Ahmed Ally, Crescentius Magori wazungumzia usajili, Simba Day, ubaya ubwela

  Рет қаралды 150,865

Azam TV

Azam TV

28 күн бұрын

Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC, Crescentus Magori na Meneja wa Habari wa timu hiyo Ahmed Ally wamezungumzia mchakato wa usajili ndani ya klabu hiyo na kutoa tafsiri ya ubwaya ubwela.

Пікірлер: 282
@abdallahally842
@abdallahally842 25 күн бұрын
Tunaosema tutajiunga na simba bando kuichangia simba weka like
@ElizabethLukosya-lv2vf
@ElizabethLukosya-lv2vf 23 күн бұрын
Msemaji ni mmoja tu ktk ligi yetu ya African,na ni semaji letu la kafu ❤
@abdallahally842
@abdallahally842 25 күн бұрын
General magori ubaya ubwela genius
@aminaomary5567
@aminaomary5567 24 күн бұрын
Yaan aacha tu ma simba day siku hiyo. Watakoma mwaka huu❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉Mo Boss kubwa hoyooooo❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉👍👍👍👍semaji wetu hoyoooooo❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉👍👍👍👍
@nesto_automobiles6537
@nesto_automobiles6537 24 күн бұрын
Asanteni sana azam kwa kuiweka hii you tube maana niliikosa kutokana na kukatika kwa umeme
@NteziryayoAime
@NteziryayoAime 26 күн бұрын
Much love from Rwanda 🇷🇼 I'm APR FC fan 🤍🖤🤍🖤 turabakurikiye Tanu kwa tanu
@salimmalaka256
@salimmalaka256 26 күн бұрын
SIMBA OYEEEEEE ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@user-rl1vr1fd1r
@user-rl1vr1fd1r 26 күн бұрын
Magori ni mtu haswa anatakiwa atunzwe kwa faida ya Simba ya sasa na baadae
@IsackVedasta
@IsackVedasta 21 күн бұрын
Msemaji Bora Tanzania 🇹🇿 na Africa nzima.
@mohamedjuma1960
@mohamedjuma1960 26 күн бұрын
Am proud Simba fan
@user-ze2nk8cw5s
@user-ze2nk8cw5s 26 күн бұрын
Kama mpanzu anazingua aachwe maana waliopo kwangu Mimi viongozi siwadai ila ushauri wangu naomba waliosajiliwa wapewe nafasi wacheze
@JoshuaLeonard-lo3cs
@JoshuaLeonard-lo3cs 25 күн бұрын
Simba nguvu moja Tim kubwa Africa na Dunian tuwe watulivu kwanzia viongoz mpk mashabik tutaimarka tu na tutaendeleza ubabe wetu
@JoseHaule-tx7lu
@JoseHaule-tx7lu 25 күн бұрын
Huyu jamaa ni hatar ana kpaji kwakweli We love u broooo
@user-gn4cp2vq2y
@user-gn4cp2vq2y 26 күн бұрын
Nawapongza saaaaana wakuu wangu hao kwa kazi nzuri wanazo fanya kwa moyo,....mungu azidi kuwajalia afya njema
@user-bh7cc4dt3b
@user-bh7cc4dt3b 26 күн бұрын
Mungu awabariki Simba yetu isonge mbele, amina
@Lusindehalima-si3ej
@Lusindehalima-si3ej 26 күн бұрын
Wapi onana jamani mtuweke wazi tunaumia mashabiki wake
@ElizabethLukosya-lv2vf
@ElizabethLukosya-lv2vf 23 күн бұрын
Magori,napenda sana majibu yako kama mgunda tu,maneno mengi ya nini unajibu point
@SwaumuShabani-qm4xo
@SwaumuShabani-qm4xo 26 күн бұрын
Semaji anaetrend tiktok cmba nguvu moja ubaya ubwela
@salumumabomba9611
@salumumabomba9611 26 күн бұрын
Nakubaliii sana Chama langu,Magori mnyamaaaaaaa
@DicksonPeter-ym5od
@DicksonPeter-ym5od 26 күн бұрын
Magori ni mashine ya kweli pale simba ,mungu ampe maisha marefu pale simba,,,by dickson peter ..nikiwa dar
@yusufmruma2870
@yusufmruma2870 26 күн бұрын
Magori is intelligent, big up
@DullhFeyy
@DullhFeyy 24 күн бұрын
Ahmad bin Aliy nakukubar sanaaa kwa uwezo wa mungu inshaanllah furaha tuliyoikosa kwa mda mref viongozi wachezaji wajitume kwa bidii wajue kitu gani tunacho kihitaji tutarudi kwenye furaha tuliyo ipoteza.
