Azam TV - PROF. HAMO alivyovunja mbavu za watanzania katika mkesha wa mwaka mpya Mlimani City

  Рет қаралды 201,708

Azam TV

Azam TV

6 жыл бұрын

Wasakatonge New Year’s Eve Comedy Gala ni tamasha kubwa la kimataifa la Comedy lililofanyika katika katika ukumbi wa Mlimani City Dar es Salaam usiku wa mwaka mpya (31/12/2017).
Baadhi ya wasanii waliotikisa jukwaa hilo ni pamoja na Dogo Pepe, MC Pilipili, Kokoro kutoka Mombasa, Prof. Hamo kutoka Nairobi, Basket Mouth kutoka Nigeria pamoja na wasanii saba chipukizi waliopatikana kupitia usaili uliofanywa na Azam TV

Пікірлер: 131
@mcmnyalu3123
@mcmnyalu3123 6 жыл бұрын
Hamo! Profesa hamo! Hamo profesa hamo! Nakuelewa sana professor.. I really appreciate you..
@victorcephas3618
@victorcephas3618 6 жыл бұрын
Professor Hamo you are so talented one, tatizo ni lugha tu kwa audience ya bongo otherwise ungekuwa kwa Churchill Show watu wangevunjika mbavu
@ahmedmsangi1653
@ahmedmsangi1653 6 жыл бұрын
hamoo (PROFESSOR HAMO)mi huwa cmaliozagi ck2 bila kuangalia clip zake uyu jamaa namuelewa sana
@7thestate777
@7thestate777 6 жыл бұрын
Best Comedian in EA
@asueddy1465
@asueddy1465 6 жыл бұрын
The Best Comedian in East Africa
@josephgwandu7085
@josephgwandu7085 6 жыл бұрын
Huyu jamaa namkubali sana......... One of the best stand-up comedians so far East Africa now. Ukiweka na Pastor Kuria hapo, umemaliza
@marwawilliam3648
@marwawilliam3648 5 жыл бұрын
Nzuri Sana Prof. Hamo, karibu Tena.. Audience tofauti, changamoto mpya
@achienglilian6395
@achienglilian6395 6 жыл бұрын
Hamo you are a great comedian. ..big up bro
@kellybaraka7644
@kellybaraka7644 6 жыл бұрын
work on your sound pliz
@daudishabani9023
@daudishabani9023 6 жыл бұрын
Pamoja kamanda umefanya siku iwe nzuri kwangu,
@erickossen6378
@erickossen6378 6 жыл бұрын
you glamoured the show
@auleliamhagama6565
@auleliamhagama6565 6 жыл бұрын
pro amo ni zaid ya talent
@piusmapondo857
@piusmapondo857 6 жыл бұрын
prof Hamo anaongoza est africa
@allanshiflle5911
@allanshiflle5911 6 жыл бұрын
in your book kulikua na george carlin
@eliuthamangula1791
@eliuthamangula1791 6 жыл бұрын
HAHAHAHAAHAHAH professa harmo you killed it kama kawaida yako...watz wenzangu kama hujawahi panda ndege hiyo joke ya ndege huwezi shikana nayo..sikiza nyingine
@ericstephenm.844
@ericstephenm.844 6 жыл бұрын
Prof. Harmo ni mkali zaidi ya hapo, Watz bado tupo nyuma sana aisee. English tatizo, hata understanding tu ya mambo ipo chini sana. Audience wanaonekana kabisa hawacatch sawasawa kile Prof anaongea!!!!
@hezronaroko6076
@hezronaroko6076 6 жыл бұрын
tokea mwanzo kaongea kiingereza wewe? au unataka usifiwe nawe umetoa comment
@brightonsamuel3577
@brightonsamuel3577 5 жыл бұрын
@@hezronaroko6076 kiswahili cha kenya km hujawahi kukutana nayo si rahisi kuelewa....ndo kinachoshusha vybe apo
@alfredlimu308
@alfredlimu308 4 жыл бұрын
Upo chini ww kwa mawazo mabovu
@samsonkusupa8115
@samsonkusupa8115 6 жыл бұрын
uko deep prof had hawakuelewi
@isacklwechungura6067
@isacklwechungura6067 6 жыл бұрын
I like you Prof aisee be Blessed and keep it up
@fredchaki9591
@fredchaki9591 4 жыл бұрын
I understand that man now very talented Kenyan
@agerpityswai1555
@agerpityswai1555 6 жыл бұрын
Hii show hamo usingekuwepo ingekua nisingekesha nafuatilia maana wabongo kuchekesha bado aisee
@sospeter2919
@sospeter2919 6 жыл бұрын
Love for +254 please,ndio maana tunasema Kenya ni kama New York WA Tz hamtatuelewa sahi.
