ASHUKURIWE MWENYEZI

  Рет қаралды 2,343,835

RAJO PRODUCTIONS

RAJO PRODUCTIONS

9 ай бұрын

Waimbaji: Friends of Eddo
Mtunzi: Ray Ufunguo
Audio Production: Essence Productions
Video Productions: RAJO Productions
Organist: Ray Ufunguo
Karibuni kutazama kazi hii njema iliyoandaliwa na Producer Eddo kutoka Essence Productions akishirikiana na Ray Ufunguo wa RAJO Productions.
RAJO Productions inajivunia kumlea na kuweza kumpata Producer mwenye kiwango kizuri kabisa, Tumpokee Eddo kutoka Essence Productions.
Mungu arubariki sote

Пікірлер: 1 200
@cyrusmoseti4252
@cyrusmoseti4252 4 ай бұрын
Well coordinated, instrumental and movement match perfectly well.If I wasn't an Adventist, I 'd be a catholic faithful. Beautiful composition 🥁🥁🥁💯🎶🎤
@julliekilonzo1442
@julliekilonzo1442 7 ай бұрын
Wimbo mzuri sana wa kumaliza mwaka ❤❤❤❤❤Ray Ufunguo huu mwaka umetupeleka na rieng ❤ .. Mungu na akuzidishie mwaka ujao 🙏🙏🙏🙏
@roscomedia.
@roscomedia. 2 ай бұрын
Everytime someone likes this comment I'll be coming back to listen once again. I'm blessed big time.
@ChristerKihwili-jo1rm
@ChristerKihwili-jo1rm Ай бұрын
Tulio rudia malambili mbili taratibu mnanikanyaga kwaupendo wakristo tumtumikie nakuwajibika mpaka kieleweweke 🙏🙏
@mkambuyabisinia1450
@mkambuyabisinia1450 9 ай бұрын
Tiktok imenifikisha hapa..hongereni nimepata wimbo wangu wa siku yangu ya kuzaliwa mwezi huu wa November...mwanzo wa mwaka hadi mwisho wake ni Mungu ..
@philipmshote7485
@philipmshote7485 9 ай бұрын
Me toooo😂😂😂
@rajopro
@rajopro 8 ай бұрын
Mungu azidi kukubariki
@vivianagura9826
@vivianagura9826 8 ай бұрын
Me too it's such a blessing song. I celebrate my birthday with this song. So elevating 🙏
@mkambuyabisinia1450
@mkambuyabisinia1450 8 ай бұрын
@@philipmshote7485 happy birthday
@mkambuyabisinia1450
@mkambuyabisinia1450 8 ай бұрын
@@rajopro amina
@LilTerry988
@LilTerry988 8 ай бұрын
Wimbo mtamu wenzangu mmiminiwe baraka tele...@Ray unafanya kazi njema
@MERCYNTUDUMUA
@MERCYNTUDUMUA 4 ай бұрын
Who is here 2024....a blessing song
@michmbolingaba7310
@michmbolingaba7310 6 ай бұрын
I came across this oh-so wonderful song yesterday (Saturday), Jan. 27, 2024 through TikTok video and fell instantly in great love with it. Listening to this special song, I felt over the moon and felt like all my burdens were taken away from me. Then I decided to share it with some of my fellow DRC 🇨🇩 people. I'm really happy that all of them have come back to me with many words of thankfulness and praise for the Lord for this song. I say thanks a million to those who have come up with ideas of writing such an absolute wonderful song. I don't know if you are from Tanzania 🇹🇿 or Kenya 🇰🇪 but I would like to say: Asante sana ju ya nyimbo hii (Ashukuriwe Mwenyezi). 🔥🔥🔥🔥💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖🙏🤝🇨🇩🤝🇹🇿🤝🇰🇪
@rajopro
@rajopro 5 ай бұрын
Thank you so Much. This feedback is an amazing one. We are happy for you and your friends. The song is from Tanzania, and the song writer is also from Tanzania. May God keep on Blessing you.