@Dayotz
@Dayotz 26 күн бұрын
Bro magoli u looks like my dady rest in peace dady
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 26 күн бұрын
SAFI SANA SEMAJI LETU LA CAF. TUNAKUPENDA SANA WANASIMBA
@abumuhammad9615
@abumuhammad9615 26 күн бұрын
Interview imekamilika sana
@renatusmwanakatwe-gl9xb
@renatusmwanakatwe-gl9xb 26 күн бұрын
Asante azam
@user-ms8rl1nr9o
@user-ms8rl1nr9o 26 күн бұрын
Hongereni sana viingozi wetu
@user-gz2or2ui9n
@user-gz2or2ui9n 23 күн бұрын
Kongole sana semaji la caf
@khadijamisayo7476
@khadijamisayo7476 26 күн бұрын
Magori yupo vizuri, hana papara, katulia
@gabrielrobert8677
@gabrielrobert8677 26 күн бұрын
Magori mtu haswa, hamnaga mkurya fala Town.... bigg up saana Tata Magori
@raphaelernest8253
@raphaelernest8253 24 күн бұрын
Nakubali ubaya ubwela
@mohamednipala7000
@mohamednipala7000 26 күн бұрын
Simba.....!!!!! Nguvu moja
@Hemedyamir
@Hemedyamir 26 күн бұрын
Magori anajibu maswali vizur kweli ni mtu wa mpira anaijua Simba kindakindaki Hawa ndo tunawataka kwenye Simba Kwanza anaipenda Simba ni fans wa Simba"Simba nguvu moja🔥💪"
@user-lo9fn9hf7q
@user-lo9fn9hf7q 24 күн бұрын
I
@djchid2417
@djchid2417 26 күн бұрын
Huyu mwamba ni hatar ni mashine ya kuongea
@abelimaganga417
@abelimaganga417 26 күн бұрын
Hawa watu wawili sina mashaka nao kabsa nawaamini mnooo🦁🦁🦁🦁
@HalimaMaulidi-sv7le
@HalimaMaulidi-sv7le 26 күн бұрын
Semaji la wasemaji tz wengine waropokaji tu
@HajiKanyumbu-xn6vh
@HajiKanyumbu-xn6vh 26 күн бұрын
Nalipongeza sana chama langu simba 🦁🦁🦁 nguvu moja 💪💪💪
@georgesamweli4062
@georgesamweli4062 25 күн бұрын
Semaji 🎉🎉🎉
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 26 күн бұрын
Mpanzu na Fei Toto tunauwa watu kwa pressure, please waleteni msimbazi
@teilencedevard9431
@teilencedevard9431 26 күн бұрын
Semaji linalo ingia on trending upepo unao semaji
@user-bf3mm5wu1s
@user-bf3mm5wu1s 26 күн бұрын
simbaa nguvu moja 😊😮
@IssaKisaka-wo3mq
@IssaKisaka-wo3mq 26 күн бұрын
Simba nguvu moja
@Busagotz
@Busagotz 25 күн бұрын
Ally komwe na Hers njoo ujifunze kuongea kama hiv pointi
@issahamis581
@issahamis581 24 күн бұрын
hawezi yure bwakubwaku
@songarashidy1995
@songarashidy1995 26 күн бұрын
yoooo if you like SIMBA like my comment down
@omariwaziri5031
@omariwaziri5031 26 күн бұрын
Kadi za mashabiki tuna zipataje
@AbkHashim-o3j
@AbkHashim-o3j 26 күн бұрын
Viongoz wanapo fanya usajili wanaakiri wana jua nan anafaa kwahyo tusubirie viongoz wafanye usajili tuone uwanjan alafu unapo sema ni siasa wewe mwanachama? Tusiwe tunapga makelele alafu kumbe hata kad ya mwanachama huna waache viongoz wafanye usajili
@dixhangdecious7528
@dixhangdecious7528 26 күн бұрын
Una hoja kabsaa familia ✊
@KibibiMwalimu-pg8fg
@KibibiMwalimu-pg8fg 26 күн бұрын
Mimi ni mwa😊 mwanachama lakini Nipo American nitafanyaje ili nichangie nikitokea huku 🇱🇷?
