Mashaa allah napenda ❤❤❤❤❤vile unasoma Quran kaka mungu akupe kila lakher kuondoshee la shari 🙏
@ireneallen95475 ай бұрын
Leo salehe umepatikana🤣🤣🤣chezea mzee wa ngenga😂
@ukhutfatumah11545 ай бұрын
Wallah umenifurahisha iyo nyimbo udugu wangu pambeeeee aswaaaaaaaaaa
@mervissakalu41635 ай бұрын
Since start watching your show Saleh today you made my day 😂😂😂
@zainabomar72365 ай бұрын
😂 hata au shetani wanqongozana
@racheljohn22165 ай бұрын
Mzee Wa ngenga kachangamka kwel Yan mchachuuu😂😂😂🥰🙌
@user-pu6pr5jt4n4 ай бұрын
I love it. Feni naitaka😂😂😂 Saleh kapatikana leo Mzee WA ngenga ni NOMA❤❤❤❤😂😂😂😂ANAJUA KUIMBA
@user-ig1ds2eq4d5 ай бұрын
His true, his handsome, simple and himself.... I really enjoyed his simple life style❤❤❤
@eyshermohammed22365 ай бұрын
Leo saleh kapatikana kakutana na mtu anaongea kama charahan Hajaulizwa kashajibu 😂😂😂 safi sana mzee wa ngenga
@fatmamrihani68285 ай бұрын
Mzee wa ngenga una bayaaa❤❤
@aminaomary55675 ай бұрын
❤❤❤mzee ngenga safi sana nimepata elimu kutoka kwako👍👍👍👍👍
@TaarabChannel5 ай бұрын
mashaAllah upo simple sana umetoka mbali Mngu mkubwa. Ila shoga angu Nguo chafu nunua Tunga lile la plastic lenye mashimo shimo, usunguo kuchanganya nguo safi na chafu.
@oman1oman1795 ай бұрын
Nimependa hio sehemu imetulia vizuri
@zenajustus57315 ай бұрын
Uduguu,Asante Hassan love your songs penda sanaa,keep it up uko juu kaka.
@Fatma-wi2co5 ай бұрын
MashaaAllah kitu ambamcho usikose ndani ni masihafu
@ashuu79725 ай бұрын
MashaAllah tabarakallah, napenda sana unaendana na Mungu ❤ aisee nakukubali sana natamani nikutane nawewe Dini yako usiiyache endelea nayo..
@user-cl9dz6kk7u5 ай бұрын
MashaAllah Asani Ally nakupenda mnoo❤❤❤❤
@allyfatma73595 ай бұрын
Mtangazaji leo yupo likizo.kakutana na wall master. 😂😂😂😂.
@estherdavidjohn-py7hh2 ай бұрын
Ngenga ni msafi jmn anajipenda mashaallah na hafeki maisha
@ameenaameena7845 ай бұрын
Uko vizuri mzee wa nenga
@praxedaandrewkato74724 ай бұрын
Mzee wa ngenga 🙏🙏👏👏❤❤❤❤❤he's always so funny I like how he makes people laugh and happy with his words a.k.a michambo but always he's telling people the truth ❤❤❤❤❤
@user-fp5tn9cw7y5 ай бұрын
Mzee wa ng'eng'a❤❤❤❤❤
@sweettumatuma81165 ай бұрын
Mashallah Mashallah HASBUNALLAH ❤
