ASKOFU BILA WOGA AMVAA RAIS SAMIA, "RAIS SAMIA AMEKATALIWA NA MUNGU, USALAMA WA TAIFA HAWANA AMANI"

  Рет қаралды 52,785

Mwanzo TV Plus

Mwanzo TV Plus

Күн бұрын

#TANZANIA: Askofu Mwanamapinduzi amvaa Rais Samia, "wafanyakazi hawana amani, usalama wa Taifa pia hawana amani, ndani ya miaka mitatu wamebadilishwa Wakurugenzi wanne, kwa hiyo hata aliyepo hana amani, maana muda wowote hana kazi, mnatumika tu kama kalai"
Fuatilia Mwanzo TV Plus
SUBSCRIBE KZfaq Channel yetu
Follow us on X, Facebook and Instagram

Пікірлер: 206
@HellenLemilya
@HellenLemilya Ай бұрын
Amina kubwaaaaa acha kujipendekeza kwa watu , Mungu akubariki mchungaji, ulisema kweli
@rawhiyasultan5778
@rawhiyasultan5778 2 күн бұрын
Amina kubwa mtu wamungu,mungu ibariki tanzania
@erickrichard1843
@erickrichard1843 5 күн бұрын
Hongera kwakusaidia wsta
@mrhekimasuleiman3884
@mrhekimasuleiman3884 13 сағат бұрын
Yesu ni Mungu
@frankmosha5854
@frankmosha5854 3 күн бұрын
Hio ndio kazi walioitiwa watumishi wa mungu kwa hio vita hio usiingilie wacha mungu awe muamuzi
@theogeorge3773
@theogeorge3773 Ай бұрын
hata hapa wapo Tulieni Aiseeee
@josephmwise3177
@josephmwise3177 26 күн бұрын
Jamani Mama mbona powa! Nawachukia wote wasiompenda Mama.
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 24 күн бұрын
Umeonaee
@ayubungende5341
@ayubungende5341 11 күн бұрын
uoni wewe
@emanuelmpamila6155
@emanuelmpamila6155 8 күн бұрын
ooh hallelujah kwa Mungu ukwel unauma sana baba
@SaudaSaudaAmiri
@SaudaSaudaAmiri 4 күн бұрын
Nikweli Mtumishi wa Mungu. Yaani machawa Tanzania ni kama wote
@veronicamnico4773
@veronicamnico4773 14 күн бұрын
Ni kweli mtu wa MUNGU
@RESTITUTAMOLLED-mp3pp
@RESTITUTAMOLLED-mp3pp 14 күн бұрын
sema mtumishi wa Mungu,tumechoka baba na maonevu
@evangelicalmiraclesfellowship
@evangelicalmiraclesfellowship 6 күн бұрын
Mungu akubariki
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 Ай бұрын
UMENENA VEMA ASKOFU MPENZI WA MUNGU NI MSEMA KWELI ❤
@HeppyRafaeli
@HeppyRafaeli 19 күн бұрын
Aminaaa.
@ericlondonmuwazijimmy1221
@ericlondonmuwazijimmy1221 Ай бұрын
Kama kweli amekataliwa tutaona ishara zote, mbele
@user-eh2fi9ds5h
@user-eh2fi9ds5h Ай бұрын
Sema mtumishi wa mungu
@spiderelexander9977
@spiderelexander9977 Ай бұрын
Kumekucha siku zote Mungu ni mwema
@user-td5ye9zb1l
@user-td5ye9zb1l Ай бұрын
Fact indeed pastor
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 24 күн бұрын
Hiyo bibilia ndiyo imekwambia hivyo au. Siasa kanisani yani mtihanikweri hamchahui pakuongelea chukiimekujaa. Kwa Raisi wetu kipenzi ❤mama Samia Allah akulinde na maadui wakilakona anaekuzamiliaubaya umludie mwenyewe
@hamismabula9934
@hamismabula9934 13 күн бұрын
Kwan wanapoapa huwa wanashika na kuinua juu kitabu cha siasa!?
