No video

ALLY KAMWE" USAJILI AMBAO TUMEUFANYA WATALIA MACHOZI NA KUSAGA MENO/MASHABIKI WA SIMBA TUNAWAPOKEA

  Рет қаралды 43,623

Mpenja TV

Mpenja TV

2 ай бұрын

Leo June 15,2024 Klabu ya Yanga inazindua Kitabu cha Historia yao toka kuanzishwa kwake Februari 11,1935.
Uzinduzi huo unafanyika katika Hotel ya Hyatt Regency Dar es Salaam.

Пікірлер: 83
@owenfweta3239
@owenfweta3239 2 ай бұрын
Katika matembezi ya makombe hayo mikoani msisahau swala la kusajili wanachama wapya 👍🏾
@user-zc6ty2zy3h
@user-zc6ty2zy3h 2 ай бұрын
Hilo ndo namba moja
@dengahmediatz1230
@dengahmediatz1230 2 ай бұрын
Kweli na semina fupi kuhusu umuhimu wa kujisajili
@ocaml8698
@ocaml8698 2 ай бұрын
Kila tawi ingefaa wawe na nakala japo moja ktk ofisi zao za matawi.
@user-ht5tc5yv5t
@user-ht5tc5yv5t 2 ай бұрын
Hyo ndo target ... Vinginevo hakukuwa na haja ya kufanya hivo
@godwinkaunda9516
@godwinkaunda9516 2 ай бұрын
kweli makolo watakuwa wakifuata nyuma ya Yanga kwa mambo mengi sana! Hongereni Viongozi
@EssauGabriel-fy8pu
@EssauGabriel-fy8pu 2 ай бұрын
Kinzumbi deal done cassablanca
@songombingo108
@songombingo108 2 ай бұрын
Yanga hawana habari ya Kinzumbi. Waliopo wanatosha kuwapiga madunduka
@EssauGabriel-fy8pu
@EssauGabriel-fy8pu 2 ай бұрын
Jifarijini
@songombingo108
@songombingo108 2 ай бұрын
@@EssauGabriel-fy8pu Wee huna akili kweli. Yaani Mhindi Wenu kainunua timu na anawachezea akili zenu ovyo. Mmebaki kulialia. Yaani unategemea Ngoma na akina Muzamiru ndo wawape ubingwa? Kumbaffff zako
@hemedrashid2921
@hemedrashid2921 2 ай бұрын
​@@songombingo108😂😂😂😂😂😂😂😂
@marcobulili4341
@marcobulili4341 2 ай бұрын
YANGA ina miaka 98 tangu ianzishwe. 2026 tutasherehekea miaka 100
@rukiakyaka1827
@rukiakyaka1827 2 ай бұрын
Mashaallah we baba umenichekesha
@errydeo8865
@errydeo8865 2 ай бұрын
Naishi UINGEREZA,tuna mastress gunia,lakini nikishamsikiliza Ally, God Yanga,Mwalimu na data zake( za ukweli na uongo,i dunno care) Dosa, kuna kadada Kahaya ( huyo haongei kiswahili🤣🤣) na wanayanga wengi wengine,aisee STRESS ZINAISHA🤣🤣 Eti labda watuibie viungo; kataja vile vya pilau! 🤣🤣 Huyu dogo, nimemfatilia sana,he is clever,smart, intelligent,well learned,funny, artculate,good promoter,( anaweza kukuuzia mayai mabovu) na ANAJUA KUKERA🤣
@MasudiMwamkumbi
@MasudiMwamkumbi 2 ай бұрын
Umenifulasha sana kweli wengi wanatamani yanga
@mirajiali3926
@mirajiali3926 2 ай бұрын
Makolo watasema na wao ndio walikuwa wa kwanza kuzindua kitabu mwaka 1947
@EssauGabriel-fy8pu
@EssauGabriel-fy8pu 2 ай бұрын
Likitabu bongo tulivyo wa tecnology, unaturudisha analog nani anunue?
@MzeewaYanga-hm8jq
@MzeewaYanga-hm8jq 2 ай бұрын
​@@EssauGabriel-fy8pukolo awez kununua ktab msomi pekee nd anajuw nn kuhusu kitabu😂😂😂😂😂😂😂😂
@ManyweleMathiasmakoja
@ManyweleMathiasmakoja 2 ай бұрын
naflahia sana uwepo wa yanga duniani