@raelakiru6291
@raelakiru6291 8 ай бұрын
Ray Ufunguo proves to be my favourite Catholic Artist, I really love your songs, keep going, we sing most of your songs in my church. Thanks for always blessing us with your heavenly songs, Mungu akujalie uzidi kumtumikie, Amina 🙏🙏
@stellamarisndenge7353
@stellamarisndenge7353 4 ай бұрын
Ray Ufunguo and Lawrence Kameja,,,,, any time
@anastaciamuema
@anastaciamuema 9 ай бұрын
This is the best song I’ve listened to today. Hongereni sana!👏👏👏♥️♥️♥️♥️ Ray🙌🙌🙌
@rajopro
@rajopro 9 ай бұрын
Thank you so much
@mykheymutua
@mykheymutua 7 ай бұрын
Ray Ufunguo has really been putting sme crazy efforts in his compositions, much respect to the dude
@annekanana306
@annekanana306 7 ай бұрын
From tiktok to here..❤❤ Ashukuriwe mungu 🙏
@mbubadonpick
@mbubadonpick 29 күн бұрын
Ak vile nmetafuta hii song since jana nlivyotoka church after kuisikia kwa statuses karibu niachane nayo lakn moyo unakataa and finally am here with it...truly it's God who secures us🙏
@nancykaona2054
@nancykaona2054 8 ай бұрын
… I’m proud to be catholic. Yaani maneno yanasikika vyema, nyimbo ipo taratibu. Eeee MUNGU ENDELEA KUWATUNZA MAKUHANI WAKO🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@LuciaKinuthia
@LuciaKinuthia 9 ай бұрын
I wish the song could extend abit longer.....i cant get rid of it playinh it again and again you bless us soo much Ray may God bless you and congratulations
@rajopro
@rajopro 8 ай бұрын
Ubarikiwe sana
@nellynduku4543
@nellynduku4543 9 ай бұрын
asante bwana wa mbingu,, ni wewe unajua Siri za moyo wangu,,, asante Kwa umbali umenitoa na Nina imani nitamaliza salama,, glory to the most high
@rajopro
@rajopro 9 ай бұрын
Uzidi kubarikiwa
@eliudihamsoni2277
@eliudihamsoni2277 9 ай бұрын
Ray siku zote huwa anatoa kazi Bora na Bora zaidi 🎉🎉❤❤
@rajopro
@rajopro 9 ай бұрын
Shukrani sana
@LiahAmin-t8e
@LiahAmin-t8e 21 күн бұрын
Kilindi cha Moyo wangu..... Kimejaa maneno ya Kushukuru... Ashukuriwe Mwenyezi.. Anayeketi kaika patakatifu.... Usiku Mchana... Mwanzo wa Mwaka Mpaka Mwisho wake.... Ni Mungu aketiye juu anayenilinda.... Midomo yangu itaimba maneno ya Kushukuru.... Asante nakushukuru Bwana wa Mbingu....
@margaretkanyoro4137
@margaretkanyoro4137 9 күн бұрын
Thank you ❤
@naomimakena6658
@naomimakena6658 8 ай бұрын
Wooow!! Mtamu sana ,binadamu twastahili kushukuru mungu Kwa ulinzi wake Hadi mahali tulipo siku ya Leo.