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 9 күн бұрын
Bibilia ni kitabu cha haki hukemea maovu yote haina uchawa ndani yake yesu alikemea waovu bila kujali cheo chao
@josephmatiko4805
@josephmatiko4805 5 күн бұрын
Sissa nimuunganiko,wamaisha yakilasiku katika maisha yako popote!!iweka isani,nahatamisikitini,usihangaike unashangaza
@MsafirGervas
@MsafirGervas Ай бұрын
Mchungaji anakosea😢😢😢😢
@childofgod3216
@childofgod3216 2 күн бұрын
Unapingana na Mungu wewe ndugu hujasoma Maandiko mamlaka zimewekwa na Mungu mheshimu Rais basi Mungu hawezi kumkataa Mtu aliemwumba wafundishe watu Kristo Yesu waefeso 4:11-16 unatoka nje na kazi ya Mungu Rais Samia ataendelea kua Rais tu ndugu hubiri Kristo kusulubiwa
@dorisselembo1225
@dorisselembo1225 8 күн бұрын
Kweli kabisa 🙏🙏🙏
@Boj842
@Boj842 3 күн бұрын
Huyu mwanamke hutumtaki roho mbaya sana .Kama yezebel ana uchu wa madaraka mwisho wake ni mbaya.Mungu kamtaa
@AmenMushi-j2j
@AmenMushi-j2j 16 күн бұрын
Hatupigani kwa mwili bali kwa roho pastor
@jumamakuri9176
@jumamakuri9176 6 күн бұрын
Kanisa ni sehemu ya kutafuta amani, faraja na matumaini mema sio sehemu ya kuchochea migogoro na hofu ndani ya wauminj na watu wengine. Haya sio mahubiri yaletayo amani ndani ya nchi.
@elizabethawuor5402
@elizabethawuor5402 Ай бұрын
Amen
@AndrewEzekiel-jp7ed
@AndrewEzekiel-jp7ed 4 күн бұрын
jamani kuokoka siyo ujinga.nanyi mtaijua kweli nayo kweli itawaweka huru kwelikweli
@josephmallya5525
@josephmallya5525 Ай бұрын
Aminaababa❤❤❤msituletee mambo ya kibojo ya wachawi apa tule taka taka
@sarahkinyashi6213
@sarahkinyashi6213 13 күн бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏
@protasdismas516
@protasdismas516 7 күн бұрын
Hakuna rais aliyekamilika, hakuna rais aliyetenda mema pekee, marais wote wameshawahi kukosea katika uongozi wao, ukiwepo ukweli usemwe.
@peterkibiriti5601
@peterkibiriti5601 Ай бұрын
Alliyekataliwa na mungu ameshaondolewa duniani
@Leeeeeeee-96
@Leeeeeeee-96 Ай бұрын
hujui chochote 😂
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 Ай бұрын
Huyo Mungu amempenda zaidi
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd Ай бұрын
unaumwa mavi ww
@unjuinkuganda1991
@unjuinkuganda1991 Ай бұрын
KUMA KWELI WEWE
@gosbertrwezahura3645
@gosbertrwezahura3645 Ай бұрын
Pumbavu sana. Nyie ndo mlimuua. Mbwa wakubwa. Wakati wenu utafika na ninyi mtaondoka duniani.
@babazungu3180
@babazungu3180 13 күн бұрын
Chuki yako ni mbaya sana mtumishi
@ayubungende5341
@ayubungende5341 11 күн бұрын
wewe uoni
@SamsonMathayo-u6w
@SamsonMathayo-u6w 16 сағат бұрын
Nakaa paleee mpeni hiyo miaka mitano na ccm ndio mwisho wa madaraka tuombeane heri tufike huko 2030 kamaliza na kamaliza mpanga mpaka mchanga wa mto msimbazi
@MusaOgwoko
@MusaOgwoko 12 күн бұрын
Wameshiba pesa itapiga kura
@HassanKibwana-h3w
@HassanKibwana-h3w 18 күн бұрын
Amina
@MagrethKatondo-qs9oz
@MagrethKatondo-qs9oz Ай бұрын
Mmmmhh aliyeshiba hamjui mwenye njaa. Daima Apendae fedha hatashiba fedha. Mungu utuhurumie.
