Ukisikia kupenda ni upofu ndio huku, Umpende anaekupenda ni raha...Mapenzi ni nini jamani....
Пікірлер: 531
@kingmawese Жыл бұрын
Haikuwa rahisi kufikisha one million kwa uweza wa mungu tumefikisha big up kwako muigizaji bora wa mda wote Tanzania na africa kwa ujumla NISHAI MIKAZO MIGUNO MTOMBAGILE
@massatujeli315811 ай бұрын
kitwango
@stanastana3199 Жыл бұрын
Joti amefikisha 1m subscribers kwa KZfaq,,,hongera
@youngmaster4127 Жыл бұрын
Umeona naww kumbe ni jambo Jema sana nimefurah pia
@stanastana3199 Жыл бұрын
@@youngmaster4127 yeah kila ijumaa content
@zeynaaly1948 Жыл бұрын
Joti amejaliwa kipaji
@DeviceDenice Жыл бұрын
Dahh joti my favourite comedian Tz nzima sijaona mwenye uwezo mkubwa kama weew Tanzania nzima
@jamilaathumani5481 Жыл бұрын
Ila joti msenge Sana anajuwa mpaka sielew❤️❤️❤️❤️❤️🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@alisterlexter1115 Жыл бұрын
Lets congratulate Joti for 1 MILLION SUBSCRIBERS🎉🎉🎉 good work
@Lilcfanstv9 Жыл бұрын
Congratulations to him 🎉😊
@marthajacoblucas6228 ай бұрын
🎉❤
@kabezayasmeenah7800 Жыл бұрын
Tunakupenda Sanaa joti... from burundi
@annaki318 Жыл бұрын
Hahahahah tulionasa kwenye màpenzi Kama jotii tujuane😂😂😂😂😂
@gosbertmuta5421 Жыл бұрын
Mikito
@rosemilingi7860 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@samwelimoshi5614 Жыл бұрын
Umenasa eeee amekupa nn
@orestsanga6294 Жыл бұрын
Safi sana🤝🏻 nimeisubiri sana hiyo 1M hatimaye imekuwa🤣🤣🤣
@marycelestin6586 Жыл бұрын
Ila JOTI 😂😂😂😂😂😂😂 eti ladies and gentlemen .........
@Jvystunner Жыл бұрын
JOTI NUMBER ONE IN AFRICA ❤
@mwinyihilal2329 Жыл бұрын
nakukubali sana joti huna mbya
@nadyasalim7956 Жыл бұрын
Yes
@khadijahbanana560211 ай бұрын
Yes
@amufamyles8896 Жыл бұрын
I think I'm the only Kenyan who's watched all Jotis skits 👏👏👏👏👏👏His comic are just genuine. .kazi nzuri
@reagansongbird Жыл бұрын
Not the only one😭😂😂
@sharlinanyanje6628 Жыл бұрын
Tupo wengi tu😂
@ngumbaohalimah65 Жыл бұрын
Tuko hapa wenzio😂😂
@luckydubebello1131 Жыл бұрын
Ur not alone mm pia
@dianacharlie5283 Жыл бұрын
Tuko wengi❤
@vicentmlumba591 Жыл бұрын
Finally 1M subscribers ❤❤❤❤❤❤ Sasa views tuzidi nasii
@emmanuelchilimo Жыл бұрын
Hongera sana Mzeiya 1 Million 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 HomeBoy
@saidharith5643 Жыл бұрын
Joti si mzima last part umeniuwa yaani nimecheka kwa sauti😅😅😅😅😅😅
@agnesbasistian9248 Жыл бұрын
Hahaha nimecheka Sana asubuhi hii jamani asanteee kunipunguzia stress za usiku.Umebust nyonyo mdada akasome 🤣
@mohamedsheealom8745 Жыл бұрын
😆😆kiboga sio mzima kiakili ,joti ndie msanii pekee Tanzania alie dumisha kazi yake we love you joti Friday without you sio friday tena...