@rajopro
@rajopro 8 ай бұрын
Asante sana kwa kutazama
@karenthuranira6883
@karenthuranira6883 6 ай бұрын
No matter how many times I listen to this song. So sweet, so smooth. All praises to the Most High God. Well done team Rajo. You lead and others follow. Much love from Kenya
@mercykavaya5284
@mercykavaya5284 9 ай бұрын
Huu wimbo umeweza nawaombeeni na mbarikiwe nyote..kazi safi tena zaidi
@rajopro
@rajopro 9 ай бұрын
Asante sana, ubarikiwe sana
@joycemluga1125
@joycemluga1125 9 ай бұрын
Wimbo mzuri inamfanya kila anaesikiliza azame ktk kutafakari ukuu wa mungu 🥀🥀🌹🥀🥀❤️ mungu azidi kuwafamya baraka ktk kazi yenu🙏
@rajopro
@rajopro 9 ай бұрын
Barikiwa sana
@emmagatty9120
@emmagatty9120 9 ай бұрын
May the Almighty God bless you guys. You are amazing😍 lots of love from +254❤❤❤❤
@lindselk9057
@lindselk9057 9 ай бұрын
Kweli kilindi cha moyo wangu kimejaa maneno ya kushukuru mwenyezi. A blessing it is
@rajopro
@rajopro 9 ай бұрын
Uzidi kubarikiwa
@mercymburu8227
@mercymburu8227 9 ай бұрын
Asante mwenyezi Mungu tangu mwanzo wa mwaka Hadi Leo nashukuru 🙏🙏🙏
@rajopro
@rajopro 9 ай бұрын
Asante sana na ubarikiwe
@marywambui82
@marywambui82 2 ай бұрын
Tiktok pushed me hadi huku😂 ndo nishafika tayari kupokea hizi baraka jamani 🙏🙏
@-danniedanniel1447
@-danniedanniel1447 7 ай бұрын
Kilindi cha moyo yangu,kimejaa, maneno ya kushukuru. Ashukuriwe mwenyezi, anayeketi katika patakatifu. Usiku mchana, mwanzo wa mwaka, mpaka mwisho wake. Ni Mungu aketiye juu anayenilinda, midomo yangu itaimba maneno ya kushukuru. Asante nakushukuru Bwana wa mbingu. Anayewaalii..sha ndege wa angani. Ndiye anayeshusha neema Kwa viumbe vyote. Jua na mwezi nazo nyota za angani. Ndiye aliyeziratibisha,(akanipaa... Zawadi ya maisha. ❤❤❤❤
@anastaciamuema
@anastaciamuema 7 ай бұрын
@@rajopro😅😅
@mcback4384
@mcback4384 7 ай бұрын
Moyo wangu*
@stellamarisndenge7353
@stellamarisndenge7353 4 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣 I have being singing like this. " Kilimi cha moyo wangu"
@johnmusyoki8749
@johnmusyoki8749 9 ай бұрын
What more can we say kama sio kumshukuru mwenyezi. A beautiful piece. Congrats RAJO PRODUCTIONS. 👏👏👏
@rajopro
@rajopro 9 ай бұрын
Thank you
@teddysilayo3438
@teddysilayo3438 9 ай бұрын
Nzuriiiiiiiii❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Mungu awalinde Muendelee kumtukuza milele
@rajopro
@rajopro 9 ай бұрын
Amen. Barikiwa sana
@clareClare-rt5tm
@clareClare-rt5tm 6 ай бұрын
Proud to be catholic napenda hii nyimbo sana inanipea furaha Kila tyme ❤❤❤
@gilbertoke
@gilbertoke 9 ай бұрын
This is beautiful. One of the best from Rajo this year ❤❤🎉
@rajopro
@rajopro 9 ай бұрын
Thank you so much
@user-gv6oq6zh8w
@user-gv6oq6zh8w 7 ай бұрын
Nikiona Ray Ufunguo, Najuanga hapo kuna wimbo.
@Carolinekariuki-e4k
@Carolinekariuki-e4k 10 күн бұрын
😢😢😢the song reminds of cucu who has passed away a true faithful catholic😢😢😢
@habimanarobert4847
@habimanarobert4847 3 ай бұрын
Wimbo nimeupenda sanaaa!yani sitosheki kuwusikiriza naurudia mpaka
@josephallamanochoir-kibada9420
@josephallamanochoir-kibada9420 7 ай бұрын
Proud to be a Catholic. A great piece of work. God bless you for evangelizing through holy music.
@Ykdejan
@Ykdejan 9 ай бұрын
Wimbo mtamu ulio na baraka..hongera 🎉
@rajopro
@rajopro 9 ай бұрын
Shukrani sana
@user-us1rg1tk8n
@user-us1rg1tk8n 2 ай бұрын
Wimbo mzuri Sana, thanks to Ray Ufunguo for active participation in supporting unity among the Christians.
@mburuben2254
@mburuben2254 6 ай бұрын
My favourite jam of 2024, always on repeat mode... So blessing.
@rajopro
@rajopro 6 ай бұрын
Be blessed
@nakamogababra7120
@nakamogababra7120 6 ай бұрын
Me too, I don't know how many times I play it
@angelosonge2389
@angelosonge2389 7 ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu Ray. Ubalikiwe na Bwana. Vijana wa siku hizi wanasema huna dhambi hata moja.