@honesthenry901
@honesthenry901 2 ай бұрын
Raha ya hiz timu mbili mmoja akiwa anapitia Wakat mgum mwingne anapitia Wakat wa furaha. Kwhy viseversa is true.
@owenfweta3239
@owenfweta3239 2 ай бұрын
Ali Kamwe daa mbona waweka watu matumbo moto 😂😂😂
@LusanaTimotheo-mf1nn
@LusanaTimotheo-mf1nn 2 ай бұрын
Lakin usajili uneendereaje lakin
@augustinomkongwa5444
@augustinomkongwa5444 2 ай бұрын
Msemaji wa mabingwa bravo
@hajiali1572
@hajiali1572 2 ай бұрын
Kurasa 251 za kitabu cha yanga kam una d 2 ni 2 kwa 1 na 5 kwa 1
@thetrends472
@thetrends472 2 ай бұрын
Baba pamela
@GermanaangeloMkemangwa
@GermanaangeloMkemangwa 2 ай бұрын
Saisaaaa jaman hdi vitabuuu polen
@ChenchiKing
@ChenchiKing 2 ай бұрын
Aaaah Semaji Unawaweka Watu Tumbo Joto Upande Wa Pili
@oswardlonginoosward9832
@oswardlonginoosward9832 2 ай бұрын
Ali kamwe nimekumiss
@MonahMosafiri
@MonahMosafiri 2 ай бұрын
Semaji la taifa makasiliko ya nn
@PiusNjelekela
@PiusNjelekela 2 ай бұрын
hakikisha kinakindoki wako huko usajili wa wanachama uwe ajenda kuu Ktk matembezi hyo ndani ya miaka 3 ijayo kombe la afrika lije tz
@tanzaniabusesupdates5311
@tanzaniabusesupdates5311 2 ай бұрын
Hiyo ndio plan yao maana wanasema hupigi picha na kombe kama sio mwanachama
@fihirishemaadihussein6124
@fihirishemaadihussein6124 2 ай бұрын
Wanathimba punguzeni makasiriko kutesa ni kwa zamu
@SamwelMnaga
@SamwelMnaga 2 ай бұрын
💚💚💚💚💚
@MussaRamadhani-em3wb
@MussaRamadhani-em3wb 2 ай бұрын
Ally umenifulahisha kuhusu alietaka kulibeba kombe letu😅
@patrickndizeye2190
@patrickndizeye2190 2 ай бұрын
Mwamba 🎉huyu apa😂❤
@ItzNketiah
@ItzNketiah 2 ай бұрын
Kwahiyo mmekosa picha ya kuweka caption 😂😂
@noeljacob9644
@noeljacob9644 2 ай бұрын
Ali kamwe kaongea kwa uchungu kuhusu kufukuzwa wananchama wa simba
@osmundmtavangu
@osmundmtavangu 2 ай бұрын
Ivi hii press ni ya Yanga au Simbilisi😂😂😂😂😂😂
@EssauGabriel-fy8pu
@EssauGabriel-fy8pu 2 ай бұрын
Kinzumbi ashatembea kasablanca sasa bignames sijui zipi tena ata aliyejifunza kwenu kawakataa
@jivankulikwa24
@jivankulikwa24 2 ай бұрын
😂😂😂
@yasrikomba7874
@yasrikomba7874 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂alikamwe amewasema sana 😂😂😂
@Shadia544
@Shadia544 2 ай бұрын
Semaji letu la taifa 😂😂😂😂😂😂
@user-ds3oi3tt8u
@user-ds3oi3tt8u 2 ай бұрын
Kitabu cha nn si inatakiwa hata na history ya kufungwa iwekwe
@kolosii4351
@kolosii4351 2 ай бұрын
Ally Kamwe usiwatishe wenzako. Msiwasifie wachezaji ambao bado hawaclick na timu.
@user-pl2ir4yi9y
@user-pl2ir4yi9y 2 ай бұрын
Ww choko
@ReginadAloyce
@ReginadAloyce 2 ай бұрын
Unateseka ukiwa wapi
@johnenos9473
@johnenos9473 2 ай бұрын
Hahahaahhahh😅😅
@Promk112
@Promk112 2 ай бұрын
Haya mateso mbona kidogo tu 😂😂😂
@amanizavala
@amanizavala 2 ай бұрын
Nimeamni utopolo wenye akili ni wawili tu
@lailatmalik7515
@lailatmalik7515 2 ай бұрын
