Alichozungumza Diamond Platnumz na Hamisa baada ya kutoka Mahakamani

  Рет қаралды 80,567

Millard Ayo

Millard Ayo

6 жыл бұрын

Leo February 13, 2018 stori inayoshika headlines ni ya Kimahakama ambapo Nyota wa muziki wa Bongo fleva na President wa WCB, Diamond Platnumz na Mwanamitindo Hamisa Mobetto wamerudi tena katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa ajili ya kuweka rekodi baada ya usuluhishi wao kuhusu matunzo ya mtoto wao.

Пікірлер: 126
@khamiskhamis5323
@khamiskhamis5323 6 жыл бұрын
Dahhh,,Mungu atustir tusizini na kuzaa nje ya ndoa zetu kwan uko nikumkosea Mungu,,na kumnyima haki mtoto,,,zinaaa si kitu kizur tuwache hizi tabia za kuzini jaman,,adhabu za mungu hatuziwez jaman,,
@marymayeye7947
@marymayeye7947 6 жыл бұрын
Khamis Khamis , shuguru kama wazazi wako bado pamoja .
@tuzomapunda7749
@tuzomapunda7749 6 жыл бұрын
mbona kila wakienda mahakamani wanamech mavazi au wanapigiana cm kabla ya kutoka
@alindagervas6308
@alindagervas6308 6 жыл бұрын
hapo chachaaaa, hapo unaambiwa usilolijua sawa sawa na usiku wa giza, Amisa oyooooo
@uledimtumwa3045
@uledimtumwa3045 6 жыл бұрын
Wazinifu bhana!!!,kunawatu wanashabikia huu uchafu.
@agnestamajaliwa142
@agnestamajaliwa142 6 жыл бұрын
Uledi Mtumwa brother hakuna mwanadamu amewahi kuwa msafi ebu tuambie wewe ujawahi kuzini hongera wewe ulieoa ndo ukaanza kufanya nyie binadamu uwa mnashangaza sana ndo maana yesu alisema mwache asiekuwa na dhambi arushe jiwe kwanza.
@sharonjuma2588
@sharonjuma2588 6 жыл бұрын
+Agnesta Majaliwa umeona eeeh
@TanzanianStars
@TanzanianStars 6 жыл бұрын
we dem ako baba ake anakujua???
@abtehseen2391
@abtehseen2391 6 жыл бұрын
Agnesta Majaliwa tatizo ni kushabikia UZINIFU
@stanydizzy480
@stanydizzy480 6 жыл бұрын
Daaah watu wanampenda simba asee et ata salaam tu
@ptaylor9107
@ptaylor9107 6 жыл бұрын
Sasa twangoja Hamisa umpeleke Majizo pia kwenye hicho kituo pia uandikishane naye pesa ya Fantasy...ama tu Diamond ndio Bank Account? Be independent, coz haujui ya kesho Mungu amepanga vipi. Leo pesa ipo, kesho hakuna.
@mariamjuma4589
@mariamjuma4589 6 жыл бұрын
Patricia Taylor sasa km majizo analea mwanae apelekwe huko kufanya nn
@ptaylor9107
@ptaylor9107 6 жыл бұрын
Ukweli Maria, lakini kama angetulia hawangefika hapa: Yeye alitaka atambuilshwe kama mwanamke wake yet she's the one who went into Zari's bed. Mimi kamwe siwezi afadhali unipeleke hotelini kwanza kaka anahela, anaweza. Anyways, it's not good for the child. I hope she's learned from this and many others. It's tough to be a side chick!!
