Ambwene Mwasongwe Tulikotoka Official Video

  Рет қаралды 1,102,156

Tunes Of Africa

Tunes Of Africa

6 жыл бұрын

The Best Of African Music: Kikuyu Music: Kikuyu Gospel Music: Kenyan New Music 2016: Kamba Music: kalenjin Music: Luyha Music: Kadogo Kamu: New Ugandan Music: New Zambian Music: New Rwanda Music: New Kenyan Music: New Taarab Music: New Gospel Music: New Tanzania Music: New Zanzibar Music: Kenya gospel music: Tanzania Gospel Music: Zambia Gospel Music: ugandan Music

Пікірлер: 560
@RodahAdonice-dz4sm
@RodahAdonice-dz4sm 3 ай бұрын
Wale tunasikiza huu wimbo 2024 tujuane hapa
@amosjulius7027
@amosjulius7027 3 ай бұрын
Niko hapa Rodah
@barakadieudonne
@barakadieudonne 3 ай бұрын
Tupo sana
@soka168
@soka168 3 ай бұрын
Niko hapa leo 23/3/2024. From Kenya
@soka168
@soka168 3 ай бұрын
Milka from Kenya
@irenekelvin4160
@irenekelvin4160 2 ай бұрын
Nami leo tar 29/4/2024
@clementmartin4312
@clementmartin4312 5 ай бұрын
Kama Mungu amekubariki bado unaendelea kuingalia hii nyimbo bora ya mda wote mwaka 2024 despite ya mengi yamepita nyuma MUNGU AWABARIKI ❤🙏🏿
@rozaliamsalike7868
@rozaliamsalike7868 10 күн бұрын
Mama yetu alifariki February 2024 nyumbani kumebaki Kimya Hakuna mtu na Sisi tunaishi mbali ,inaumiza Sana,😭😭 nikisikiliza huu wimbo natoa machozi,ila ninamuomba Mingus anitie nguvu ktk kipindi hiki kigumu
@HappyKibure-iz9xk
@HappyKibure-iz9xk Ай бұрын
2024 mwezi wa5 nasikiliza napenda nyimbo zako kaka unaimba kinaereweka ..bila kuwa naD uwezi erewea🙏🙏🙏🙏
@elizabethleonard1809
@elizabethleonard1809 Жыл бұрын
Hii nyimbo hunifanya niwe karibu na Mwenyezi Mungu hunifanya kutubu katika roho na kweli,,,hakuna kinachodumu katika uso wa dunia hii tuombe Mwisho Mwema ,2023 Glory be to God 😭😭😭😭🤲
@neemaneema9969
@neemaneema9969 Жыл бұрын
Amina
@fideannunduma5363
@fideannunduma5363 Жыл бұрын
Amen
@zilpabwenda8638
@zilpabwenda8638 9 ай бұрын
😢 Mungu akubariki
@JustinKamwite-fd4sw
@JustinKamwite-fd4sw 8 ай бұрын
Asente kwa iyii nyimbo
@SarahEdison-dg4gz
@SarahEdison-dg4gz 7 ай бұрын
@@zilpabwenda8638 so
@Jassy-kx3ww
@Jassy-kx3ww 19 күн бұрын
2024 BABA mimi kama mjakazi wako nashukuru kwa yote yawe mema au mabaya utabaki kuwa MUNGU wangu naomba nipe nguvu za kuendelee ili mwisho uwe mwema nakushauri we unaesoma hii coment mtazame MUNGU mtegemee MUNGU,mpende MUNGU
@bupenakajuni715
@bupenakajuni715 19 күн бұрын
Amina amina
@justinemagige1439
@justinemagige1439 Ай бұрын
Daud anasema" katika magumu yote na alimwona bwana kasimama mbele yangu kumbe tatizo letu lipo kwetu wenyewe tunaona magumu na hatumwombi BWANA tatizo halipo kwa MUNGU tatizo lipo kwetu wala halipo kwa shetani tatizo lipo kwetu tatizo ni sisi wenyewe vile tunavyoona hilo ndio tatizo letu linalotusumbua" Songa mbele usitazame nyuma mtazame bwana atakutia nguvu atakuinua na wewe usitazame nyuma mtazame BWANA...MAY 2024.🙏📌
