No video

‘Mwanakijiji’ abuni umeme Njombe, asambazia kaya 70

  Рет қаралды 13,170

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

Licha ya kuwa na elimu ya darasa la saba, Frank Kihombo ni mbunifu wa masuala ya umeme na ameleta mwangaza kwa kaya 70 katika kijiji cha Havanga mkoani Njombe
#MbunifuNjombe #AzamTVUpdates
Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► bit.ly/2wB6zmR
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: / azamtvtz
►INSTAGRAM: / azamsports2
►TWITTER: / azamtvtz
►FACEBOOK: / azamtvtz
►WEBSITE: www.azamtv.co.tz

Пікірлер: 12
@thegreat.9869
@thegreat.9869 3 жыл бұрын
Serikali inafeli sana. Hawa ni watu wakuwekeza.
@graysonpastory1918
@graysonpastory1918 3 жыл бұрын
Safi Safi sn ndugu yangu
@stiviemshuza446
@stiviemshuza446 3 жыл бұрын
Watu Kama Hawa tunao Tz lakin sijui tunakwama wapi
@mcmifukotz7267
@mcmifukotz7267 4 жыл бұрын
Gud
@iddyshabani5942
@iddyshabani5942 3 жыл бұрын
Nzur
@godsonshoo9867
@godsonshoo9867 2 жыл бұрын
Hongera Sana engineer
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 2 жыл бұрын
Umejitaid sana
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula Жыл бұрын
Angekuwa mtoto.wa kigogo angesomeshwa hadi Uchina
@benardboaz6347
@benardboaz6347 2 жыл бұрын
Hii nchi wabunifu na Wenye vipaji wanawangalia kama mavi viongozi bana acheni choyo.
@emm93132
@emm93132 2 жыл бұрын
Hili ni jambo kubwa sana
@emm93132
@emm93132 2 жыл бұрын
Imagine mtu analipa buku kwa mwezi...kumbe tunaweza kuijenga nchi yetu wenyewe 💪💪💪
LUKUVI NGORONGORO  AUSEMA UJUMBE ALIOAGIZWA NA RAIS SAMIA
5:54
Mwananchi Digital
Рет қаралды 5 М.
Идеально повторил? Хотите вторую часть?
00:13
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 18 МЛН
ISSEI & yellow girl 💛
00:33
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 21 МЛН
Challenge matching picture with Alfredo Larin family! 😁
00:21
BigSchool
Рет қаралды 41 МЛН
Hali ya Joshua Mutale wa Simba sio shwari
4:20
Azam TV
Рет қаралды 18 М.
Azam FC kuiwafuata APR kibabe nchini Rwanda
7:23
Azam TV
Рет қаралды 2,3 М.
SAKATA LA NGORONGORO KABUDI ATIMBA,  ATAJA MAMBO MANNE
4:29
Mwananchi Digital
Рет қаралды 11 М.