ALICHOZUNGUMZA PADRE AMIGU KATIKA KONGAMANO LA LITURUJIA,MAASKOFU WAFURAHISHWA NA HIKI..

  Рет қаралды 21,514

KANISA KATOLIKI TANZANIA TEC

KANISA KATOLIKI TANZANIA TEC

Жыл бұрын

Karibuni sana katika Channeli hii inayomilikiwa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania {TEC}ikiwa ni moja ya chombo cha Uinjilishaji kwa njia ya Sauti na Video.Pia unaweza kutufuatilia kupitia mitandao yetu ya kijamii kama ifuatavyo.
INSTAGRAM: / kanisa_katolikitz
FACEBOOK: / barazamaaskofukatolikitz
Whatsup: 0738 916 628...KANISA KATOLIKI TANZANIA
Usisahau Kusubscribe,like na kushare maudhui yetu...

Пікірлер: 112
@Wanisimbula
@Wanisimbula 20 күн бұрын
Mafundisho bora kabisa. Asante kwa Mafundisho mazuri mwenye masikio na asikie
@williamkrekamoo8662
@williamkrekamoo8662 11 ай бұрын
Baba padri naomba uandike kitabu kwa discourse hii kama msingi. Nimependa mafundisho haya Sana!
@sixmondchale3038
@sixmondchale3038 11 ай бұрын
Ashukuriwe Mungu kwa zawadi ya padre Amigu🙏🙏🙏
@eliaskangabo779
@eliaskangabo779 Жыл бұрын
Tunakushuru babaAmigo mungu akubariki kwa mafundisho Mungu akubariki na Akulinde
@kayombogregory8241
@kayombogregory8241 Жыл бұрын
Mwenye masikio na asikie.
@user-pw8ml6ts8r
@user-pw8ml6ts8r 11 ай бұрын
Amina baba
@leobalige7069
@leobalige7069 11 ай бұрын
Incredible teachings
@proisolution7166
@proisolution7166 10 ай бұрын
shida yenu msiojua maana ya misale ni kama vipofu,kwani lazima usikilize ,nadhani mambo ya Wakatoliki mnayapenda na yana Mungu,BIBLIA kama neno la Mungu huwezi kuiongelea siku moja ukamaliza,na mjue neno la Mungu ni mwongozo wetu wa maisha na siyo kushindana ,wanaoshindana ni wa shetani wa MUNGU WANAPENDANA hata wewe Muislamu Mungu ndiye asemaye ukweli so Yesu ni ni njia kama unafanya atakavyo Yesu upo sawa .KUTABA /KUJIVUNA SIYE KARAMA YA MUNGU
@umojaupendo6020
@umojaupendo6020 Жыл бұрын
Asante Baba Amigu. Tusipokusikiliza na kutii unachosema ipo siku Mungu akikuchukua tutakuja kukukumbuka. Asante sana kwa kutetea utamaduni wa KIKATOLIKI
@alexkatowo7411
@alexkatowo7411 Жыл бұрын
Asante kwa mafundisho haya
@mertus.nestory.bishirangon4624
@mertus.nestory.bishirangon4624 Жыл бұрын
good baba
@paulina.baynit7970
@paulina.baynit7970 Жыл бұрын
💯🔥👏🙏
@josephlorri431
@josephlorri431 Жыл бұрын
30:00 kuanzia imenigusa sana kama mlei
@eliasnganira7661
@eliasnganira7661 Жыл бұрын
Amiguu huyooo
@felicianmapunda856
@felicianmapunda856 11 ай бұрын
Huyu baba ingekuwa mamlaka ni yangu angekuwa askofu maana anayajua sana maandiko matakatifu na mafundisho ya kanisa
@albethoildefonce9117
@albethoildefonce9117 4 ай бұрын
Padre Amigu Alikataa uaskofu,huyu ni mtaalamu wa Liturjia, yaani amebobea katika masuala ya Liturjia,
@stevenmwenda3005
@stevenmwenda3005 Жыл бұрын
Uislamu ndo dini ya khaki ya Mungu kukua ndani uturuki ni Aya ndani ya Quran inasema kuwa uislamu utaeneo na utaingia kila nyumba na mahali jua linafika basi na uislamu utafika.