@marthagathoni503
@marthagathoni503 6 жыл бұрын
Kweli wazazi hata nguo mwafananisha
@erickmoshy5404
@erickmoshy5404 6 жыл бұрын
Hamissa kapendeza jmn
@ruqaiyahali8055
@ruqaiyahali8055 6 жыл бұрын
Safi sna maisha yasonge mbereee
@saitotisaitoti6734
@saitotisaitoti6734 6 жыл бұрын
Juzi mlivaa nguo nyeupe leo nyekundu nyie mnapendana nyie
@omarychediel1307
@omarychediel1307 6 жыл бұрын
Safi sn wazazi hongereni
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 6 жыл бұрын
Sawa SIMBA 👏👏
@kibokongurai5090
@kibokongurai5090 6 жыл бұрын
leo nimekuwa wa tatu kucomment ahahahhahah,safi sana wazazi wote
@khamickhamictwarib8681
@khamickhamictwarib8681 6 жыл бұрын
safi
@perfectpino5898
@perfectpino5898 6 жыл бұрын
njooo ujione studio za WCB zilivyoo kwa ndani akuna mfaano
@rosechami649
@rosechami649 6 жыл бұрын
Heee Leo tena
@masiihiddajjaal
@masiihiddajjaal 6 жыл бұрын
First to comment for the first time! 😂🙌🔥
@karwithakellen9828
@karwithakellen9828 6 жыл бұрын
Swafi Sana Mr & mrs
@frankjully5457
@frankjully5457 6 жыл бұрын
diamond hajaoa
@karwithakellen9828
@karwithakellen9828 6 жыл бұрын
frank jully saa hii unaweza waita Mr & Mrs coz wametoka kujadiriana vyenye watalea mtoto wao so kati ya hao madame wake zari,wema na Amisa akuna mwenye anafaa atusi mwingine coz akuna mwenye ako na marriage certificate.
@ezapesambili2902
@ezapesambili2902 6 жыл бұрын
Hata Salam wandish wanalizika kwel mtu mkubwa Simbaaaaa
@zainabally9298
@zainabally9298 6 жыл бұрын
Umeongea vizuri chibu
@mwajumakweli6753
@mwajumakweli6753 6 жыл бұрын
Mme fanya vizuri hila Hamissa ana takavyote anataka ma2 nzo ya mtoto na mapenzi
@benimagaya7966
@benimagaya7966 6 жыл бұрын
Mngekaa Muyamalize Bila Kwenda Mahakamani Maana Inakuwa Kudhalilishana Simbaaaaaa 🔥🔥
@shosemanjira3076
@shosemanjira3076 6 жыл бұрын
Simpendii huyoo Chang hamisaa alizanishia atapata million 5 nyooo
@ziporakaulimbo3690
@ziporakaulimbo3690 6 жыл бұрын
Familia
@tiffahtiffah7881
@tiffahtiffah7881 6 жыл бұрын
nikweli baba
@faidadusabe9249
@faidadusabe9249 6 жыл бұрын
mmecomplet mavazi, raha sana
@josephjuma1489
@josephjuma1489 6 жыл бұрын
frank umetisha
@mariamangel1264
@mariamangel1264 6 жыл бұрын
Amisa anatama sana
@sabrinabakari9697
@sabrinabakari9697 6 жыл бұрын
inapendeza
@frankjully5457
@frankjully5457 6 жыл бұрын
mtoto ni wa ruge au kusaga diamond balozi tu
@joycejoyce6442
@joycejoyce6442 6 жыл бұрын
frank jully 😂😂😂😂😂
@misskivuyo4701
@misskivuyo4701 6 жыл бұрын
frank jully hahaha watanzania mmenishindaa
@shaabanmusa5127
@shaabanmusa5127 6 жыл бұрын
frank jully 😀😀😁😂😂 webalaaa
@shodristvtv6121
@shodristvtv6121 6 жыл бұрын
Shaaban Musa 🤣🤣🤣🤣wenomaaa
@inclyrics4384
@inclyrics4384 6 жыл бұрын
ahahah
@bahatimsigwa9415
@bahatimsigwa9415 6 жыл бұрын
diamond umekongoroka umekonda sana mbona utamkumbuka zari! na bado kiboro dinda ufulie kabisa unajiona ww ndio msanii pekee tanzania! umekonda kwa stress nyimbo zako hazipigwi clouds
@harunahussein6717
@harunahussein6717 6 жыл бұрын
Huyu hamisa asingepata tone la manii ya diamond sijui angekuwa na mishe gani maana sioni anachofanya zaidi ya kuishi kwa kimvuli....
