BAADA YA USAJILI: "KIKOSI CHA KWANZA HATARI" CHA YANGA HIKI HAPA. | STARTING 11

  Рет қаралды 27,129

SoccerData

SoccerData

22 күн бұрын

#Yanga #Pelegrino #LineUpYanga

Пікірлер: 41
@user-bt6ep3yb2h
@user-bt6ep3yb2h 18 күн бұрын
Ukiacha ku like, sisi tunaongezeka ku like, kwa heliii.
@sarikasluvanga7780
@sarikasluvanga7780 17 күн бұрын
Safari hii tutarajie makubwa zaidi kutoka kwa kikosi hiki, hongereni sana Uongozi kwa kazi zuri
@amaniomar1755
@amaniomar1755 19 күн бұрын
Lete analysis mwamba 🎉🎉🎉 uko vzry
@SoccerData.
@SoccerData. 19 күн бұрын
Asante...
@husseinpetro8615
@husseinpetro8615 17 күн бұрын
Umetisha sana dogo
@HamicKauno255
@HamicKauno255 19 күн бұрын
Umetisha sana sio kwa kikosi hicho ila Max kwann hayupo
@twalbuhaji
@twalbuhaji 19 күн бұрын
Mh simba mbona kama zile tano tunapigwa tena
@AmosBaraka-t2c
@AmosBaraka-t2c 19 күн бұрын
We jamaa unajua sana , ila nashangazwa na hawo wanaolalamika labda wanataka uwadanganye vp 😃 bongo bna duh!
@DeogratiusMadembwe
@DeogratiusMadembwe 8 күн бұрын
Nakubali sana chamalangu
@dullamuso6955
@dullamuso6955 19 күн бұрын
Soccer data nilikuwa nasubili sana Uchambuzi wako umepotea mbona tunapata kiu sana ya hizi chambuzi makini
@MuhidiniMatibwa
@MuhidiniMatibwa 19 күн бұрын
Max ayupo kikosi sikitaki
@chrisantusnditi8670
@chrisantusnditi8670 19 күн бұрын
Football is just like watching live cinema 😂😂.Msimu ujao kazi ipo
@robertchazya2351
@robertchazya2351 19 күн бұрын
Lete next mwamba
@samponews1689
@samponews1689 19 күн бұрын
Mbona yanga kwenye makaratas tu ishaanza kutisha hvi😂🙌🤔
@SaidZuber-yn1px
@SaidZuber-yn1px 15 күн бұрын
Hatar xan yanga
@morningstarartproduction8436
@morningstarartproduction8436 19 күн бұрын
Huyo chikamso okechukwu mbn simjui
@joshuamwambene2874
@joshuamwambene2874 12 күн бұрын
Max Nzengeli haujampanga😂😂😂
@dengahmediatz1230
@dengahmediatz1230 19 күн бұрын
Hatuletiii timuuu hatujiii tena
@husseinpetro8615
@husseinpetro8615 17 күн бұрын
Msije kweli hili la mwaka huu ni balaaa
@gabrielmchau8764
@gabrielmchau8764 16 күн бұрын
Siku hii timu ikipangwa ivo, mpinzani atakataa mechi
@user-vd7eq1pu8g
@user-vd7eq1pu8g 10 күн бұрын
Chikamso okechuku
@HassanHassan-vh6pc
@HassanHassan-vh6pc 16 күн бұрын
Ondoka ety
@user-vn4be5wh7h
@user-vn4be5wh7h 19 күн бұрын
Hamn kikos apo n utopolo
@festomwakibolwa8671
@festomwakibolwa8671 19 күн бұрын
Cha mauwaji wapi ,wewe ni shabiki wa yanga tunakujua kuanzia Leo naondoka ku like KZfaq yako
@SoccerData.
@SoccerData. 19 күн бұрын
Shukuru kwa kila jambo...usilalamike sana, leo Yanga kafanyiwa uchambuzi, kesho zamu ya timu yako, relax
@LeninJonas
@LeninJonas 19 күн бұрын
Mi ni Simba huu ni u hambuzi kama kawaida lazima uongee ukweli kwani viwango vya wachezaji huvijui au mnaangalia mechi za Simba tu
@HamicKauno255
@HamicKauno255 19 күн бұрын
Povu la nini mbona soccer data anafanya uchambuzi wa simba mara nyingi acha ushabiki wa kizaman sikiliza madini
@martingeorgenzali5614
@martingeorgenzali5614 19 күн бұрын
Weh Mbona Mshamba Sana AsiaChe Kuchambua Mpira Kisa KasEma Ukwel...Kwel Weh....Mshamba...Xana...Usipo...Fuatilia.. Soccer...Data..Hutupunguzii..ChochoTe....Kille
@BUTILANJIA
@BUTILANJIA 19 күн бұрын
soccer data hanaga ubaguzi pia huwa uchumbuzi wake nauelewa Sana nakushangaa ww unae tema povu😂😂😂 Leo kaichambua yanga kesho simba keshokutwa azam ivoivo kwaio bass lerax broo 🙌🙌🙌
@user-vn4be5wh7h
@user-vn4be5wh7h 19 күн бұрын
Hamn kikos apo n utopolo
@mwanangusana
@mwanangusana 19 күн бұрын
😂😂😂 Kuna watu wamezoea kuwafunga yupo dube adui wa dunduka then mastek ki amewazoea kila match anachapa tu 😂😂😂 plus 4 za ziada 😂😂😂😂😂
No empty
00:35
Mamasoboliha
Рет қаралды 6 МЛН
Получилось у Миланы?😂
00:13
ХАБИБ
Рет қаралды 3,3 МЛН
Despicable Me Fart Blaster
00:51
_vector_
Рет қаралды 28 МЛН
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 6 МЛН
KWA YANGA HII: TEGEMEA KUONA MIFUMO 9 TISHIO ZAIDI IKITUMIKA.
11:08
KIKOSI CHA MAANGAMIZI TAREHE 08 ,SIMBA&YANGA NANI KATISHA
2:23
Suda yanga
Рет қаралды 29 М.
Қамшыбек Қоңқабаев #бокс #париж2024 #boxing #қазақстан
0:32
🙀Неймар Изменили Правила Пенальти #shorts
0:23
UFC 304 : Эдвардс VS Мухаммад
2:27
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 203 М.
To be a champ, you have to believe in yourself when no one else will.
0:24
Mystical Kung Fu Video
Рет қаралды 7 МЛН