@jahkeyrenson4400
@jahkeyrenson4400 6 жыл бұрын
Hahaha haki wabongo professa amejaribu kiswaili yake yote😂😂😂
@sospeter2919
@sospeter2919 6 жыл бұрын
Jackie Renson True
@onlinemateustv1925
@onlinemateustv1925 6 жыл бұрын
New York Kenya kwa macho yako lakini
@movierecapsswahili1042
@movierecapsswahili1042 6 жыл бұрын
SNA-TV Kenya .... kwenda na ujinga wako.... kama ni Newyork vp kuappriciate most of our things...u always struggle kuwa kama cc halafu nyie watu .. hamnaga lolote.... kwendraaaaaa
@movierecapsswahili1042
@movierecapsswahili1042 6 жыл бұрын
SNA-TV Kenya ... Though tunatambua hawa wametuaibisha
@sallysarch9441
@sallysarch9441 4 жыл бұрын
Better here than in radio
@ntanilanjema04
@ntanilanjema04 5 жыл бұрын
Nashangaa wakenya waliokomenti hapa wanasema watz hawaelew kingereza wakat Prof, Hamo hapo kaongea Kiswahili mwanzo mwisho hv wakenya mna shida na watz ??
@abdisalim971
@abdisalim971 5 жыл бұрын
Tutachoma watz
@shabibujabiri9905
@shabibujabiri9905 6 жыл бұрын
Prof harmo nomaaa
@juliusuronu8812
@juliusuronu8812 6 жыл бұрын
Kama kingereza cha kenya kinawashinda wa Tz ni aibu sana...prof Harmo ni zaid ya mchekeshaji
@hezronaroko6076
@hezronaroko6076 6 жыл бұрын
hey buda, remember its not our lg, we were raised in kiswazi unlike u.
@mussahussein3583
@mussahussein3583 6 жыл бұрын
Then ivi nyinyi wakenya kweli mbele ya wazungumzaji wa kingereza na nyinyi mnaweza mkajitokeza? nibora tu mkanyamaza ili msitirike. yaani mimi hata sku moja siwezi kumfanya eti mkenya ndo awe Role model wangu kwenye katika Kingereza
@allankashoro2077
@allankashoro2077 5 жыл бұрын
We are passive aggressive people who don't understand humor.
@iganzeharera4804
@iganzeharera4804 4 жыл бұрын
@@mussahussein3583 ach kuwa hivyo wakenya wanajaribu actually they are mong the best in Africa pengine uko na chuki nawo
@sidekideo2567
@sidekideo2567 6 жыл бұрын
Kenyan has the best
@rosesalukan4207
@rosesalukan4207 6 жыл бұрын
Prof hammo apriciatte u
@raymullah
@raymullah 6 жыл бұрын
The guy z funny
@neziali6992
@neziali6992 6 жыл бұрын
Penda sna prof hamo
@johnmhina4822
@johnmhina4822 6 жыл бұрын
Nakukubali sana Prof. Hamo
@rodasengo7771
@rodasengo7771 5 жыл бұрын
Aibu wooooiii!!! Tz tumezubaa tunashangaashangaa mno
@abdulrazack.a.shemmelarshe228
@abdulrazack.a.shemmelarshe228 5 жыл бұрын
Sound was mafuriko but the jokes was spectacular
@makoriithomas
@makoriithomas 6 жыл бұрын
nice one
@heriaminiel7153
@heriaminiel7153 6 жыл бұрын
Wakenya bana vilaza mpk coment znaonesha
@hezronaroko6076
@hezronaroko6076 6 жыл бұрын
sure
@barakaelijosephat6655
@barakaelijosephat6655 6 жыл бұрын
nc hamo nakuelewe waga xn
@Mwalimu_seleman
@Mwalimu_seleman 6 жыл бұрын
Bongo jibangeni sana kama ndio hivi tutasubiri sana hata sauti haisikiki jamani ni aibu.
