Magoli | Mashujaa 3-1 Mbeya City | Play Off | Premier League/Championship - 19/06/2023

  Рет қаралды 138,132

Azam TV

Azam TV

Жыл бұрын

Timu ya Mashujaa FC ya Kigoma kutoka ligi ya Championship imeitandika Mbeya City kutoka Ligi Kuu ya NBC mabao 3-1 katika mchezo wa mkondo wa kwanza wa mtoano #PlayOff uliopigwa leo, kwenye Dimba la Lake Tanganyika, mkoani Kigoma.
Magoli ya Mashujaayamtoka kwa Abiud Mtambuka dakika 24, Asanga Stalon dakika ya 69 na Shadrack Ntabindi dakika ya 78 kwa mkwaju wa penati wakati goli la kufutia machozi kwa Mbeya City likiwa ni la kujifunga kupitia kwa Aziz Sibo dakika ya 63.
Magoli haya hapa....

Пікірлер: 177
@radhidimasambiro4620
@radhidimasambiro4620 Жыл бұрын
Kigoma stand up all the way from 🇿🇦🇿🇦🇿🇦🤐
@mussanaftari870
@mussanaftari870 Жыл бұрын
E mungu saidia tim yangu ishinde mchezo unaofuata love from south Africa ❤❤❤❤❤
@generozakatima5849
@generozakatima5849 Жыл бұрын
Da! Mungu atusaidie na ss wanaKigoma tuwe na timu ligi kuu ongeren sana vijana hakika mmepambana kaz bado haijaisha mkapambane ivoivo Mbeya haijaisha mpaka iishe kila la heri mashujaa
@radhidimasambiro4620
@radhidimasambiro4620 Жыл бұрын
Kigoma stand up all the way from
@enockjovin-jh8qt
@enockjovin-jh8qt 11 ай бұрын
hongela sana timu yang ya mkoa kigoma mashujaaaaaaaaa goooooooo
@scopy0428
@scopy0428 Жыл бұрын
Mbeya City wanaiona Jehanam hii hapa Safari hii Championship inawahusu Hongeren Mashujaa kwa kaz nzuur na iliyotukuka
@salim02tv24
@salim02tv24 Жыл бұрын
Nimependa vibe la mashabik wanahak tim ziende kucheza ligi kigoma
@benesiusBenedicto-kw2oi
@benesiusBenedicto-kw2oi Жыл бұрын
Hongeli sana timu yetu yakigoma
@user-sw5ks9dx3j
@user-sw5ks9dx3j Жыл бұрын
I m so greatfull and proud to see kigoma region on NBC premier .
@shahilmmasai2989
@shahilmmasai2989 Жыл бұрын
Kigoma wanapenda boli hongereni sana hom boys mashujaa
@EmilyAbdon-fp8oo
@EmilyAbdon-fp8oo Жыл бұрын
From kigoma kasulu mashujaa timu yangu Mungu jaalia
@habisnasalum-nz4zo
@habisnasalum-nz4zo Жыл бұрын
Napenda mbeya washuke wanakamia timu kubwa
@PaschalJoseph-qb4jc
@PaschalJoseph-qb4jc Жыл бұрын
Imana itu fuhule.this is msharakandi wa I.naishi Zambia.
@hassanmasoud7891
@hassanmasoud7891 Жыл бұрын
Kigoma hatari du
@jonastv117
@jonastv117 Жыл бұрын
Hii ndiyo kigoma💪💪💪💪 vipaji Vingi sana😊
@gervasmfubusa
@gervasmfubusa Жыл бұрын
Mashujaa hongereni mnazidi kutuheshimisha watu wa kigoma
@msafiblog
@msafiblog Жыл бұрын
Commentator HASSAN HEMEDY MVULA 🔥
@stevenhassan269
@stevenhassan269 Жыл бұрын
Tuliopo dar jezi za mashujaa tunazipataje
@godfreybahitwa4798
@godfreybahitwa4798 Жыл бұрын
WATOTO WA K TOWN, KIGOMA NI NOUMAAAAA....