@mariamtambwe8665
@mariamtambwe8665 6 жыл бұрын
Sisi team zari tunajiaminiya bwana. SI kuachana na kukimbiliya mahakamani Kama tume bakwa hivi😂😂😂😂😂😂😂
@namuyingomastula5277
@namuyingomastula5277 6 жыл бұрын
TEAM ZARI
@bashiriathuman8826
@bashiriathuman8826 6 жыл бұрын
sheila so ivo kiumbe hakijui kitu kumwacha sio p
@mozamansour7912
@mozamansour7912 6 жыл бұрын
Wamevaa sare kama Ile siku ya mwanzo wamependeza
@asiamajengoasiamajengo6261
@asiamajengoasiamajengo6261 6 жыл бұрын
Mbona sare sare ila mmependeza mwenye wivu ajinyonge kila mkienda mahakaman co kumechi huko ni nima
@mozamansour7912
@mozamansour7912 6 жыл бұрын
Asiamajengo Asiamajengo sijui wanaambia kuvaa sare maana mmh
@asiamajengoasiamajengo6261
@asiamajengoasiamajengo6261 6 жыл бұрын
Acha tu ni noma sn alaf wanalingana wangeowana wafunge ndoa daah ingependeza zaidi
@revinamussa7320
@revinamussa7320 6 жыл бұрын
Moza Mansour 😂😂
@samsonkusupa8115
@samsonkusupa8115 6 жыл бұрын
Huyu amisa angezaa na chidi benzi ndio angeisoma No kwa hyo sasa hv unafurahi zile laki tano per wk zitaanza kuflow
@rashidchembax8383
@rashidchembax8383 6 жыл бұрын
Diamond analea mtoto wa Kusaga
@shufaamohameed2603
@shufaamohameed2603 6 жыл бұрын
Nakupenda dai hahahaa
@monikayegela218
@monikayegela218 6 жыл бұрын
Mpost basi mwanao
@nusretkoptekin4871
@nusretkoptekin4871 6 жыл бұрын
Damondy umependeza kitu kikoko imara hakijakatika ila naomba kuuliza mapez mulifanyia mahakama bona munatinga wakinatifa mbona hujawapeleka
@roseirungo1950
@roseirungo1950 6 жыл бұрын
Wee wacha umbea wako Hamisa aliamua kumpeleka diamond mahakamani sababu dai alikuwa amemkataa mtoto mwanzoni ....Akaonyesha kuwapendelea Kina tiffah😡😡 bfl u comment make sure you followed all updates
@jacquilinemahumbi5950
@jacquilinemahumbi5950 6 жыл бұрын
Nusret Koptekin hahaahaaaaa
@youngkillermsodoki7664
@youngkillermsodoki7664 6 жыл бұрын
Daah chibu kumbe kama hajaongea watu hawariziki wanaomba hata salamu kuhusu ishu hii ya hamisa kadai kafuraiwa na maamuzi kwa hio hile millioni 5 kwisha habari yake chezea simba chibu wewe hatari.
@sadickrajabu4536
@sadickrajabu4536 6 жыл бұрын
Wanakela tu
@dullyprinc7886
@dullyprinc7886 6 жыл бұрын
we millad maombi ya yule msichana vepe
@mariamangel1264
@mariamangel1264 6 жыл бұрын
.nyoko amis anaskia raha hovyo
@anithakazaula9596
@anithakazaula9596 6 жыл бұрын
wanaume muache kuzaa zaa ovyo
@reinaphilbert9465
@reinaphilbert9465 6 жыл бұрын
Yan hamisa kama hana akili nzr kaone
@lucianjr6807
@lucianjr6807 6 жыл бұрын
mobeto anafurahi inaonekana mkwanja utaanza kumiminika....
