Azam TV - KARAKANA: Tazama maajabu ya 'BIOGAS' na jinsi inavyotengenezwa

  Рет қаралды 38,767

Azam TV

6 жыл бұрын

Пікірлер: 41
@emmanuelmalanga9275
@emmanuelmalanga9275 3 жыл бұрын
Watanzania tunakwama wapi? kuhusu matumizi ya biogas wataalam wanaojua kujenga hii mitambo mjitangaze watu wanahitaji hii huuduma kwa maana itasaidia kupunguza matumizi ya kuni. Azam kipindi hiki cha karakana kilikuwa muhimu kwa wakati huu wa upandaji miti kwa kila Wilaya.
@kidaghokadari3294
@kidaghokadari3294 6 жыл бұрын
Kipindi kizuri tunapataje? Tunaomba mawasiliano au namba za simu
@othuonjohnbrighton532
@othuonjohnbrighton532 3 жыл бұрын
Namba za simu tafadhali kwa utaalam zaidi
@revocatusbalashuha3209
@revocatusbalashuha3209 2 жыл бұрын
Watu wameomba mawasiliano lakini hawajibiwa AZAM vip
@nankondomapombe
@nankondomapombe 11 ай бұрын
Niko morogoro, nahitaj kujengewa mtambo, nawapataje???
@princessilayo7411
@princessilayo7411 3 жыл бұрын
Je naweza kutengeneza na nikaiuza kwa wateja wasiokuwa na ng'ombe?
@stephanomoses7694
@stephanomoses7694 2 жыл бұрын
Ambiereeeeeee. Upo juu
@Ibrahmagesa_tz
@Ibrahmagesa_tz 6 жыл бұрын
Namba zake jaman
@mambaasukulu4510
@mambaasukulu4510 2 жыл бұрын
Napendeswa Sana na shule leni
@rodgersmoni4153
@rodgersmoni4153 Жыл бұрын
Niko hapa nchi jirani 🇰🇪.Naomna huduma zenu.Nimependezwa jinsi mnavyotekeleza hii shughului.
@amosicommedy6917
@amosicommedy6917 Жыл бұрын
Fika kamatec arusha
@sebajseba719
@sebajseba719 3 жыл бұрын
Naomba mawasiliano
@saidhamisi2795
@saidhamisi2795 3 жыл бұрын
Asante ndugu lakin je? Kuna kiti gani ukifanya inaeza kulipuka
@michaelmsambo5766
@michaelmsambo5766 Жыл бұрын
Nahitaji hii je wataalamu na mawasiliano yao anisaidie kunipatia
@ukurasawangu
@ukurasawangu 4 жыл бұрын
AZAM NAMBA ZA HAO JAMAA NI IPI
@nikomdota1932
@nikomdota1932 6 жыл бұрын
Kipindi ni kizuri sana
@shemsaselemani2190
@shemsaselemani2190 4 жыл бұрын
Tunaomba namba za huyo mtaalamu tafadhali
@mussawillisson8687
@mussawillisson8687 4 жыл бұрын
Nitumie Namba yako nikuunganishe na kampuni inayojishughulisha na ujenz Wa biogas
@MAAHAD-RAUDHA-ISLAAMIY.
@MAAHAD-RAUDHA-ISLAAMIY. 4 жыл бұрын
@@mussawillisson8687 +966506572403
@fabricemahinga4192
@fabricemahinga4192 4 жыл бұрын
I need your contacts Number please my whatsup number +18328580067
@vincentkyalema3351
@vincentkyalema3351 2 жыл бұрын
Mimi niko Kilimanjaro wilaya ya vunjo naomba usaidizi wa kupata mtambo huu wakuzalisha gesi
@EliasMollel-pm4fz
@EliasMollel-pm4fz Жыл бұрын
Naombeni namba za simu
@erastombise3966
@erastombise3966 2 жыл бұрын
Naomba namba ya simu
@user-rb7xi5rw4d
@user-rb7xi5rw4d 6 ай бұрын
Naitaji kujifunza
@Ibrahmagesa_tz
@Ibrahmagesa_tz 6 жыл бұрын
Tupeni namba zake jamani
@danielleel5338
@danielleel5338 Жыл бұрын
Maelezo mazuri .
@sammswita716
@sammswita716 5 жыл бұрын
1:5 siyo kitu alimradi uduma hiwe ni uwakika endelevu siyo janja janja
@simonmsafiri7972
@simonmsafiri7972 Жыл бұрын
namba kwanini hutaji wewe mtaalam?
@privatuskatabalo9617
@privatuskatabalo9617 Жыл бұрын
Nahitaji huduma hii. Tena kwa haraka.
@diamondgeyser7987
@diamondgeyser7987 5 жыл бұрын
Nimependa
@karachualambopa939
@karachualambopa939 6 жыл бұрын
mtu akitaka hiyo biogas kutengenezewa inakuaje
@mussawillisson8687
@mussawillisson8687 4 жыл бұрын
Kama unahitaji kutengenezewa mtambo huo nicheki
@MAAHAD-RAUDHA-ISLAAMIY.
@MAAHAD-RAUDHA-ISLAAMIY. 4 жыл бұрын
@@mussawillisson8687 nipe namba yako
@othuonjohnbrighton532
@othuonjohnbrighton532 3 жыл бұрын
@@mussawillisson8687 namba zako tafadhiali
@mawazoaliselemani8909
@mawazoaliselemani8909 2 жыл бұрын
jaribuni kutangaza mambo haya muhimu,,sio kutangaza show za mond na kiba,,hivi vitu kuntu watanzania ndio waelimishwe
@ezekielshirima8626
@ezekielshirima8626 3 жыл бұрын
Hahitaji kutengenezewa mambo 0719669679
@karachualambopa939
@karachualambopa939 6 жыл бұрын
sasa mtu bakitaka
@jonamnyone8014
@jonamnyone8014 3 жыл бұрын
Naomba mawasiliano 0782715672
Gym belt !! 😂😂  @kauermtt
00:10
Tibo InShape
Рет қаралды 17 МЛН
WHAT’S THAT?
00:27
Natan por Aí
Рет қаралды 14 МЛН
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 22 МЛН
Iron Chin ✅ Isaih made this look too easy
0:13
Power Slap
Рет қаралды 36 МЛН
Вот так улетает Ута Абе от Келдиеровой! Лучшие моменты ДЗЮДО, из сети.
0:19
Андрей Шидловский Оздоровительная Борьба.
Рет қаралды 909 М.
❌BOY🧵100m vs KID🧵50m | Who did win!? 🏆
0:16
ag_soccer team
Рет қаралды 1,9 МЛН
ngày 23 tháng 7, 2024
0:18
Soccer TV
Рет қаралды 3,5 МЛН