@kirakaabeid1824
@kirakaabeid1824 4 ай бұрын
Kama hauishi mwezi bila kusikiliza huu wimbo nipe like yako
@emilianacharles2982
@emilianacharles2982 8 күн бұрын
Naskiliza huu wimbo leo Tarehe 17 /6/2024 mungu ni vushe katika hili jaribu ninalo pitia
@ericktarimo8157
@ericktarimo8157 5 ай бұрын
Napitia kipindi kigumu san kil nisikiapo huu wimbo ila naamini mungu yupo na hatafanya njia
@WinfridaNdege
@WinfridaNdege 18 күн бұрын
Usikate tamaa mpendwa Mungu ana mpango mzuri na maisha yako 🙏
@geoffreycharles15
@geoffreycharles15 5 ай бұрын
2024 wa kwanza Kushukuru kwa ukuuu Wa Mungu 🔥🔥🔥
@user-xz2hl3hp4f
@user-xz2hl3hp4f 3 ай бұрын
Niongoze Mungu wangu nakutumainia wewe, napitia kipindi kigumu sana nionyeshe njia 🙏
@HamdaniAmli-un9uo
@HamdaniAmli-un9uo 8 ай бұрын
Atamimi ni mwislam ila huwanajifunza kitu kwa uyu mwimbaji mwenyezi mungu amjalie kheri namwisho mwema
@justinemagige1439
@justinemagige1439 Ай бұрын
"Katika yaleyale wengine wanayolia sana wapo wengine bado wanaimarishwa!,katika yaleyale yanayowatoa roho wengine katika hayohayo wengine wanasonga mbele" ....MAY 2024❤🙏
@hopemwazuna1484
@hopemwazuna1484 2 жыл бұрын
Listening to this song at work this morning, dropped a few tears at my desk. Couldn't help but think of how hard life was years ago. Today I look back with thanksgiving and gratefulness. Life gets better... To anyone who is in despair and hopeless at the moment, hold on.
@louiskisanga8762
@louiskisanga8762 2 жыл бұрын
Be blessed 🥲 fam🙏🏾❤️
@ronalddaniel4397
@ronalddaniel4397 Жыл бұрын
Amen🙏🙏🙏
@timothysalehe402
@timothysalehe402 Жыл бұрын
Amen
@zabronanthony4870
@zabronanthony4870 Жыл бұрын
Your are right man of God
@oscakaitaba6436
@oscakaitaba6436 Жыл бұрын
Unanigusa sana huu wimbo. Nimebaki peki yangu nyumbani na hakuna anayeangalia makazi ya ndugu zangu.
@dismasmushi7187
@dismasmushi7187 11 ай бұрын
I lost my mom two years ago. I can’t hold back tears! God has been everything to us
@PiusNjelekela
@PiusNjelekela 4 ай бұрын
Mwenzangu kbadilika inanigusa mno niliachwa na mchumba wangu Ktk mazingira magumu sana nikawa nausikiliza huu wimbo nilipata nguvu mno kukabili tatizo
@faith5489
@faith5489 Жыл бұрын
2023 and am feeling blessed while listening to this song..🙏🙏
@dianamlingi999
@dianamlingi999 Жыл бұрын
Huu wimbo Leo nimeuelewa kipekee
@zilpabwenda8638
@zilpabwenda8638 9 ай бұрын
Mungu atubarikie sote
@kristinakeneth5657
@kristinakeneth5657 Жыл бұрын
From the house mvua ikinyesha tunalala macho to Europe. School. Work.Beautiful daughter and many more. Don’t look back wapendwa.
@julianakitinde7913
@julianakitinde7913 Жыл бұрын
God is good
@ikupachaula2609
@ikupachaula2609 Жыл бұрын
Tatizo haliko kwa Mungu tatizo liko kwetu......nimeamka na haka kakipande ka wimbo leo.....ubarikiwe sana mtumishi....Nice song in deed ...wimbo unaoishi.
