Mabondia Said Mkola na Said Bwanga wamekutana ndani ya studio za Azam TV na kutunishiana misuli wenyewe kwa wenyewe huku kila mmoja akitamba kwa namna yake.
Пікірлер: 13
@Basagamp416 күн бұрын
Nakupenda Mkola ila Kwa Bwanga Umekwisha bro😅
@EbyakalaByagaluka17 күн бұрын
Mkola umeyakanyaga😢
@FatimaFati-pu4lb21 күн бұрын
😂😂😂😂😂ameyakanyanga said mkola
@abduryjumbe7447Ай бұрын
Hahaha mkola kapotea mapema 😂😂😂
@saidchembera86692 күн бұрын
Bwanga mawe
@KhalfanSelemanАй бұрын
Bwangaa muto msimzalau bwanga moto chini
@sirduliy10710 күн бұрын
Kwenye maneno mkola tushampiga sasa waukae tukampige na ulingon
@user-ms1xg1fp4v8 күн бұрын
Mkola upunguze sana papara na usiweke akili yako kutegemea sana nguvu zako.Bali utumie Akili sana unacheza na bondia anaefikiria kufika mbali hivyo uwe makini sana