Рет қаралды 25,940
Azam FC imetinga fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB Bank kwa kuipiga Coastal Union mabao 3-0 katika mchezo wa nusu fainali uliopigwa leo kwenye Dimba la CCM Kirumba jijini Mwanza.
Abdul Hamis Suleiman Sopu amefunga mawili, dakika ya 42 kwa penati na dakika ya 79 huku Feisal Salum akifunga moja dakika ya 68.