@maggiekim2788
@maggiekim2788 Жыл бұрын
Eehy mungu kupitia nyimbo hii naomba unifungue baba maan napitia mapito mengi ila baba wewe ni muweza wa yote Amen
@lucastz3424
@lucastz3424 Жыл бұрын
Naamuka na hii nyimbo shida iko kwetu Sisi wanadamu mungu ibariki kazi yako bwan
@felistermtewele7322
@felistermtewele7322 Жыл бұрын
hii nyimbo jamani sijawahi kuchoka kusikiliza love this inanipa tumaini sana 💪💪💪
@josephmabula8831
@josephmabula8831 Жыл бұрын
I can't my tear 😭😭😭 nmekumbuka 2018 nilikuwa Sina pakuishi maisha magumu , Sina chakula sijui pa kwenda Sina mbele Wala nyuma ,sijui Cha kufanya ilibidi nitoe maisha yangu kwa Mungu (nikaokoka ) katika kanisa la winners chapel Int'l banana Mungu akaanza kubadilisha maisha yangu kutoka utukufu Hadi utukufu leo Mungu amenipa mke mzuri na mtoto mzuri na maisha mazuri Hakuna ngumu kwa Mungu Kama tu utaamua kumkimbilia yeye na kumtafuta yeye🙏🙏
@timotv2099
@timotv2099 3 жыл бұрын
07/05/2021 gonga like hapa kama na ww unaangalia hii song mwaka huu
@janemsamati6700
@janemsamati6700 2 жыл бұрын
22/7/2021
@gladnessmphuru3980
@gladnessmphuru3980 5 ай бұрын
I lost my mom about 15 days ago, I had a difficult time ila huu wimbo umekuwa ukinifariji na kunikumbusha kuwa Mungu yupo na anakusudi na kila mmoja barikiwa sana Ambwene ❤
@THOMASNYAGIROTV
@THOMASNYAGIROTV 3 ай бұрын
May her soul continue RIP...tutakutana tena mwisho wa safari zetu...siku ya kiama,amina.
@gladnessmphuru3980
@gladnessmphuru3980 2 ай бұрын
Amen🙏
@eddopaul18
@eddopaul18 Жыл бұрын
You will never understand the strength of this song until God dragged out of hardship that no one could except God. I can't hold my feeling to this song.
@eliamwita-leokatikahistori1271
@eliamwita-leokatikahistori1271 9 ай бұрын
Very true
@fenceevance
@fenceevance 9 ай бұрын
❤very powerful
@eliamwita-leokatikahistori1271
@eliamwita-leokatikahistori1271 9 ай бұрын
Very true
@rizikisam6481
@rizikisam6481 Жыл бұрын
Hii nyimbo Kila nikiisikiliza nalia nikikumbuka nliyoyapitia nimeona tu niiweke iwe ya kuitia ❤️❤️❤️
@hajramakwiro2830
@hajramakwiro2830 2 жыл бұрын
R. I. P baba yangu😥😥😥 nimemkumbuka sana baba yangu
@AgustaRichard-qs3ru
@AgustaRichard-qs3ru 8 ай бұрын
Unani choma mana duuuu
@josephbura4494
@josephbura4494 Жыл бұрын
18 June 2023 bado nasikiliza hii nyimbo 😢 inanikumbusha mengi sana.
@magrethdeusdedith1072
@magrethdeusdedith1072 Жыл бұрын
Napitia kipindi kigumu sana wakati huu,nausikiliza huu wimbo machozi yananitoka siku nzima niko chumbani ila ninaamini Mungu atanionyesha njia hata niacha
@angelcharles1118
@angelcharles1118 7 ай бұрын
Usijali hicho kipindi kitapita na Mungu atakuonesha njia mpendwa❤
@reliantslusajo7643
@reliantslusajo7643 7 ай бұрын
😢😢😢😢🙏🙏🙏🙏
@nassoropigauwa2503
@nassoropigauwa2503 6 ай бұрын
Pole mag
@HappyKibure-iz9xk
@HappyKibure-iz9xk Ай бұрын
Pole mpedwa
@JACKLINEMUENI-vh5lc
@JACKLINEMUENI-vh5lc Ай бұрын
Hi Maggie trust in God everything will be fine ❤❤❤❤
@agneskabalika800
@agneskabalika800 Жыл бұрын
I was an orphan na ndugu zangu tukiwa hatuna mbele wala nyuma but now ninaposikiliza wimbo huu ni mtu tofauti kabisaa be be blessed kaka 😭😭
@agneskabalika800
@agneskabalika800 7 ай бұрын
Hata mimi na ndugu zangu watano tuliachwa yatima tusio na mbele wala nyuma ila sasa mpaka mdogo wetu mdogo aliyekuwa analia ovyo sasaiv ni milionea tulikazana sana kwenye shule huu wimbo huwa unaniliza mpendwa lakini nimegundua kuwa kweli Mungu ni baba wa yatima