@emilwafula801
@emilwafula801 Ай бұрын
Kwaya ilipilkwa ikaiiva hizo sauti🔥🔥🔥🔥 weldone my Catholic sisters n brothers... beautiful song.🥰🥰🥰🥰
@danielmwangi5595
@danielmwangi5595 7 ай бұрын
Very nice song may our Lord God bless you Good people,,sauti nazo,waaaaauuuu
@masimasi8175
@masimasi8175 7 ай бұрын
Asante Mungu wangu nakushukuru...usiku mchana,mwanzo wa mwaka mpaka mwisho wake..ni Mungu akatie juu ananilinda.. Waauu such a beautiful blessing song. Thanks Team
@anthonytido
@anthonytido 8 ай бұрын
Sina neno zaidi ya kusema nawapenda na mungu awabariki kila siku ya maisha yenu
@rajopro
@rajopro 8 ай бұрын
Uzidi kubarikiwa
@jacklinewabomba4119
@jacklinewabomba4119 2 ай бұрын
ASante sana mtunzi wa huu wimbo na waibaji kwa ujumla ❤❤❤ nimependa sana. kama muimbaji pia nafeel kubarikiwa.
@catherinekarimi9993
@catherinekarimi9993 8 ай бұрын
❤❤kameja ad your team/choir,,Sina mengi,,ni mungu tu,,,amazing what a beautiful song,,, Kilaasubuhi mpaka niimbe hio wimbo,,
@rajopro
@rajopro 8 ай бұрын
Ubarikiwe sana
@millardkevogo1594
@millardkevogo1594 4 ай бұрын
Kilindi cha moyo Wangu kimejaa maneno ya kumshukuru mwenyezi. Hakika tunapaswa kumshukuru Mungu kila wakati kwa makuu yote anayo tutendea.
@michaelwesonga4084
@michaelwesonga4084 Ай бұрын
Nice song that's why I love my Catholic church ❤❤❤❤
@christinenabwire2649
@christinenabwire2649 5 ай бұрын
Kweli aimbae husali mara mbili, jamani mungu azidi kuwabariki awape nguvu muimbe miaka yenu yote, I wish mngekuwa kenya ningewajoin huu wimbo ndio my daily anthem
@Jokimuventures
@Jokimuventures 8 ай бұрын
We need more songs like this to make earth feel like heaven
@raelakiru6291
@raelakiru6291 8 ай бұрын
Just as his name suggests, Ukweli Ray Ufunguo anatufungulia mlango wa mbinguni through his songs. Thank You so much Ray, I hope you see this comment
@rajopro
@rajopro 8 ай бұрын
Asante sana. Mungu azidi kukubariki
@raelakiru6291
@raelakiru6291 8 ай бұрын
I am humbled 🥰☺, Thanks so much@@rajopro
@clementinemumbua7910
@clementinemumbua7910 5 ай бұрын
A radio station imenileta uku,coz they play this song everyday early in the morning
@philipkitavi9168
@philipkitavi9168 3 ай бұрын
❤❤I love the song, Catholic never disappoint. 🙏🙏🙏🙏💯
@alubogladys3077
@alubogladys3077 9 ай бұрын
May God keep thz boys kameja and piano man alive really u guys make good music❤❤❤❤
@rajopro
@rajopro 9 ай бұрын
Thank you so much
@joycefuraha2218
@joycefuraha2218 2 ай бұрын
Yaani huu wimbo sichoki kuuskiliza❤️❤️❤️
@user-op3ly7vu9b
@user-op3ly7vu9b Ай бұрын
Very true
@margaretobenga710
@margaretobenga710 6 ай бұрын
Pianist Ray Ufunguo ni👏👏👏👏👏👏hongera Sana. Wewe ni fundi wa ukweli Mwenyezi Mungu akuzidishie baraka. Nausikiliza wimbo huu kutoka Washington.
