ALICHOKISEMA 'SUGU' BAADA ya KURUDISHA FOMU ya UBUNGE MBEYA MJINI.....

  Рет қаралды 46,277

Global TV  Online

Global TV Online

3 жыл бұрын

ALICHOKISEMA 'SUGU' BAADA ya KURUDISHA FOMU ya UBUNGE MBEYA MJINI.....
ALIYEKUWA Mbunge Wa Jimbo la Mbeya mjini kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Joseph Mbilinyi “Sugu” amepitishwa kuwa mgombea Ubunge kwa mara nyingine baada ya kukidhi vigezo viliyowekwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
Sugu amerejesha fomu za uteuzi mapema hii leo kwenye ofisi za Tume na kupokelewa na Msimamizi wa Uchaguzi jimbo la Mbeya la Mjini Amede Ng’wanidako ambayae amezikagua na kukiri kuwa zimekidhi vigezo.
Tofauti na wakati wa kuchukua fomu leo hii Sugu amerejesha fomu hizo kimya kimya bila kuwa na maandamano huku akiambatana na viongozi wachache wa chama chake.
Na mara baada ya uteuzi huo Sugu ameishukuru Tume huku Msimamizi wa Uchaguzi Ng’wanidako akimtakia maandalizi mema ya kampeni za uchaguzi.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 64
@hizim6699
@hizim6699 3 жыл бұрын
Sugu bhan
@jamessolomon258
@jamessolomon258 3 жыл бұрын
Mbeya prezdar
@ndeletwaswai3530
@ndeletwaswai3530 3 жыл бұрын
Tulia kimavi tu,sugu kamgaragaze hana jipya pimbi tu yule,Chadema woyoooo,ccm nzi wa chooni kanyaga baba hamna cha tulia wala nyamaza hapa.
@helenibe9339
@helenibe9339 3 жыл бұрын
Yaani sugu ni motto chini anajiamni kuliko hata maprofesa wa chou kikuu sijui angesoma ingekuwaje !! Please 5 more years for Sugu oho tunamuita Sugu keep it up bro.
@benedictoshadrack2573
@benedictoshadrack2573 3 жыл бұрын
Sugu bwana eti kukimbiza mwizi kimya kimya aise umenifurahisha uko vzr
@issackchalahani1235
@issackchalahani1235 3 жыл бұрын
Sahihi kabisa, hongera KIONGOZI na Rais wangu wa Jamhuri ya Watu wa Mbeya.
@aokinsindi6948
@aokinsindi6948 3 жыл бұрын
Ila jana hawa wenye jezi waliboa sana watu maandamano toka soweto_mjini wangekuwa wapinzan spati picha
@hijakisoro5376
@hijakisoro5376 3 жыл бұрын
Du! Jamaaa!
@michasonjudge7348
@michasonjudge7348 3 жыл бұрын
Ahsante sana sugu
@frediricknandonde1690
@frediricknandonde1690 3 жыл бұрын
Leo no miwani dadeki
@mathiasmsese6128
@mathiasmsese6128 3 жыл бұрын
Kutii sheria na mzuka ni vitu viwili tofauti hapo naona umekomaa. ila kwa hapa mbeya bro tafuta kazi nyingine mama anatisha. yaani jipange sana ukicheza tu tafuta draft na jiko la kahawa.
@habibaathuman9239
@habibaathuman9239 3 жыл бұрын
Pga kelele kwa chadema akeee weweeeeeeeeeeee
@ibrahimmwanza6162
@ibrahimmwanza6162 3 жыл бұрын
Jongweeeeeeee
@selemankishema5780
@selemankishema5780 3 жыл бұрын
Do!!!!!
@emanuelgaddafi7651
@emanuelgaddafi7651 3 жыл бұрын
Ok kapige KAMPENI ya kuaga bunge
@ayubungombe2128
@ayubungombe2128 3 жыл бұрын
Usjali
@Tanzaniawildcats
@Tanzaniawildcats 3 жыл бұрын
Sawa Mkuu
@abdullakhamis792
@abdullakhamis792 3 жыл бұрын
Ww ndie sugu ,sugu kwe na tuna kukubali sugu
@shomarykhamis9711
@shomarykhamis9711 3 жыл бұрын
Hakuna wa kukutoa Kamanda hpo,hata tukiweka jiwe,labda watumie nguvu zao, za dola,
@lupastarentartainment7144
@lupastarentartainment7144 3 жыл бұрын
√√√√√
🔴#Live: YANGA WAFANYA KUFURU MAPOKEZI YA TIMU AIRPORT MUDA HUU
1:35:04
Global TV Online
Рет қаралды 11 М.
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 14 МЛН
Cool Items! New Gadgets, Smart Appliances 🌟 By 123 GO! House
00:18
123 GO! HOUSE
Рет қаралды 17 МЛН
Как бесплатно замутить iphone 15 pro max
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 7 МЛН
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 14 МЛН