@crosswonders
@crosswonders 6 жыл бұрын
aisee hii aibu azam hapa wamezingua sana
@namelessunknown1377
@namelessunknown1377 6 жыл бұрын
King /Suka vyombo local sana
@sidekideo2567
@sidekideo2567 6 жыл бұрын
King /Suka nikiboko sana 👏👏
@Suswaleh
@Suswaleh 5 жыл бұрын
Haha, wallahi tough crowd!
@sultanafashion1190
@sultanafashion1190 6 жыл бұрын
😂😂 duh ilikua noma sana
@sovellohp
@sovellohp 6 жыл бұрын
Comedy ni ngumu kwa mchekeshaji na mchekeshwaji! Ndio maana Jogoo wa shamba hawiki mjini, sio kwa ubaya!
@mngongotv3810
@mngongotv3810 6 жыл бұрын
kabsa Hamo nomaaaaaa,ila watanzania wamepooza kinoma
@emjay1016
@emjay1016 6 жыл бұрын
manina sound ya kisenge
@kitoijeremia5794
@kitoijeremia5794 6 жыл бұрын
mm ni mpenzi sana wa Churchill. .wenzetu wapo mbali sana.kule pia jamaa shule ipo
@jemutaijoy5700
@jemutaijoy5700 6 жыл бұрын
Azam improve story na sauti
@fainnamvungi4364
@fainnamvungi4364 5 жыл бұрын
Tatizo sio kiingereza Tz jamaa mbona wa2 wamecheka ama mlitaka hadi wanye...na mbona Yule kutoka Nigeria ngel mwanzo mwisho wa2 wameenda nae sawa...achen hizo
@abdallahmchange1370
@abdallahmchange1370 5 жыл бұрын
Prof Hamo
@janetkerubo6469
@janetkerubo6469 6 жыл бұрын
Haha kwa nini huyo dem amesongeza kitambaa juu
@ogangakhadudu
@ogangakhadudu 6 жыл бұрын
Sautii
@DreamyRelaxationAmbiance
@DreamyRelaxationAmbiance 6 жыл бұрын
Hamo mtoto wetu huyu ameweza sana. I say wengi naona hakuwa wanaelewa jokes zingine . lakini alijaribu sana kutochanganya lugha asije akapoteza wasee sana.
@bensonwanjohi7111
@bensonwanjohi7111 6 жыл бұрын
watanzania hamuelewi maneno
@samir7343
@samir7343 5 жыл бұрын
Kabisa😂😂
@suewakuria2910
@suewakuria2910 6 жыл бұрын
hahahahaha hio ngwang ngwang 😄😄😄😄😄
@blessedher
@blessedher 6 жыл бұрын
Huyu baba mcheshi sana!
@dhunnunkatchem9019
@dhunnunkatchem9019 4 жыл бұрын
Nyinyi mnaolalamika sauti, badilisheni Tecno Y3 zenu izo😂
@rachellerachealrakela5938
@rachellerachealrakela5938 6 жыл бұрын
Omg My Tanzanian brothers and sisters you need to pull up honestly,you guys just look soo slow and lost with your understanding capacity plus language barrier oops shida,!!!!
@hezronaroko6076
@hezronaroko6076 6 жыл бұрын
nyie watu shida sana, hv hapo ako anaongea kiingereza? au unataka kiki tu
@mussahussein3583
@mussahussein3583 6 жыл бұрын
Then nyinyi wakenya mnaonekana hamna lugha yeyote, kwasababu kiengereza hamjui na kiswahili kinawashinda pia.
