ALI BONGO ONDIMBA: RAIS wa GABON aliyepinduliwa, ameitafuna nchi bila HURUMA, alianza BABA yake

  Рет қаралды 118,980

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

11 ай бұрын

Follow kurasa zetu za mitandao ya kijamii:
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti

Пікірлер: 218
@Mbeyaconscious
@Mbeyaconscious 11 ай бұрын
Kikubwa Mapinduzi Hayo Yasiwe Ni Uroho Wa Madaraka 🙏🏼🙏🏼
@georgerichard4902
@georgerichard4902 11 ай бұрын
Uwe unasikiliza kwanza unaelewa ndo uncomment
@ndikumanaismail5419
@ndikumanaismail5419 11 ай бұрын
We so happy about new change in Africa we tired 😫 😩 about old generation we need new generation now
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 11 ай бұрын
Mwenyezimungu atusamehe na atuepushe na Tamaa na kuwadhurumu watu,,mungu akikuteua kama kiongozi kuwa muadilifu mana Kuna kesho,,eeh mola tusamehe mazambi yetu sisi waja wako wadhaifu na utupe mwisho mwema sisi na vizazi vyetu innshaala
@Muda27
@Muda27 11 ай бұрын
Amen.
@FatumaMuya
@FatumaMuya 11 ай бұрын
Amiin
@rogerslwitiko3915
@rogerslwitiko3915 11 ай бұрын
Wanajeshi wanaojua wajibu wao kwa nchi zao Mungu awaongoze na wao wasiwe km Watangulizi wao
@kalebphilip3426
@kalebphilip3426 11 ай бұрын
Familia moja imeikula Gabon kwa miaka 55,hvyohvyo na ccm yetu imeitafuna nchi Ni vle wanabebwa tu na katba Ila utafka tu wakat wa Mungu maana malipo Ni hapahapa dunian
@jassonnelly3445
@jassonnelly3445 11 ай бұрын
Nchi yetu sis watu hawana mda wame umbea na udaku baasi kuwaza vitu vya msingi hakuna
@allymwilu8089
@allymwilu8089 11 ай бұрын
Kwakweli tunaangamia😂😂😂😂
@salimalaquimane3077
@salimalaquimane3077 11 ай бұрын
Jeshi Lina taka sale zao tu😅😅😅😅
@rogersiddy
@rogersiddy 10 ай бұрын
​@@salimalaquimane3077ndo wanachokiona chamuhimu kuliko vyote lkn hili wanalofanya wenzao wala hawalioni kuwa lamuhimu zaidi ili kuwasaidia wananchi na kuisaidia nchi pia
@bish_daddiyao
@bish_daddiyao 11 ай бұрын
Mungu Ikomboe Afrika🙌🏾❤️🇰🇪
@anosiata8242
@anosiata8242 11 ай бұрын
Mimi napenda nchi wanajeshi wanaojimbua. Safi sana wanajeshi Gabon.