@JELSONMAUKI
@JELSONMAUKI 29 күн бұрын
Mimi sina mwanasheria. Mwanasheria wangu ndo kwanza Yuko form 1 C 😅😅😅😅🙌🙌🙌
@AmusedAstrolabe-fh8ox
@AmusedAstrolabe-fh8ox 16 күн бұрын
Sema baba apone aache unafiki
@matatizonkwera8607
@matatizonkwera8607 11 күн бұрын
Ubiri watu waendee mbinguni,siasa na dini huwezi: na kwa taarifa yako Mama samia ni chagua la mungu kwani uliumpa urais wewe? Samia Suruhu Hassan is our destiny" mitano mingine 2025,utake usitake mitano mingine kwa mam🎉
@ayubungende5341
@ayubungende5341 11 күн бұрын
unashida wewe
@monicamwita7865
@monicamwita7865 9 күн бұрын
Mmm
@greydonalds4286
@greydonalds4286 3 күн бұрын
​@@ayubungende5341angalia jina lale... anaitwa Matatizo
@ramadhansuluhu772
@ramadhansuluhu772 12 күн бұрын
Hivi Askofu wewe ndio Mungu unajua Ardhi na Mbingu zimembwa vipi?
@JaneChissawilo-dr7nn
@JaneChissawilo-dr7nn 26 күн бұрын
Ameen!
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 16 күн бұрын
Asante sanaa Baba Mungu akubariki
@obedimunguachiza8434
@obedimunguachiza8434 Ай бұрын
Serikali ingeliwasikiliza hawa jamaa Mbarikiwa Mwakipesile na Askofu Mwanamapinduzi nchi hii ingelikuwa nusu paradise , Mungu ibariki Tz.
@mohamedimiraji5495
@mohamedimiraji5495 22 күн бұрын
Fikra mgando hizo
@user-tt1nm9xs4n
@user-tt1nm9xs4n 16 күн бұрын
Toka hapa​@@mohamedimiraji5495
@emanuelmpamila6155
@emanuelmpamila6155 8 күн бұрын
Amina kuuubwaaàaaa baba unalenga palepale penye mshono sema na Mungu akuongoze Ni kwl watu wengi hawana Aman kabsa hasa wafanyakz unakuta mtu anada fedha za likiz/uhamisho miaka 3 na wao wakiwa wanasafar wanajilipa mamilio ya fedha lkn wafanyakz wa chini wanaambiwa hakuna hela
@RashidiDaudy-ez6zt
@RashidiDaudy-ez6zt Ай бұрын
amin mtumishi
@msatibongonyuzi14
@msatibongonyuzi14 9 күн бұрын
Anaruhusu shoga unaendelea tanzania
@mpologomaChristopher
@mpologomaChristopher 6 күн бұрын
Upo sawa samia ni mtumishi wa ibilisi na na ndiyo mana anawaumiza Watanzania kwa manyanyaso mkubwa sana, bei ya vitu ipo juu, kuuzwa kwa bandari, ameuza bunga za wanyama, ananyanyasa wachimbaji wa wadogo madini , wakulima wamebanwa tozo kila kona, amepandisha umeme, kufungiwa ni bei ya juu hakika ni kama tupo jehanamu Mungu atuokoe na nyoka huyu
@athumanikajembe4585
@athumanikajembe4585 Ай бұрын
Hubiri vitu vya kiroho pastor mbona uhubiri kukemea ushoga na usagaji .Wasiojituma ndio wanaotema mate
@MathewsSikazwe-up4qd
@MathewsSikazwe-up4qd Ай бұрын
kazinzuri sana! Mungu atawaripa.
