyaharun26 Kwa nn?
@babumsiha1573
@babumsiha1573 Жыл бұрын
Mashallah
@mamakerayanmurisho2097
@mamakerayanmurisho2097 3 жыл бұрын
Mashallah
@khalifasheughaa2410
@khalifasheughaa2410 3 жыл бұрын
Mashaallah
@athumaniomary1245
@athumaniomary1245 3 жыл бұрын
Mashallah
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 70 МЛН
HOW DID HE WIN? 😱
00:33
Topper Guild
Рет қаралды 48 МЛН
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 8 МЛН
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 70 МЛН