@agneskabalika800
@agneskabalika800 7 ай бұрын
Ooooh Hallelujah there is God
@paskaliernest370
@paskaliernest370 2 жыл бұрын
REST IN PEACE MY DADY,🕊, "Tulitamani leo hii Tungekuwa nawe😒😓"
@yusufujohn7791
@yusufujohn7791 Күн бұрын
Hoi nyimbo Kama tuliimbiwa familia yetu Kila kitu, huwa nadondosha machozi Kila nikiiskia
@user-gs4fz8nt2q
@user-gs4fz8nt2q 4 ай бұрын
Kwayoyote unae ona unamuomba sana mungu na hajibu maombii badilisha mtazamo andaa mazabui yako usikurupuke katika maombi pia nenda mbele za mungu na ombi moja moja 😭😭😭mungu anajibu maombi mapema sana sivyo tulivo aminishwa ukiweza kuandaa mazabau ya kukutania na mungu ata kabla ujaanza kuomba MUNGU ANAJIBU ONE TIME ❤❤
@dorcasnoah3011
@dorcasnoah3011 3 жыл бұрын
Jamani karibuni nyumbani hapa ndio kwetu (huwa naona Kama uliniimbia mie maana kwa mamayangu nduguzake wamekufa wameacha miji haina wenyewe kila tukienda tunaishia kulia mpaka hamu ya kwenda imetuisha maana imebaki miji bila wakaaji zaidi ya makaburi hatuna Cha zaidi
@victorhussein2503
@victorhussein2503 3 жыл бұрын
Poleni sana Dorcas.Lakini Mungu yuko palepale yuko pamoja nanyi
@ahamedhamad4035
@ahamedhamad4035 2 жыл бұрын
Pole Sana mpendwa Mungu nimwema akulehem
@leonardgeold8587
@leonardgeold8587 2 жыл бұрын
Pole sana usiwaze sana MUNGU yupo ajawacha!
@givinethaobeid6493
@givinethaobeid6493 Жыл бұрын
So sad,pole sana😭😭
@zuhuramwambalo1767
@zuhuramwambalo1767 2 жыл бұрын
Mama yangu amefariki kwetu nyumbani pako kimya na sisi tuko mbali, nyimbo inaishi katika maisha yetu
@adeladavis1876
@adeladavis1876 2 жыл бұрын
Bwana akutie Nguvu
@mpokimwakisimba692
@mpokimwakisimba692 2 жыл бұрын
Hii nyimbo imetugusa wengi Sana
@dismasmushi7187
@dismasmushi7187 11 ай бұрын
Pole, na mimi hivyo hivyo
@THOMASNYAGIROTV
@THOMASNYAGIROTV 3 ай бұрын
Bwana awafariji waliofiwa na wapendwa wao na wazazi wao...humu duniani tu safarini
@wivinemuderwa1874
@wivinemuderwa1874 2 жыл бұрын
Kaa nami yaweh ,unani jenga sana mutu wa Mungu 😭 inani toka from 🇨🇩
@priscamsuya-xd4tu
@priscamsuya-xd4tu Жыл бұрын
Huuu wimbo jamani naona nimeimbiwa na familia yangu data 😢😢 2023 bado tunapambana
@aminamwaisaka8232
@aminamwaisaka8232 3 жыл бұрын
Wimbo huu unanipa nguvu ya kusimama tenda, ni mengi tunapitia lkn Mungu anatuwezesha tena, Mungu aendelee kukutumia mtumishi wa Mungu🙇🙇🙇
@premmyhamisi4578
@premmyhamisi4578 2 жыл бұрын
I can't control my tears 😭😭😭😭😭😭yaani kweli Mungu umenitoa mbali
@annaduve1164
@annaduve1164 3 жыл бұрын
R.I.P President Magufuli
@apendayetweve8441
@apendayetweve8441 5 ай бұрын
Karibuni nyumbani apa ndio kwetu kamam Mtaona wenyewe awapo😢
@silingisillingih7204
@silingisillingih7204 2 жыл бұрын
2022 bado nasikiliza nyimbo hii na ikiwa na hisia kali❤
@selekubabaaa2539
@selekubabaaa2539 Жыл бұрын
Oohh
@jastineshirima575
@jastineshirima575 Жыл бұрын
M pia daaahh anajuwa xn more love❤
@francisyohana2570
@francisyohana2570 Жыл бұрын
Xo ww ty tupo wng
@theekisiidoll8620
@theekisiidoll8620 Жыл бұрын
Hata Mimi 😍
@jacksonmaiko2840
@jacksonmaiko2840 Жыл бұрын
ZzzzzzzZzaa@@selekubabaaa2539AaAaAaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@user-dw6yd5ki7q
@user-dw6yd5ki7q 8 ай бұрын