@shubebunyesi542
@shubebunyesi542 11 ай бұрын
Ndugu pale Gabon hakuna mapinduzi ila kuna bifu ya kifamilia kwann kaka uanakula peke yako na cc tunataka kwaiyo apo hakuna mabadiliko yyte bali ni bifu za kifamilia kwamba upande flani unanufaika kuliko we jiulizie maransa anapiga kelele au marekani c unawaona wako kimyaa manake wao hawakuguswa wanaendelea kula so hakuna shida kwao c umeiona Niger usaransa kakataa kuondoka kisa haitambui serikali basi ya gaboni ataitambua coz haijagusa wala kutishia maslai yake sasa apo utasema mapinduzi au wanagombea ulaji ,, ndugu Sio kila mapinduzi lengo lake Uzalendo hapana kikundi kiomoja kinaona wenzao wanakulakeki ya taifa pekee so na cc tuingie tule lkn c kwaaajili ya maslai ya taifa wala wananchi cjui umenielewa
@nasrinairi9556
@nasrinairi9556 11 ай бұрын
Hii Safi Sana. Pongezi kwa Maamuzi Hayo Kwa Niaba ya Wananchi Wanyonge kwenye Nchi Yao. ✊🔥
@allyhassan7169
@allyhassan7169 11 ай бұрын
Mwanajeshi wa kweli na mwanamapinduzi mzalendo hapa kwetu alikuwa hayati maqufuli bahati mbaya alikuwa jeshi la mtu mmoja aliyejitolea uhai wake kwa kuwatetea wanyonqe wa Tanzania kutoka raslimali zao tunaimani ukombozi wa Africa utaenea bara lote dhidi ya mabeberu na vibaraka wao wote
@Halfanhemedi-ec2cp
@Halfanhemedi-ec2cp 11 ай бұрын
kamtetea nani kajitetea mwenyewe mi anayenitetea ni aliyeniumba tu
@rogerslwitiko3915
@rogerslwitiko3915 11 ай бұрын
​@@Halfanhemedi-ec2cpUpo sahihi Bro Wazalendo wa kweli walikuwa ni wakina Mwl.Nyerere, Thomas Sankara,Colonel Muammar Gadaffi,Kwame Nkrumah,Gamal Abdel Nasser,Patrice Lumumba na Ahmed Ben Bella wengine waliofuata ni Wachumia matumbo yao
@Halfanhemedi-ec2cp
@Halfanhemedi-ec2cp 11 ай бұрын
watu wengine akili mchwa
@rogerslwitiko3915
@rogerslwitiko3915 11 ай бұрын
@@Halfanhemedi-ec2cp Hakika Mtaalamu
@lucasngalawa8826
@lucasngalawa8826 11 ай бұрын
Binafsi mimi magufuli kwangu ni shujaa❤❤❤❤
@IsaacParuz
@IsaacParuz 11 ай бұрын
Proudly sns Asanteni sana sns Kwa kutujuza mambo ya msingi sana
@Muda27
@Muda27 11 ай бұрын
Mioyo inaumia,tunasikitika,tunateseka ila Mungu anasikia kilio chetu..muda wa Mwenyezi Mungu ndio muda sahihi.
@lilianambokile6832
@lilianambokile6832 11 ай бұрын
Kabisa
@redockbracard9455
@redockbracard9455 Ай бұрын
We're so happy with our lovely new generation African leaders
@allymtunge5530
@allymtunge5530 11 ай бұрын
Asante kaka skay kwa makala nzur sns ninatuabalisha vizur
@thomsanga7956
@thomsanga7956 11 ай бұрын
Makala nzuri sana aisee 👏🏿👏🏿
@emmanuelmwakibolwa735
@emmanuelmwakibolwa735 10 ай бұрын
Tamaa ni kitu kibaya sana. Fikiria mtu ungekwapua uchumi wote wa nchi. Ni maisha yepi hayo utakayoishi ambayo ni tofauti na maisha ya mwanadamu? Kumbuka sote tunakula, tunaugua, tunalala, tuanakufa. Kama ni chakula ni kile kile tu, kama ni wali ni ile ule, kama ni nyama ni ileile, kama mbuzi ni wale wale tu, kama ni kuku ni wale wale tu, tena wa kienyeji ni watamu zaidi, tena usipokula mboga mboga za majani unatafuta matatizo, je kuna wali wa dhahabu, kuna nyama ya tanzanite! Je, kuna pizza za almasi? Je, au ni sahani na vijiko vya dhahabu? Ndio tuite tunakula maisha??? Ni nini tukikila tunakuwa tofauti na wanadamu wengine?? Au tukisafiri sana Ulaya au America tunakuwa tofauti kivipi? Je, afya yetu itabadilika? Au hivyo tutakavyoviona huko vinatuongezea nini maishani? Au tukiwadhulumu wananchi na kuwaibia kwa ufisadi tunatofautiana vipi nao?? Je, kufa kwetu kutatofautiana? Je, hao hawatazikwa na kusahaulika kama wengine tu??? Je, kuiba uchumi wa nchi nzima kumemsaidiaje kiafya??? Mbona mguu wake mmoja umeshakufa angali yu hai??? Pesa alizoiibia Gabon zimemsaidia nini?? Mbona anatetemeka na kuweweseka tu??? Pesa imemsaidia nini??? Mbona aliowaibia wananchi maskini wana afya zao wanadunda vizuri tu??? Fahari iko wapi?? Wananchi Aliowaibia na yeye, ni nani aliye nafuu??? Japo wengi wamelala njaa mara kadhaa, lakini tofauti yao na huyu rais ni nini kwa sasa??? Tumwogope Mungu! Mungu anapotupa nafasi za juu kama hizo ni ili tuwatumikie wananchi sio, tutumikie matumbo yetu!!!! Aibu huwa haiwagi mbali itawapata tu siku moja!! Hata wangeficha mabillioni ya dollar nje ya nchi, hawawezi kukwepa aibu na kifo. Siku ikifika wala hizo pesa hazitawasaidia kabisa. Aibu ya mwisho inakuwaga ni mbaya kuliko utukufu wao waliojipatia walipokuwa madaraka ni!! Tumwogope na kumheshimu Mungu!!!