@josephlango5591
@josephlango5591 11 ай бұрын
Jifurahishe hivyo hivyo ndugu. Ni haki yako
@stevenmwenda3005
@stevenmwenda3005 11 ай бұрын
@@josephlango5591 sio kujifurasha jibu kwa hoja ili tujifunze
@celestinshayo7295
@celestinshayo7295 10 ай бұрын
eti dini ya khaki. Khaki ni kitambaa cha sare za maaskari😂😂😂
@JohnvenanceKitinusa-nz5zp
@JohnvenanceKitinusa-nz5zp 11 ай бұрын
Nikweli nimekuelew tusipo ziba ufa tutajenga ukuta
@user-rq1ld8wy3t
@user-rq1ld8wy3t 11 ай бұрын
twiga ndio nembo ya taifa la Tanzania nembo ya msalaba katikati yaramani ya Tanzania nawakilisha nini toweni tamko maasikofu
@celestinshayo7295
@celestinshayo7295 10 ай бұрын
Hiyo ni nembo ya Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania siyo nembo ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Ramani ya Tanzania siyo miliki ya serikali kwamba taasisi ya kidini haina ruhusa kuitumia hivyo TEC wanaitumia kihalali hata wewe ukitaka kuitumia kama nembo yako hukatazwi
@anixtra7887
@anixtra7887 11 ай бұрын
Kama karesmatik imekuja kwa akili ya mwanadamu itakufa na kama niya Mungu utakufa wewe na mawakala wako karesmatik itazidi kushamiri. Tena ungekua sio mpakwa mafuta ningekuambia maneno magumu sana. Ila nakuombea ukutane na Mungu uso kwa uso kama mt. Paulo alipokua mi Saul
@frimatuslupimo2031
@frimatuslupimo2031 11 ай бұрын
Achana na Tabia za kilokole wewe.
@celestinshayo7295
@celestinshayo7295 10 ай бұрын
Sasa wewe ndugu yangu kuokoka na maneno magumu wapi na wapi? Jichunguze wewe kwanza kama unaendana na huo ukaresmatiki kweli!
@jasiriasili3694
@jasiriasili3694 Жыл бұрын
Amigu Kuna wakati anafundisha vizuri ila Kuna wkati ana vuruga waumini
@sarafinafranci8481
@sarafinafranci8481 Жыл бұрын
Unajivuluga wewe, father yuko vizuri sana na tumuelewa sana, tatizo kama huelewi, huwezi kumuelewa, maana naongeaga ukweli bila kupindisha.
@fortunataangelo5575
@fortunataangelo5575 Жыл бұрын
SI Nyakati Zote wakati mwingine, Huwa anapinga vitu ambavyo vipo, kitu ambacho SI sawa, huwezi kuwa mtu unatesekana halafu yeye akwamboe hauteseki, wakati wewe ndiye unaye yashuhudia mateso hayo, namfuatilia huyu baba mda mrefu, na vitabu vyake nimesoma, na vingine vilinisaidia kupanua mawazo, ila ukweli ndo huo nilazima usemwe!
@walterwaweru2966
@walterwaweru2966 Жыл бұрын
@@fortunataangelo5575 ni kweli vitu kama uchawi anasema kuwa hamna kitu kama hicho
@sarafinafranci8481
@sarafinafranci8481 Жыл бұрын
@@fortunataangelo5575 kama kipi alichopinga tukijue wote.
@celestinshayo7295
@celestinshayo7295 10 ай бұрын
Miye mwenyewe nimesoma vitabu vya huyu baba vipatavyo saba. Sijaona anavuruga wapi? Unayesema anavuruga sidhani kama una elimu ya Maandiko kufikia hata robo ya elimu yake huyu baba Amigu
@janedamian1433
@janedamian1433 Жыл бұрын
Mnataja vitabu vya biblia mbona hamtumii mnatumia misale ya waumini
@Fred-Ma
@Fred-Ma 11 ай бұрын
Haruvitumii wapi? Kila Jumapili tunasona Masomo matatu kutoka kwenye Biblia Takatifu.