@FatimaAli-of4gh5 ай бұрын
Una nyumba kubwa usiweke nguo chafu chumbani weka kule kwenye chumba cha makorokoro kwenye tenga ushauri tu bimependa kwako kuzuri mashallah
@fatmahrashidi15335 ай бұрын
Utaniweza wapi umalaya nimeanza zamani mwenzakoooo👌👌👌👌❤️❤️❤️❤️😀😀😀😀😀jmn hebu endelea kupiga
Masha Allah tabaraq Allah mzee wangenga kusoma quran pia uko Sawa
@munirasalim1485 ай бұрын
Kaimba vizur mashallah
@user-ig1ds2eq4d5 ай бұрын
Follow you calling and you shall reach. Find out who you are, very true❤❤
@ramadhanmohammed64745 ай бұрын
Muandishi wa habari amefanyiwa interview yeye😅😅
@WemaOmary-of6to5 ай бұрын
😅😅😅😅 kwakweli
@ukhutfatumah11545 ай бұрын
😂😂😂😂pole sele 😂😂 huyu ndio mzee wa ngenga aishiwi maneno
@aishamdinku91295 ай бұрын
Masha'Allah
@nishamwenendi-vh4wk5 ай бұрын
Leo kazi ipo 😂😂😂😂❤❤❤
@rosehaule67655 ай бұрын
😂😂😂 mzee wa ngenga ❤
@user-gn7xg6cb1u5 ай бұрын
Waukae napenda maisha yako uko vzr san ❤❤❤
@tourismtourism92045 ай бұрын
Kaimba vizuri sana
@user-zr6ow1bz8q5 ай бұрын
Nimependa sana
@salvatorymillinga9915 ай бұрын
Kwenye zoezi la tumbo hapo mwamba kajamba😂😂😂😂 nina wasiwasi na malinda km yapo yote😂😂😂😂😂😂
@LuluLevy5 ай бұрын
Aaaah nkweli kajamba tena mara mbili😅😅
@arafaomari18325 ай бұрын
Jamani nimecheka kwa nguvu 😂😂😂😂
@fikiliibrahim97204 ай бұрын
Dah hiibdunia we acha tu
@jamilaathumani54815 ай бұрын
Mzee wa ngenga umejuwa kumuweza bwana swarehe ,,umechangamka Sana Mzee wa ngenga ,,nimekupenda bure
@HaniyaKisingo5 ай бұрын
Mashallah ❤🎉 Hassan Ally Allah akupe mwisho mwema
@dorahhussein5 ай бұрын
Jamani mm humpenda sana❤❤
@zainababdullsadik12475 ай бұрын
Mzee ngeee mamboo bulbuliiii tenaaa❤
@safiajamaa40545 ай бұрын
Yaani sio mchezo masha Allah
@VickKulekana-si1ib5 ай бұрын
Mzee wa ngenga halafu ni kaka mzur anafanaba na kaka mmoja mwarabu mpemba wanafanana
@WemaOmary-of6to5 ай бұрын
😂😂😂😂😂 salehe leo kapatikana yeye ndio anahojiwa namzeee wa ngenga
@rehemamajaliwa5 ай бұрын
😂😂😂😂
@user-gf6uo8qf3k5 ай бұрын
Mashallah 💯
@AfricaQueen5 ай бұрын
🤣😂🤣Huyu jamaa kibokoooo lakini 🤔🤔Wifi yetu nae mbona hatuona make cup zakeeee🤔🫣Toka kabatini Shostiiii na kwa kweli ni muigizaji mzuri na muimbaji mzuri Sauti nzuri namependa Hafake maisha 💯💯💯💯💯🙌🙌🙌🙌🙌.