@victormalelemba4324
@victormalelemba4324 11 ай бұрын
Mungu ibariki africa yajayo yanafurahisha kinachofuata nchi zote viongozi ambao ni mafisadi wapinduliwe
@esternjauzi6310
@esternjauzi6310 11 ай бұрын
Nakupendaga we kijana simulizi zako asante kwa taarifa nzuri
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 11 ай бұрын
❤kwa brog yenu kwa uchambuzi mzuri na hasa jamaa namwelewa Sana ❤ djsma kupasua brog za umbea tupa kule mbelembele
@MrNoNonsenseYes
@MrNoNonsenseYes 11 ай бұрын
Blogg*
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 11 ай бұрын
@@MrNoNonsenseYes sawa nimekuelewa
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 11 ай бұрын
Asante sana my brother from another mother
@emanuelyigwira2511
@emanuelyigwira2511 11 ай бұрын
Bro wewe ukiweka sauti yako ktk simulizi Aise u sound so professional, sound track iko poa sana
@SaimonKazimoto-xt1zo
@SaimonKazimoto-xt1zo 11 ай бұрын
Kweli kaka lakini kumbuka atujui anavo waalika malafiki zake kitatokea Nini ila namalizia Afrika bara tajiri sana ila imekua ni mladi mkubwa sana kwa wazungu wanafulai kuona tuna uwana waafrika wao wanatumia nafasi iyo kuiba Mali zetu sio sawa inauma sana mungu ibariki gaboni isitokee vita tuiombee gaboni
@libetztanzania-kiswahilina2845
@libetztanzania-kiswahilina2845 11 ай бұрын
Kwani Bongo familia Kama za BONGO OMARI MBONA ZIPO NDO ZINATAFUNA KEKI YA TAIFA.KILA MMOJA ATAKULA KWA UREFU WA KAMBA YAKE😢😢😢😢
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 10 ай бұрын
Kweli kabisa
@libetztanzania-kiswahilina2845
@libetztanzania-kiswahilina2845 10 ай бұрын
@@christinewomanoffaith5479 BABA RAIS MSTAAFU, MAMA MBUNGE , MTOTO MBINGE NA WAZIRI SASA KUNA TOFAUTI GANI HAWA WATANZANIA NA FAMILIA YA MSEVENI AU KAGAME 🤣🤣Tanzania mnawafaham mpaka wakww
@shabiruponera4323
@shabiruponera4323 11 ай бұрын
Uganda munakwama wapi😂😂
@user-bu9hc1tp8y
@user-bu9hc1tp8y 10 ай бұрын
Noma
@isaacgwams8080
@isaacgwams8080 11 ай бұрын
Kaka tunashukuru sana kwa habari hii,
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 10 ай бұрын
Aisee haina tofauti na uganda,looo🙌🙌
@user-qy5qw1jv4s
@user-qy5qw1jv4s 11 ай бұрын
Yaani mi nasema je nchi zetu nyingi za afrika zinaita kufanyiwa hivyo,maana marais wengi wa afrika wamejifanya miungu watu kutaka kutawala milele tena kwa matumizi mabaya ya madaraka kwakutujali raia wanaowaweka madaraka,mi naona mapinduzi yaanedelee tu labda wengin akili zinaweza kuwasogea
@rahmahersi6584
@rahmahersi6584 11 ай бұрын
Asante kwa Historia....