Kama si mungu sijui aibu yangu ningeificha wapi…!tulipitia magumu tulizaraulika,tulikataliwa,tulionekana maskini,mizigo hakuna mbele wala nyuma ,tulionekana wametuoa maskini lakin huyu mungu namtukuza kutoka kwenye Mateso Hayo to American 🇺🇸 nikikumbuka mim !emungu nikikusahau kidogo nikumbushe wew Ndio ulinitoa kule na unauwezo wakunitudisha kule
@THOMASNYAGIROTV
@THOMASNYAGIROTV 3 ай бұрын
You have restored hope to someone here🙏🙏🙏
@user-pu5vt1we8z
@user-pu5vt1we8z 7 ай бұрын
Singa mbele usitazame nyuma mpendwa mtazame bwana ni kipande tu cha huu wimbo mugu atupe mwisho mwema wa maishayetu Amee
@rahmalawrence5541
@rahmalawrence5541 3 жыл бұрын
Hakika hii nyimbo inanifanya nipige goti mbele za Mungu anisamehe pale nilipomkosea maana yeye ndiye anayenijua,,Pumzika kwa Amani Kipenz chetu Magufuli 😭
@furahachibu4293
@furahachibu4293 3 жыл бұрын
Amen 🙏🏼 😭
@ahamedhamad4035
@ahamedhamad4035 2 жыл бұрын
Amina hakika tutamkumbuka magufuli milele
@ephraimgodfeymwaigulukamwa8660
@ephraimgodfeymwaigulukamwa8660 2 жыл бұрын
Pamoja
@judithjohn1937
@judithjohn1937 2 жыл бұрын
😭😭😭🙏🙏🙏🙏
@doriskanyenda3978
@doriskanyenda3978 Жыл бұрын
Kweli ndugu yang Mungu atusamehe, Rip Baba yetu Magufuli
@FreshierMmochi
@FreshierMmochi Күн бұрын
Ni heri nitulia mungu ata niletea mume mwny atanipnd nimeumia sanàaah bt hii Wimbo imenifunza kutulia
@veronicaituka8189
@veronicaituka8189 Жыл бұрын
This song makes me cry
@alinasankey4285
@alinasankey4285 3 жыл бұрын
Huu wimbo unanifanya nirudi miguuni kwa Mungu maana ndo anayajua maisha yangu kuliko vile navyojijua
@elibarickmussa8096
@elibarickmussa8096 2 жыл бұрын
Kweli tatizo ni sisi wenyewwwwww
@emmalyod9813
@emmalyod9813 2 жыл бұрын
some songs are inspired by God himself, it takes the spirit of the Lord to inspire you to compose something like this, this song cannot end without you seeing the goodness of God or wanting to ask God more about your life. mungu akubariki Bw Ambwene Mwasongwe 🙏🙏🙏
@LouisaJulie
@LouisaJulie 2 ай бұрын
This song gives a whole new meaning every time. Katika yote, sifa na utukufu kwa Mungu wetu 🙏🏾 #2024
@chrispinenyaulingo9396
@chrispinenyaulingo9396 Жыл бұрын
Ambwene amekuwa baraka kwangu hakikaaa
@FreshierMmochi
@FreshierMmochi Күн бұрын
Inanifunza mambo mengi sanaah bila mungu huwezi fanya kitu
@zilpabwenda8638
@zilpabwenda8638 8 ай бұрын
Tusogee karibu na Mungu wetu maana yeye ndio alieshikilia maisha yetu😢
@HOPESIMONY-kp7ug
@HOPESIMONY-kp7ug 7 ай бұрын
Ahsante YESU,nakumbuka ndugu zangu jamani!!!!!YESU AHSANTE KWA KUNITIA NGUVU
@user-qy9gy5xr4w
@user-qy9gy5xr4w 5 ай бұрын
Hakikaaa wimbooo huuu unanifarijiii mimiii kweli munguuu ameniponyaaas namagonjwaaa
@AgustaRichard-qs3ru
@AgustaRichard-qs3ru 8 ай бұрын
Nikisikiaga nyimbo hii huwa na mkumbuka sana baba angu mungu amlazee mahali pema peponi miaka kumi nambili sasa hatupo na wew
@sadickathuman8068
@sadickathuman8068 3 жыл бұрын
Kama unatazama 2020 gonga like
@beniebulambo1675
@beniebulambo1675 3 жыл бұрын
Nice song
@gressbyz0866
@gressbyz0866 3 жыл бұрын
Kaka Barikiwa sana nyimbo zako zinanifariji sana
@elijahndiku834
@elijahndiku834 4 ай бұрын
Na sasa 2024 huyu wimbo bado unautamu Fulani
@barakaedom3828
@barakaedom3828 2 ай бұрын
It's my all-time song. Daudi anasema katika magum yote nalimwona bwana kasimama mbele yangu
@LovelyGreyhound-ni4lv
@LovelyGreyhound-ni4lv 5 ай бұрын
Huu mwimbo umekuwa kama chakula kwangu nisipoisikiliza asubuh basi ntausikiliza usiku...na haya magumu ninayopitia ila Mungu bado yupo upande wangu...