@alleytz1059
@alleytz1059 4 жыл бұрын
We unashida kwenye ndoa yako
@janetkerubo6469
@janetkerubo6469 6 жыл бұрын
Haha hamo
@duaneorwasa9593
@duaneorwasa9593 Жыл бұрын
Airplane story borrowed from george carlin
@julianaconradi853
@julianaconradi853 6 жыл бұрын
😂😂😂😂
@nurulight2074
@nurulight2074 5 жыл бұрын
aaah so disappointed in you kenyans who tald u knwing english language means ur very educated ??english is just a language like other language u knw after all learn to value ur own things we r Tanzanian we value our language so much and to us swahili is the best of all languages
@johnmaza8721
@johnmaza8721 5 жыл бұрын
Hicho kiswahili hakisaidii kabisa
@momboi2
@momboi2 3 жыл бұрын
Kiingereza muhimu pia
@kitoijeremia5794
@kitoijeremia5794 6 жыл бұрын
utaona watu hapo hawamwelewi jamaa ila jamaa show zao nyingi ni hatari..hata walioandaa show hawajabalance....Churchill show ni most creative market kwa comedian..ni house of talent ya comedins..wameona muziki hawawezi ila comedian wamekamatia..check mtu kama prof harm.zedii,njoro, na wwngine wengi
@mpajiramadhan3507
@mpajiramadhan3507 5 жыл бұрын
Huyoo jamaa ni nooma sanaaaaa sema wa tz bado cna ili umuelewe lazma uwe makin nae sanaa tena utumie akili nyingi
@frankgichia7685
@frankgichia7685 6 жыл бұрын
Aaaaaaih wa tz wako chini mpaka mitambo yao iko chini tena kiingereza n shida aaaaah beta angekua apa kenya
@mapemngumi2820
@mapemngumi2820 6 жыл бұрын
Frank Gichia kingereza lugha yako
@hezronaroko6076
@hezronaroko6076 6 жыл бұрын
acha ufala, kwani was he talking in English? don't undermine us.
@lilianleonard8106
@lilianleonard8106 5 жыл бұрын
Wakenya wana shida sana
@saadtz657
@saadtz657 6 жыл бұрын
watazamaji wanachangamka ila hawasikiki kwa sababu ya mitambo lakini prof anaeleweka tu na yupo vizuri
@rwamborwambo1019
@rwamborwambo1019 6 жыл бұрын
Saad Farahani Hamo yupo vzr Ila ningependa angekuja MCA TRICKY
@amirmenza4241
@amirmenza4241 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😍🤣
@asafu_tz8960
@asafu_tz8960 6 жыл бұрын
nihatar
@zenahhussein9318
@zenahhussein9318 6 жыл бұрын
English is aproblem in tanzania
@hezronaroko6076
@hezronaroko6076 6 жыл бұрын
ameteta kiingereza????
@abuuiddi9110
@abuuiddi9110 6 жыл бұрын
Zenah Kagai +97477053859 pliz nicheki whatsap
@joramnjihia2928
@joramnjihia2928 5 жыл бұрын
This man is very funny
@timezonlinemedia2665
@timezonlinemedia2665 4 жыл бұрын
Yes it is, kama vle pussy ako inavonuka ilvyo problem in your house😂😂😂😂😂
@khamisiiddi9321
@khamisiiddi9321 5 жыл бұрын
Hahaha eti kama huna takwimu
@emmanueljohn5162
@emmanueljohn5162 6 жыл бұрын
hapa watz walienda kutoa mimacho tu
@mussahussein3583
@mussahussein3583 6 жыл бұрын
Emmanuel John. Kumbe ulitaka tuende kufanya nini pale wee mjinga? kweli wee unaonekana mshamba ulopitiliza.
@mercyzephania5507
@mercyzephania5507 6 жыл бұрын
tatizo apa ilikua lugha...ila prof..you killed it...!!!
@abuuiddi9110
@abuuiddi9110 5 жыл бұрын
Mercy Zephania nicheki pliz +97477053859
@mnatishaggyshaggy9762
@mnatishaggyshaggy9762 6 жыл бұрын
hamo hao watz hawaelewi kaa rada hawajaelewa
@hankabeEhub
@hankabeEhub 2 жыл бұрын
This people don’t understand jokes wah
@fredrickonchoka7152
@fredrickonchoka7152 6 жыл бұрын
Language barrier.....
@hezronaroko6076
@hezronaroko6076 6 жыл бұрын
he talked in English or Kiswazi. au unafaindi tu kiki. acheni ubwege wenu
@Frankgamanuel
@Frankgamanuel 6 жыл бұрын
Tz tuko na problems ya vifaa au LA sivyo waratibu wako na shida.
@okulld
@okulld 5 жыл бұрын
Language barrrier. That audience missed a lot of the humor. The guy is witty.
@evansandrew8778
@evansandrew8778 6 жыл бұрын
people are hanging THERE...too bad for them LOL!