@eliastajewuo2971
@eliastajewuo2971 9 ай бұрын
Ray never disappoint wherever I sow him playing piano ni Mambo mazuri2❤
@rajopro
@rajopro 9 ай бұрын
Shukrani sana
@catherinekerubo7282
@catherinekerubo7282 9 ай бұрын
I can't get enough of this song,yaani nimeirudia since morning till now,such a nice song that has bless my entire day🙏
@rajopro
@rajopro 9 ай бұрын
Be blessed
@marymimina
@marymimina 9 ай бұрын
Kumbe si mimi pekee naenjoy wimbo, yaani Kila moja kwenye video hii anakatika tu. Kweli ni Mungu anastahili Shukrani zetu. Ray you are God's favourite. Hiyo nayo nimeona kabisa endelea na huu moyo wa kumtumikia kabisa na akuongezee miaka mingi na heri duniani utumie kipaji chako kuleta watu wengine katika nyumba ya Bwana🙏🏻🥰, Hongera sana to the team👏👏👏👏
@armansabbor-ui3jb
@armansabbor-ui3jb 9 ай бұрын
Nawependa sana jamani munguu awabariki napenda sana nyimbo zenu
@rajopro
@rajopro 9 ай бұрын
Nashukuru sana Mary, Ubarikiwe sana
@rajopro
@rajopro 8 ай бұрын
Mungu akubariki sana @marymimina
@marymimina
@marymimina 8 ай бұрын
Nanyi mbarikiwe zaidi🙏🏻🥰
@michaeltsakhara
@michaeltsakhara 8 ай бұрын
@marywayuwa5867
@marywayuwa5867 9 ай бұрын
My church forever ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️🥰🥰🥰🥰🥰
@rajopro
@rajopro 9 ай бұрын
Barikiwa sana
@v.k.m5475
@v.k.m5475 8 ай бұрын
Wow! Wimbo mtamu sana. Hongereni saaaana na Mungu awabariki kwa uinjilishi wenu. Nimeshea kwa wengi 🎉🎉🎉🎉
@rajopro
@rajopro 8 ай бұрын
Mungu akubariki
@agustinobinamungu669
@agustinobinamungu669 9 ай бұрын
First viwer I'm here 🎉🎉😂😂 big up sana
@rajopro
@rajopro 9 ай бұрын
Barikiwa sana
@mercywanjiku6989
@mercywanjiku6989 7 ай бұрын
Wimbo mtamu sana🙏ashukuliwe mwenyezi Mungu amelinda kutoka mwanzo wa mwaka mpaka Sasa , asante kwa zawadi ya maisha .....kilindi Cha moyo 🙌
@mercymburu8227
@mercymburu8227 8 ай бұрын
Nani kama Mimi sitosheki kamwe na wimbo huu❤️❤️❤️
@Mc_Martinny1
@Mc_Martinny1 8 ай бұрын
Mungu akubariki kwa wimbo mzuri! umetulia kweli! tunaomba nota zake
@peterngowi1124
@peterngowi1124 7 ай бұрын
Nipo hapa nasikiliza kwa kurudia rudia mpaka mwaka unaingia🎉 happy new year 2024 in advance😊
@albanusmutua347
@albanusmutua347 4 ай бұрын
Mr Ray ufunguo congratulations for hosting our sister, I respect you brother, you make me proud of being a catholic
@user-pg2uj3om2m
@user-pg2uj3om2m 9 ай бұрын
Jamani napenda sana nyimbo zenu
@rajopro
@rajopro 9 ай бұрын
Asante sana
@mechtildakiiza870
@mechtildakiiza870 Ай бұрын
Mungu Baba azidi kukutia nguvu ; awe kiongozi wako daima. Amtumainie hatatahayari azidi kukuinua ni yeye yule asiyebadilika kamwe. Alfa na Omega. Nimwamba imara. Ubarikiwe kiongozi.
@bryantwaf4077
@bryantwaf4077 7 ай бұрын
Beautiful song to finish a blessed 2023 and usher in another year of hope
@CarolineMutua-fn3do
@CarolineMutua-fn3do 9 ай бұрын
Kilimi Cha moyo wangu kimejaa maneno ya kushukuru 🎉🎉🎉🎉you can't imagine how blessed I am ...
@karenkiki4553
@karenkiki4553 7 ай бұрын
This is the best song I have listened to... In 2023 .. I thank God ❤❤❤❤❤
@ceciliamzumara7078
@ceciliamzumara7078 8 ай бұрын
Very beautiful voices and dance! My best choir! God bless you all!