@munamuna4621
@munamuna4621 Жыл бұрын
Mashujaa wanamashabiki kuliko hata azamu😅😅
@mrh2812
@mrh2812 Жыл бұрын
😂😂
@gervasmfubusa
@gervasmfubusa Жыл бұрын
Kabisa kabisa
@Graceyust
@Graceyust Жыл бұрын
Hizo goli za mashujaa ni majanga but big up sana watu wa kg mnaonesha mapenzi kwa timu yenu
@hassanlikwenangu8471
@hassanlikwenangu8471 Жыл бұрын
Kutuonhezea mwendo tu, kigoma tukaone game za ligi!!!
@makameally1962
@makameally1962 Жыл бұрын
Goals la Kwanza la pili ni offside 🙏
@user-hv4cb7ms8v
@user-hv4cb7ms8v Жыл бұрын
Mulakoze kigoma❤
@salim02tv24
@salim02tv24 Жыл бұрын
Waje tyu ligi kuu
@munamuna4621
@munamuna4621 Жыл бұрын
😅😅😅morison njoo uone 😅😅😅style yako kigoma
@isacklyanga1250
@isacklyanga1250 Жыл бұрын
Mbeya city mkome hiyo staili ya kushangilia mliianzisha wenyewe.
@magomakabanja480
@magomakabanja480 Жыл бұрын
Kigoma Mkoa Wangu Mashujaa Team yangu ya Mkoa
@adcafrica
@adcafrica Жыл бұрын
Hao mashabiki zikija Simba na yanga kila mtu anarudi kwenye timu yake 😂, apo wameungana ili kushangilia timu iingie ligi kuu wapate fursa ya kuziona simba na yanga nyumbani kwao 😂
@amurikakombe7213
@amurikakombe7213 Жыл бұрын
nimecheka atari 😂
@sesanyisesanyi-mh7ug
@sesanyisesanyi-mh7ug Жыл бұрын
FIREEEEE THE HOME OF TALENTS
@mustaphawelder7022
@mustaphawelder7022 Жыл бұрын
Waha oyeeeee
@Daudiamosimisigaro-ey7zy
@Daudiamosimisigaro-ey7zy Жыл бұрын
Hiyo ndo kigoma one!!!! Marudiano tutakufa nao haooo!!! Chomeka nichomoe.
@davidwatson6821
@davidwatson6821 Жыл бұрын
Tunawaombea Mashujaa ili wapande daraja, hao wanaoikamia Simba washuke tuu , wakapakatane wao kwa wao
@michaelbigvai1199
@michaelbigvai1199 Жыл бұрын
Umesahau walikutoa shirikisho😅😅😅
@davidwatson6821
@davidwatson6821 Жыл бұрын
Walinikera ndio maana nawaombea mabaya
@user-mc1mg1jf7e
@user-mc1mg1jf7e Жыл бұрын
Ila kwa kikosi hichi cha mashujaa hawa wanashuka daraja kama watafanikiwa kupanda
@aronpaul2331
@aronpaul2331 Жыл бұрын
Mafalaa watatukoma.ligi kuu nbonaa😅😅😅.sijuii.mashuja wqkqmzingue yangaaa sio another lever
@SobiTz
@SobiTz Жыл бұрын
Hyo jezi namba 10 ya mashujaa so mchezo 😃
@mwanaidihamisi1341
@mwanaidihamisi1341 Жыл бұрын
Uyu dogo namba 10 ni hatar
@braitonjuma6560
@braitonjuma6560 Жыл бұрын
K bomba
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 Жыл бұрын
Hii style ya kushangilia ya BAO LA KWANZA TUMEIPENDA🙏🙏🙏🙏
@imanzeb30
@imanzeb30 Жыл бұрын
Nimependa sana wapande ligi kuu wanna mashabiki wengi
@robertmatabalo5454
@robertmatabalo5454 Жыл бұрын
Mahali penye asili ya mpira
@MudathiriMahr-df2wg
@MudathiriMahr-df2wg Жыл бұрын
This pkay off it's so excited
@deviskahamba8234
@deviskahamba8234 Жыл бұрын
Hii shida Mbeya City mliitafuta wenyewe siku mlikutana na timu kubwa nanyi mkajifanya wakubwa
@123kerim23
@123kerim23 Жыл бұрын
Sheria off side bongo zikoj sizielw hata hil gol la kwanza la mashujaa hil
@lyovajr.768
@lyovajr.768 Жыл бұрын
Hilo goli la kwanza ni offside kabisa yani... Cjui vibendera Huwa wanaangalia vip!!! Wala aihitaji VAR
@emmamga5495
@emmamga5495 Жыл бұрын
Kigoma Brazil Ya Tanzania
