Рет қаралды 24,311
USIKU WA RADI: Hapa Mtanzania, Fadhil Majiha alimchapa kwa pointi Manyo Plange kutoka Ghana likiwa ni pambano la saba kati ya mapambano manane ya utangulizi.
Ni kuelekea #UsikuWaRadi #ThunderNight ndani ya ukumbi wa #TheDome Masaki ambapo Mtanzania Nassib Ramadhan alipambana na Toto Helebe kutoka Afrika Kusini.