Unailinda Imani , Endelea kuilinda kiburi ukiweke mbali nawe . Asante maana unauhusiano na Neno 🙌🙌👏
@rchrismbarikiwa8 ай бұрын
Nafurahia kuwa number moja leo
@WandwilaSichalwe3 ай бұрын
Brother Ambwene uimbaji wako ni tofauti kabisa na waimbaji wengine,,, Mungu kunakitu ameweka ndani yako... nabarikiwa sana na nyimbo zako
@SamsonEzekiel-or9xc2 ай бұрын
Amina amina amina nabarikiwa sana na nyimbo zako nafarijikaaaaaaa nakuonea wivu ulivyosimama imara kwa mungu
@user-fe9lg5gb8j5 ай бұрын
Kaka nyimbo zako Huwa zinaniinua kiwango Cha juu kiimani
@MrPride-cp1zn3 ай бұрын
Nabalikiwa nauimbaj wako sana🙏🙏. Pia niombee sana. Namim pia nimuimbaj kama wewe. Pia natamani kufika mbali
@TeclaLyimo3 ай бұрын
Asante mungu kwa kila kitu juu ya maisha yangu🙏🙏🙏.. Nabarikiwa Sana na ambwene mwasonge
@lazaroraphaelmwandosya70108 ай бұрын
wow go go go wanyumban
@Esther22njambi4 ай бұрын
Powerful song Sir. Am blessed
@WilliamDeus-ux5bu4 ай бұрын
Mtumishi mungu aendelee kukutia NGUVU KATIKA utumishi ,,, nyimbo zako Huwa Zina nibariki
@user-ws3lc9nv5uАй бұрын
May God bless you Man of God mwasongwe
@clouddiotrephofficial4 ай бұрын
Oooooh MUNGU mtunze kuhani wako huyu yaaah!!
@neemashirima91658 ай бұрын
Asante Mungu kwa mambo yako makuu ambayo unafanya 😢...utukufu ni kwako
@justinmwamloso7559Ай бұрын
Naloli mweru ukyala , ngukupara najumo gwakufwana na ugwe
@user-qb3eh9gn3u5 ай бұрын
Thanks God i hear u by this song
@magrethlusimbi62933 ай бұрын
Amen ubarikiwe God bless you
@danielangyelile28128 ай бұрын
Kaka wewe ni Baraka tunzi zako ni Godly lyrical kabisa Mungu akuinuee always
@alphoncekisinga8578Ай бұрын
Ulimwelu mpoki
@JoymeryJoely8 ай бұрын
Waooooh, Ubarikiwe sana kaka kwa kazi nzuri.
@yovithakiyugu7873 ай бұрын
Ambwene nilianza kumpenda nikiwa bado niko form two nampenda sana ambwene
@mattyhappy15818 ай бұрын
We love you brother,,Mungu anibariki na mimi
@nkungujackson70926 ай бұрын
Ukweli kaka MUNGU ametupa afrika na dunia nzima unaimba katika roho na kweli,
@user-vc7xj6xl9o8 ай бұрын
Balikiwa sanaa
@eliamtinda72228 ай бұрын
Barikiwa Sana bro!
