B2K: Diamond, Meseji unatuma leo anakujibu wiki moja/ Niliwafunika Wasafi Festival iliyopita

  Рет қаралды 77,999

Bongo5

Bongo5

4 жыл бұрын

Пікірлер: 131
@manolemania4553
@manolemania4553 4 жыл бұрын
Star beat boy Nakubali unyama wako kama nawe unamkubali b2k gonga like hapa
@rehemamuhengi7101
@rehemamuhengi7101 4 жыл бұрын
Nakupenda Bure b2k jaman
@JBAPRODUCTIONRecord
@JBAPRODUCTIONRecord 4 жыл бұрын
B2k namkubali sana chakwanza uwaga ana imba nyimbo za maana sana kabisa daaah kama tena unakubali gonga like apa adi mmm2024
@kamnomajuma4553
@kamnomajuma4553 4 жыл бұрын
Hongera saana kijana kiukwel nakukubal tunaendana me na ww
@vayzertheboy6917
@vayzertheboy6917 4 жыл бұрын
Kamnoma Juma sana b2k my broo
@alfredmruge5031
@alfredmruge5031 4 жыл бұрын
Jamaaaaa anajua sana ila duuuh anaongea huyooo😂😂😂😂😂😂
@ismailkijanga593
@ismailkijanga593 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@davidelliot3267
@davidelliot3267 4 жыл бұрын
kusema kweli nimemjua after watching interview hii nkasema ngoja nicheki ngoma zake 2/3 na Kweli bro u deserve kuongea hvo unae kipaji nimezielewa MWAMBIE n UHAKIKA big up urself bro
@jerrykawogo5656
@jerrykawogo5656 4 жыл бұрын
Nakukubar Sana b2k naamin katika kipaji chako
@andrewkilave3532
@andrewkilave3532 4 жыл бұрын
Nilitaka kushangaa usimtaje brother Edo tiger mnyamaaaaaaa mnyakilambo
@badboy2577
@badboy2577 4 жыл бұрын
Afadhali sasa mmeanza kuwapa nafasi wasanii wenye vipaji ambao hawanategemei kiki
@kajerojeroshiva6256
@kajerojeroshiva6256 4 жыл бұрын
Ndugu yangu namkubali sana b2k naamini mungu ata msaidi katika safali ya muziki na ata fika mbali san
@asherymwande5644
@asherymwande5644 2 жыл бұрын
Kwel dogo ana heshima mnoo namjuw toka anaanz husle mungu amjalie afike mbal
@shifumponda666
@shifumponda666 4 жыл бұрын
Nakukubali broo unajieleza vzur broo big up
@mashadaudi1134
@mashadaudi1134 4 жыл бұрын
Nakupendaga pamoja sana broo
@ramczotz2191
@ramczotz2191 4 жыл бұрын
Dah!! B2k unaongea kwa kujiamini sana unajibu maswali efectivery nakukubali B2k.
@nickomlumbe3945
@nickomlumbe3945 4 жыл бұрын
Nakubal mwakinyunyu Unae kuku bali nyumban kwenu
@ganosangatv1929
@ganosangatv1929 4 жыл бұрын
Sanaaa Broo Etuu Makambako Boy Nakubali Broo
@belathomgaya4803
@belathomgaya4803 4 жыл бұрын
Makambako b2k
@robsonwisdom4025
@robsonwisdom4025 4 жыл бұрын
Wanyumban kabisaaaaa kinyunyuuuuuu
@kasimbasaid8238
@kasimbasaid8238 4 жыл бұрын
Na mkubalii sana huyu mskaj kinomanom
@mtweveandrew1861
@mtweveandrew1861 4 жыл бұрын
Pamoja b2k sana tu
@barakaclassic3345
@barakaclassic3345 2 жыл бұрын
Umetisha sana
@abdallahmchange1370
@abdallahmchange1370 4 жыл бұрын
Safi sana
@selemanimsahani3919
@selemanimsahani3919 4 жыл бұрын
Kwakiswahili b2k unanikosha roho balaaa
@felixjames8812
@felixjames8812 3 жыл бұрын
Nakubal bro
@eliuthamangula1791
@eliuthamangula1791 2 жыл бұрын
My star ⭐💖
@immah__deo7014
@immah__deo7014 4 жыл бұрын
Daah napaona Posta
@kibikihotfilm0621
@kibikihotfilm0621 3 жыл бұрын
Nakubal sana huyu jamaa anatuwakilisha vizur Sana @B2k mnyama
@fidelismgaya3507