@MsafirGervas
@MsafirGervas Ай бұрын
Mwanasheria wangu kasafiri😢😢😢😢😢
@JELSONMAUKI
@JELSONMAUKI 29 күн бұрын
Mimi wangu ndo kwanza Yuko form 1 C 😅😅😅😅
@vickytango5591
@vickytango5591 21 күн бұрын
Kama unakubaliana na andiko hili..... Watakatifu walioko duniani hao ndio waliobora like hapa
@mrhekimasuleiman3884
@mrhekimasuleiman3884 13 сағат бұрын
Zabri 16:3
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 16 күн бұрын
Shetani ni shetani tuu Baba
@mwaamwetahussain9947
@mwaamwetahussain9947 Ай бұрын
Yaani kosa moja linavunja mwema Mia moja
@meshackwilliam8238
@meshackwilliam8238 18 күн бұрын
🙆🏽‍♀️Ni baraaa2
@monicamwita7865
@monicamwita7865 9 күн бұрын
Ulitaka2 sasa ifanyike wapi? Ameongea vizuri wewe unatakà akasemèe wapi?
@user-ob2ik5gy1b
@user-ob2ik5gy1b 8 күн бұрын
We ongea habari ya mashoga na wasagaji ,, waumini wako wako uchi kama wauza bar na wazinifu hili ndo la kusema ,acha siasa ni mchezo mchafu.
@SamwelJoseph-yk3cw
@SamwelJoseph-yk3cw 18 күн бұрын
Majeshi majeshi, majeshi ya BWANA ameeeeeeeeeeen
@khamis9187
@khamis9187 9 күн бұрын
Yani we mchungaji mwenyewe ni mfuasi wa shetani, maana naiona bendera ya shetani ikipepea kushoto kwako...ukiunga mkono mauaji ya wanawake na watoto ghaza..
@mwamrasahamaro8473
@mwamrasahamaro8473 8 күн бұрын
Hivi mbona ninyi wa mama mdogo mnaopenda sana matukano?kwani ni lzm umsikilize huyu mchungaji?hebu pendeni amani basi vurugu mbaya!mambo ya alshababu,is ,Boko Haram ni mabaya
@HABIBHASSAN-wf5mr
@HABIBHASSAN-wf5mr 13 күн бұрын
Amuongelei fedha za waumini wenu..watu huwa wanaamishwa nchi NZIMA na huwa wanalipya acheni uchochezi
@monicamwita7865
@monicamwita7865 9 күн бұрын
Uchcezi gani? Anayosema ni kweli.
@iddiramadhani5111
@iddiramadhani5111 Ай бұрын
Hapo umeweka bendera ya Israel taifa la Wauaji wa wapalestina huna lolote danganya haohao mbumbu.
@jebace
@jebace Ай бұрын
umeitwa hapa au ulikuja mwenyewe,na wapalestina waliyataka wenyewe, mwanakulitafuta mwanakulipata😂
@AtugonzaRutaselwa
@AtugonzaRutaselwa 12 күн бұрын
Ameen sema baba wapasue
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Ай бұрын
Ongea kuhusu biblia na siyo siasa.😢
@Debestsoul
@Debestsoul 24 күн бұрын
Hello
@Gelenya-ne2ip
@Gelenya-ne2ip Ай бұрын
Acha utumishi,ufanye siasa!
@veronicamnico4773
@veronicamnico4773 14 күн бұрын
Acha ukweli usemwe,, mnataka kanisa linyamaze?
@hamidmussa838
@hamidmussa838 Ай бұрын
Mungu yupi yesu?
@joshuajohn2668
@joshuajohn2668 Ай бұрын
MUNGU NI MMOJA Na YESU NI MWANA WA MUNGU
@seifhemed2972
@seifhemed2972 5 күн бұрын
Huyu mchungaji wa kondoo wa porini. Hovyo unahubiri upumbavu
@mwaamwetahussain9947
@mwaamwetahussain9947 Ай бұрын
Pastor umeongea ukwer tunakulinda ole wao tusikie huonekani tunaandamana Safar hii
@khamis9187
@khamis9187 9 күн бұрын
Ukimaliza kuongea apo unaonekana utatoka na sadaka nyingi sana, maana wafuasi wako wanapiga makofi si mchezo.