@MohamedyKalatula-ux6rd
@MohamedyKalatula-ux6rd Жыл бұрын
Bola mbea siti washuke wanasifa Sanaa ushangiliaji wao walvotufunga sie wanasimba wakuchuchumaa
@iddihamisi6320
@iddihamisi6320 Жыл бұрын
Watoto wa K Town hapo tumeisha Shiba migebuka ya mawese na ugali wa muhogo 😂😂😂
@rashidommy3861
@rashidommy3861 Жыл бұрын
Hawa jamaa noma san ni hatari, Wana mashabiki kama wote
@nurdinrashid9722
@nurdinrashid9722 Жыл бұрын
Mashujaa wakipanda lig jezi Yao niletewe hata laki ntanunua
@joshuamwambene2874
@joshuamwambene2874 Жыл бұрын
Mbeya city mnatuvua nguo
@Daudiamosimisigaro-ey7zy
@Daudiamosimisigaro-ey7zy Жыл бұрын
Kigoma hiyo
@maribaisack2097
@maribaisack2097 Жыл бұрын
Mm naona hizi timu za halmashauri siasa ndo zinaziua...mfano mbeya city, Kmc...kuna shida mahali POLITICS IN FOOTBALL IS A POISON...
@mr_kajomba_og5719
@mr_kajomba_og5719 Жыл бұрын
Waha sisi Ligii kuu tunaitakaaa
@saidinurdin9361
@saidinurdin9361 Жыл бұрын
Chama la nyumbani
@philipoboscow1046
@philipoboscow1046 Жыл бұрын
Home kama home tuna itaka ligi kuuu
@juliuscharles5443
@juliuscharles5443 Жыл бұрын
Mbeya CT ngoja wapoteze nafasi ya ligi kuu waone ugumu wa kurudi,nadhani safari imewadia champion league
@agustinojoseph4450
@agustinojoseph4450 Жыл бұрын
Mtangazaji ni nan huyuu hata haelewek mbna😂😂
@jacobkilagalila-gu2mh
@jacobkilagalila-gu2mh Жыл бұрын
BAdo haijaisha utoto mwingi unavua jez
@lowasameliyo4027
@lowasameliyo4027 Жыл бұрын
Kam vile goli la kwanz ni ofside Ila ki ukweli nmependa mpira jinsi ulivyopigwa Ila Zaid ya yote vieb la mashabikiii ndiooo limenifurahishaaa hatari sanaaa
@laurnyandwi-sb1gu
@laurnyandwi-sb1gu Жыл бұрын
Mashujaa ni fahar ya moyo kigoma
@iddynovo6219
@iddynovo6219 8 ай бұрын
0:22 😅
@noelkipera6581
@noelkipera6581 Жыл бұрын
Hawa mbeya city wacha wakaulime mpunga na maparachichiiii tu wanaichezea nafac ya ligi kuuu wacha wapoteeee 10 years wakajipange upya
@denisrukangula2227
@denisrukangula2227 Жыл бұрын
Yaan mashujaa watakuja kukutana na timu itafumuliwa magoli ya kutosha Niko pale nimekaa mtakuja kunambia
@johnluvanda
@johnluvanda Жыл бұрын
Jukwani ni njano na nyekundu i Tz🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Simba na Yanga ni zaid ya kabila
@pachaorg9123
@pachaorg9123 Жыл бұрын
Acha. Uongo rangi ionekanay hapo n nyekundu zaid
@user-cm9cm7jx1u
@user-cm9cm7jx1u Жыл бұрын
Tuiombee Tim yetu ya mashujaaaaaa
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 Жыл бұрын
Mashujaa mkoa gani hawa
@musajohn1516
@musajohn1516 Жыл бұрын
Mkoa wakingoma kaka
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 Жыл бұрын
@@musajohn1516 asante kaka
@robsonzephania5191
@robsonzephania5191 Жыл бұрын
Asee wanna mashabik kaaa
@3malis
@3malis Жыл бұрын
Mbeya City Will Make it 2-0 home trust me 😢
@abubakarimzandah8249
@abubakarimzandah8249 Жыл бұрын
Tena zaidi...wanapigwa 3-0 hawa mashujaa
@3malis
@3malis Жыл бұрын
@@abubakarimzandah8249 Amin mana goal zao papatu papatu
@pascalnolas8728
@pascalnolas8728 Жыл бұрын
inamaan mshika kibendela akuona iyo offside😢😢?