@josephlango5591
@josephlango5591 11 ай бұрын
@@Fred-Ma Ni masomo 3 pamoja na zaburi juu yake. Yaani Misa nzima imechotwa kutoka kwenye Biblia kuanzia Antifona ya kuingilia, Huyo ndugu yetu atakuwa hana ufahamu ya kwamba Misale ni mtoto wa Biblia unaotoa mwongozo wa maadhimisho mbalimbali kwa mpangilio. Mungu ni wa utaratibu
@lazarusmwaweza7604
@lazarusmwaweza7604 11 ай бұрын
Jambo usilolijua ni kiza kinene
@onesmojohn4232
@onesmojohn4232 11 ай бұрын
Unajua tofauti gani zipo kati ya biblia na misale?
@gracemhagama4108
@gracemhagama4108 11 ай бұрын
Masomo ya jumapilizote kutoka kitabu cha misale ya waumini niufupisho kutoka ktk bibilia,masomo ya mwakamzima yapomule,nakuna mwaka A,B na C wa kanisa
@stevenmwenda3005
@stevenmwenda3005 Жыл бұрын
Kumbe kuna injili zilitupwa nje ziko zaidi ya 26 kwanini zilikuwepo na nani aliziandika nani aliwapa mamlaka kuandika na kuzitupa zingine ni rohoo mtakatifu au mbona mnatuchanganya
@josephlango5591
@josephlango5591 11 ай бұрын
Kwa taarifa yako, Biblia ilikuwa na vitabu zaidi ya 500 kabla ya Mtaguso wa Nkea.
@stevenmwenda3005
@stevenmwenda3005 11 ай бұрын
@@josephlango5591 nimeuliza swali dogo sana kama unasema biblia ilikuwa na vitabu zaidi ya 500 hivyo vingine viko wapi na nani aliandika kwa muongozo wa nani habari zake zilikuwa zinahusu nini mfano injili ya barnabasi iko wapi leo
@stevenmwenda3005
@stevenmwenda3005 11 ай бұрын
@@josephlango5591 rejea swali biblia ni maneno ya mungu au wanadamu walikuwa wakiandika andika kuhusu mungu kama kweli waliyoandika yanaukweli ndani yake au ndomana basi kuna kuwa na contradiction sana tena nyingi sana ndani biblia ukitaka ntakuonyosha
@stevenmwenda3005
@stevenmwenda3005 11 ай бұрын
@@josephlango5591 mfano soma luka 1:1 soma kwa utulivu uone ninachokisema luka anaposema watu walitia mikono kutunga naye pia amejirizisha mwenyewe kutunga kwa taratibu kumwandikia theofilo mkuu sasa mambo ya Mungu yanakuwa yakutunga tunga kweli hapana mm nakataa
@stevenmwenda3005
@stevenmwenda3005 11 ай бұрын
@@josephlango5591 Mungu lazma mafundisho yake yatoke kwake kwa ufasaha na habari zake hadithi zake ziwe ni nzuri mfano wake hakuna kwenye vitabu vingine vilivyotungwa na wanadamu kama ngugi wa thiongo things fall apart na vinginevyo
@stevenmwenda3005
@stevenmwenda3005 Жыл бұрын
Katika dini zote tunaomba andiko ndani ya biblia mstari kuwa ukatoliki ni dini ili tuone uhalali wa dini ya ukatoliki
@Fred-Ma
@Fred-Ma 11 ай бұрын
Halafu upate nini?
@stevenmwenda3005
@stevenmwenda3005 11 ай бұрын
@@Fred-Ma mtu asiye na hoja wala elimu ya vitabu utamjua tu ndo nini hicho ulichojibu ndo nini sasa nikujibu tu kukusaidia ukirudi tena uje na hoja na elimu Lengo nataka kujua kwani mtu kutaka elimu si dhambi au kwa upande ni dhambi
@josephlango5591
@josephlango5591 11 ай бұрын
@@stevenmwenda3005 wewe mwenyewe unaweza kuonyesha msitari wowote unaoonyesha jina la dini yoyote ya Kikristo kwenye Biblia (Agano Jipya)? Au una shida ya kuona neno Katoliki tu! Je, waijua historia ya Biblia? Wajua kabla ya Mtaguso wa Nicea, Biblia ilikuwa na jumla ya Vitabu vingapi? Je wajua imeandikwa na watu wangapi?