@KanizioBugota
@KanizioBugota 25 күн бұрын
Tuipende simba yetu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@AbednegoMurosi
@AbednegoMurosi 26 күн бұрын
Mwenda hatumuonii kambini
@Miche7_
@Miche7_ 26 күн бұрын
Mashine ya kuongea alikuwa anaumia 😂😂😂😂
@juniorjoshua2452
@juniorjoshua2452 26 күн бұрын
Musa mangungu ni kilus I mpaka Sasa wengi hawamtaki ila watu wameamua kuweka umoja
@DeborahSaitoti-oy7fm
@DeborahSaitoti-oy7fm 26 күн бұрын
Kweli Ila atatoka tu simba tuweke kwanza nguvu nyingi timu na club ikae sawa mangungu ni mdudu mdgo Sana siku moja tu makiamka anakuta THANK YOU YAkE MEZANi😂😂😂😂😂
@epefrapetro1398
@epefrapetro1398 26 күн бұрын
Mimi nimwana chama wa smba nigeomba kramo twende nae naiman atatusaidia
@AlexMgeta
@AlexMgeta 26 күн бұрын
Mbona kramo yupo sana na aliongeza mkataba wa mwaka mmoja
@hamismwangwale563
@hamismwangwale563 23 күн бұрын
Ubaya ubwela Ila SEMAJI LETU halitaki unyonge🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@ashrafameir4064
@ashrafameir4064 25 күн бұрын
Kwanini wamemtoa mgunda kwenye bench
@samahakihange6421
@samahakihange6421 26 күн бұрын
Nimeipenda iyo raisi wa wasemaji ote tanzania semaji la caf
@johnmgalatia5375
@johnmgalatia5375 26 күн бұрын
Naomba namba ya msemaji Ahamedy
@peterwilliam5411
@peterwilliam5411 26 күн бұрын
Azam TV kiboko yaoo 🎉🎉
@allymtunge5530
@allymtunge5530 26 күн бұрын
Kwan uto wanakuaga wapi? Kufikili sana
@RomwadMhagama
@RomwadMhagama 26 күн бұрын
Nasisi wangoni hua tunatumia hiloneno
@kingndinyo9764
@kingndinyo9764 25 күн бұрын
Trending 1 simba nguvu moja
@mwasunga
@mwasunga 26 күн бұрын
Amed baba utaniua mm wew nimwamba ndomana walikushindwa wakaleta watatu iri wakuchangie wamelala nabado watalala
@mwanangusana
@mwanangusana 26 күн бұрын
😂😂😂😂😂 sasa iyo ni taasisi kweli ?? Kitengo kiwe na mtu mmoja kwelii ??
