Baadhi Ya Makosa tunayo mlaumu Nurudin Kishki- Bila ya kujitazama wenyewe

  Рет қаралды 114,322

shining noor

shining noor

11 жыл бұрын

Пікірлер: 157
@greenflower2078
@greenflower2078 6 жыл бұрын
Mashallaaah sheikh kishki usife moyo endelea kutupa mawaidha Allah akuhifadhi na mahasidi
@rekhaakashimhdrrr8740
@rekhaakashimhdrrr8740 4 жыл бұрын
Mashaallah mwenyezimungu awazidishieni kheri inshaallah
@jumasalum2677
@jumasalum2677 4 жыл бұрын
Amein
@MrBinshigogtz
@MrBinshigogtz 9 жыл бұрын
Mashallah kishki usife nguvu endelea kuelimisha watu hawa watu wengine ni hasad juu yako Allah akuhifadh ameen
@mozasaif8110
@mozasaif8110 6 жыл бұрын
nabil Ally Aamiyn yaa rabby
@abuahmad1206
@abuahmad1206 5 жыл бұрын
Kabsaa sadaktaa
@cholloriyamiy8995
@cholloriyamiy8995 5 жыл бұрын
Kuna watu hawapendi kuona waislamu kua kitu kimoja.. Aisee huu n MSIBA kwa kweli
@salehkhalfan7345
@salehkhalfan7345 4 жыл бұрын
@@cholloriyamiy8995 Mtihan mkubw ndgu binafs naumia moyon kuona Sheikh anapand juu ya kiriri kumsimanga Sheikh mwenzake(Mtu anatamka na kueneza neno la Laa ilaaha Illa Allah, ila anatokea sheikh anamwita Kafiri) mtihan kwa kwel
@abuahmad1206
@abuahmad1206 5 жыл бұрын
Aa mi nawapenda mashekhe kama hawa wawili bahero na kishki wao always wasisitiza sunaa mafunzo ya mtume SAW na maneno ya Allah na Allah awape subra
@muhamadkijuu7224
@muhamadkijuu7224 3 жыл бұрын
Jazaka llahu hahker shehke beher
@mubirumustafa6679
@mubirumustafa6679 6 жыл бұрын
allah akulinde akongeze fahamu ili tuzidi kunufaika na amuongeze kila mwislam fahamu namapenzi
@shadiajumaa182
@shadiajumaa182 6 жыл бұрын
Kishki kwa hapo ulipofikia lazima Allah akupe mitihan ili akupime je ww upo upande upi tunakupenda xana sheikh kishki yan mimi nakupenda xana yani xana
@feinuraibrahim8813
@feinuraibrahim8813 6 жыл бұрын
Shadia Jumaa looooo5looOt
@shadiajumaa182
@shadiajumaa182 6 жыл бұрын
Feinura Ibrahim 😯😯😯😯😯😯
@ashuramakanwa8219
@ashuramakanwa8219 6 жыл бұрын
Ucjar kishik kwanz unajitoa sana kwa ajili ya Allah so vumilia hii ni mitihan t
@aminakawiche6867
@aminakawiche6867 5 жыл бұрын
Ya Allah mtete shekh wetu nurdin kishk yaa arahman japo yanauma mzidishie subra na Iman na umpandishe daraja
@Grand_Ayatollah_Hussein_Parmar
@Grand_Ayatollah_Hussein_Parmar 4 жыл бұрын
kwa uwezo wa Israel na Marekani anaeilinda serkali ya ufalme wa Saudia Arabia inshallah
@zainabuhmbabazi4928
@zainabuhmbabazi4928 5 жыл бұрын
Hata nyinyi mnamakosa hafai kulaum mwenzenu kwenye mitandao mukijiipa makafir watuparamie kicwani I'm from Kenya aceni tofaut zenu mwace kutucanganya SHEKH KISHKI enda mbele had kwa MUNGU
@RIHA-qb6mx
@RIHA-qb6mx 11 жыл бұрын
Allah ampambe kwa afya na uzima inshallah amuondoshee husda na hasada yaraab,Allah azidi kumpa elimu ili nasisi tufaidike tumejifunza mengi kutoka kwake Allhamdulilah. na tuache fitna jamani haifai, dini haifundishi hayo, wabilahi tawfik
@halithhali8038
