AY Nyarugusu NYIMBO NNE -Official Video

  Рет қаралды 458,375

NYARUGUSU AY CHOIR

NYARUGUSU AY CHOIR

5 жыл бұрын

Barikiwa kwa kutazama Wimbo huu pendwa wa Nyimbo nne Kutoka kwa kwaya ya Vijana ya Ay Nyarugusu.
Contact +255768652134/ +255682029490
Email: aynyarugusuchoir@gmail.com
Nyarugusu sda church Geita Tanzania

Пікірлер: 108
@sayajackson.
@sayajackson. 4 жыл бұрын
Aisee Kiswahili kikitungwa na kiimbwe kwa ufasaha ni lugha nzuri sana. Waimbaji na watunzi wa wimbo huu wapate kubarikiwa maanake ndani ya dakika nne wametoa hubiri tosha na lakupendeza. Mungu azidishe vipaji hivi ili vimtumikie katika kazi yake
@ezradavid9219
@ezradavid9219 3 жыл бұрын
Amina
@cbsmedia33
@cbsmedia33 5 жыл бұрын
Jamani wana Nyarugusu tu nashukuru sana kwa kufanya kazi na studio yetu kwa kweli nyinyi ni mibaraka aisee. Karibuni sana Kenya.
@elliemgb3850
@elliemgb3850 5 жыл бұрын
Jamani najua wengi mnabarikiwa saana kupitia hii kwaya.. tuwabariki AY Nyarugusu(wabarikiwe na Bwana).. na wimbo wa Mungu kwanza nausubiri kwa hamu saana.. mwende mbali saana..
@Renardnho-gd8ib
@Renardnho-gd8ib 7 ай бұрын
Tuseme nini zaidi ya AMEN kwa MUNGU anae tupa mibaraka kupitia hawa vijana 🙏
@evelynemichael9949
@evelynemichael9949 Жыл бұрын
Wimbo huu mzuri kweli mbarikiwe waimbaji Mungu awazidishie kipaji🙏
@adelinarutale2876
@adelinarutale2876 2 жыл бұрын
Mungu azidi kuwafanya chombo cha kutangaza injili yke
@jeffsiocah8316
@jeffsiocah8316 3 жыл бұрын
Nashukuru Mungu kwa ajili ya vijana hawa wa nyarugusu. Nyinyi ndio chanzo changu kuokoka katika makampi ya mwaka 2019 pale Kenya -nakuru- KITI. God bless.
@lutemahindiakaje5046
@lutemahindiakaje5046 Жыл бұрын
Amen
@nellykavutha9926
@nellykavutha9926 16 күн бұрын
One of my favourites from you Wapendwa 😊..
@dicksonmtalaze114
@dicksonmtalaze114 5 жыл бұрын
Naupenda sana wimbo huu. Nawapenda sana vijana wa NYARUGUSU. Mungu aibariki kazi yenu.
@periswamuhu
@periswamuhu Ай бұрын
I like vile mnayatamka maneno
@periswamuhu
@periswamuhu Ай бұрын
Amen amen nabarikiwa sana
@davidnyitambe3399
@davidnyitambe3399 5 жыл бұрын
Wimbo mzuri...Mzidi kubarikiwa na kumtangaza Mungu kwa nyimbo zenu na sauti nzuri.. Bwana Aliyeianzisha kazi hii ndani yenu ataiendeleza mpaka kristo akirudi
@blackvirus8740
@blackvirus8740 5 жыл бұрын
Haleluyaaaa BWANA ATUKUZWE SANA KWA HII KWAYA MNATUBARIKI SANA..
@johnniyibizi5671
@johnniyibizi5671 2 жыл бұрын
Nyarugusu barikeweni sana kwasababu nyimbo zenu na mivalio yenu inawatambulisha wasabato ulimweni pote endeleeni hivyo katika ulimwengu huu unao fika mwesho Wake
@franklinmireri7408
@franklinmireri7408 5 жыл бұрын
Wonderful diction and articulation, the tonal quality is amazing, not forgetting the powerful message in the song. Mbarikiwe vijana wa Nyarugusu. Greetings from Newlife Church, Nairobi.