@reubenjessica7538
@reubenjessica7538 Ай бұрын
Nice melody even though I don't understand the language
@maryanyango6022
@maryanyango6022 9 ай бұрын
Everytime I see the name Ray Ufunguo, definitely the song is on point Hongera❤❤
@rajopro
@rajopro 8 ай бұрын
Thank you so much
@stellamarisndenge7353
@stellamarisndenge7353 4 ай бұрын
My twin
@EvanceOdero-sq2oo
@EvanceOdero-sq2oo 9 ай бұрын
The love I have for this song... I'm so excited about it......... 💞💞🎹🎼
@rajopro
@rajopro 9 ай бұрын
Thank you so much
@Munezeroyvette
@Munezeroyvette 8 ай бұрын
We nyimbo nimekutafuta mpaka!👏👏👏🔥🔥🔥🔥tik tok😇😇😇😇😇
@LilTerry988
@LilTerry988 8 ай бұрын
Likewise....nimeona tu kaclip yake TikTok na nkaja huku kutafta
@LeilaMosh
@LeilaMosh 4 ай бұрын
Kawimbo katamu sana kinanipa raha sana najiona kama niko mbinguni jamani
@irenenjuguna2870
@irenenjuguna2870 7 ай бұрын
Waoh waoh Ray Ufunguo does it again. Beautiful What a way to end the year Thanking God for everything God bless the work of your hands
@BLASTUSMAGONGO
@BLASTUSMAGONGO 2 ай бұрын
Hakika mungu ashukuliwe mungu muda wote pia hongera sana kwa mtunzi wa wimbo
@emilykwamboka5963
@emilykwamboka5963 22 күн бұрын
My mum loved this song but she died this year January rest easy my mum
@Stellakorobe-nc8wq
@Stellakorobe-nc8wq 7 ай бұрын
Tiktok ndo imenifikisha huku.I love this song❤
@FRJohnNgugi-ey6pz
@FRJohnNgugi-ey6pz 6 ай бұрын
Wimbo mtamu saana umenikumbushaa mwaka wangu wa ubadilisho kutoka ushemasi kua padree
@GraceMathias-mm7hx
@GraceMathias-mm7hx 6 ай бұрын
Ongera sana
@brendahwawire4130
@brendahwawire4130 8 ай бұрын
Hongera wimbo huu mtamu kweli ❤❤❤❤Mungu awazidishie maarifa muweze kutoa nyimbo zaidi
@user-vj1qp6bd9f
@user-vj1qp6bd9f 6 ай бұрын
Kazi mzuri kabisaa echo kwa mwalimu.... He has coordinated the moves to make a presentable view.... Congratulations 🎉🎉
@shilamba118
@shilamba118 7 ай бұрын
I love u song my people,,,,❤❤❤❤am from Namibia,,,I love u all❤❤❤
@lindahnebokhe7719
@lindahnebokhe7719 8 ай бұрын
Such a great piece. Aki you made it too brief....
@agustinoraphaeli9380
@agustinoraphaeli9380 9 ай бұрын
Hakika Mungu ni mkuu sana hongereni sana kwa kazi nzuri na Yesu aishie milele awatunze
@rajopro
@rajopro 9 ай бұрын
Asante sana, ubarikiwe
@naomimakena6658
@naomimakena6658 8 ай бұрын
Hongera pia Kwa mtawa wetu mpendwa Sr Cate Kwa talanta yako huko TikTok 🎉🎉🎉❤
@naomimakena6658
@naomimakena6658 8 ай бұрын
Umefanya tuutafute huu wimbo. Wapendwa twendelee kumtukuza Mungu Mwenyezi katika aushi yetu yote ,tusimsahau mungu hata dakika Moja. Yeye ni mungu mkuu . Asante sana ❤🙏
@rajopro
@rajopro 8 ай бұрын
Barikiwa sana
@juliethsanga5660
@juliethsanga5660 8 ай бұрын
​@@rajopro❤
@nakamogababra7120
@nakamogababra7120 6 ай бұрын
I don't know Swahili but the way I mastered the lyrics is amazing 🥰🥰
@angelinewakio2974
@angelinewakio2974 6 ай бұрын
Tiktok has landed me here...big up you guys
@HappinesMshana
@HappinesMshana 2 ай бұрын
Nimeipenda sanaaa da sielewi nisemeje hakika nashukuru kuwa mkatoliki ❤❤❤❤❤❤❤❤
@mercyborh2595
@mercyborh2595 4 ай бұрын
Beautiful voices💕💕, iam from west Africa and iam dancing to every bit to the song 🎵. Keep winning great sisters and brothers of mama Africa 🌍😘😘😘😘
@maggymshay7666
@maggymshay7666 9 ай бұрын
From tiktok though I am not a catholic amazing song❤❤❤❤
@rajopro
@rajopro 8 ай бұрын
Be blessed
@jwahiu
@jwahiu 7 ай бұрын
My favourite song 2023
@elijahtonnie147
@elijahtonnie147 6 ай бұрын
Once more new year l feel going up and up like an eagle hongera🎉choir ya Yesu ❤
@user-ts5nw4zj6h
@user-ts5nw4zj6h 7 ай бұрын
Lovely and toucheble.mubarikiwe saaana❤❤❤
@thethreestars9700
@thethreestars9700 7 ай бұрын
Mungu bariki waimbaji wote na uwatunze.