@Mina.155 ай бұрын
Kijora chake anatudanganya 😂😂 ATI cha baby 😂😂😂
@AfricaQueen5 ай бұрын
@@Mina.15 😂🤣😂🤣
@jamilajamila1834 ай бұрын
Mashaallh❤
@officialbntrasool52235 ай бұрын
Ana saut mpaka raha
@nasrasalim71125 ай бұрын
Manshalah
@zayumar29555 ай бұрын
Sijui nawaza nn Mungu anisamehe 😢😅😅😅😅
@user-gw4jc9so5p5 ай бұрын
Mashallah ❤❤
@zenamwasekaga74605 ай бұрын
"Wigi linawasha" naupenda huu wimbo kufaa❤❤
@yousramutwale24635 ай бұрын
Yupo naishi vizuri jamani
@user-mc6um1it1r5 ай бұрын
Safi sana mungu kwanza
@hamisahamisa58965 ай бұрын
Ila huyu kaka huyu hawezi kuishi na mwanamke msafi sana
@NanaNana-xo2og5 ай бұрын
Kwanini😂😂😂
@Khadija-ne8ul5 ай бұрын
😂😂😂😂 leo saleh kapatikana
@EricaBizuru-jp9by5 ай бұрын
Yani salehe leo huna kazi m kaka kajieleza kamaliza yan ukitaka kuleta swali anakudaka😂😂😂😂
@julianamasunga34585 ай бұрын
Nakupenda haswaaa😅😅
@user-vv7uj2ks6e4 ай бұрын
Jamani kanifurahisha Mzee wa ngenga yupo vizuri daaa jaman yupo vizuri ajarogwa😅😅
@iamhuzaina45884 ай бұрын
Jamani naomba mnisaidie Natafuta taarabu aliimba Mzee wa ngenga inamistari hii "Kama ni uhuni walianza bibi na babu zako vipi la ajabu uloliona kwa wana wa wenzako" hiyo aliyoimba hapo INAITWAJE NAOMBA MNITAJIE WIMBO WA HIYO TAARABU
@luperazzy8015 ай бұрын
Bado nipo Kwenye Zoezi La Tumbo Mbona Kama Nimesikia Pekeyangu Au 🤔 Nati Hazijakazaa!!! Twi Twi Mbili hzo kwemaa 😂😂 Keeper
@rizikiabdalla25015 ай бұрын
Mluzi aloonaaa doto magari watu wa dizaini hii Huwa hawezi mchura Wala kata tumbo ni mwendo wa mlozi tuuu
@mariamdullazy81665 ай бұрын
😂😂😂 mashallah kwako pasafi
@ZolufaMas-ie4un4 ай бұрын
Wasema ukwl broo
@JescaFelix5 ай бұрын
Na kweli anaishi uko Wala ajaongopa
@user-rb2mu4iw1j5 ай бұрын
Salehe leo anataman iishe hii show
@swaibahhassan50565 ай бұрын
😂😂😂 daah saleh leo kapatikana
@subrynerysegerow13235 ай бұрын
Kweli mzee wa ngenga kachangamka akaa😂😂😂😂
@vaghoghontweki98273 ай бұрын
Kweli mtangazaji umedakwa hata hupati nafasi kwa mzee wa Ngenga.....utanyooshwa 😂
@VickKulekana-si1ib5 ай бұрын
Mapazia mazuri kama pazia letu.😅msafi kama mimi napejda usafi
@btylove18705 ай бұрын
Halafu utasikia wanawake ni wengi duniani kuliko wanaume, sio kweli kabisa. Wote tupo sawa sema tu wanaume wengi sio riziki.🙃
@user-ct8om8jw3l5 ай бұрын
Nakupenda atali kaka
@mariamkatalika95365 ай бұрын
Yani imeninogea😮
@user-rk6jq2vl4d3 ай бұрын
Anajua sana
@jalinachilala84655 ай бұрын
Salehe leo umekutana na kichaa😂😂😂 kazi.unayo
@sharifahabsi50045 ай бұрын
Mashaallah
@user-kn8bm3kt1j5 ай бұрын
😅😅😅😅😅Hajarogwaaaa
@josephinesisso6598Ай бұрын
😂😂😂❤❤❤❤nimeipendaa🎉
@user-du4yg5cj3v4 ай бұрын
Akome sio kazi rahis ataukimaliza kuangalia uhoi kucheka😂
@user-ce1vh4rl5c5 ай бұрын
Jamaniiiii 😂😂😂😂😂😂
@miriyamasanja67665 ай бұрын
Swalehe Leo umepatikana mtu anaongea kama cherehani ya umeme 😂😂😂😂😂