@Bama959
@Bama959 11 ай бұрын
Bro Sky tunataka makala ya utawala wa kikwete nayo pia maana hata yeye ni kama huyu mamba Bongo.
@ahmuhally4430
@ahmuhally4430 11 ай бұрын
Mambo hayo azungumzie Mtangazaji wa Nchi nyingine ila yeye atafunguliwa mashtaka
@zainabwage4658
@zainabwage4658 11 ай бұрын
Umtakii mema sky 😂😂😂
@khadijazungu8627
@khadijazungu8627 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 labda azifanye kisha azitume kwa mtu wa nchi nyengine aichambuwe tena huyo mtu awe msiri wake hivi hivi watamuuwa paleeeee
@salmaalimusa6809
@salmaalimusa6809 11 ай бұрын
Haswaa maana lilikuwa jizi kweli kweli hilo jamaa
@BonnyMwajombe-iu7hb
@BonnyMwajombe-iu7hb 10 ай бұрын
​@@salmaalimusa6809 salma Acha hila hata wewe upate urais utakwiba tu ,
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 10 ай бұрын
Familia 1?? 1963 mpk 2023?🙌🙌🙌😩😌Lord have mercy 55 yrs???? Nyie noma aiseee
@user-mq3nv2qr4g
@user-mq3nv2qr4g 12 күн бұрын
Yuko wapi sasa fanya ufanyavyo Ila mungu anakusubiri
@lindidistrictcouncilchanne2671
@lindidistrictcouncilchanne2671 11 ай бұрын
Napendeleza Mr Bundala nakala hizi kuziita nyuzi 360
@mdl6463
@mdl6463 11 ай бұрын
Tatizo africa nzima na mimi nikiwemo ni wapumbafu sana Kuna familia zinajifanya kama hawakukopeshwa school fees na serikali wanapata hela wasahau walikotoka usengerema kabisa upo 😅😅😅😅
@renatusrevocatus3895
@renatusrevocatus3895 11 ай бұрын
😄😄😄😄😄😄
@sponsor7882
@sponsor7882 11 ай бұрын
bado uganda na rwanda
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 10 ай бұрын
Kwakweli Nao wajanja Wameweka watt wao kwenye wizara za ulinzi ,ila ipo siku
@Callkingb
@Callkingb 11 ай бұрын
Kazi nzuri sky na mtayalishaji
@user-bq9jt9uj7q
@user-bq9jt9uj7q 11 ай бұрын
Bro your the best story teller
@hamoudcreator6343
@hamoudcreator6343 11 ай бұрын
Asingepinduliwa, NAAMINI hizi makala za Leo, tusingezipata🥴🥴
@Gody360
@Gody360 11 ай бұрын
Wapigaji wote wapigwe chini
@yayananajota5838
@yayananajota5838 11 ай бұрын
Pls God make thing happen in est Africa, in Indian Ocean pls pls🙏🏽🙏🏽🙏🏽🌊
@georgeoketch9027
@georgeoketch9027 11 ай бұрын
The Same should b e done in Kenya
@pmctv787
@pmctv787 11 ай бұрын
Bundala we ni noma
@musaakida9951
@musaakida9951 11 ай бұрын
Bado bongo 😢😢
@khadijarashidy9304
@khadijarashidy9304 11 ай бұрын
Kwani sky hajawahi kupata tunzo ya mtangazaji bora wa TANZANIA jamani dah!
