AZIZ ANDAMBWILE NA KIBWANA WATOA YA MOYONI BAADA YA KUSAIN MKATABA MPYA.

  Рет қаралды 87,233

Yanga TV

Yanga TV

29 күн бұрын

#DaimaMbeleNyumaMwiko #TimuYaWananchi

Пікірлер: 93
@protasmalala7559
@protasmalala7559 27 күн бұрын
We jamaa kwa mwandishi WA habari mzuri kuwahi kuwashuhudia!maswali ya msingi Sana unauliza..hongera Sana.
@user-ql6hg7fy9p
@user-ql6hg7fy9p 27 күн бұрын
Ikawe heri kwenu na timu nzima kwa ujumla, kwa neema ya Mungu mjaliwe kuwa na msimu bora zaidi wenye mafanikio makubwa zaidi.
@chollejr_
@chollejr_ 27 күн бұрын
Ko Aziz andambwile atacheza😂😂😂 CAF champion 🏆 league,lkn timu nzima ya makolo watakua shirikisho 😂😂😂
@AbrahamanHussein
@AbrahamanHussein 27 күн бұрын
Ishallah nakuamin mdogo wangu uko pow💚💛🖤🫶✍️✍️✍️💪💪💪
@naliakafatuma9870
@naliakafatuma9870 27 күн бұрын
MUNGU ni mwema karibu Sana AZIZ kila la kheri kwenu nyote kazi njema barikiwa Sana Yanga
@simonIbrahim-hc8vm
@simonIbrahim-hc8vm 27 күн бұрын
Naipenda Yanga sanaaaaa nipo tayari kufia hii logo thankyou God 💋💋🙏🙏
@AmanaAmos-hv3yz
@AmanaAmos-hv3yz 22 күн бұрын
Karibu sana Aziz jagwani,team kubwa,changamoto kubwa pambana tu💪💪💪
@claratango9262
@claratango9262 27 күн бұрын
Mungu Ibariki Yanga Mungu Ibariki Tanzania 🙏🙏🙏
@jamilahjamilah4157
@jamilahjamilah4157 27 күн бұрын
Waallaah mm nimefurahi sana mwanangu kibwana kuongeza mkataba mungu akupambanie nakupenda sana
@joojombi2341
@joojombi2341 27 күн бұрын
Kila la kheri inshallah maendeleo mazuri na kazi Iendelee
@5googleuuu727
@5googleuuu727 27 күн бұрын
Yanga oyeeeeeeee raha kama zote twende zetu KUJISAJILI. Ila Tuwe juu zaidi
@veelmng7746
@veelmng7746 27 күн бұрын
Karibu sana kijana, nimekuona kwenye mechi una talent kubwa sana , ukiongoze bidii utafika mbali sana. Mungu akupe afya njema
@ShafiiHungo
@ShafiiHungo 27 күн бұрын
Karibu azizi kisiwa cha raha yang africas
@RichardAmos-eo9dh
@RichardAmos-eo9dh 27 күн бұрын
Karibu sana midfielder ya boli#Aziz
@moiseszacariasmoisesmoises
@moiseszacariasmoisesmoises 27 күн бұрын
Aziz karibu jangwani pia
@saimonjmai801
@saimonjmai801 27 күн бұрын
Tuna wategemea Sana Mungu awatunze 🔰🔰💪
@EllyTeddy
@EllyTeddy 26 күн бұрын
Andambwile umeingia sehemu sahihi sana karibu yanga Africa mungu akusaidie
@marthageorge5043
@marthageorge5043 27 күн бұрын
Karibu sana Jangwani🎉💚💛💛💚
@user-tf2kr5hv7z
@user-tf2kr5hv7z 27 күн бұрын
Kalibu sana jangwan aziz andambile
@davismwape7500
@davismwape7500 27 күн бұрын
Home uuwashe moto ss hapo andambwile....kila la kheri
@AlenAlen-m2e
@AlenAlen-m2e 26 күн бұрын
Nakutakia msimu mzuri kak fanya san mazoez ongeza juhudii kak unanuka shida
@fosteryona7581
@fosteryona7581 27 күн бұрын
Sisi wanyakyusa ni wakarimu sana dah! Yaani ukimwaangalia tu unajua huyu mwaisa