@nusretkoptekin4871
@nusretkoptekin4871 6 жыл бұрын
Nibora amuhudumie tuuuu maana angeuza nyago sana hamjsa
@m2kumbom2kumbo56
@m2kumbom2kumbo56 6 жыл бұрын
Sijaona ki2 chaguiga kwao Hawana mafunzo yoyote😏😏😏
@user-vz4gf4bz8m
@user-vz4gf4bz8m 6 жыл бұрын
M2kumbo M2KUMBO ya upuzi tu hamisa cjui nini mbaya na yy anataka kua karibu na diamond sasa anasingizia mtoto
@m2kumbom2kumbo56
@m2kumbom2kumbo56 6 жыл бұрын
نوال الزهراني niu uboya flan huo wao wakishenz
@jacquilinemahumbi5950
@jacquilinemahumbi5950 6 жыл бұрын
uzinzi kaz kazaneni Labda imMan zenu zina tuzo y'a uzinzi
@princeuzieri4548
@princeuzieri4548 6 жыл бұрын
Duh amissa kapendeza 😂😂😂🤣
@faidadusabe9249
@faidadusabe9249 6 жыл бұрын
halalisha ndowa mtu ongeze mapaca...
@queenbibisha1961
@queenbibisha1961 6 жыл бұрын
Full kicheko, anyway kwa mapishi zaidi na mambo mengine karibu kwa channel yangu
@gabrielmugabo9223
@gabrielmugabo9223 6 жыл бұрын
Wote hao ni wapumbavu tu,kwani walipotongozana walienda kuomba ushauri? Nini kilipelekea waende mahakamani kama sio upumbavu
@alikiba9723
@alikiba9723 6 жыл бұрын
Dah balozi wa kila kitu ase #FakeThinks 😏😂😂
@khadijaaziza7586
@khadijaaziza7586 6 жыл бұрын
Hamisa anataka vyote haahaa
@OfficialJouma
@OfficialJouma 6 жыл бұрын
Khadija Aziza 😀😀anataka vyote nini na nini?
@sadickmponyamilly
@sadickmponyamilly 6 жыл бұрын
ziko wapi fujo za mobetto mtandaoni? si azitumie kumlea mtoto au hana hata hela upuuzi mwingi vya msingi hakuna #ninyimabintiachenimikwala
@jacquilinemahumbi5950
@jacquilinemahumbi5950 6 жыл бұрын
Sadick Mponyamilly Hela stoe Wap? Zari ndo mwanamke anayejitambua
@sadickmponyamilly
@sadickmponyamilly 6 жыл бұрын
yaan mabinti wa mitandaoni hovyo tu wangap wamepigwa mimba mitaani na wamelea watoto bila baba mtoto kuhusika na kuna mwingne namsubiria nae ataanza hayohayo tu mda ujao...........@jacquiline
@annacarlos7925
@annacarlos7925 6 жыл бұрын
Sadick Mponyamilly kumbe we bado boya wenzio wanajuana mbwembwe walikua wanamzuga bibi mtandaoni lkn hamisa na d wapenzi
@sadickmponyamilly
@sadickmponyamilly 6 жыл бұрын
rekebisha kauli yako !boya! waumizane wao na sisi tuumizane kweli...... was my views to all women on social net.. so comment chochote na sio kebehi
@hajraamir2969
@hajraamir2969 6 жыл бұрын
wapenda nao wanapnda kumechisha
@OfficialJouma
@OfficialJouma 6 жыл бұрын
Hajra Amir 😀umeona eeh?