@georgekivondo981
@georgekivondo981 7 ай бұрын
TikTok is officially the goat of social media
@christineriunga3007
@christineriunga3007 9 ай бұрын
Kuimba ni kisali mara ya pili ,wimbo huu umenibariki sana....can't stop watching ❤🙏
@rajopro
@rajopro 9 ай бұрын
Asante sana kwa kutazama. Ubarikiwe
@jacksonruitiari9245
@jacksonruitiari9245 9 ай бұрын
# Ray Ufunguo, @Kamenja,, bigup guys song iko perfect, mpangilio wa sauti uko waoohhh. Mbarikiwe saana.
@rajopro
@rajopro 9 ай бұрын
Asante sana, ubarikiwe
@AkpatankuPius
@AkpatankuPius 2 ай бұрын
Please can you translate this beautiful heavenly song to English
TUNAPASWA KUSHUKURU
5:50
RAJO PRODUCTIONS
Рет қаралды 8 МЛН
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 49 МЛН
Spot The Fake Animal For $10,000
00:40
MrBeast
Рет қаралды 195 МЛН
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 37 МЛН
TEGEMEO LANGU NI YESU - Melodic Harmony Chorale Ft Lawrence Kameja
6:25
Melodic Harmony Chorale
Рет қаралды 2,5 МЛН
UWE KWANGU MWAMBA WA NGUVU (4k Video)
2:25
RAJO PRODUCTIONS
Рет қаралды 705 М.
SITABAKI KAMA NILIVYO (OFFICIAL MUSIC VIDEO)
7:25
DOKC TV CATHOLIC SONGS
Рет қаралды 901 М.
ASANTE YESU
6:06
RAJO PRODUCTIONS
Рет қаралды 7 МЛН
Anastacia Muema - Maisha Yangu (Official Video)
4:33
Anastacia Muema
Рет қаралды 3 МЛН
HUYO NI MUNGU
4:16
RAJO PRODUCTIONS
Рет қаралды 337 М.
PENDO LA KWELI by Mark Miller ( Sr. Jane  ft Sr. Emily)
5:04
Sr. Jane Simiren
Рет қаралды 986 М.
Mt. Kizito Makuburi - Wewe ni Mungu (Official Music Video)
9:29
KMK MAKUBURI
Рет қаралды 9 МЛН
Anastacia Muema - Yatapita Tu (Official Video)
4:22
Anastacia Muema
Рет қаралды 720 М.
akimmmich (feat. Turar) - UMYTTYŃ BA?| official lyric video
2:54
Nurmuhammed Jaqyp  - Nasini el donya (cover)
2:57
Nurmuhammed Jaqyp
Рет қаралды 743 М.
JAMAL & GANJA, ИРИНА КАЙРАТОВНА & КАЙРАТ НУРТАС - TUN (LYRIC VIDEO)
3:41
ИРИНА КАЙРАТОВНА
Рет қаралды 1,3 МЛН
IL’HAN - Bir aida (official video) 2024
4:01
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 101 М.
Жандос ҚАРЖАУБАЙ - Ауылымды сағындым (official video) 2024
4:25
Жандос ҚАРЖАУБАЙ
Рет қаралды 103 М.
Alisher Konysbaev - Suie ala ma? | Official Music Video
2:24
Alisher Konysbaev
Рет қаралды 1,4 МЛН