Askofu Alex Malasusa amesimikwa kuwa Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) na kutakiwa kuhakikisha anazishughulikia changamoto zinazoisumbua dunia kwa sasa.
Пікірлер: 3
@JanneoverMosha-dk9mf6 ай бұрын
Baba yetu mpendwa Mhashamu Askofu Malasusa,Mungu akuimarishe ktk utumishi huu.Hongera Sana Baba yetu.