@user-uw3pz8iv9v
@user-uw3pz8iv9v 6 ай бұрын
Mungu akubarki ambwene unatuliza sana kupitia Brazil ya nyumbo zako
@rabiasaad4221
@rabiasaad4221 Ай бұрын
This song has always been a blessing to me.😇
@user-sm2yd2di2y
@user-sm2yd2di2y 2 ай бұрын
Hakika nyimbo inanibqriki sana nakumbuka mbali elf2023.mwezi km huu.nilipitia.magumu.namungu.bd.alinitetea.had.leo.niko.hai asante.mungu.hata.kwauhai huu.mpaka.sasa napumua sifa.nashukrani nizako mungu
@christinakibasa3336
@christinakibasa3336 Жыл бұрын
Naielewa Sana nyimbo hii napenda sana
@celebcorner9398
@celebcorner9398 Жыл бұрын
Mbubujiko wa hisia. Kweli Mungu Wewe Kiongozi 🙏
@patrickmwamakula1261
@patrickmwamakula1261 5 ай бұрын
Mungu amekuwa mwema kwa nyakati zetu na kila tukitazama nyuma tunaona utukufu wa Mungu hata kwa majuto ya mapito yetu huyu Mungu asingekuwa pamoja nasi Leo tusingekuwa na ushuhuda. Tunazidi kusonga mbele kuliitia jina la Bwana Yesu Kristo.
@user-js8rr4fy8k
@user-js8rr4fy8k Жыл бұрын
Mungu akubariki sana katika uimbaji wako
@meshackjambi3314
@meshackjambi3314 2 жыл бұрын
Amina amina Mtumishi Mbeya ni jiji la kupika waimbaji mpo wengi sana Mbeya🙏🙏
@mujibumsigit2741
@mujibumsigit2741 4 жыл бұрын
Yaani Mimi muislamu lakini basikiza nafarijika sana kaka
@zaituninyenzi9335
@zaituninyenzi9335 4 жыл бұрын
Mungu ni mmoja mujibu msigiti
@mujibumsigit2741
@mujibumsigit2741 4 жыл бұрын
Mwenye nyimbo yake huyu naomba 0678191999
@josephenos5301
@josephenos5301 4 жыл бұрын
Tu wamoja
@luluwillium1364
@luluwillium1364 3 жыл бұрын
Ubarikiwe
@youngfino8488
@youngfino8488 3 жыл бұрын
Ubarikiwe sana ambwene
@karanjeph5112
@karanjeph5112 5 күн бұрын
Ndo ujue Kila kitu chini ya jua hakinadhaman
@mtagekindole9617
@mtagekindole9617 2 жыл бұрын
Namkumbuka sana mama yangu natamani ningekuwa nae but mapenzi ya Mungu amelala wimbo unanipa amani moyoni tusiangalie matatizo tutazame ukuu wa Mungu ktk magumu yetu tunayopitia
@advocateadvocated560
@advocateadvocated560 Жыл бұрын
Nyimbo zako zinachuja kwa watu waxiojuw nguvu za MUNGU na waxiokumbuka walikotoka nyimbo Zak hazichuji na ni faraja kubwa xana kwet MUNGU akuinue zaid ya hapo
@teofistasamson5311
@teofistasamson5311 Жыл бұрын
My favorite artist AMBWENE Mungu akubariki sana
@williamkavuta8066
@williamkavuta8066 4 жыл бұрын
Moja ya nyimbo zinazonigusa! Zinakumbusha mapambano ya maisha mpka tulipofika! Njia ngumu
@mariumjeremiah1247
@mariumjeremiah1247 2 жыл бұрын
God bless you my brother
@sarachamike1005
@sarachamike1005 2 жыл бұрын
Nabalikiwa sana na nyimbo zako MUNGU akuongoze siku zote za maisha yako
@innocentssamuel4110
@innocentssamuel4110 4 жыл бұрын
nyimbo zenye hisia Za MUNGU Ndan yake
@fredjuma2045
@fredjuma2045 3 жыл бұрын
Kiukweli nyimbo zake zinanigusa sn.. Nahisi kam vile ameniimbiia mimi
@neemanafula1430
@neemanafula1430 3 жыл бұрын
jamani karibuni nyumbani, hapa ndipo kwetu, kuanzia hapa hadi kule, hizi ni nyumba zetu, na kama munavyoona, wenyewe hawapo, nyumba imebaki kimya, na sisi tunaishi mbali... I love this part so mach💜 watching from Kenya.