@johnboscomasumbuko1073
@johnboscomasumbuko1073 Ай бұрын
Amenyooka
@DavidJosia
@DavidJosia Ай бұрын
Mhuu Mimi napita tu
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Ай бұрын
Usiwe chagadema au CCM😮
@EdsonMbuza
@EdsonMbuza 21 күн бұрын
Kama huna Cha. Kukomenti nimuhimu kukaa kimya kuliko kumtukana askofu unamwambia pumbavu kuwa na kiasi
@user-zi1gp6dc2q
@user-zi1gp6dc2q Ай бұрын
Kweli baba semaa
@leoteryezekiel9745
@leoteryezekiel9745 Ай бұрын
Mamlaka yoote Duniani yamewekwa na Mungu. Unyenyekevu kwa kiongozi wa nchi ni hekima hata kama anakosea, wewe mtumishi wa Mungu unapaswa kuwa mnyenyekevu kwa kadri ulivyo ongozwa kuufikisha ujumbe wako na si kuropoka madhabahuni.
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Ай бұрын
Mwamposa ni mpotoshaji😮😮
@gracemwakibolwa7910
@gracemwakibolwa7910 26 күн бұрын
Koma kabisa huyo ndio Mwamposa??
@wanguwangu34
@wanguwangu34 Ай бұрын
Siasa na Mungu wapi na wapi
@petermatabwa2133
@petermatabwa2133 Ай бұрын
kanisa lipo dunian na tupo ndani ya siasa
@mustaphamasobe8343
@mustaphamasobe8343 Ай бұрын
Hujui kazi ya mtumishi wa Mungu
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 Ай бұрын
Funga huo mkundu wako
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 16 күн бұрын
Utashinda kwa jina la Yesu
@user-vl4rz6lf6d
@user-vl4rz6lf6d Ай бұрын
Sio kweli mama samia hajakaliwa na mungu ndio kamuweka na Kama mungu angemkataa angemuondoa mama samia Hana Nguvu ya kushindana na mungu agome kuondoka madarakani wewe mtumishi wa shetani ndio unahamasisha upumbavu mtupu chuki binafs ya udini imekujaa mjinga wewe kwasababu ya kukatiwa maslahi yako bandalini na Mtu mzima ovyo
@annekiwori9504
@annekiwori9504 Ай бұрын
Pole naona mtumishi kapiga kwenye mshono,siyo maneno yake ni ya Mungu.
@user-yg8bv6de9v
@user-yg8bv6de9v 17 күн бұрын
Mtumishi bwana akuzidishe kwa uweza wake zaidi
@geey7893
@geey7893 Ай бұрын
Sure, mama wa watu ngoma imemkataa lakini hajiongezi anataka tena kiti😮
@knight6757
@knight6757 Ай бұрын
🐸
@oklahommy9838
@oklahommy9838 Ай бұрын
Na atakipata ....asipokuwa rais tena niite mbwa nimekaa pale😅😅😅
@user-jt3gl9fo5e
@user-jt3gl9fo5e Ай бұрын
Hujiongozi ww mwenye macho lkn huoni
@workmantiktok
@workmantiktok Ай бұрын
huyu mchungaji kuma lamama yake kaabisa linaangamia kwa ushoga haongei anaongelea ambayo hayamuhusu
@EzekiaMtwale
@EzekiaMtwale Ай бұрын
sa mbona matusi?!!!
@user-jc8el6je5e
@user-jc8el6je5e Ай бұрын
Kwani mama ako Ana iyo kuma .
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md Ай бұрын
Kwa matusi hayo yanafunua uhalisia wa tabia yako chafu mtu kama wewe hufai kitu
@ayubungende5341
@ayubungende5341 11 күн бұрын
tena wewe mungu akuue namatus yako
@valeriamtenga3384
@valeriamtenga3384 9 күн бұрын
Duh matusi ya nini lakini? Heri kukaa kimya ndugu
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 Ай бұрын
Wewe mwenyewe umekataliwa ndio ukaukumu, wakukataliwa unamjua wewe?
@gosbertrwezahura3645
@gosbertrwezahura3645 Ай бұрын
Acha uislamu. Pumbavu sana. Unamtetea kwa sababu nyote mmefunga vichwa.
