Рет қаралды 90,433
Goli pekee kutoka kwa Victor Chukwuemeka Mbaoma dakika ya 22 limetosha kuwapa alama atatu muhimu APR FC dhidi ya Singida Black Stars, mchezo wa Kombe la Kagame 2024 ukipigwa kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi.
Tazama highlights
#DarPortKagameCup