@evansmtalo8924
@evansmtalo8924 11 ай бұрын
Kwani Lutheran,TAG na mengine yameandikwa wapi kwenye biblia? Wewe unelewa maana ya neno catholic? Tafuta kwanza maana ya hili neno maana sio la kiswahili.ndipo uhoji.
@onesmojohn4232
@onesmojohn4232 11 ай бұрын
@steve hiyo ni dhehebu sio dini.jitahidi kusikiliza kwa umakini na uelewe.pia sikiliza kwa umakini
@josephlorri431
@josephlorri431 Жыл бұрын
Kikao cha ndani, tafadhali sio kila mazungumzo yawe hadharani
@KANISAKATOLIKITANZANIATEC
@KANISAKATOLIKITANZANIATEC Жыл бұрын
Tulishahariri na yale yasiyopaswa yameondolewa
@johnmligo6966
@johnmligo6966 Жыл бұрын
Yaani kikao HICHO waumini tumewakilishwa na hao... Sasa kuna haja gani ya KUWEKA Siri? Na MAFUNDISHO ya padre yanaeditiwa eti yasiyofaa yameondolewa .... Hee Yaani tulihitaji MAFUNDISHO hayo yote kama yalivyo!
@calistassenga6489
@calistassenga6489 Жыл бұрын
Huyu BABA amepewa karama kubwa na Mwenyezi Mungu!
@lazarusmwaweza7604
@lazarusmwaweza7604 11 ай бұрын
​@@KANISAKATOLIKITANZANIATECmhh.inakuwaje hayafai?
@KANISAKATOLIKITANZANIATEC
@KANISAKATOLIKITANZANIATEC 11 ай бұрын
@@lazarusmwaweza7604 sijaelewa swali lako
@anixtra7887
@anixtra7887 11 ай бұрын
Hakuna ubishi kua fr. Wewe ni mtaalam wa maandiko ya Biblia lakini siamini kama unatumia na Roho Mtakatifu ndio maana uko na vita na karesmatik. Kwako Biblia nikama umesoma historia ya vitabu kama vingine tuu.
@frimatuslupimo2031
@frimatuslupimo2031 11 ай бұрын
Humjui vizuri Amigu wewe.
@fadhilindunguru7946
@fadhilindunguru7946 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@user-rq1ld8wy3t
@user-rq1ld8wy3t 11 ай бұрын
nyie maasikofu mnakumbuka vuruguza mwembechai chonzo kansa katoliki mburahati chini ya uongozi wa ruwambano selekali msijetafuta mchawi hawa viongozi wakanisa katoliki sio wakilisrto wote hila hawa wakatoliki
@janedamian1433
@janedamian1433 Жыл бұрын
KWANINI WAUMINI KATOLIKI MNATUMIA MISALE YA WAUMINI LEO UNASEMA BIBLIA😊
@josephlango5591
@josephlango5591 11 ай бұрын
Kama wewe ni mkatoliki unapaswa kujua tofauti kati ya Biblia na Misale
@leobalige7069
@leobalige7069 11 ай бұрын
Unahitaji kwenda shule juu ya hili.
@lazarusmwaweza7604
@lazarusmwaweza7604 11 ай бұрын
Biblia imezaa misale lakini misale haijazaa Biblia. Misale si Biblia ni misale
@sarafinafranci8481
@sarafinafranci8481 11 ай бұрын
Hakiri dogo pole, nenda ukasome.
@audifansisafari5587
@audifansisafari5587 11 ай бұрын
Ndani ya misale imeandikwa nini
@bibliakweliyaduniayote1137
@bibliakweliyaduniayote1137 Жыл бұрын
Kitambilisho yenu ni vitu mlio tunga wenyewe si biblia bure kabisa
@josephlorri431
@josephlorri431 Жыл бұрын
Ukiona huelewi maana yake hayakuhusu. Usiku mwema
@alexkatowo7411
@alexkatowo7411 Жыл бұрын
Usijisumbue kutumia nguvu kubeba maji mikononi huku ukijua yatamwagika .... ukitaka kujua raha ya ngoma ingia ucheze ... Dini ni zao la binadamu katika kumtafuta Mungu
@sarafinafranci8481
@sarafinafranci8481 Жыл бұрын
Tatizo hujielewi, kama ukiju kitu kaa kimya ulazimishwi.