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 Ай бұрын
@@gosbertrwezahura3645 acha udude unaitwa ukiristo mkunduo, unajitoa fahamu kwakua mnatembea uchi uko makanisani kwenu, shetani wewe
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 Ай бұрын
@@gosbertrwezahura3645 ibilisi wewe,kwani kufunga kichwa kuna ubaya ! Anajistiri na nyinyi hamjalizimishwa kufunga kichwa acha ushenzi na udini mbwa wewe, muislam kila atakachofanya mnawashwa!!!!! Amefunga kichwa na ni raisi, zageni pilipili muweke kwenye maji muoshe nayo uso, myuuuuuuuuuu, kufunga kichwa ni amri kutoka kwa MUNGU, na huyo mpuuzi mwenzio apo aliekosa la kuongea mwambie akuonye maandiko kwenye bibilia zenu mwanamke 👉 MWANAMKE ASIPOFUNIKA KICHWA CHAKE ANAJIAIBISHA, 👈 upo wewe mshenzi uliyekurupuka kutusi watu?
@edyboychamiliion1360
@edyboychamiliion1360 Ай бұрын
Ww kijana mwenye njaa na umepauka vibaya hiyo bendera ya israel inahusika na nn na kanisa lako la uchwara wakati wayahudi hawana dini mbona mnajipendekeza na watoto wa shatani😂😂
@petermatabwa2133
@petermatabwa2133 Ай бұрын
hayo yamefichwa machoni pako
@athumanikajembe4585
@athumanikajembe4585 Ай бұрын
Mhubiri wanaotema mate ni wale wasiojituma .watu wanatoka nje wanasema fursa zipo nyingi Tanzania ila uvivu wa kufikiri na kufanya kazi ndio umekithiri.Nakushauri mhubiri kemea mapepo ya ushoga na usagaji.
@AlphaxardMRusweka-jr1wi
@AlphaxardMRusweka-jr1wi Ай бұрын
Wewe una mtaji ndg.yangu,hata mimi naziona ,nisaidie mtaji ndg.
@laninjeje8290
@laninjeje8290 Ай бұрын
Mwanamapinduzi mbona anafahamika ni shoga, hata matako yake yamelegea 😂
@EzekiaMtwale
@EzekiaMtwale Ай бұрын
huo ushoga mnashiriki nae?!
@atupegemwakahesya
@atupegemwakahesya Ай бұрын
Hivi vinywa! Uwe makini. Kumtukana mtumishi wa Mungu bila hofu yo yote, badaye utajilaumu.
@laninjeje8290
@laninjeje8290 Ай бұрын
@@atupegemwakahesya huyu sio mtumishi wa Mungu ni mwanasiasa uchwara
@juliusdonard933
@juliusdonard933 Ай бұрын
😂😂😂😂 huyu mchubgajee sio poaa
@ayubungende5341
@ayubungende5341 11 күн бұрын
yuko pw tena sana
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd Ай бұрын
wahubilie watu Neno acha siasa kama unapenda siasa funga kanisa bx uchaguzi unakalibia uende ukaropoke jukwaaani sio kanisani hapo
@jesaminzo
@jesaminzo Ай бұрын
Kama huna ugomvi na biblia soma, Ezekiel 33:1-20
@user-vm5yf8cs2r
@user-vm5yf8cs2r 20 күн бұрын
Huna AKILI. Hubiri. Dini Sio. Siyass Usi change. Dini. Na. Siyasa
@MkatorikiOg
@MkatorikiOg 13 күн бұрын
Wewe mpumbavu ujitambui, ina maana kama ni paster aiche nchi yake iangamie kisa dini lazima aseme ukwelii
@AnnaBituro
@AnnaBituro Ай бұрын
Mungu akuzidishie ujasiri katika Roho mtakatifu mtumishi wa Mungu . Sema sema sema!!!. Mungu yuko nawe .jamani tukisikia hivyo tuombe rehema zaidi yatulivyokuwa tunaomba. Taifa lipo kwenye mambo magumu.