@nyarugusuaychoir1665
@nyarugusuaychoir1665 5 жыл бұрын
God bless You Bro
@ruthclotaire
@ruthclotaire 5 жыл бұрын
This choir is amazing and all the lead singers are blessed with awesome voices. God bless you
@luciananemes1143
@luciananemes1143 3 жыл бұрын
Ameen....nitaimba kwenye barabara zile za dhahabuu mbarikiwe mnoo... sauti zenu sasa
@godlovemrosso5973
@godlovemrosso5973 Жыл бұрын
Who review's this song this 2023 june?
@anithagelard8814
@anithagelard8814 Жыл бұрын
God bless all for singing well song
@joshuazacharia3226
@joshuazacharia3226 2 жыл бұрын
Hongereni sana! .Hakika nime barikiwa.
@augustinokaguotv2245
@augustinokaguotv2245 3 жыл бұрын
Nami natamani kuimba huo wimbo nne barikiweni sana kutoka mafinga ahsante
@ruthclotaire
@ruthclotaire 5 жыл бұрын
This is one my favorite songs , thank you for translating it I am going to be blessed even more by listening to the tune , the harmony and the word. May God Almighty richly bless you
@charlesmusunga7134
@charlesmusunga7134 4 жыл бұрын
I love this song, God bless your ministry my brothers and sisters
@nessasment.1727
@nessasment.1727 5 жыл бұрын
Natamani siku moja mtutembelee Dar es salaam😰🙏
@anethnyamwangi5667
@anethnyamwangi5667 5 жыл бұрын
Walikuwepo muda mwingi sana kuanzia mwezi wa sita mwishoni mpaka mwezi wa saba, walikuwa kwenye makambi ya Magomeni, mzizima nafkiri na tabata
@harrietasiimwe2905
@harrietasiimwe2905 5 жыл бұрын
I can't stop listening to this song, God bless you Nyarugusu AY. I pray that we'll all sing that 4th song. My prayer my desire
@sophiaanthony9993
@sophiaanthony9993 2 жыл бұрын
Nmebarikiwa mno na wimbo huu, mbarikiwe sana watumishi wa Mungu 😘
@ruthclotaire
@ruthclotaire 5 жыл бұрын
The lead singer is bless with an amazing voice
@salimadaniel1013
@salimadaniel1013 2 жыл бұрын
Mungu hawabariki kwa mupangilio nzuri wa saiti.
@ahadiishara9445
@ahadiishara9445 4 жыл бұрын
Mme ni bariki sana mpaka hata kwenye Mungu kwanza Chato mbarikiwe sana
@tambukwakudra550
@tambukwakudra550 5 жыл бұрын
Amina Nami natamani kuuimba huo wimbo wa NNE
@sabinabaraka5732
@sabinabaraka5732 2 жыл бұрын
Barikiweniii
@heavenlynaturalholistichealing
@heavenlynaturalholistichealing 2 жыл бұрын
Wonderful video brethren. God bless you all.
@patrickdudi8746
@patrickdudi8746 4 жыл бұрын
Ever a blessing. 🙏 mpya kwa ujumbe na mibaraka kila kuchao.
@kokuelikana184
@kokuelikana184 2 жыл бұрын
Barikiwa dana
@GodwineMakongo
@GodwineMakongo 7 ай бұрын
Aminaaaaaaa
@carolineomori1032
@carolineomori1032 4 жыл бұрын
Amazing , amazing work Nyarugusu. One of my most favorite choirs. Your lead singers are powerful. Be blessed as you bless the lord and encourage us listeners.
@josphatnjeru1570
@josphatnjeru1570 3 жыл бұрын
This song has been the anthem of my heart of late, so beautiful, so sweet if we are on earth and there are songs like these how shall it be in heaven?
@naommichieka3986
@naommichieka3986 3 жыл бұрын
I will sing it on those golden streets...The Glory Song..Amen AY NYARUGUSU
@stephenochieng3381
@stephenochieng3381 2 жыл бұрын
this is the song which made me follow this choir after seeing it on a friends status, keep it up
@JanethAlfred-dp4sx
@JanethAlfred-dp4sx 7 ай бұрын
God bless you
@calebomoro1658
@calebomoro1658 Жыл бұрын
Nice song
@ndagaujenzi1211
@ndagaujenzi1211 4 жыл бұрын
Very powerful song...God bless all of you sons and daughters.