@zainabwage4658
@zainabwage4658 11 ай бұрын
Anastahir kwer ipo sk atapata tu
@ThomasMaico-wm4or
@ThomasMaico-wm4or 11 ай бұрын
Asanteee sana sns mnatoe elimu ya bure 🙏🙏
@tatujuma8781
@tatujuma8781 11 ай бұрын
Toeni izo takataka uku afrika
@jacobmlumbe6653
@jacobmlumbe6653 11 ай бұрын
Bro una jua sana
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 11 ай бұрын
Ahsante sana #Sky Na #360... we are together 😊
@user-qy5qw1jv4s
@user-qy5qw1jv4s 11 ай бұрын
Hongera kwa wanafanya mapinduzi safi sana
@luckymsomba4818
@luckymsomba4818 11 ай бұрын
ifike kipindi nchi ziwe zinaendeshwa na makamanda sio hawa kuku wa kisasa waliokalia ikulu.yaan rais hawezi hata kujitetea mwenyewe halafu eti ndio amri jeshi mkuu.mfalme inabidi ajue kuipigania nchi yake
@jeffyasin2977
@jeffyasin2977 11 ай бұрын
Sometimes najiuliza sana hivi watu hawaridhiki mbona ukiwa unakula vzr unafamilia unaweza kula utakacho na kwenda popote inatosha sio lazima uwe na mabillion peke yako dah maisha yenyewe haya ya kupita tu mbona me nashangaa sana kwa kweli asee sijawahi kuelewa watu wanatamaa gani kwenye haya maisha
@davidmarik4633
@davidmarik4633 11 ай бұрын
Binadamu aridhiki ata apewe nni tumeumbiwa Tamaa nikurudishe nyuma kilocho waponza Adam na Eva ni Tamaa kwahyo ata uwe bilione wa namna gani Bado tuu autaridhika
@lalesmhina5090
@lalesmhina5090 11 ай бұрын
​@@davidmarik4633uhakika
@user-tv5rb2ef6d
@user-tv5rb2ef6d 11 ай бұрын
Jeshi letu la Tanzania limezubaa sana, ndiyo maana wengine Wana mavitambi mpaka raisi wao anawashangaa
@mwamudaniel7912
@mwamudaniel7912 11 ай бұрын
Message well sent
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 Ай бұрын
Jana niliskusa mahojiano Na TBC huna baya kk
@jotafungo4622
@jotafungo4622 11 ай бұрын
Safi sana wajeda
@hassangaddafi2347
@hassangaddafi2347 11 ай бұрын
Viva Putin viva African ❤❤ Kitawaramba wote fibaraka Viva African 🇷🇺🇷🇺🇷🇺💪🇰🇪🇰🇪
@MrNoNonsenseYes
@MrNoNonsenseYes 11 ай бұрын
Vibaraka*
@monicahovda5890
@monicahovda5890 11 ай бұрын
Yaani Africa imejaa vibaraka SiO Viongozi Bali ni vibaraka na masrahi Yao. Hata Tanzania Bongo wapo Vibaraka Bara lote hili
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 10 ай бұрын
Kenya afadhali, Uganda je?
@moxasaidi3398
@moxasaidi3398 11 ай бұрын
Hata tanzania miaka 63 sasa ipo na chama kimoja kinachoendeshwa na muengereza rasilimali zote zipo chini yao kabla kupata uhuru tanzania mpaka leo hii tumefunga nao mkataba
@yohanalemaiyan3076
@yohanalemaiyan3076 11 ай бұрын
Absolute power corrupt absolutely!...mchenzi bila ubongo!...!