Kaamulie ugomvi huko😂😂😂😂
@gracemtonga3263
@gracemtonga3263 2 ай бұрын
Anafurahisha zaidi yule anayewafuatilia wasiokuwa na akili 😂😂😂😂😂 utaendelea kuteseka baby 💛💛💛💚💚💚🏆🏆🏆💪💪💪🍺🍺🍺👈
@user-zn4jl5wy3d
@user-zn4jl5wy3d 2 ай бұрын
😂😂😂​@@gracemtonga3263
@user-fe8gq8dy1g
@user-fe8gq8dy1g 2 ай бұрын
Hahahahahaha! Kama unaona mtu hanà akili unamfuatilia kwnn?
@EzlaFumbo
@EzlaFumbo 2 ай бұрын
Nyie mngekuwa na akili mngechukuwaaa kombeee
@BenPeter-vp2cy
@BenPeter-vp2cy 2 ай бұрын
Kubababake😂😂😂😂
@nicodemuswidambe5132
@nicodemuswidambe5132 2 ай бұрын
Twambie ni sh ngapi?
@bamdogokiki1486
@bamdogokiki1486 2 ай бұрын
Laki moja
@ArnoldRwegasira-hp9gt
@ArnoldRwegasira-hp9gt 2 ай бұрын
Alikawe hahaha
@subiralema
@subiralema 2 ай бұрын
😂😂😂
@user-ds3oi3tt8u
@user-ds3oi3tt8u 2 ай бұрын
Shida yake huyu dogo hana Elimu Anazani kuisema simba kila leo Anazani kutomboa
@gabrielnjiapanda3710
@gabrielnjiapanda3710 2 ай бұрын
We mwenye Elimu una msaada kwa Taifa?
@user-ds3oi3tt8u
@user-ds3oi3tt8u 2 ай бұрын
@@gabrielnjiapanda3710ww unazani kuisema simba vibaya ndio mafanikio yake hayo
@user-nn8yj7fe4n
@user-nn8yj7fe4n 2 ай бұрын
Unajistukiaaaa eeeeeh, 😅😅😅😅
@kitaurosalim6562
@kitaurosalim6562 2 ай бұрын
Ulihitaji awe profesa kusudi awe msemaji?we mwenzetu una elimu gani
@jackmabirangacharles9398
@jackmabirangacharles9398 2 ай бұрын
Asiye kuwa na Elim lakini ni Mtu Maarufu kuliko wewe uliye andika sentesi Yako kwamba hajasoma , halafu unatakiwa kuelewa kwamba Yanga na Simba ni mtu na Mtani Mika Leo unakwenda 89 kwahiyo huwezi kuliepuka Hilo mtu wa Yanga kuisema Simba au Simba kuisema Yanga 😅
@vumiliamgendi148
@vumiliamgendi148 2 ай бұрын
Aka nako kasikonenepa Kila siku kaki hivi hivi mdomo kama kinembe Cha nguruwe,sema mnafanya matambiko sio kutembeza makonbe ni matambiko wachawi wakubwa nyie wafuga majini tanzania,ndo maana tp walikuwa kujifunza kumrushia mtu majini akiwa mbali sikingine,sisi tunawajua vizuri,sura imekipalama utafikili mjamzito mnziiiiiiiiu
@majaliwabwitonde6900
@majaliwabwitonde6900 2 ай бұрын
Unateseka ukiwa wapi 😂😂😂😂
@kolosii4351
@kolosii4351 2 ай бұрын
We hupendi majini??
@jescaurio8410
@jescaurio8410 2 ай бұрын
bado hajasema utasema tyu
@tanzaniabusesupdates5311
@tanzaniabusesupdates5311 2 ай бұрын
Kama hujui lengo la kutembeza hayo makombe bora ukae kimya tuuu, wenzako hawafanyi hivo kujiburidisha tuuu wanataka kusajili wanachama wengi zaidi kupitia hizo ziara... Sasa wewe kalili hivohivo
@user-wk2bg8zf3l
@user-wk2bg8zf3l 2 ай бұрын
tstizolako dogo ushamba.unakusumbua😂😂😂
а ты любишь париться?
00:41
KATYA KLON LIFE
Рет қаралды 2,5 МЛН
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 104 МЛН
🔴LIVE AZAM VS APR LIVE NOW KOMBE LA MABINGWA BARANI AFRICA
58:20
SKY TV TANZANIA
Рет қаралды 11 М.
Power Dynamos 2-2 Simba SC | Highlights | CAFCL 16/09/2023
10:34