@fidelismgaya3507 4 жыл бұрын
Upo vzr saana Dogo pambana
@irenemathiasi3546
@irenemathiasi3546 4 жыл бұрын
Napenda xana b2k tunaendana minawe
@tonyamkalitv7444
@tonyamkalitv7444 4 жыл бұрын
makini
@issapesakwanza7005
@issapesakwanza7005 4 жыл бұрын
Kubali kinoma sana jembe
@lucaswalogwa3821
@lucaswalogwa3821 4 жыл бұрын
Huyu jamaa nimeshangaa kumbe mdogo tu halafu sauti ndogo ya kiongeaji hivi yenye bro nyingi kinyama ila ni POWa jamaa yuko vizuri
@youngfather3843
@youngfather3843 4 жыл бұрын
😂😂😂nmecheka kifala b2k
@boazmtilege146
@boazmtilege146 4 жыл бұрын
Sasa mulizeni kuhusu king
@siwafalisi9609
@siwafalisi9609 2 жыл бұрын
Uyu mshikaj ana ongea sana aiseee
@lukasmalechela5565
@lukasmalechela5565 4 жыл бұрын
B2k kaza ndugu yangu utafika mbali twakuombea .sijakosea hii ndo picha yako mambo ya kuniomba hela unaona simbo tu UHAKIKA we noma sana👏
@mussasaidali5720
@mussasaidali5720 4 жыл бұрын
Kazi nzuri kaka akazi tuu
@alphredmlelwa8270
@alphredmlelwa8270 4 жыл бұрын
Ai seeee kusini watuwanavipajia Sana lakini awatoki kimziki sijajua tatizo nini kwan manaukicheki mikoa mwingine dogo akiw nakipaji wanamsapot mbaka anafika pale panapo itajika Mimi nishabiki Sana wa bi2kei namkubar Sana uyuuu brother yuko vizur Sana anatuwakilisha vizur kusini 💪💪💪💪💪💪🙏🙏
@haongasikudhan8397
@haongasikudhan8397 2 жыл бұрын
Nakubali ❤️
@jifaqmoonwalker6032
@jifaqmoonwalker6032 4 жыл бұрын
Nomaaa
@kassimjuma3241
@kassimjuma3241 4 жыл бұрын
Bigap Sana nakukuba llisana kazzaa
@gaib9452
@gaib9452 4 жыл бұрын
Moto sana
@hamsinitimbersupplytanzani4928
@hamsinitimbersupplytanzani4928 4 жыл бұрын
Home boy
@ezekielmichael9904
@ezekielmichael9904 4 жыл бұрын
Kaka samahani kama nitakuwa nakosea kuna mtu anayekutungia nyimbo?👊
@nalwagejules2472
@nalwagejules2472 3 жыл бұрын
Mimi kwa Tanzanian namukubali sana
@nicksonlwiwa144
@nicksonlwiwa144 4 жыл бұрын
Safi chali yangu
@toypretty7220
@toypretty7220 4 жыл бұрын
😙😙😙
@bravofamilytv5388
@bravofamilytv5388 4 жыл бұрын
Komaaa kk
@muusilvermasunga9368
@muusilvermasunga9368 4 жыл бұрын
B2k we ninomaa
@juniorqboy925
@juniorqboy925 4 жыл бұрын
Nic B2k
@raymondkanyama6387
@raymondkanyama6387 4 жыл бұрын
nomaaaa huyu kjanaaaa
@frankmiraco9844
@frankmiraco9844 4 жыл бұрын
Safi mnawasapoti upcoming
@nancymelkon5943
@nancymelkon5943 4 жыл бұрын
Anaongea points sanaa
@jackelinizraely6625
@jackelinizraely6625 3 жыл бұрын
Motoooo
@edghamoses6189
@edghamoses6189 4 жыл бұрын
Pow pow pow kaka kaza buti
@shekhmussakadogoo7329
@shekhmussakadogoo7329 4 жыл бұрын
Duh huy dog kilangoma ngoma yk nikubwa
@mdaigo_
@mdaigo_ 4 жыл бұрын
Mambo vp
@sebamkalikwanzq1148
@sebamkalikwanzq1148 4 жыл бұрын
Ww ninoma b2k nakukubali
@mwagitomobilephone1024
@mwagitomobilephone1024 4 жыл бұрын
Good home boy
@rahelimelami3348
@rahelimelami3348 3 жыл бұрын
I love you @B2k
@xaverysunday1886
@xaverysunday1886 4 жыл бұрын
Aboi 4rm Makambako oyooo wahuni wakubwa huwa2napiga rock home boi
@gisboytz6614
@gisboytz6614 4 жыл бұрын
xavery sunday noooooma saaana 💥💥💥💥🔥🔥🔥🔥🔥
@jrjunior6457
@jrjunior6457 4 жыл бұрын