@austineotieno4225
@austineotieno4225 4 жыл бұрын
Amina. Lazima nitauimba huo wimbo wa nne
@veronicaenock7292
@veronicaenock7292 4 жыл бұрын
Ipo siku tutaimba wimbo wa nne,Amen
@alequinkauki7765
@alequinkauki7765 2 жыл бұрын
Brethren, your choir is amazing
@ednajohnson3429
@ednajohnson3429 3 жыл бұрын
Mungu awabariki sana Nyarugusu kwaya
@asiaabdala88
@asiaabdala88 4 жыл бұрын
Mubarikiwe watoto wa baba etu aliejuu
@mwilakamilo1957
@mwilakamilo1957 3 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana nimeupenda sana
@tonnsimbasportsclub7168
@tonnsimbasportsclub7168 5 жыл бұрын
Ameen barikiwa sana nyarugusu Nilipenda sana kuwaona mkiwa dsm tabat kwa uimbaji mzur
@nyarugusuaychoir1665
@nyarugusuaychoir1665 5 жыл бұрын
Amen ,Tunafarijika kusikia hivyo.
@tonnsimbasportsclub7168
@tonnsimbasportsclub7168 5 жыл бұрын
NYARUGUSU AY CHOIR amina
@ngolowillison8129
@ngolowillison8129 2 жыл бұрын
This song is so good I love it GOD BLESS NYARUNGUSU
@mean1179
@mean1179 4 жыл бұрын
Wimbo wa nne tutauimba
@jaynmutungi6046
@jaynmutungi6046 3 жыл бұрын
I pray that we all sing the song of Moses and the Lamb. Thank you so much Nyarugusu Adventist Youth Choir.
@majuomigos8074
@majuomigos8074 3 жыл бұрын
Amen we shall sing
@phinawatwego7260
@phinawatwego7260 3 жыл бұрын
Aminaaaaaaa. Mungu awabariki sana
@kaliversonmalengamwezi9295
@kaliversonmalengamwezi9295 2 жыл бұрын
Amina 2022
@emmanuelmnyambugi7563
@emmanuelmnyambugi7563 4 жыл бұрын
Wanatisha sana Mungu awàongoze
@daud8785
@daud8785 3 жыл бұрын
Amina napenda Sana nyimbo
@Otienoabra
@Otienoabra 2 жыл бұрын
Been listening to this song and everyday it comes out so fresh and so new. Thanks so much for thrilling our hearts with this powerful music. How i long to sing wimbo ya nne🙏🙏
@fancyjeptoo9488
@fancyjeptoo9488 Жыл бұрын
😂😂 p
@grenamagumba8442
@grenamagumba8442 2 жыл бұрын
Wimbo mzuri🙏🙏
@dorinejaoko4310
@dorinejaoko4310 3 жыл бұрын
The message has very rich content... Blessed by its message
@jacksonngusi4122
@jacksonngusi4122 2 жыл бұрын
Mungu awabariki wote
@rejinamatiasi7415
@rejinamatiasi7415 2 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana
@machariadennis323
@machariadennis323 5 жыл бұрын
quality work
@maxwellvangulinja
@maxwellvangulinja 5 жыл бұрын
To God be the glory
@agustinejaphet3107
@agustinejaphet3107 3 жыл бұрын
I really love this song
@yonamatola9854
@yonamatola9854 5 жыл бұрын
Good work, be blessed Nyarugusu AY
@estermshomi6139
@estermshomi6139 3 жыл бұрын
Wimbo wa 4 mzr mtamuuuuuuu
@jeffkip5275
@jeffkip5275 2 жыл бұрын
Amen 🙏
@kingstonjoash2164
@kingstonjoash2164 5 жыл бұрын
i just love the song
@leahjohnsimba1628
@leahjohnsimba1628 3 жыл бұрын
Jua linapozama
@felisterjoseph2350
@felisterjoseph2350 5 жыл бұрын
Nice song blessed all
@moreenwambui1768
@moreenwambui1768 3 жыл бұрын
I love the song
@zacharymasimba7940
@zacharymasimba7940 3 жыл бұрын
This is a masterpiece, well done Nyarugusu. I love this song so much. I would like to know the composer
@mercykaingu1165
@mercykaingu1165 3 жыл бұрын
Me too
@edwardshikuku852
@edwardshikuku852 Жыл бұрын
May God bless you abundantly I love your songs
@opiyooduor5384
@opiyooduor5384 4 жыл бұрын
Amina!
