No video

ALL WHEEL DRIVE: Kutana na Shakikeli mtaalamu wa 'kupimp' na kupamba magari aina zote

  Рет қаралды 10,940

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

All Wheel Drive wiki hii, uso kwa uso na #Shakikeli mkali na mtaalamu wa 'kupimp' na kuyapamba magari mbalimbali likiwemo Toyota Altezza na mautundu mengine kibaaaaoooo!!!
Fuatana naye hatua kwa hatua kujua mengi kuhusu gari yako yaani kuanzia maujanja ya 'body work' na mambo mengine kedekede, yaani yote hayo kuhusu 'ndinga' yako!!!
#Toyota #ToyotaAltezza #Altezza #AllWheelDrive #TeamTezza
Tazama Vodacom Premier League, taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► bit.ly/2wB6zmR
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: / azamtvtz
►INSTAGRAM: / azamsports2
►TWITTER: / azamtvtz
►FACEBOOK: / azamtvtz
►WEBSITE: www.azamtv.co.tz

Пікірлер: 28
@mopimanta5250
@mopimanta5250 Жыл бұрын
Jamaa yupo cool, smart, creative and process-and quality-oriented. I salute him
@jameelfarhad4909
@jameelfarhad4909 4 жыл бұрын
Safi sana 🤟🏽🤟🏽🤟🏽🇹🇿 Tz kama mbele
@Sadammushi
@Sadammushi 4 жыл бұрын
Kama mbele tu
@DavidSimbeye303
@DavidSimbeye303 4 жыл бұрын
Nilitaka kumjua zaidi shakikeli. Great video 🔥
@ahmedsalim501
@ahmedsalim501 4 жыл бұрын
Yupo instagram kwa shakikeli
@mrishosururu6025
@mrishosururu6025 4 жыл бұрын
Karibu saana insta @shakikeli
@Mastermind25491
@Mastermind25491 3 жыл бұрын
Kweli,,tusupport vya ndani
@mwamengele
@mwamengele 4 жыл бұрын
Shakman mwenyewe ninayemjua, hongera brother, good interview
@mrishosururu6025
@mrishosururu6025 4 жыл бұрын
Mengele Ugulumo Pamoja 👊🏿
@newengwashi2662
@newengwashi2662 4 жыл бұрын
Mrisho nakukubali Sana kazi zako uko juu💯
@mrishosururu6025
@mrishosururu6025 4 жыл бұрын
Newe Ngwashi Amina to that👊🏿
@kelvinodera821
@kelvinodera821 3 жыл бұрын
Good information bro,,,,am dreaming to be like u
@andrewnyange9696
@andrewnyange9696 3 жыл бұрын
Yap hii kazi ya kupimp jamaa anaiwezea big up
@swahilinetwork7631
@swahilinetwork7631 4 жыл бұрын
Hongera sana bro, wataelewa! Wenyewe kigamboni wanamwita Shak PoPo, jamaa anapiga mzigo 24/7
@Sadammushi
@Sadammushi 4 жыл бұрын
KIGAMBONI DAY n NIGHT hahaha hapa kazi tu akuna kulala
@mrishosururu6025
@mrishosururu6025 4 жыл бұрын
KIGAMBONI DAY n NIGHT for sho
@salymkitumbika8644
@salymkitumbika8644 3 жыл бұрын
Huyu jamaa namfatiliaga kinyamaaa anajuasanaaaa
@allan4real775
@allan4real775 2 жыл бұрын
Anaitwa nani
@nadildylan1313
@nadildylan1313 4 жыл бұрын
Big up bro
@erenesteliasi895
@erenesteliasi895 3 жыл бұрын
unapatikn wp
@humphreynyundo2113
@humphreynyundo2113 4 жыл бұрын
Muzee kazi nzur Sana tunaomba address
@Sadammushi
@Sadammushi 4 жыл бұрын
Kigamboni
@barackleonardo7743
@barackleonardo7743 3 жыл бұрын
Hivi ukipeleka kaIst kupimp si itakutoka milion 6
@barackleonardo7743
@barackleonardo7743 3 жыл бұрын
Huyu jamaa yupo mkoa gani
@jeremiasimon5913
@jeremiasimon5913 2 жыл бұрын
Kelele nyingi tufe live mfano
@dumesurualikidukutz5376
@dumesurualikidukutz5376 4 жыл бұрын
insta anatumia jina gan?
@Sadammushi
@Sadammushi 4 жыл бұрын
dume suruali kiduku tz shakikeli
Magic trick 🪄😁
00:13
Andrey Grechka
Рет қаралды 45 МЛН
Пройди игру и получи 5 чупа-чупсов (2024)
00:49
Екатерина Ковалева
Рет қаралды 3,3 МЛН
tbway humwambii kitu kuhusu Subaru/forester 2014
8:15
5gear official
Рет қаралды 17 М.
Proč je DAN VÁVRA tak oblíbený? | Fantastický Podcast EP. 42
3:44:41
Fantastický Podcast
Рет қаралды 670 М.
Magic trick 🪄😁
00:13
Andrey Grechka
Рет қаралды 45 МЛН