@hebronyusufu1846
@hebronyusufu1846 3 жыл бұрын
Mm hapo pananitia simanzi sana🙏🙏🙏
@dianawilliam2739
@dianawilliam2739 2 жыл бұрын
Me too it's so glorious
@dominimunisi4061
@dominimunisi4061 Жыл бұрын
Me to
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 5 ай бұрын
Ee Yesu Nisaidie kupitia wimbo huu nimepoteza tumaini sielewi nifanye nn
@itembebhokombe9394
@itembebhokombe9394 5 ай бұрын
Kwa hali ninayopitia ujumbe uliondani ya huu wimbo unafariji sana! Najua hili na nalo litapita na Mungu anakusudi, linavyoanza linaweza kuonekana jema/ baya lakini mwisho tofauti. Barikiwa Ambwene
@goodmusic7430
@goodmusic7430 7 ай бұрын
Jamani karibuni nyumbani hapa ndio kwetu kutoka hapa Hadi kule hizi ni nyumba zetu na kama mnavyoona wenyewe hawapo nyumba imebaki kimya na sisi tunaishi mbaali 😢😢😢 Nakumbuka mbali sana
@magievuriva4775
@magievuriva4775 2 жыл бұрын
Hii nyimbo nai play kila siku ila ipo siku special nita i play nikicheka
@salummwipopo8142
@salummwipopo8142 5 ай бұрын
Hakika hii nyimbo huwa inanikusa Sana kwenye maisha yangu mungu awe nasi.🙏
@emmylugenge1478
@emmylugenge1478 2 жыл бұрын
Kama ni msuri wa imani kupitia wimbo huu mungu hahangaiki kuutafuta moyoni mwangu mungu akubariki sana Kaka ambwene kwa kazi take.
@gbrand-yl2nn
@gbrand-yl2nn 8 ай бұрын
Hiii nyimbo inatitoa machozi kilamara napoiskilizaaaa na sijawahiii kuichokaaaa
@esthermutua1287
@esthermutua1287 Жыл бұрын
2023 still my favourite ooh lord thanks 🙏
@onlineacademicwriting
@onlineacademicwriting 5 ай бұрын
Here goes the most underrated singer. He is talented and his songs are nothing but the best
@aureliamkenga3347
@aureliamkenga3347 2 жыл бұрын
tatizo halipo kwa mungu, tatizo lipo kwetu, wala halipo kwa shetani tatizo lipo kwetu tatizo ni sisi wenyewe vile tunavyoona, tatizo lipo kwetu wenyewe tunaona magumu hatumuoni Bwana.. nabarikiwa sana sana
@user-zs8oj4tc8t
@user-zs8oj4tc8t 5 ай бұрын
Hii nyimbo inanibariki sana ,, happy new year 2024 still listening 🙏🤍
@philemonmwamsidu3244
@philemonmwamsidu3244 2 жыл бұрын
😭mungu umetubeba sana. Asante baba yetu.
@glorypeter950
@glorypeter950 3 жыл бұрын
2021 napenda kuskiliza nyimbo zako nzur sana kaka
@johnorinda8195
@johnorinda8195 3 жыл бұрын
Sawa asantw
@lordgardmassawe1275
@lordgardmassawe1275 3 жыл бұрын
tena sana
@janemsamati6700
@janemsamati6700 2 жыл бұрын
22/7/2021 nasikiliza wimbo mzuri
@tateemmett3846
@tateemmett3846 2 жыл бұрын
InstaBlaster.