@AndrewPaul-wy6qq
@AndrewPaul-wy6qq 11 ай бұрын
Babukubwa sky💪✊
@vidomwape7768
@vidomwape7768 11 ай бұрын
Ndio saut sasa.❤
@lilianjeremia1024
@lilianjeremia1024 11 ай бұрын
Yaan waafrica n huongozi jmn dah bdo museven
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 10 ай бұрын
Mshenzi sn
@tizzyboy7745
@tizzyboy7745 11 ай бұрын
Obrigado por esta vídeo brw
@herbertygeofrey2724
@herbertygeofrey2724 11 ай бұрын
Akaimbe muziki si alikuwa msanii uyo alii bongo
@zainabwage4658
@zainabwage4658 11 ай бұрын
Tena amapiano zitamtoa tu 😂😂😂
@moseskulola6913
@moseskulola6913 11 ай бұрын
Nakukubali sana makala zako ..uzidi kututiha raha
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 10 ай бұрын
Eti hajui mtt wake wa kiume alipo wala mkewe! Wamwachie na familia yake akafie mvele huko Apigwe exile apelekwe nchi nyingine! Hizo mali huko ufaransa zipigwe bei pesa irudishwe Gabon
@silvanuskisinza4303
@silvanuskisinza4303 11 ай бұрын
Hakuna jipya unalojaribu kutuambia hapa nikiongozi gani wa Africa unaweza kumtofautisha na huyu bwana? Huo ndo mfumo wa watawala wa Africa. Angalia uganda zimbabwe kongo zote. Cameroon angola etc. Hakuna jipya hapo.
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 11 ай бұрын
Dah! Ingekuwa Dunia Inadumu tungeshakufa masikini sote.
@mohamedismail2662
@mohamedismail2662 11 ай бұрын
Makala nzuri sana
@mwajumabinwa604
@mwajumabinwa604 11 ай бұрын
huu nihukoo waajabu 😩😱😱
@hajimnubi4581
@hajimnubi4581 11 ай бұрын
Babaake mnigeria bongo sio baba yake mzazi
@samuelkimaniwanjiru3343
@samuelkimaniwanjiru3343 10 ай бұрын
Huyu na Uhuru Kenyatta Ni same
@ndikumanaismail5419
@ndikumanaismail5419 11 ай бұрын
He must be arrested Ali bongo Gabon 🇬🇦 is not kingdom no or Africa is not kingdom one family must be finish all the country we saying never never never the must put all family in side jail
@allymwilu8089
@allymwilu8089 11 ай бұрын
Mmbwa kabisa hawa piga risasi za kichwa wote wakajibie kuzimu huko😂😂😂
@user-fl5mt6dm9o
@user-fl5mt6dm9o 11 ай бұрын
Good history!!
@chembamsangi
@chembamsangi 11 ай бұрын
Acheni viongozi ving'ang'anizi wakutane nacho.
@hallin9561
@hallin9561 11 ай бұрын
wanajeshi wetu wapo bize kuwakamata watu waliovaa magwanda ya jeshi
@monicahovda5890
@monicahovda5890 11 ай бұрын
😅😅😅😅😅. Wana uyaga uyaga Mwingi Yaani wamejawa na usingizi wa ujinga. Stupid,dum. Kwani Mabadiliko ya Nchi Jeshi linausika kuweka nchi kwenye mustakabali wa Taifa bila kumwaga Damu æ. Pindi pale Wananchi hawajalidhia uongozi
@KhalifaMkali
@KhalifaMkali 11 ай бұрын
Bundara unajua saana sio kama yule chalii wa fuse.... 😃😃😃😃 Big up brooh
@surusuru1994
@surusuru1994 11 ай бұрын
Subutu hawezi kurdi hii ina itwa bai bai
@leoncebenjamin8107
@leoncebenjamin8107 11 ай бұрын
Kama hapa bongo
@aminishebwana8660
@aminishebwana8660 11 ай бұрын
Simulizi nzuri kuliko Dj sma.