@charlownomasanamathew5682
@charlownomasanamathew5682 6 жыл бұрын
Tatizo watanzania ni vilanza hawaelewi kingereza so mm naona prof:Hamoo analost tu time yake huko
@heriaminiel7153
@heriaminiel7153 6 жыл бұрын
Charlow noma sana Mathew acha unanga ww kwan kngereza ni hela
@Alex-ls4hh
@Alex-ls4hh 6 жыл бұрын
hamo ukienda pale Dar tena.. kiswahili kitukuzwe. You have to meet your audience halfway
@hezronaroko6076
@hezronaroko6076 6 жыл бұрын
we know more than u think
@hezronaroko6076
@hezronaroko6076 6 жыл бұрын
from the begining ameongea kiingereza acha ufala
@onlinemateustv1925
@onlinemateustv1925 6 жыл бұрын
Charlow noma sana Mathew mmmmh wa Kenya bwana toka mshindwe kuwa na akili mpaka leo hamtaki kuwa nazo mbona mnaongea upuuuzi
@jayjay4313
@jayjay4313 6 жыл бұрын
English tangu lini ikachekesha. Ndio mana Mr.Been anausugua tu bora mara mia. Lete kiswaz tukanyage kama fataki mazee.
@joakimbrivasitati8911
@joakimbrivasitati8911 5 жыл бұрын
Watanzania jamani gai that kasimple english n blunder huh
@marygithua
@marygithua 5 жыл бұрын
Boring audience 👎
@josphatwaqtmgenge8102
@josphatwaqtmgenge8102 6 жыл бұрын
Watanzania bana!!!!!!.. Hamoo.....hao watu hawaelewi na kingereza.... Boring
@tomchania5262
@tomchania5262 5 жыл бұрын
boring audience Hamo is tough
@megmimi3410
@megmimi3410 6 жыл бұрын
Hawa mafala hakuna kitu wanaelewa
@hezronaroko6076
@hezronaroko6076 6 жыл бұрын
bwege ww
@megmimi3410
@megmimi3410 6 жыл бұрын
Whatever that means
@hezronaroko6076
@hezronaroko6076 6 жыл бұрын
let it be as the way u think, was he talking in English? kwani.
@saidmanjuti7441
@saidmanjuti7441 5 жыл бұрын
nan fala mbwa ww
@luganojacob
@luganojacob 4 жыл бұрын
Watanzania sio wajinga atuwezi kuchekacha ovyo Kama wakenya
@vincentcherutich291
@vincentcherutich291 4 жыл бұрын
Si koza lako tunawaelewa
@mosesetsabo4718
@mosesetsabo4718 5 жыл бұрын
Wa TZ ni wagumu kuchekeshwa sana.. Kai 🤔🤔
PROF HARMO/SHEPU ZA WAHAYA/WACHAGA/MICHEPUKO
31:58
Cheka tu
Рет қаралды 328 М.
1❤️
00:17
Nonomen ノノメン
Рет қаралды 12 МЛН
когда повзрослела // EVA mash
00:40
EVA mash
Рет қаралды 3,7 МЛН
MEU IRMÃO FICOU FAMOSO
00:52
Matheus Kriwat
Рет қаралды 43 МЛН
UCHAMBUZI SAKATA LA FEISAL SALUM, JE, ANAKWENDA SIMBA AU HAENDI?
14:01
Dogo pepe alivyo wavunja watu mbavu balaa..
1:59
PEPE TV
Рет қаралды 15 М.
Nairobi Kenya 🇰🇪 Shocked me as a Tanzanian
15:06
Explore with Bertin
Рет қаралды 52 М.
CHEKA TU: SALVADOR - KULA HELA YA SPONSA BILA KUFANYA CHOCHOTE...
6:09
PROFESSOR HAMO - Brenda & Dennis Wedding Day
9:20
ProfHamo
Рет қаралды 194 М.
Tom Daktari’s Performance in TANZANIA.
4:31
Tom Daktari
Рет қаралды 186 М.
Prof Hamo - Tumtu Ndani Ya Akili
8:50
Churchill Television
Рет қаралды 687 М.
Insane Disrespect Moments 😡
0:31
Football Fancier
Рет қаралды 4,7 МЛН
Mike Tyson vs James Smith
1:01
Music Workflow Academy
Рет қаралды 9 МЛН