No video

Alicios Theluji asimulia alivyohamia Kenya toka DR Congo, 'Watu walikuwa wanasema mimi ni Mtanzania'

  Рет қаралды 2,949

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

#ChillnaSky tukiwa na muimbaji wa Kenya mwenye asili ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, Alicios Theluji. Anasimulia jinsi walivyohamia Kenya kutokana na vita na namna alivyoingia kwenye muziki

Пікірлер: 21
@arsenemuhindo
@arsenemuhindo 3 жыл бұрын
Imekua furaha sana kumuangalia MCongo Mwenzangu ambae tunatokea sehemu moja #NorthKivu kwenye CHILL NA SKY. Much love from USA
@benkamanza1075
@benkamanza1075 3 жыл бұрын
Alicios, suis déjà Au studio. Benben
@lovemyselflovemyself8201
@lovemyselflovemyself8201 3 жыл бұрын
You're very smart my gril ❤ Europa pazuri sana
@millymack1370
@millymack1370 3 жыл бұрын
Nice interview
@TABASAMAU
@TABASAMAU 3 жыл бұрын
Ya bolingo ni my favorite mpaka leo! 🇹🇿
@abubakaribyabato4384
@abubakaribyabato4384 3 жыл бұрын
Binti kama FB...,.she is so smart
@wamtekowamteko8028
@wamtekowamteko8028 4 ай бұрын
Wimbo wa anita naipend sana
@kahawathungu
@kahawathungu 3 жыл бұрын
St. Mary's ni shule ya kishua sana hata rais wa Kenya alisomea huko. Lazima walikua wa kishua hata kama wakimbizi
@mariajoseph9735
@mariajoseph9735 3 жыл бұрын
I love this girl 👧 💗
@blandinamnyinga8318
@blandinamnyinga8318 3 жыл бұрын
Smart girl
@rachellebahati6126
@rachellebahati6126 3 жыл бұрын
Arikua mzurii zamanii mbere yakujicubua
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 3 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌
@mialanomangobo9356
@mialanomangobo9356 3 жыл бұрын
Kivu ni mkoa Kuna North kivu; Makao makuu Goma South kivu; makao makuu Bukavu Msani gani huyo hajui mikoa ya kwao
@peterdaniel9050
@peterdaniel9050 3 жыл бұрын
Kivu ni Jimbo,makao makuu ya kivu kaskazini ni Goma,mikoa ya kivu kaskazini ni kama Beni
@mialanomangobo9356
@mialanomangobo9356 3 жыл бұрын
@@peterdaniel9050 mkoa =jimbo. (Region/ pronvince)Tafauti ni swahili ya Tz na congo. Beni ni zone/ Territoire/wilaya
@blandinamnyinga8318
@blandinamnyinga8318 3 жыл бұрын
nani tumuamini sasa bado tuko gizani
@esthermwarape3793
@esthermwarape3793 3 жыл бұрын
Wakwanza 😘😘😘😜😜😜😜
@mevicemwasuku846
@mevicemwasuku846 3 жыл бұрын
Wa pili😆😆
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 3 жыл бұрын
Ngoja niwape ukweli ulivyo kuusu KIVU maana nae naona hajui 1. Kulikuwa na Region (province) iliitwa kivu sasa ilikuwa kubwa kupitiliza mwishoe wakaamua igawanywe iwe province (region) 2 Sasa moja ikaitwa 1. South kivu (makao makuu ni BUKAVU) 2. North kivu (makao makuu ni GOMA) nakote wanaongea swahili (sio tofauti saaana na ya watz ao Kenya maana tunaelewana tu sana sema yetu tunachanganya naka kifaransa ) kote kunamadini yakutosha yakila haina...
@eddyevarist2593
@eddyevarist2593 3 жыл бұрын
umeeleza vizuri
@mialanomangobo9356
@mialanomangobo9356 3 жыл бұрын
Kivu ni mikoa , divided in two: North kivu, makao makuu Goma South kivu; makao makuu Bukavu Msani gani huyo hajui mikoa ya inchi yao!!!
Pool Bed Prank By My Grandpa 😂 #funny
00:47
SKITS
Рет қаралды 19 МЛН
RASHA RASHA:Hanging Out with Alicios
15:33
KTN HOME
Рет қаралды 9 М.
Alicios wa Posa Bolingo amkana Idris
9:37
Radio5 tz
Рет қаралды 170
Waziri Mkuu wa China akutana na PUTIN nchini Urusi
2:52
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 2,8 М.
Pool Bed Prank By My Grandpa 😂 #funny
00:47
SKITS
Рет қаралды 19 МЛН