@jobratemo8327
@jobratemo8327 4 жыл бұрын
I LOVE THIS CHOIR.MAY GOD BLESS THIS CHOIR
@carolineomori1032
@carolineomori1032 4 жыл бұрын
Amen and amen. Nyarugusu, heaven rejoices about you . You are a choir to behold.
@verokigabo9570
@verokigabo9570 4 жыл бұрын
nawapendaaa Sana'a jeshi lisilo LA kawaida batsman kuamia kigoma kwa ajir yenu mbarikiwe watu.ishi
@davidondieki8723
@davidondieki8723 4 жыл бұрын
Nyarugusu Be Blessed
@aminajoshua9522
@aminajoshua9522 5 жыл бұрын
I love you nyarugusu
@mishiathumani4703
@mishiathumani4703 3 жыл бұрын
Aminaa
@sakhiledhlo795
@sakhiledhlo795 3 жыл бұрын
Ameen
@rebeccampeta6650
@rebeccampeta6650 5 жыл бұрын
Mungu awainue
@nipherngasia9638
@nipherngasia9638 Жыл бұрын
Nice
@francoisxxx9648
@francoisxxx9648 3 жыл бұрын
Amen
@rehemaisaac8683
@rehemaisaac8683 5 жыл бұрын
Hongereni nammiss huyu Dada alie lead wimbo wa Jerusalem na Bertha alishaolewa
@nyarugusuaychoir1665
@nyarugusuaychoir1665 5 жыл бұрын
Wameku miss pia
@rehemaisaac8683
@rehemaisaac8683 5 жыл бұрын
@@nyarugusuaychoir1665 naomba namba yake plzz kama hutojali
@bariedwary8050
@bariedwary8050 4 жыл бұрын
Good xong mungu azid kuwa ongoza
@ayubisrael2084
@ayubisrael2084 5 жыл бұрын
Be blessed
@nyarugusuaychoir1665
@nyarugusuaychoir1665 5 жыл бұрын
Amen
@zakicadeofficial6101
@zakicadeofficial6101 3 жыл бұрын
Mungu awabariki sana nyimbo zetu ninazipenda sana. Naomba nipate number ya simu ya mwalimu wa choir.
@thobiasjohn3805
@thobiasjohn3805 4 жыл бұрын
Balikiwa
@nessasment.1727
@nessasment.1727 5 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@faithsempombe6169
@faithsempombe6169 3 жыл бұрын
Faithi
@marcythomas3266
@marcythomas3266 2 жыл бұрын
Nice song
@janmd6764
@janmd6764 4 жыл бұрын
Amen
@marymseven3546
@marymseven3546 5 жыл бұрын
Nice
@bhokematiko1249
@bhokematiko1249 5 жыл бұрын
Amen
@simonmathias2185
@simonmathias2185 5 жыл бұрын
Amen
MSAMARIA BY VIJANA NYASUBI CHOIR (Official Music Video)
5:07
VIJANA NYASUBI CHOIR
Рет қаралды 106 М.
Nyegezi SDA Choir, TZ - Utukuzwe
5:25
Hope Media Network - ECD
Рет қаралды 8 МЛН
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
New model rc bird unboxing and testing
00:10
Ruhul Shorts
Рет қаралды 25 МЛН
Happy 4th of July 😂
00:12
Alyssa's Ways
Рет қаралды 69 МЛН
Heartwarming moment as priest rescues ceremony with kindness #shorts
00:33
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 38 МЛН
WAFU WAKO WAPI? By NYARUGUSU AY CHOIR Geita-Tz. Official Video 2021
5:18
NYARUGUSU AY CHOIR
Рет қаралды 281 М.
MUNGU KWANZA BY NYARUGUSU AY CHOIR (official video)
4:44
NYARUGUSU AY CHOIR
Рет қаралды 586 М.
Nyimbo Za Kristo - 2022 SDA #Sda songs #nyimbo za kristo 2022 #latest sda songs
1:30:01
ROHO MTAKATIFU (Official Video)- GIDEON HINDIA FIT BEATHA JOHN
5:30
GIDEON K HINDIA
Рет қаралды 2,6 М.
Mch. Hananja awavunja watu mbavu ibadani, UDSM CCT CHAPLAINCY.
42:54
UDSM CCT MEDIA
Рет қаралды 1,9 МЛН
KISHINDO CHA WAKOMA (OFFICIAL VIDEO) - NJIRO SDA CHOIR
6:32
Njiro SDA Church
Рет қаралды 13 МЛН
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22