@shekhebakari1998
@shekhebakari1998 26 күн бұрын
Naitwa Hamis from kigamboni naomba hiyo huduma yasimba bando ije namitandao mingine tafazali
@MwanahamisHussein-dp2if
@MwanahamisHussein-dp2if 26 күн бұрын
Nanunua
@Ezramali595
@Ezramali595 25 күн бұрын
UBAYA UBWELA MPOAPOOOO
@jumamnemo8383
@jumamnemo8383 26 күн бұрын
Hiyo safi Simba bando
@user-mq2wy4tp5q
@user-mq2wy4tp5q 26 күн бұрын
😂😂😂 ubaya ubwelaa asee ni noma san
@sijaonamjungufinias481
@sijaonamjungufinias481 26 күн бұрын
Kramo jamani mwacheni mbona kapona jamani
@MartineRichard-me2ip
@MartineRichard-me2ip 26 күн бұрын
Simba Nguvu moja
@robsonwilliam8301
@robsonwilliam8301 25 күн бұрын
Wenzenu wanatafuta wachezaji ninyi mnatafuta maneno mtaani ya kudanganyia watu.
@afaijuma8474
@afaijuma8474 25 күн бұрын
Kwanza nawapongeza kwakipindi kizuli oja yangu. Ipokwenye namna yakutumia mtandao wa Voda Mimi nipo Mozambique nauku sisi tupo tunanufaishaje Simba yetu?
@FreemasonPesaZaMajini
@FreemasonPesaZaMajini 26 күн бұрын
Ongezeni wanachama wapya,lkn mkiweka sharti moja la kila mwanachama lazima alipie kadi yake kila mwaka na akiwa ajalipia ndani ya miaka miwili ifutwe apewe mwingine na yeyote atakayelipia siku ya uchaguzi asiruhusiwe ili kumfanya aone umuhimu wa kulipia kadi kwa wakati
@mariammbapira645
@mariammbapira645 26 күн бұрын
Simba bando ipo vodavom
@officialisaiah3979
@officialisaiah3979 26 күн бұрын
UBAYA UBWELA
@josephfrank4446
@josephfrank4446 25 күн бұрын
Sasa magor karudi nafraha sasa🎉
@user-kn7bo6iz4n
@user-kn7bo6iz4n 26 күн бұрын
Nguvu mojaa❤❤❤❤
@BigZhumbe
@BigZhumbe 20 күн бұрын
Semaji la Mnyama, Semaji la Dunia 🎉🎉🎉🎉🎉
@westonyjob1747
@westonyjob1747 26 күн бұрын
Semaji la cuf umetisha
@RashidiKilumbi
@RashidiKilumbi 24 күн бұрын
Tutajie Tena hiyo no, ya kujiunga Simba bando.
@AdinaniKitabu
@AdinaniKitabu 26 күн бұрын
Upo vzr mwamba
@johnmgalatia5375
@johnmgalatia5375 26 күн бұрын
Pia muulize tulihamasishwa kukata kadi za uanachama kupitia benki ya Equity bank je zile tuachane nazo?na tukate za CRDB NA NMB?
@user-uj5wg9mm2t
@user-uj5wg9mm2t 26 күн бұрын
Simba nguvu moja💪
@malickomary5687
@malickomary5687 26 күн бұрын
Sema huyu mzee magoli safi sana yani...