Daaa nikwelii maisha safari ndefu kikubwa kaza buti
@godiasjohn2915
@godiasjohn2915 4 жыл бұрын
Umetishaaaa
@IsackBruno-hm3yw
@IsackBruno-hm3yw Жыл бұрын
Jitahid ndg
@castoyordan8515
@castoyordan8515 4 жыл бұрын
nakuelewa sana kijana angu
@methodjoseph4423
@methodjoseph4423 4 жыл бұрын
bera batweli mwakinyunyu mnyalukolo umubena veve
@stanleyeddo4346
@stanleyeddo4346 4 жыл бұрын
Beeh muyawe uyo mubena
@japhatiuhahula1675
@japhatiuhahula1675 4 жыл бұрын
Ujama iwesa swehera 💪💪💪💪💪💪
@mashadaudi1134
@mashadaudi1134 4 жыл бұрын
Nouma thanaa
@mgeyo6464
@mgeyo6464 4 жыл бұрын
ni diamond tu hakuna mwingine' Shika hiyo
@ismailkijanga593
@ismailkijanga593 4 жыл бұрын
😂😂😂
@tareqhilal6750
@tareqhilal6750 4 жыл бұрын
Hahaa akili mgando
@kofiianodi3326
@kofiianodi3326 4 жыл бұрын
Anaemkubal B2K gonga like
@elishasiwale8899
@elishasiwale8899 4 жыл бұрын
Ni diamond tuuu😆😆
@gracepeter7651
@gracepeter7651 4 жыл бұрын
Nakukubari kinoma
@stanleyeddo4346
@stanleyeddo4346 4 жыл бұрын
Ni mondi too 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@allyshabani8680
@allyshabani8680 4 жыл бұрын
Anaongea kama chiriku 😅😅😅😅😅ila anajua
@lusianasanga3010
@lusianasanga3010 3 жыл бұрын
Sio chiliku wengine nikuzaliwa acheni ujinga
@markjuliusdaud8005
@markjuliusdaud8005 4 жыл бұрын
Duuh noma Sana
@paschalewamtaa726
@paschalewamtaa726 4 жыл бұрын
namkubali b2k
@hadijaabdallah5477
@hadijaabdallah5477 4 жыл бұрын
Ana kisura kama mschana 😂😂😂
@officialkillylevenson9061
@officialkillylevenson9061 4 жыл бұрын
Makini
@jamesjjoseph5908
@jamesjjoseph5908 4 жыл бұрын
sawa ofcz
@bahatiibrahimu3006
@bahatiibrahimu3006 4 жыл бұрын
Nakubali ngoma zako ila dah unaongea San utuliii
@goodlucktemu3149
@goodlucktemu3149 4 жыл бұрын
Fundi 💥💥
@elishasiwale8899
@elishasiwale8899 4 жыл бұрын
Fundi Fundiiiiii wa njombe
@boscoboy5206
@boscoboy5206 2 жыл бұрын
Mwamba
@dideboy8896
@dideboy8896 4 жыл бұрын
mmnyaaaaaamaaaaa b2k namwamini saaaaaaaaana
@StefanAndand
@StefanAndand Жыл бұрын
Vizul
@khadijakhadija6212
@khadijakhadija6212 4 жыл бұрын
Akhiii unaongea sanaa dogo
@juniorkaguo5137
@juniorkaguo5137 4 жыл бұрын
Huyu dogo mkali toka anasza nakumbuka anavoaza tulikuwa nae sehem ila naona siku baada ya siku ana panda safi sana
@alfanihakuna8471
@alfanihakuna8471 4 жыл бұрын
Mr Mkamba
@balamajophan6353
@balamajophan6353 4 жыл бұрын
Ndy wapo kama wakina geofmaster
@OfficialRamkey
@OfficialRamkey 2 жыл бұрын
B2 usiasirimishe bdo unasafari ndfu
@guycalifataveiro8587
@guycalifataveiro8587 4 жыл бұрын
Mwana anaongea sana ila unaweza kbx
@mohamedizabura3321
@mohamedizabura3321 4 жыл бұрын
Underground unapo ongelea upande upi unapendwa unafeli hapo team kiba tusha kumaind😠🏃🏃
@ndunguyealex2771
@ndunguyealex2771 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 pole sana team kiba wenyewe underground 🤒
@racksonngela527
@racksonngela527 4 жыл бұрын
Harmorapa mlimpeleka wapi
@davidijames1246
@davidijames1246 2 жыл бұрын
Dg nimuwazi san adi inavutia
@janethnana6205
@janethnana6205 3 жыл бұрын
diamodi. mpy
@ramczotz2191
@ramczotz2191 4 жыл бұрын
B2k unaongea sana duuuuh!!!
