Nyinyi mawahabi kilakitu cha wakera hata muhadhara pia kwenu jambo bayaa
@AbbasAlahdaly25 күн бұрын
Hamuna Zuri kwenu kama mayahudi kila jambo last mtume mohamad صلى الله عليه وآله وصحبه وسلم la wakera sijui mwataka nn
@mohagurey221425 күн бұрын
Mnasherehekea kila wakiristo wanasherehekea, kuanzia prophet birthday, new year etc
@suuahmed7123 күн бұрын
Na nyinyi mawahabi cha kushangaza mwasherehekea kuzaliwa shekhe lenu Muhamad Abdulwahab. Uliza Suudia wiki nzima sherehe hio iko Suudia. Uliza walimu wako wakiwahabi kama hawajui wajue
@mohagurey221423 күн бұрын
@@suuahmed71 kama ni kweli tunasherehekea birthday ya sheikh Mohammed Abdul wahab mungu atulaani na kama unatusingizia basi mungu akudhalilishe duniani na akuweke motoni fil akhira....ameen