@emmanuelthomas1078
@emmanuelthomas1078 26 күн бұрын
Huyu Azizi ni Victor Wanyama Mtupu 🔥🔥🔥🤔🤔🤔
@ceciliadaudi1632
@ceciliadaudi1632 27 күн бұрын
All the best champ 🎉🎉
@ezrageofrey9668
@ezrageofrey9668 25 күн бұрын
your welcome aziz andambwile awaiting for the good to come💚💚💚
@fazo-kl9fu
@fazo-kl9fu 26 күн бұрын
Akili kubwa sana uongoz wetu mungu aendelee kuwalinda
@DaudFulberth
@DaudFulberth 27 күн бұрын
Good💪💪💪💪💪💪
@adamuayubumwendolwa7723
@adamuayubumwendolwa7723 27 күн бұрын
Ni Andabwile sio Andambwile
@goodluckabdul7316
@goodluckabdul7316 27 күн бұрын
Karibu sanaaaaa Aziz
@maliadii4829
@maliadii4829 27 күн бұрын
Karibu Aziz tumekuona unaweza tuna hakika utajifunza kwa wakubwa waliopo hapo wenye uzoefu ili kusudi tukutungie wimbo Kama wengine tunakutakia kila la kheri
@ayubhumakuya8466
@ayubhumakuya8466 27 күн бұрын
Ckaribu kamanda🎉🎉🎉
@EliasHassan9
@EliasHassan9 25 күн бұрын
Karibu sana andambwile
@RenatusKasinga
@RenatusKasinga 27 күн бұрын
Nakubari kaka angu kibwana
@NahlaRashed
@NahlaRashed 27 күн бұрын
Naona cku ata haziendi tuanze ayo mamechii😂😂😂😂
@HusseinJumahussein-lf1xk
@HusseinJumahussein-lf1xk 27 күн бұрын
Welcome⭐⭐💚💚🔥🤲🙏💪
@EsterPeter-h9d
@EsterPeter-h9d 27 күн бұрын
Yangaaaa tamuuu
@ramadhanimrungu5806
@ramadhanimrungu5806 27 күн бұрын
Chief kingalu waukae
@amaniomar1755
@amaniomar1755 27 күн бұрын
Karibu kijana
@IsmailKipande-ss1ty
@IsmailKipande-ss1ty 27 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤ yanga
@Fine_boe_11
@Fine_boe_11 27 күн бұрын
Young African champion of caf champions league 24/25 🔰
@emanuelyngoi4440
@emanuelyngoi4440 27 күн бұрын
Good ❤ yanga 🎉🎉🎉
@filemonkwaja6181
@filemonkwaja6181 27 күн бұрын
Yanga bingwa
@chollejr_
@chollejr_ 27 күн бұрын
Uyu kibwana 😂😂😂katoa wapi unywele 😂😂😂
@user-zx9jd4jt8e
@user-zx9jd4jt8e 27 күн бұрын
Gud signing
@yusuphkimomwe4276
@yusuphkimomwe4276 27 күн бұрын
Toa vitaulo baba,chief kingalu
@user-to9xw2mc9m
@user-to9xw2mc9m 27 күн бұрын
Karibu jangwani🎉azizo
@brandinamwakasendeka4756
@brandinamwakasendeka4756 27 күн бұрын
Am the first today
@MomadeMudimoz70-cs2ud
@MomadeMudimoz70-cs2ud 27 күн бұрын
💛💛💚💚🔰🔰🔥🔥🔥
@andersonbruno6255
@andersonbruno6255 25 күн бұрын
Chief baba...🔥🔰🇹🇿
@SylvesterSafari-nf4fy
@SylvesterSafari-nf4fy 27 күн бұрын
Tunaomba na interview ya chama na mwana wa mfalume dube
@StavoBella-pf6hu
@StavoBella-pf6hu 27 күн бұрын
Mwamba kutoka mbeya sas
@samsonkomba0000
@samsonkomba0000 27 күн бұрын
N andabwile
@kisinza6077
@kisinza6077 27 күн бұрын
Nilisema kwa kiwango kikubwa cha Kibwana hawezi kuachwa, bahati nzuri kibwana left & right kwake fresh tu. Na huwa hashuki kiwango yaani huwa hana zile siku mbaya sana kazini.