@othmanm-pesa9178
@othmanm-pesa9178 Жыл бұрын
Kigoma tunajambo letu aisee
@amanididas7660
@amanididas7660 Жыл бұрын
Kama co kiwanja cha mchongo goli la pili lisingekuwepo
@RgSolomon-dd4bl
@RgSolomon-dd4bl Жыл бұрын
Mashujaa
@Rasjzjsjs
@Rasjzjsjs Жыл бұрын
Ukitoa Simba na Yanga mashujaa ndo wanafatia kwa kuwa na mashabiki wengi ligi kuu
@jacobkilagalila-gu2mh
@jacobkilagalila-gu2mh Жыл бұрын
Kiingilio ilikuwa bure😅😅
@sajigwelunogelominga2446
@sajigwelunogelominga2446 Жыл бұрын
@@jacobkilagalila-gu2mh Hata game za ligi huwa wanajaa ,Angalia hata ile walicheza na AFRICAN SPORT Walikuwa nyomi
@ibrahimuKidevu
@ibrahimuKidevu Жыл бұрын
ni bado wanahamu na timu yao ata hao mbeya city au biashara united mwanzoni walikuwaa hivyo hivyo
@rockygappi1018
@rockygappi1018 Жыл бұрын
Hapana hawawezi kuwa na washabiki wengi baada ya simba na yanga..ila ukweli ni kwamba watu wa Kigoma wanapenda mpira,na wanajali timu zao kwa kuwa timu inapofanya vyema inawapa nafasi kuona timu nyingine..
@gideonemmanyi9593
@gideonemmanyi9593 Жыл бұрын
ao unaowaona uwanjan n mashabiki wa simba na yanga
@shanisaidimagono7634
@shanisaidimagono7634 Жыл бұрын
Mashujaa wanamashabiki kuliko hata rambaramba fc
@chacha-255
@chacha-255 Жыл бұрын
Timu ambazo zipo kwenye mikoa ambayo haijaingiza timu ligi kuu kwa miaka mingi huwa zina mashabiki sana, watu wengi wamefika hapo uwanjani maana ni tukio la ajabu sana wamepata timu inayogombea kucheza ligi kuu.
@scorasticaclement6308
@scorasticaclement6308 Жыл бұрын
Bure Bure 😂
@yohanekopilato-wn3lo
@yohanekopilato-wn3lo Жыл бұрын
Mashujaaaa wajanza uwanjaaaa
@dotoomary6889
@dotoomary6889 Жыл бұрын
Kuna team itashangilia kwakuwa wao waliwakaziaaa
@joycekaishozi1177
@joycekaishozi1177 Жыл бұрын
Dah mbeya mpakq huruma jaman😢..dah
@menashilmar1682
@menashilmar1682 Жыл бұрын
Ikibidi hivi viwanja viwekewe makapeti ya mpira, hii mechi kitaalam ilikuwa ni buob buuobah!