@chungum1
@chungum1 6 жыл бұрын
Ooh dear see what happens when you don’t zip up? You get dragged like that
@namuyingomastula5277
@namuyingomastula5277 6 жыл бұрын
Mary Can explain me what is going on dear
@chungum1
@chungum1 6 жыл бұрын
Namuyingo Mastula Hamisa took him to court for child support
@promisejoel1909
@promisejoel1909 6 жыл бұрын
sasa huyo hamisa si ampe huyo mtoto amlee
@ghtnimzee2417
@ghtnimzee2417 6 жыл бұрын
Promise Joel we nae, mpe wa kwako
@maryamdounga2290
@maryamdounga2290 6 жыл бұрын
Promise Joel ww mtoto mdg atamlewa baba ataweza
@eliabusanga7913
@eliabusanga7913 6 жыл бұрын
nyie wote vitombi tu
@sheilahashim3372
@sheilahashim3372 6 жыл бұрын
Mnakalia kuendekeza uzinifu tu Allah anawazoom tu nyie jivunien kwa kuzaa wanaharam facken😏😏😏
@andrewnyambega5590
@andrewnyambega5590 6 жыл бұрын
Wazini na watukanaji
@sheilahashim3372
@sheilahashim3372 6 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 nyie mnatuka hamjielewi sis kwenye din yetu sis Qur'an kama kitab nachokiamin mm ni kwamba watoto wanaozaliwa nje ya ndo no wanaharam tena tunaambia kuwa hao watoto ni wa mwanamke na baba yao hapashwi kuwatunza nyie tukaneni ila huo ndo ukwel haraf nyie lnawauma nni wakati aliesemwa ni mond na hamisa nyie mnjib kam Akna nan😏😏😏
@djgthehotstepper
@djgthehotstepper 6 жыл бұрын
Sheila Hashim we mwenyewe mwanaharamu
@OfficialJouma
@OfficialJouma 6 жыл бұрын
Sheila Hashim watoto wanaozaliwa nje ya ndoa si haram ila kitendo kilichofanyika hadi kupatikana kwa hao watoto ndo haram..nakuunga mkono ulivosema watoto wa zinaa ni wa mama ,baba hausiki hata jina la pili la mtoto asipewe jina la baba yke.
@sheilahashim3372
@sheilahashim3372 6 жыл бұрын
Riso king hata maana ya maana haramu siwez jibizana na hayawan nikawa kama yeye ukimjibu mpumbafu nyote mkakua na akil sawa
@wardalward3693
@wardalward3693 6 жыл бұрын
Msalaba ha
@sheillahchisika8414
@sheillahchisika8414 6 жыл бұрын
Hamisa kana kaa kama chizi saa zote.
@aishaaisha2957
@aishaaisha2957 6 жыл бұрын
sheillah chisika hahahaha
@p.kasongot979
@p.kasongot979 6 жыл бұрын
sheillah chisika kumbi nawe umehona mamy😍😘
@maryfelesh9181
@maryfelesh9181 6 жыл бұрын
sheillah chisika umeona yani ni shida
@user-vz4gf4bz8m
@user-vz4gf4bz8m 6 жыл бұрын
sheillah chisika hahaha
@hajraamir2969
@hajraamir2969 6 жыл бұрын
sheillah chisika chiz wewe huwez kushndn nae
@shalifuyahya2572
@shalifuyahya2572 6 жыл бұрын
Simba anajiamini kwenye mamz yake
@Ngepetv
@Ngepetv 6 жыл бұрын
unataka kucheka ? basi bonyeza hapa kzfaq.info/get/bejne/i7eRpbaTrtGmhGg.html
@ebenmkidzi9120
@ebenmkidzi9120 6 жыл бұрын
bc
@goldennboy1725
@goldennboy1725 6 жыл бұрын
Hamisa ka fanana na katuni😆😆😆😆😆😆😆😃😃😁😀
@fatmaamran3154
@fatmaamran3154 6 жыл бұрын
Abdul Boy yaan ni.katuni.ahswa na sio eti ni.kama katuni😂😂😂
@jemimamika181
@jemimamika181 6 жыл бұрын
Abdul Boy 🤣🤣
@rachelmavinga3851
@rachelmavinga3851 6 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@winfredmueni9070
@winfredmueni9070 6 жыл бұрын
hamisa sasa anafikiri ameshinda ,gojea zari aanze kuliamsha dude, utajua ,ujui, utajua kweli kuna tofauti ya elephant na mosquito
@benimagaya7966
@benimagaya7966 6 жыл бұрын
Mngekaa Muyamalize Bila Kwenda Mahakamani Maana Inakuwa Kudhalilishana Simbaaaaaa 🔥🔥
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 5 МЛН
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 30 МЛН
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 2,8 МЛН
Как бесплатно замутить iphone 15 pro max
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 6 МЛН
Rais Samia Ashindwa Kujizuia Kwenye Uzinduzi wa Albam ya Harmonize
8:37
BIBI HARUSI MATATANI KUACHIKA KABLA YA HARUSI
11:32
KIREDIO
Рет қаралды 141 М.
DUKANI KWA MEKU
11:05
Joti TV
Рет қаралды 291 М.
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 5 МЛН