😂😂😂😂hahahahahah ila joti eti mlewa body Ake Kama mbwa manunu😂😂😂😂😂
@EZEKIAAMOSI Жыл бұрын
Nakubali sana broo joti yaani apo unyama sana
@annaki318 Жыл бұрын
Wa Tano Leo maua yngu pleaseee❤❤❤
@alexmapunda2508 Жыл бұрын
Hongera joti Kwa kufikia 1m
@meshackaloyce9662 Жыл бұрын
Utafika mbinguni ukiwa umechoka sana😂😂😂😂😂
@vulfridakessy7148 Жыл бұрын
mm sidhan km ntakaa nifurhi kwa comedian mwngn zaid ya joti,,eti ladies and gentlemen,,ooh nakupenda sabab ww n charming hata nikikutania chibaa hukataagi🤣🤣
@gayomaster3533 Жыл бұрын
Naimbeni Ata like jamn Leo nimewahi
@RulebyJaz Жыл бұрын
Hahahahaah missed call 46😂😂
@kekiplus1andonly Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂ila joti😂😂😂😂unajua 🙌 unajua tena 🙌 🙌
@Zainab_salat Жыл бұрын
Ongera kwa kufikisha 1milion subscribe
@bboynickyy Жыл бұрын
Nyie wote mmechelewa 😂😂😂😂
@silasila3111 Жыл бұрын
Eti nime miss Cho 🔥🔥🔥
@Halimamaere Жыл бұрын
Napenda ziwa lako kiboga lilivyo juu laniacha hoi😂😂😂😂😂😂😂😂
@simonandrew1489 Жыл бұрын
Good Job Mr Joti
@reiphan9894 Жыл бұрын
Jotiiiii mwamba @ kiboga una msaliti mwamba unamkubali chibaaa dah iyo imeeendaa iyo sio wanawake wasaizi watakuambia mambo yakiwaki hayo 😂😂😂
@user-sj2mo7eu5u9 ай бұрын
Nmemiss mikitoo😂😂😂 joti ujengewe sanamu yako
@antipasjohn62 Жыл бұрын
Big up brother,
@amufamyles8896 Жыл бұрын
Minute 3:36 to minute 3:54 😂😂😂😂 very funny 😂
@mohammedkidody5618 Жыл бұрын
Dah joti huna mpinzani ww ni mrithi wa marehemu king majuto😂😂😂
@fredmarly418111 ай бұрын
Nakuelwa sana joti ishi maisha mengi
@AbdulazizHussein261 Жыл бұрын
Baada ya kalamba chuchu sasa 😂😂 🔥. This man
@zenaycechanzinho6702 Жыл бұрын
Hvi mke wa joti huwa anamkodisha mumewe nguo zake au joti huwa unachukua tuu bure😂😂😂
@obbyguy255 Жыл бұрын
Oya chibaa and joti mmetishaaa😂😂😂😂😂
@danielsimon1260 Жыл бұрын
Wew niatali sana joti
@annaki318 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂kiboga kamiss mikitoooo na anaenda na shoga yake😂😂😂😂😂😂 ni kicheko😂😂😂
@gosbertmuta5421 Жыл бұрын
😂
@mohammedkidody5618 Жыл бұрын
😂😂😂
@gracesilayo7670 Жыл бұрын
😆😆😆😆😆😆😂
@martamustini6946 Жыл бұрын
Manunu ila joti we love uuu😂😂😂😂😂😂
@yasinitwaha3192 Жыл бұрын
Mungu amemlaani mwanaume anaevaa na kujifanya mwanamke na mwanamke anaejifanya mwanaumee Hawa ndo wanaoleta ushoga duniani
@user-vv3bn6yc7g Жыл бұрын
Anatumia maigizo tu kupata kipato, tusimhukumu uenda sisi tunatenda mabaya zaidi
@laumoshi9419 Жыл бұрын
Hongera sana joti unajua kupunguzia stress unaweza sanaa
@gastonecostantine6707 Жыл бұрын
Unamhukumu joti ww n mungu au tumia akili yako vzr
@queenandchill91 Жыл бұрын
Akili yako imetafakari ndo ikaishia hapo??!! Fala kweli
NA WEWE NAWE KIBOGA. HUISHI KUACHWA. NA WANAUME. 😂😂 MRUDIE SOPA ALIKUWA ANAKUPENDA MAPENZI YA KWELI❤ HAJAWAHI KUKU CHEAT. WALA KUMUAMGALIA MWAMAMKE MWINGIZA ZAIDI YAKO. MUOMBE MSAMAHA AKURUDIE UNAZEEKA MWAMAMKE MWENZANGU I LOVE YOU KIBOGA FROM DADA DANMARK
@jacklinerenson1708 Жыл бұрын
Duh yani we upige mume mwenzako uje upigwe na mkeo😂 joti
@fatumayusufu2924 Жыл бұрын
My no one comedian
@MwajumaMuslim-hm2bg Жыл бұрын
Ahahahahahaa joti shikamoo brother
@zaburi2386 Жыл бұрын
Hongera Kwa kufikisha subscribes milion moja kaka
@emanueledwin568510 ай бұрын
Nmemiss Show,, game, mikitoooo hahahahaha😂😂😂😂😂
@GiftMayunga7 күн бұрын
Nimemic mikito😂
@ismailmasoud6001 Жыл бұрын
hahaha, mnajua huyu mtoto Joti maku sana mjue...🤣🤣🤣
@aminakipande5645 Жыл бұрын
Kuma kweli😂😂
@allahisone6386 Жыл бұрын
@@aminakipande5645😅😅
@luciamaganga210 Жыл бұрын
Bendera chuma, mlingoti chuma😂😂😂😂😂
@ArafaAlly-gs3yi Жыл бұрын
😂😂😂😂sema rafik wa mshikaji mmbea 😂et tangaza
@aishafrancis7714 Жыл бұрын
Saidi sio kwa umbea huo😂😂😂😂😂
@mathiasswai7006 Жыл бұрын
Wow congratulations M subscribe
@emmanuelgrayson3276 Жыл бұрын
Nan kaona jamaa alivyompiga chiba mtama alimdakaa Kiana fulan
@chichiereyh Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣mikito ya mtombangile kitwango
@athumaniamiri880 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@teddymaliatabu2039 Жыл бұрын
Mamake ... 🤣🤣🤣🤣 Chezea kileleni 🤣🤣🤣
@inessclara1250 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂 Joti 😂😂😂 yani wewe entie stress wangu
@yassinm699 ай бұрын
Eti kamiss show 😅😅😅
@byrongamble6737 Жыл бұрын
Joti amemiss mchakabwengo😂😂😂😂
@emmanuelchilimo Жыл бұрын
Joti fara san😂😂😂😂
@SafiaSeif-gw4ut Жыл бұрын
Joti nguwo yk nzuri😅😅
@ibrahimuselemani4076 Жыл бұрын
Tuko pamoja JOTI | Unajua sana likes nying kwake kuonesha upendo na kuthamin kazi anayotupatia❤🔥