@LuckyTemu
@LuckyTemu 26 күн бұрын
Anko kibwana umeongea kiakili kubwa❤
@QuilalaselemaneSaide
@QuilalaselemaneSaide 27 күн бұрын
❤❤❤
@user-ql2hc7zt6b
@user-ql2hc7zt6b 27 күн бұрын
Muñgu mwema
@JordanKaunga
@JordanKaunga 25 күн бұрын
Mh unaoji vizul sana
@salumkitam6960
@salumkitam6960 27 күн бұрын
Kwann umempa mkataba mwaka mmoja wakati Bado mdogo
@AgnesNangale
@AgnesNangale 27 күн бұрын
Nyanga raha san
@maliadii4829
@maliadii4829 27 күн бұрын
Nilikuwepo kwa mkapa kwa mara ya kwanza nilikuona ukichexa na tabora niliogopa sana nilivosikia hujasaini kwani walah niliona kijana mdogo mwenye uwezo mkubwa asante sana kwa kuendelea kuwepo nasi huku kilimanjaro tunakuombea INSHAALLAH nakuomba alwatan msomee mwanangu hi comment kibwana
@PascaziaBenedict
@PascaziaBenedict 26 күн бұрын
Yanga oyeeeeee
@user-hy3en6vk5f
@user-hy3en6vk5f 27 күн бұрын
Mmenikera sana yaani Mmemuuza Azizi Ki 😭😭😭 daaah anyway Mungu atusaidie Wananchi 💔💔💔
@mamuwadomu8448
@mamuwadomu8448 27 күн бұрын
Unauhakika ? Basi kesho utamuona mazoezin AZIZ K tunae
@zeddymourice4249
@zeddymourice4249 27 күн бұрын
Aziz ki yupo sana jangwani ana miaka mbili nyingine mzee.
@amaniomar1755
@amaniomar1755 27 күн бұрын
Wewe @user-hy3en6vk5f nakuona unajaribu kuanzisha vugvugu uwachanganye wananchi
@abdullatifuhashimu4594
@abdullatifuhashimu4594 25 күн бұрын
Kwani jezi hizi za yanga sinakitu gani maana akiva mtu tu anabadirika
@marymoshi572
@marymoshi572 27 күн бұрын
@mariamjuma1670
@mariamjuma1670 27 күн бұрын
👏💛💚
@jr_mkumbojr
@jr_mkumbojr 27 күн бұрын
Wasenge mnanipelekesha kinoma na sitaki kukosa kitu daaah😅😅😅😅
@fatmasaaed144
@fatmasaaed144 27 күн бұрын
Yani utake usitake utakopa ata Bandon tuu izi raha😂😂😂😂😂😂
@jr_mkumbojr
@jr_mkumbojr 27 күн бұрын
@fatmasaaed144 sina namna hii ni familia yangu napaswa kuihudumia kama hivi,lipa ada,nunua bidhaa zao na angalia contents zao🪡💚👌🧘‍♂️
@barakamwafwalo4680
@barakamwafwalo4680 27 күн бұрын
Yaani ukikosa bando tu video kadhaa zimemwagika 😂😂
@jr_mkumbojr
@jr_mkumbojr 27 күн бұрын
@@barakamwafwalo4680 ni marufuku kukosa
@user-wp4fc6tf8f
@user-wp4fc6tf8f 27 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@chollejr_
@chollejr_ 27 күн бұрын
Rafu zmeongezeka😂😂😂
@DismasPhidason-vu6bt
@DismasPhidason-vu6bt 27 күн бұрын
Kwahiyo atuna jersey za mazoezi??
