Рет қаралды 509,512
Anayekula mwili wangu, na anywaye damu yangu
anaishi ndani yangu, ye hatakufa milele
Yesu wangu nakuomba, nishibishe na mwilio
Nayo damu yako ninywe, japo sistahili mimi
wimbo wa Ekaritia, sherehe ya Mwili na Damu ya Yesu, Corpus Christi
Anayekula Mwili Wangu - Traditional
umeimbwa na Sauti Tamu Melodies,
producer - Martin Munywoki
harmony - Tumshangilie Bwana
instruments - Martin Munywoki
Tazama nyimbo nyingine kwa channel hii kama nikupe nini Mungu wangu, sasa wakati umefika, nitakwenda mimi mwenyewe, hii ni ekaristi, aulaye mwili wangu, nimewalisha kwa unono wa ngano
#sautitamu #kwayakatoliki
kwa nyimbo zaidi za kikatoliki fuatilia channel nyinginezo kama Rajo Production, Tanganyika productions, Holy Trinity Studios, n.k
ubarikiwe