@simonnjovu586
@simonnjovu586 Жыл бұрын
Kila dini ina maandiko matakatifu na alama zao. Yeyote anayekana hayo kifupi hana dini. Huna haja ya kuhangaika naye labda kama atakuomba ushauri.
@walterwaweru2966
@walterwaweru2966 Жыл бұрын
Laiti ungalijua biblia ni kitabu chetu wakatoliki kiliunganishwa na maaskofu wakatoliki katika Karne ya nne.waprotestanti hamjui chochote kuhusu ukristo na historia yake.nyamaza tu acha kujiaibisha.
@stevenmwenda3005
@stevenmwenda3005 Жыл бұрын
Kilatini ni kutoka roma ndo makao makuu ya kanisa katoliki kwanini isiwe uyahudini na mtaguso hilo neno liko ndani ya biblia ningefurahi kuona huko au ni vitu vya kutunga tunga mambo yaende na biashara
@leonardchoma3765
@leonardchoma3765 11 ай бұрын
Kanisa Katoliki na ukristo hauwezi kuwa na makao makuu uyahudi kwa sababu Wayahudi walimkataa Yesu na hawataki kusikia neno Yesu mpaka Leo.Hata wanafunzi wa Yesu wote walifia mbali na uyahudi.Mpaka sasa Wayahudi wa leo bado ni wakorofi na wahuni tu.
@stevenmwenda3005
@stevenmwenda3005 11 ай бұрын
@@leonardchoma3765 sio wote walimkata yesu uyahudini kuna waliomkubali mpaka leo wapo na elimu ya ukatoliki ndani ya biblia iko wapi pia kuna andiko ndani ya biblia yesu anawapa angalizo wanafunzi wake 12 kuwa njia za mataifa msiende wafanye kazi ktk makabila 12 ya wana wa israel na akasema hamtayamaliza makabila 12 ya wanaisrael yeye atakuwa amesharudi swali alikuwa anasema ukweli au la
@stevenmwenda3005
@stevenmwenda3005 11 ай бұрын
@@leonardchoma3765 je swali la msingi biblia ni maneno ya Mungu au maneno ya watunzi kama ni ya mungu kwanini ndani ya biblia kuna maneno yanakinzana je ni mungu ndo aliwangoza kuandika tofauti tofauti ukitaka ntakupa mifano iko mingi nakupa mmoja
@stevenmwenda3005
@stevenmwenda3005 11 ай бұрын
@@leonardchoma3765 mfano kuna mahali inasema yuda alipomsaliti yesu alinunua shamba akiwa huko akanguka akapasuka tumbo mautumbo yakatawanyika kwingine inasema yuda alianguka ghorofani alafaa sasa tufwate lipi iko mingi sana
@stevenmwenda3005
@stevenmwenda3005 11 ай бұрын
@@leonardchoma3765 kwa kukusaidia nenda u tube msikilize mtu anaitwa ahmed deedant topic funny comments in the bible pili is bible God's words tatu different bible versions endelea kujifunza elimu ni pana sana
Israel Mbonyi - Heri Taifa
14:21
Israel Mbonyi
Рет қаралды 252 М.
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 47 МЛН
Женская драка в Кызылорде
00:53
AIRAN
Рет қаралды 498 М.
Iron Chin ✅ Isaih made this look too easy
00:13
Power Slap
Рет қаралды 36 МЛН
MIAKA 150 YA KANISA KATOLIKI, MAFUNDISHO MBALIMBALI YA IMANI NA CHANGAMOTO ZAKE
28:09
KANISA KATOLIKI TANZANIA TEC
Рет қаралды 5 М.
MBELE YA MAMIA YA WAWATA PADRE TITUS AMIGU ASEMA HAYA
1:18:08
Radio Maria Tanzania
Рет қаралды 8 М.
Padre Dkt Kamugisha : Yesu anapoingia vivuli vinatoweka/ Nuru ni tabasamu
11:51
MFAHAMU ASKOFU NZIGILWA "WALEI NIMEISHI NAO VIZURI,MPANDA WAJIANDAE NINA MIPANGO MINGI".
43:27