@sembokodedaughter4405
@sembokodedaughter4405 4 жыл бұрын
alafu hapo nakufahamu
@khamiskamtoi5094
@khamiskamtoi5094 3 жыл бұрын
Kama Umeiona CAMON 11 gonga like
@raydav6314
@raydav6314 4 жыл бұрын
Like
@hamimumlindwa3244
@hamimumlindwa3244 4 жыл бұрын
anaongea kama chiriku
@khadijakhadija6212
@khadijakhadija6212 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@msowamhokole7714
@msowamhokole7714 3 жыл бұрын
Sauti Kama barnaba
@wizzmkandawile1140
@wizzmkandawile1140 4 жыл бұрын
Team kiba nimemaind
@ananiahaule2175
@ananiahaule2175 4 жыл бұрын
B2k una akili mingi sana broo kwel bhana watu wengi wa kusini walio fanikiwa wana watenga sana ambao wanahitaji kufanikiwa
@boazmtilege146
@boazmtilege146 4 жыл бұрын
😒😒😒 diamond ndo nini
@khalidikibakuli132
@khalidikibakuli132 4 жыл бұрын
B2k maqin sana
@ndunguyealex2771
@ndunguyealex2771 4 жыл бұрын
Ndo simba 🦁🦁🦁
@fadhiligady6176
@fadhiligady6176 4 жыл бұрын
Hahahahha unajhua unajikoxha tu....
@mkalindende4818
@mkalindende4818 4 жыл бұрын
Ckupingi mwanangu wangu unajua kinoma pia unajua kujieleza 👍👎.
@kofiianodi3326
@kofiianodi3326 4 жыл бұрын
Anae mkubali B2K gonga like
@ramadhanjumanne6370
@ramadhanjumanne6370 4 жыл бұрын
Uwe unaongea taratibu Basi duh unakua kama sio msanii ongea kwapozi basi
@jamesisaya4592
@jamesisaya4592 4 жыл бұрын
Mbona yuko poa tuu akiweka Mapozi tutasema anaringa
@ismailkijanga593
@ismailkijanga593 4 жыл бұрын
😂😂😂
@goldtz6749
@goldtz6749 4 жыл бұрын
fala tu
@ismaildon0277
@ismaildon0277 4 жыл бұрын
Nakukubal sana b2k Nana ksapoti sana
@abrahamufelix1660
@abrahamufelix1660 4 жыл бұрын
Aongee kwa maponz amekuwa demu
@goddamwakimi5889
@goddamwakimi5889 4 жыл бұрын
Duuuh jamaa anaongea uyoo, AFU alaka alaka
@simonimsigwa9645
@simonimsigwa9645 4 жыл бұрын
Kaza b2k
@lusianasanga3010
@lusianasanga3010 3 жыл бұрын
Ndokazaliwa ivoivo
ROCK PAPER SCISSOR! (55 MLN SUBS!) feat @PANDAGIRLOFFICIAL #shorts
00:31
Вечный ДВИГАТЕЛЬ!⚙️ #shorts
00:27
Гараж 54
Рет қаралды 14 МЛН
HOW DID HE WIN? 😱
00:33
Topper Guild
Рет қаралды 39 МЛН
B2K ALILIWA HADHARANI AIMBE MAKAMBAKO WAPAGAWA MTAA KWA MTAA
15:35
BINGO ONLINE TZ
Рет қаралды 28 М.
KUMBE UGOMVI WOTE MARIO ALIMTRACK PAULA KAJALA
1:24
Official Mrangi
Рет қаралды 25 М.
Такого они не видели😱😍
0:55
Следы времени
Рет қаралды 3,5 МЛН
100❤️
0:19
MY💝No War🤝
Рет қаралды 6 МЛН
Русалка
1:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 3,8 МЛН
ЭТО САМЫЕ ОПАСНЫЕ ШАРИКИ В МИРЕ!! #shorts
0:22