@ezographer8 ай бұрын
Mungu kakutumia wewe mwanawee kunivuna mimi ngano yakeeee aniweke ghalanii Sasa namjuaaa yeeye mweza wa yotee katika kristo #wordofcalvary
@scolasticamaghembe11898 ай бұрын
Mungu akulinde Mtumishi na uzidi kubarikiwa
@kassebo6 күн бұрын
Ameeee
@wordsofhopewestpalzab48755 ай бұрын
#1samueli <a href="#" class="seekto" data-time="127">2:7</a>, Bwana hufukarisha kwa kweli, Tenzi hizo kila Mara kwa kweli hunipa ku songa mbele katka mwelekeo wa Imani na m'a tumaini kwamba sitaachwa pekee yangu Nikiwa na Kristo Mwokozi wangu,asante sana mchungaji. Listing from UAE, but from DRCongo(ombeeni sinji yetu ina teshwa sana kwa ajili ya Mali zake za udongoni taifa lime uwawa zaidi ya 15 000, na hapana mtu waku tetea Inji, si kwamba serekali na viongozi ni wazaifu lakini siasa ya kimataifa naza uzunguni. Zime zuiya usalama, hasa Habari Njema ya msalaba wa wokovu wetu haihubiriwi Tena.#ambwene #tazama-<a href="#" class="seekto" data-time="186">3:06</a>
lini utafika Congo baba, labda dhambi za Congo ni nyingi ndo maana hakuna mabadiliko 😭😭😭😭
@neemakikoti50913 ай бұрын
Fungua blog ya Hebroni Wilison kisamo usikie Mungu alimwambia kwa habari ya congo na hasa Rais wenu
@miguelbahindwa75674 ай бұрын
Nice ❤
@AmaniEzekiel-fl6cl8 ай бұрын
Duh ubarikiwe sana mtumishi wa mungu
@aime61868 ай бұрын
Amém Mungu Akubaliki saana Mtumishi wa Mungu
@kasabalalaissa27428 ай бұрын
Just waooh 🔥
@elia54758 ай бұрын
Amina
@martinehussein72618 ай бұрын
Ameen
@mosesjuliusofficial44498 ай бұрын
Hallelujah kwa Bwana Yesu
@emmanueldionismbena34618 ай бұрын
Kaka yangu mimi nakupenda sana sana
@user-oo4ez3sb8e8 ай бұрын
Brother...... Dua yangu kwako .... Siku mbingu zikijawa na sifa hallelujah yako uwe ya Kwanza...............
@hellenmwanzivi48698 ай бұрын
God continue using you for His own glory.. Nairobi Kenya twakupenda
@user-uq3cw1re5w5 ай бұрын
Amen Amen my lovely friend in Christ
@ElijahAmon-uq6zk8 ай бұрын
I really like your singing service god bless you servant. praise and glory belongs to Jesus
@gracerrrr69398 ай бұрын
Amen Amen
@ezographer8 ай бұрын
God have mercy
@jacklinekayombo4688 ай бұрын
Amen
@denismwalukunga86868 ай бұрын
Hakika ahimidiwe yeye aketiye mahari pa juu pa Siri palipo inuka barikiwa kaka Mungu awe nawe Kila itwapo Leo na akufanikishe katika shughuli iliyo mbele yako@ambwene mwasongwe
@alex_vincent8 ай бұрын
Hallelujah
@ombenisengo72078 ай бұрын
Glory to God🔥🔥🔥🔥
@mattyhappy15818 ай бұрын
Brother kapendeza sana
@emmanuelisocelsongolo85398 ай бұрын
See by ISOCEL My favorite singer
@tumainiwafula96098 ай бұрын
wow very nice song Man of God.
@timothykoome19987 ай бұрын
God shine in ways brother you are a blessing
@PMMakula8 ай бұрын
To God be the Glory
@user-uv8mr2gn4h6 ай бұрын
najikuta nikilia kila nikisikiliza nyimbo zako uzidi barikia
@atuswegemposi16688 ай бұрын
Ndagha Jesu ❤
@NizaLuka-gi8hf8 ай бұрын
Ubarikiwe kaka ambwene
@djumabita-zu8yb6 ай бұрын
Parfait trop spirituel😢😢😢
@baloziwaghetto8148 ай бұрын
❤
@mhenitv8 ай бұрын
Haleluyaaaj
@yakobondelwa8 ай бұрын
Ur blessed bro
@tinalupala52658 ай бұрын
Glory to God
@dorismushi81548 ай бұрын
Amen🙏🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️
@kapuulyamusomba52238 ай бұрын
Mungu akubarikie sana. App inaitwaje ya subcribe kwa tukio la tarehe 8dec?