@emilyboyemilyboy4893
@emilyboyemilyboy4893 Жыл бұрын
K town
@davidwatson6821
@davidwatson6821 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣wamepakatwa vizuri kweli! bila chupi
@ommyjuniorjumbe3328
@ommyjuniorjumbe3328 Жыл бұрын
Asalam alykum..huku mbeya wameleta waganga wote wa Ihefu na wengine wengi tu wapo sokoine mbinu zote washinde mechi na mashujaa 24/6... Viongozi wakubwa wanahusika ..mjiandae mashujaa
@magomakabanja480
@magomakabanja480 Жыл бұрын
Waalaykum Salaam Warahmatullah Wabaraqatuh Kigoma Kwa Uganga ni Kwao Vitabu vya Feleki ni Kwao na Uchawi ni Kwao Hawatuwezi Tukiamia Kuomba Mungu Kwa Utulivu Mbona Mtatukimbia
@lusajomwankusye602
@lusajomwankusye602 Жыл бұрын
Walicho kuwa wanakitaka Mbeya city wamekipata
@phoebembwambo2763
@phoebembwambo2763 Жыл бұрын
Mashujaa wana mashabiki wengi
@magrethyeremia2279
@magrethyeremia2279 Жыл бұрын
Wana mashapiki km wotee
@chacha-255
@chacha-255 Жыл бұрын
tunaitaka ile mbeya city ya 2013/2014 iliyogeuza kila uwanja wanaocheza kuwa ya jezi za zambarau, kila timu iliyocheza na Mbeya city haikutamani kucheza nao tena Mbeya city imepoteza ladha, mmenusurika mara kadhaa kushuka ila bado hamjifunzi. Hebu muende huko daraja la chini mpitie msoto na kina Lipuli, tunategemea mtarudi ligi kuu kwa kishindo kama mlivyofanya 2013.
@jumannemohamedy1456
@jumannemohamedy1456 Жыл бұрын
Hivi ni ulize alie kuwa ana shika kibendera alikuwa ana waza nn kwa mfno mbon ofside kubwa sana
@sadilwambo9701
@sadilwambo9701 Жыл бұрын
Magoli mawili yote ni offside
@jumannemohamedy1456
@jumannemohamedy1456 Жыл бұрын
@@sadilwambo9701 hovyo kweli kweli yani
@lyovajr.768
@lyovajr.768 Жыл бұрын
Wamezinguaa Goli Halali ni Hilo la 3 hayo mawilii yote offside
@jumannemohamedy1456
@jumannemohamedy1456 Жыл бұрын
@@lyovajr.768 wame wazulu mbey city pakubwa sana
@shairaniadam1752
@shairaniadam1752 Жыл бұрын
Wasenge kilikuwa na kiingilio au bureee😂😂
@masoudmasasi1801
@masoudmasasi1801 Жыл бұрын
hahahahahha ilikuwa kitonga mkuu si unaona wanazengo wamejaza uwanjani unaambiwa wengine walizuiwa getini
@shairaniadam1752
@shairaniadam1752 Жыл бұрын
@@masoudmasasi1801 nomaa sana
@wilsondankson1241
@wilsondankson1241 Жыл бұрын
Goli la pili ni offside
@husseinbakari.
@husseinbakari. Жыл бұрын
Yani chenga tupu, wazi kabsa hata hiyo penalt ni ya utata kweny mstari kabsa
@sajigwelunogelominga2446
@sajigwelunogelominga2446 Жыл бұрын
@@husseinbakari. Penati halali mkuu kamzuia akiwa ndani ya Box tuache ushabiki.
@jacksonndutu4024
@jacksonndutu4024 Жыл бұрын
Mi naona Goli la kwanza Offside na la tatu haikuwa penalt ikuwa free kick juu ya mstari
@faithaction2505
@faithaction2505 Жыл бұрын
N kwel
@salimrizikijaji1281
@salimrizikijaji1281 Жыл бұрын
Mpira unangalia unamskiliza radio
@alistairelias536
@alistairelias536 Жыл бұрын
Faulo ikifanyika mstarini ni penalty...
@youngchyna744
@youngchyna744 Жыл бұрын
Hivi wewe unaakili kweli au unaandika to rudia kuangalia kwanza kazuiwa njia ndani ya mstari kirefa hiyo nipenati na hawezi kutoa njee
@azorilucas
@azorilucas Жыл бұрын
Ww unaelimu yyt ya npir
@ommyjuniorjumbe3328
@ommyjuniorjumbe3328 Жыл бұрын
Mjiandae na timu yenu manakee hatari...waganga kama wote
@lowasameliyo4027
@lowasameliyo4027 Жыл бұрын
Mshika kibendera hakuna kbsa yaan kule unapigwa kiin macho unaona kila kitu ni sawa chezeakigomaaa weee hv we huoni matunguriii uwanjanii uchawi njenjeeee 😂😂😂😂
@othmanm-pesa9178
@othmanm-pesa9178 Жыл бұрын
Acha Ako kambea city nakutuma Hz hbr kawaulize Simba walifanywa nn namshujaa uwanja wataifa sembuse hawa vinying'inya.
