B2K: Professor Jay Nasubiri apone / Nimejenga Dar / Nay menipa Gari / Sihitaji Meneja/ uwezo ninao B2k mnyama aingia kwenye tuzo hizi
Пікірлер: 18
@xaverisunday6992 жыл бұрын
#aboi_4rm_makambako ovaaaaa home boi tuko nyuma yako mwanetu
@msangohd39532 жыл бұрын
Ninomaaa xanaa hongelaa xana br b2k kwa kutuwakilixhaaa
@dr.tonetz2 жыл бұрын
Big up
@fredmbuna91152 жыл бұрын
Hongera sana huyu dogo anatakiwa kupambana tu mbona inawezekana tu anajua sana music mm ni shabiki mkubwa sana kwake hakuna kuludi nyuma tutafika tu mdogo wangu B2K
@GamiTVOnline2 жыл бұрын
Shukran sana brother
@pawizo50062 жыл бұрын
Keep it ✨
@musalufuke_11302 жыл бұрын
Safi sana dogo anapambana sana na mr Chrietion ni bonge la Director Mungu amuongoze pia hongera kwako gamidee gamitz
@GamiTVOnline2 жыл бұрын
One love bob
@eliaminaloth40432 жыл бұрын
Hatareeéee😍😍😍😍😍😍😍
@thejinnazplatform47922 жыл бұрын
Aminia sana
@a-bmusic_mnyamwezi2 жыл бұрын
Story nzr zaid mevuta picha uendeshaji wa gari Kwa Nay wa Mitego
@eddymalove24062 жыл бұрын
Pamoja san bro nakfatiliaa can
@bakaritimwanga9312 Жыл бұрын
Brather mi sina neno kwako we unajua mi kazi yangu kukuombea tu daima ufike mbali zaidi ya apo ulipo