@gloryndetaulo9442
@gloryndetaulo9442 2 жыл бұрын
very good 👍
@antoninaseverin9164
@antoninaseverin9164 3 жыл бұрын
Huu wimbo uliniimbia mimi kabisa
@susanyvonne3399
@susanyvonne3399 Жыл бұрын
Ave never stopped listening to this song...I can't hold my tears back while listening to it..I know one day God is going to help me out
@selemuhammed2978
@selemuhammed2978 3 жыл бұрын
Islamic ila lov song my brother ❤️24/11/2020
@gradymussa4817
@gradymussa4817 3 жыл бұрын
Jaman niombeeni mambo ni magumu hali ninayo pitia hata siilewi mwenzangu kabadirika kama zaman hali inayiendelea sijui itakwisha lini????? 😭😭😭😭😭😭
@zenithakifumbe5116
@zenithakifumbe5116 3 жыл бұрын
Mungu akutete
@gradymussa4817
@gradymussa4817 3 жыл бұрын
Amiina
@enockmasapah4093
@enockmasapah4093 3 жыл бұрын
Muombee munguuu
@lindershirima3711
@lindershirima3711 3 ай бұрын
Tatizo halipo kwa Mungu…tatzo liko kwetu😢
@faresmuroha1838
@faresmuroha1838 2 жыл бұрын
This has been the most powerful song in my life, since 2018 I watch it multiple times a week and it get me up.... May God bless his servant Embwene
@user-un3tx3rx7v
@user-un3tx3rx7v 9 ай бұрын
Mungu akubariki kwa nyimbo yenye baraka
@maxjofrey70
@maxjofrey70 3 жыл бұрын
Amen mtumishi nabalikiwa sana na nyimbo zako baba.
@The__Lords333
@The__Lords333 Жыл бұрын
Rocking with the best in 2023, God bless you brother.
Ambwene Mwasongwe Tangulia Mbele Official Video
8:05
Tunes Of Africa
Рет қаралды 696 М.
MISULI YA IMANI BY AMBWENE MWASONGWE (Official Music Video)
8:06
Ambwene Mwasongwe
Рет қаралды 1,2 МЛН
Super gymnastics 😍🫣
00:15
Lexa_Merin
Рет қаралды 105 МЛН
WHO DO I LOVE MOST?
00:22
dednahype
Рет қаралды 22 МЛН
1❤️#thankyou #shorts
00:21
あみか部
Рет қаралды 88 МЛН
Sprinting with More and More Money
00:29
MrBeast
Рет қаралды 190 МЛН
Inasikitisha: Kilichomkuta Ambwene Mwasongwe Unaweza Kutokwa Machozi
11:29
Uso Wangu
9:52
Emmanuel Mgogo - Topic
Рет қаралды 20 М.
OMBI LANGU BY AMBWENE MWASONGWE (OFFICIAL MUSIC VIDEO)
5:52
Ambwene Mwasongwe
Рет қаралды 4 МЛН
BEST OF FANUEL SEDEKIA WORSHIP SONGS VOL 2
1:00:43
DJ DR ELVIS, THE MELODIC MEDIC
Рет қаралды 338 М.
Martha Mwaipaja Tulikotoka Ni Mbali
7:33
Wyldpytch Rekords / 51 Lex Records
Рет қаралды 724 М.
Nikurejeshee
12:42
Neema Gospel Choir
Рет қаралды 131 М.
Ambwene Mwasongwe Upendo Wa Kweli Official Video
8:26
Tunes Of Africa
Рет қаралды 667 М.
Bahati Bukuku - Waraka (Official Version Video)
12:54
Injili
Рет қаралды 4,6 МЛН
Ulug'bek Yulchiyev - Ko'zlari bejo (Premyera Klip)
4:39
ULUG’BEK YULCHIYEV
Рет қаралды 4,4 МЛН
V $ X V PRiNCE - Не интересно
2:48
V S X V PRiNCE
Рет қаралды 478 М.
ҮЗДІКСІЗ КҮТКЕНІМ
2:58
Sanzhar - Topic
Рет қаралды 3,4 МЛН
Dildora Niyozova - Bala-bala (Official Music Video)
4:37
Dildora Niyozova
Рет қаралды 7 МЛН