@nurunswebe4203
@nurunswebe4203 Жыл бұрын
Mbeya city wamejaa wanyakyusa tu kumamae zao waende wakale ndizi nakutombana kumamae zao
@obeidboaz2637
@obeidboaz2637 Жыл бұрын
Acha makasiriko, ogopa Matapeli mashujaa atabakia championship siku zote
@JumaIddy-cf6fj
@JumaIddy-cf6fj Жыл бұрын
Wanaume wanakuja kuuwa ufalme wa makolo na utipolo😂😂😂 mm ni mashujaa dam dam time lang hlo
@GivenTobago
@GivenTobago Жыл бұрын
brother ligi kuu ni tofauti na championship kama wanataka kufika mbali waweke pesa wasajili profesional kwa ajili ya ushindani
@HoseaJohn-pq9yw
@HoseaJohn-pq9yw Жыл бұрын
Wanangu wa mbeya msiniangushe twendeni sokoine tukaujaza uwanja hawatoki hao
@stellahibrahim7176
@stellahibrahim7176 Жыл бұрын
Lazima tukawasaport Kaa zetu hawa wanafunginga tu
@jumannemohamedy1456
@jumannemohamedy1456 Жыл бұрын
Ila mm najua mbey city hawezi shuka daraja hta kdgo
@eliashibundabalinze2754
@eliashibundabalinze2754 Жыл бұрын
Bado huamin km imeshuka
@jumannemohamedy1456
@jumannemohamedy1456 Жыл бұрын
@@eliashibundabalinze2754 imeenda
@noahfilimoni4703
@noahfilimoni4703 Жыл бұрын
Eti unajua nini
@jumannemohamedy1456
@jumannemohamedy1456 Жыл бұрын
@@noahfilimoni4703 s
@salimliemba3458
@salimliemba3458 Жыл бұрын
Mhh magoli mepes Sana
@nassorosalum3387
@nassorosalum3387 Жыл бұрын
Iyo bule kenge wewe
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg Жыл бұрын
Wacha wapande daraja
@wardashabani
@wardashabani Жыл бұрын
Yan golkipa wa mbeya ovyo kabisa
@harunaomari8792
@harunaomari8792 Жыл бұрын
Mabeki wanafanya nn sasa
@shortvideoclipsreposts5539
@shortvideoclipsreposts5539 Жыл бұрын
Waamuzi inabidi wafanyie marekebisho maamuzi yao kama move goli la kwanza ile foul ilikuwa offside tayari kwenye build up
@rkplatnumzrkplatnumz6952
@rkplatnumzrkplatnumz6952 Жыл бұрын
Unaumia ukiwa wap 😅 sema mashujaa baba lao
@shortvideoclipsreposts5539
@shortvideoclipsreposts5539 Жыл бұрын
@@rkplatnumzrkplatnumz6952 mm so shabiki wa Mbeya city lkn naongelea fact
@kelvenmwamlenga8087
@kelvenmwamlenga8087 Жыл бұрын
Kbsa Yan offside clear ile marefa wanahtr
@shortvideoclipsreposts5539
@shortvideoclipsreposts5539 Жыл бұрын
@@kelvenmwamlenga8087 sure kaka bongo nyoso
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 90 МЛН
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 7 МЛН
ВОДА В СОЛО
00:20
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 35 МЛН
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 26 МЛН
MAGOLI YOTE: SIMBA SC 2-3 MASHUJAA FC; (ASFC - 26/12/2018)
6:20
liv .ANGALIA GOLI LA PILI SIMBA DY SIMBA 2 :0
0:54
SEBA TV
Рет қаралды 21 М.
Ihefu 0-2 Simba |  Highlights | NBC Premier League 10/04/2023
19:15
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 90 МЛН