@user-vl4rz6lf6d
@user-vl4rz6lf6d Ай бұрын
Wewe unajipendekeza kwa chadema acha ujinga na upumbavu yani wewe uaacha kuhubilidini unahibili siasa umeshakataliwa na mungu wewe ndio maana unahubili siasa Kanisani udini umekujaa tuuu
@shabanadam4476
@shabanadam4476 Ай бұрын
Vitu anavyoonge askofu kuhusu watu kufukuzwa katika ardhi zao na kupewa waarabu vina maana kuliko wewe usie jitambua msaka tonge tu
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md Ай бұрын
Kwa hio ukiwatetea watu wanaofukizwa kwenye aldhi yao umekuwa chawa wa chadema? Ahaa niambie wewe chawa wa ccm unamtetea nani ?
@ayubungende5341
@ayubungende5341 11 күн бұрын
kufukuzwa kwa masai umefurai ety
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 Ай бұрын
Wew lifisiemu tuache tusikilize nondo tulia bana sindano. Iwaingie. Tumewakataa. Mnatulazimisha tu ila mungu. Siyo mwanadamu atatuokoa tu
@emanuelmwakasungula3052
@emanuelmwakasungula3052 Ай бұрын
Unatimiza andiko katika chuo Cha isaya 1:17
@pauloropian2367
@pauloropian2367 Ай бұрын
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu.
@mohamedimiraji5495
@mohamedimiraji5495 22 күн бұрын
Toka lini askofu akawa mzalendo katika nchi hii? Hopeless
@muridundhikri
@muridundhikri Ай бұрын
Haya tena kipindi cha uchaguzi kila alotomwa
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 Ай бұрын
Wewe umeongea na Mungu lini. Mungu hawezi kuongea na wewe kwamambo ya uzushi labda umeongea na Shetani simungu .Dini na siasa haviendi pamoja hata sekunde moja
@allymohamed2724
@allymohamed2724 Ай бұрын
Na akimaloza hapo ni toa bwana toa ulichonacho. Skeleton Church London, Kibwetere, na Kuna wale walofunga bila kula wafe wakutane na Yesu.
@sskondopoleani9616
@sskondopoleani9616 Ай бұрын
Hivi aliyekataliwa na Mungu wewe UNAMJUA? Sasa wewe mtumishi wa Mungu au Mtumishi wa Siasa? Kutwa Majukwaani, pale Madhabahuni kanisani anakaa nani? Bora uvae Gwanda ufuatane na Mbowe, Tundulisu MKATUKANE vizuri, maana MATUSI ndio sera yao, wakichukua nchi basi kutakuwa na somo MAALUMU la MATUSI, kutakua na degree za MATUSI.
@husseinjuma4575
@husseinjuma4575 25 күн бұрын
Tusaidieni kupaza sauti
@LomnyakiSapunyu
@LomnyakiSapunyu 28 күн бұрын
11:47 Seema tupone
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 24 күн бұрын
Kwasababu.mkiristo nikuachetu maana hata Munguwako humjui. Hukiiulizwa Munguwako nani utasema.Yesu. 😂 ngojanikuachetu uwexikubishana na mtu hajuikitu
王子原来是假正经#艾莎
00:39
在逃的公主
Рет қаралды 9 МЛН
КТО ЛЮБИТ ГРИБЫ?? #shorts
00:24
Паша Осадчий
Рет қаралды 3,3 МЛН
Happy birthday to you by Tsuriki Show
00:12
Tsuriki Show
Рет қаралды 11 МЛН
wow so cute 🥰
00:20
dednahype
Рет қаралды 29 МЛН
Malema addresses Gauteng EFF members
1:25:51
SABC News
Рет қаралды 255 М.
HAYA NDIYO MAKUFURU NDANI YA KANISA |NABII ESTHER MASANJA
23:12
BADO KUNA USHINDI TV
Рет қаралды 12 М.
MWANAFUNZI MWENYE KIPAJI AMUIGIZA RAIS SAMIA KILA MTU KICHEKO TAZAMA!!!!
7:51
王子原来是假正经#艾莎
00:39
在逃的公主
Рет қаралды 9 МЛН