Рет қаралды 94,082
Goli pekee la mchezo kutoka kwa 'super sub' Mamadou SY limeipa APR FC ya Rwanda ushindi wa bao 1-0 dhidi ya El Merreikh Bentiu ya Sudan Kusini, mchezo wa raundi ya pili #DarPortKagameCup uliopigwa Azam Complex, Chamazi.
Ilikuwa ni header iliyozaa goli dakika ya 70. Tazama highlights