@januarysungura8119
@januarysungura8119 26 күн бұрын
Ubaya ubwela
@MuftyHussein-kf7tm
@MuftyHussein-kf7tm 26 күн бұрын
Nimesha nunua tayari imeisha hiyo nguvu moja ❤❤❤😂😂🎉
@neemamatey
@neemamatey 26 күн бұрын
❤❤❤
@GervasKasagula-m7m
@GervasKasagula-m7m 26 күн бұрын
Magoli tunakutakia majukum mema ya simba yetu
@ROJAOMARY-ys7xb
@ROJAOMARY-ys7xb 25 күн бұрын
Kipindi kitam sana nilokuwa natamani kusikia sauti ya father magoli na hamedi alii
@khalidsharji2462
@khalidsharji2462 26 күн бұрын
Simba nguvu Moja tuchangiye
@hamadbakar7091
@hamadbakar7091 26 күн бұрын
Simba nguvu Moja yani mwaka huu tumesajili IGP watupu au maamiri jeshi watupu yani hakuna kuruti kwenye kikosi chetu
@user-bb8de4bl5n
@user-bb8de4bl5n 26 күн бұрын
Wewe hujui kitu huyu Zubery Yanga damu ujue hilo
@AudaxLwekamwa-kt6eg
@AudaxLwekamwa-kt6eg 26 күн бұрын
Kuna mwamba njaa ilkua inampiga apo 😅😅kiasi kwamba anapiga miayo kwenye myk😅
@KibibiMwalimu-pg8fg
@KibibiMwalimu-pg8fg 26 күн бұрын
Nataka kadi yangu niliyosajiliwa wilaya ya mvomero kata ya mkindo Nataka kuchangia nikiwa huku 🇱🇷
@JasmineMahdi-w9f
@JasmineMahdi-w9f 25 күн бұрын
Mtafut Ahamedi aliy
@brycesonkaaya9764
@brycesonkaaya9764 26 күн бұрын
Mwambie Ahmed Ally anakumbuka alichoambiwa na mshabiki wasimba toka mikese juu ya uzinduzi wa jezi?
@MtoroIdd
@MtoroIdd 26 күн бұрын
Mzee magori fukuza manula huyo kirusi kitoke
@ELIASJACOB-by4qs
@ELIASJACOB-by4qs 24 күн бұрын
Nguvu moja 💪💪
@jumanneelias-mc7sw
@jumanneelias-mc7sw 24 күн бұрын
iyo simba bando naomba iwekwe kwa mitandao yote pleaSE
@mariammbapira645
@mariammbapira645 26 күн бұрын
Wangoni pia bwers njoo rudi kibantu
@chimnyengeUpdate
@chimnyengeUpdate 26 күн бұрын
Ila Bongo Kuna wasemaji sana
@user-cg8vh4fn7z
@user-cg8vh4fn7z 24 күн бұрын
Mbona kama kuna mtu anapiga mihayo apo
@JohnEugeni-f8m
@JohnEugeni-f8m 26 күн бұрын
Yaan simba huwa wanaanza yanga wanaiga et yanga famili mara wiki ya wanachi yaan lzm simba waanze wao wanaiga
@user-uj5wg9mm2t
@user-uj5wg9mm2t 26 күн бұрын
Semaji la cuf😂😂😂😂😂😂ubaya ubwela
@idimbezi8379
@idimbezi8379 26 күн бұрын
Mwambie magor tunamuomba elia mpanzu
@CyprianHatari-qy9yv
@CyprianHatari-qy9yv 26 күн бұрын
Mfarume wa nyika wekundu wa msimbazi
Doing This Instead Of Studying.. 😳
00:12
Jojo Sim
Рет қаралды 26 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:40
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 34 МЛН
CHOCKY MILK.. 🤣 #shorts
00:20
Savage Vlogs
Рет қаралды 21 МЛН
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 30 МЛН
ბაკურ გულუას ისტორია - “საქართველოს დაბადება”
3:25:21
საქართველოს დაბადება
Рет қаралды 1,1 МЛН
DOCTOR MO ALIA KWA MKAPA, TUMEONEWA, TUMENYIMWA PENATI MBILI ZA WAZI
8:25
Throwback Moments in Football😈
0:20
SkillerHome
Рет қаралды 12 МЛН
Kids' kindness shines bright on the soccer pitch #shorts
0:40
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 1,2 МЛН
Yusuf Dikec in Olympics… #shorts
0:13
Konaedits
Рет қаралды 6 МЛН
ЖЕСТКО поплатился за мерзкие УДАРЫ❗
0:54