@salmamzashi3609
@salmamzashi3609 11 ай бұрын
We pambn na Hali yko
@vidomwape7768
@vidomwape7768 11 ай бұрын
Sns muwe mnasoma comment zetu basi yule jamaa ambae anaita Dj hatumuelew kitaan kwetu imekuwa gumzo saut yake hatujaipenda,
@josephvenus3259
@josephvenus3259 11 ай бұрын
Bado bongo tunayahitaji hayo mapinduzi tu 😠😠😠
@RobertUledi
@RobertUledi 11 ай бұрын
Natamani ingekuwa Tanzania 🇹🇿 ningefurahii sanaa sio kwa maisha hayaa
@sebastianmwantuge5597
@sebastianmwantuge5597 11 ай бұрын
Tanzania labda Wananchi tufanye hivyo lakini kwa mfano wa Gabon, Burkina Faso,Niger usitegemee uchawa umetawala
@tatujuma8781
@tatujuma8781 11 ай бұрын
Mmhh si heri kwenu..njoo kenya uone maxingaombwe
@user-hx3fl4iz2k
@user-hx3fl4iz2k 11 ай бұрын
Nakupata mkuu
@johnphilipo6760
@johnphilipo6760 11 ай бұрын
Hii story ita-hadithiwa tena mwaka flan kuhusu Tz (nipo nimekaa pale)
@makenaOG
@makenaOG 11 ай бұрын
Endelea kukaa lakini ujue haitakuja tokea
@salmaalimusa6809
@salmaalimusa6809 11 ай бұрын
​@@makenaOG😂tulivo waoga akaaaa
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 10 ай бұрын
Bila kusahau Uganda
@sekiondowarema1786
@sekiondowarema1786 11 ай бұрын
SNS, ni wachambuzi mubashara..Hongereni ila hizi habari c za Gabon pekee ni kila taifa la Afrika linatamani ivo.....😀
@peninacharles9757
@peninacharles9757 11 ай бұрын
Sky ♥️♥️❤️
@AishaSalaga-rv7sb
@AishaSalaga-rv7sb 11 ай бұрын
Where is dj Sam kuja hapa Bundara is at work,,,,u need to learn from him
@thieryniyonkuru5023
@thieryniyonkuru5023 11 ай бұрын
Si museme njinsi serekali ya Tanzania ilivyochomoa gia ya kubadisha sheria ya natural resources wealth? Mama ajiandae 😏😏😏😏🇹🇿☹️☹️☹️
@charlesngamia8006
@charlesngamia8006 11 ай бұрын
Anaitwa bongo na Hana akili huh
@hallin9561
@hallin9561 11 ай бұрын
viongoz wote wa Africa wanamioyo ya ushetani sana, siku waafrika watakapoamka watakuta mataifa ya kizungu yamejengeka kupitia rasilimali za Africa, Africa imebaki mashimo tu, Marais wengi akili zao sio timamu
@mtindikoja8837
@mtindikoja8837 11 ай бұрын
Gaboni nifamilia yabongo, huku Tanzania no familia ya CCM hakuna tofauti sana nahuko gabon
@givenmalatu4146
@givenmalatu4146 11 ай бұрын
Hivi kwann mnajua madhaifu ya mshikaji baada ya kupinduliwa
@hamzamussa7081
@hamzamussa7081 11 ай бұрын
Kuna makala kibao za zamani youtuber kadhaa walishafanya kumuhusu
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 11 ай бұрын
👊✌️👍.
@charlessikoi1657
@charlessikoi1657 11 ай бұрын
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 11 ай бұрын
Samia nae yuko njiani
@mussakiziyzi408
@mussakiziyzi408 11 ай бұрын
Ana asili ya Bonqo nin ?
@albertinamichael6123
@albertinamichael6123 11 ай бұрын
Kama ilivyo Tanzania kwa sasa baada ya Nyerere.
@user-oy3xw9jb4o
@user-oy3xw9jb4o 11 ай бұрын
Kwani milad ayo unamatatzo gan
@DanielShilugu-hd3uq
@DanielShilugu-hd3uq 11 ай бұрын
Nimewai kuongea kuhusu ngorongoro na roliondo mlikataa mmeona kinachoendelea kalatu
Schoolboy - Часть 2
00:12
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 9 МЛН
Советы на всё лето 4 @postworkllc
00:23
История одного вокалиста
Рет қаралды 4,8 МЛН
Получилось у Миланы?😂
00:13
ХАБИБ
Рет қаралды 6 МЛН
The Story Book: Wapenzi waliotikisa dunia kwa Kuua na Ujambazi
26:52
Schoolboy - Часть 2
00:12
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 9 МЛН