@Samweldlemaanda
@Samweldlemaanda 26 күн бұрын
Kila la kher xana mwaang
@Chinaomary-rn3qf
@Chinaomary-rn3qf 27 күн бұрын
Mmh
@chollejr_
@chollejr_ 27 күн бұрын
Kibwana katoa wapi madevu
@zakayomaendeleo
@zakayomaendeleo 26 күн бұрын
😊😊😊
@JUU-lw2je
@JUU-lw2je 27 күн бұрын
Kibwana mngemtoa tu kwa mkopo
@jamilahjamilah4157
@jamilahjamilah4157 26 күн бұрын
Kwa nn wamutowe kwa mkopo mbona nkane kabaki kiwago cha kibwana nikikubwa sana kama ww huoni wengine tunaona tuache chuki na wachezaji tuwape moyo
@user-cl4dx3kc6k
@user-cl4dx3kc6k 24 күн бұрын
Ili ndo jangwa pekee lenye maji ya kutosha na burudan ziendeleee!!!!!
@AbujadiAbdalaAbujadiAbujad
@AbujadiAbdalaAbujadiAbujad 27 күн бұрын
kiukweli mashabiki yanga tunainjoi tenakwasana tu nawatakia kwakilalaeli nimwana Mozambiquei 🇲🇿
@saididuri3518
@saididuri3518 24 күн бұрын
ni ujinga kumuacha zawad mauya na kumsanili aziz andanbwile kuna wanaotazama mpila kwa uelewa watanielewa.
@fatmasuleiman3885
@fatmasuleiman3885 26 күн бұрын
Tunawapenda sana dua kwenu kila siku kwenu maaduwi wengi In sha Allah mwenyezimungu awalinde Amiin
@dastankhalifa5672
@dastankhalifa5672 26 күн бұрын
Anajua kuongea na anaonekana anajua anachokitaka ,Kila la kheri kwake
@YusuphLukindo-vi9ow
@YusuphLukindo-vi9ow 27 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉
@proisolution7166
@proisolution7166 27 күн бұрын
NAOMNA ALWATAN MFIKISHIE UJUMBE HUYU AZIZ MWAMBALASWA NA SHEKAN,KUWA KWA MAUMBILE WALIO KUWA NAYO WAKIITUMIA HII NAFASI YAO KWA YANGA YAANI NIDHAMU,NA KUACHA MAJIVUNO(SIFAA) NDIYO VIUNGO WENYE SIFA +MTASINGWA KUBEBA TAIFA LETU-WATUMIE TRAINING FACILTY ZA YANGA KAMA MAYELE ALIVYOKUWA ANAFANYA.
@proisolution7166
@proisolution7166 27 күн бұрын
AFANYE MAZOEZI SANA APUNGUZE UNENE HILI AENDANE NA KASI YA YANGA ASIBWETEKE PLEASEEEE
@filemonkwaja6181
@filemonkwaja6181 27 күн бұрын
Bwana kibwana,
@LukindoMchome-qv3vo
@LukindoMchome-qv3vo 26 күн бұрын
Yanga bingwa
Как бесплатно замутить iphone 15 pro max
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 8 МЛН
Can A Seed Grow In Your Nose? 🤔
00:33
Zack D. Films
Рет қаралды 29 МЛН
لقد سرقت حلوى القطن بشكل خفي لأصنع مصاصة🤫😎
00:33
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 28 МЛН
Они так быстро убрались!
01:00
Аришнев
Рет қаралды 2,2 МЛН
MWIJAKU AMLIPUA HAMISA MOBETTO, KUTEMBEA NA AZIZI K NI UPUUZI
11:42
Could you beat Adam Peaty?
0:54
Propulsion Swimming
Рет қаралды 53 МЛН
КТО СИЛЬНЕЕ❓️ Качёк vs Роналду vs Лифтер
0:38
vladosmirnyy😈
Рет қаралды 2,2 МЛН
Messi and Neymar Bond 😍
0:36
Flush
Рет қаралды 3 МЛН