@halithhali8038 3 жыл бұрын
Masha Allah baraka Allah
@aishakinia4957
@aishakinia4957 3 жыл бұрын
Allah akupe subra kwa yanayo kufika... Endelea kuelimisha waja wa Allah... Kupigwa vita ni hali ya kawaida binadamu hatufanani
@ashulamusin9811
@ashulamusin9811 4 жыл бұрын
Ninakupenda sn Shekhe kishki huwanamuomba mungu akudumishe kabisa afu jina lako ssahivi watt wawengi wameitwa ila ni lakwako watu wanavyo kupenda
@user-tl2jz5wg2p
@user-tl2jz5wg2p 5 жыл бұрын
أحبك ياشيخ نورالدين كشك حفظك الله ورعاك
@muhamadkijuu7224
@muhamadkijuu7224 3 жыл бұрын
lala lahdr kwadaw nzur shehk beher
@adanharon1297
@adanharon1297 5 жыл бұрын
Mashallah shiek nurdin Hakuna binadamu aliyekamilika...... Wew endelea na mawaidha usichoke tumefaidika sanaaaa
@maryamali7791
@maryamali7791 4 жыл бұрын
Allah akuhifadh sheikh kishk dunian hupend na wte kuw mstahmilif wallah ha2toipat pepo ila kwa kujaribiw
@rehemaramadhani200
@rehemaramadhani200 7 жыл бұрын
Allah atuswameh sote mkamilifu ni Allah
@robertroyal8713
@robertroyal8713 3 жыл бұрын
You prolly dont give a shit but if you are bored like me atm then you can stream all of the latest movies and series on instaflixxer. Have been watching with my girlfriend for the last few weeks :)
@ethancain3008
@ethancain3008 3 жыл бұрын
@Robert Royal definitely, have been using Instaflixxer for since november myself :D
@mbwanamohamedi4238
@mbwanamohamedi4238 8 жыл бұрын
swadakta al akhii shekh Nurdin kishk amejitahid sana kufanya da'awa Allah amlipe kher na amuongezee elimu ili tupate fawaaida zaid
@ibrahimrashid9352
@ibrahimrashid9352 6 жыл бұрын
amin
@bintalhwamer5291
@bintalhwamer5291 6 жыл бұрын
M'bwana Mohamedi kishky nimti wenye matunda haukosi kupigwa mawe
@DhudhulaDhudhula
@DhudhulaDhudhula 5 жыл бұрын
Allah atakuhefadhii na sharii za binadamu.kishiki
@elizabethfares4650
@elizabethfares4650 6 жыл бұрын
Sh, NURDUNI KISHKI, USIWAZE SANA MAAN MUNGU NDIE MUWEZA WA YOTE AYO NI MAPITO 2 ,NAAYO YOTE ALIYAPITIA MU2ME MHAMAD SUBHANA WATAALL ,MUNGU AKUPE MOYO WA KUYAVUMILIA MI LELE YOTE AMEEN
@feinuraibrahim8813
@feinuraibrahim8813 6 жыл бұрын
Elizabeth Fares llllióooo
@fridaus78abdllah39
@fridaus78abdllah39 6 жыл бұрын
Jazaka allah kher sheikh wetu m mkenya ila nakuaminia ktk nisaha zako haki akujalie pepo yake rabbi
@WeBorn2DieAnyTime
@WeBorn2DieAnyTime 11 жыл бұрын
BaarakAllahu feek for sharing
@fasitakhalifa2208
@fasitakhalifa2208 5 жыл бұрын
Mashaalwah tabaraka rwahiman
@marymah7149
@marymah7149 5 жыл бұрын
Mashaallah
@WeBorn2DieAnyTime
@WeBorn2DieAnyTime 11 жыл бұрын
MashaAllah
@hamisibora6263
@hamisibora6263 11 жыл бұрын
Jamani, hawa Masheikh wameongea kwa hekma sana, sijui kwanini baadhi yetu tunakosa nidhamu na sheria ya dini. Au ni makafiri wanaotumia majina ya kiisilamu kuponda Masheikh? Na uhakika hawa masheikh wanakupenda sana wewe kwasababu ni mwisilamu, mbona wewe watenganishwa na fitna na husda na wewe ni mwisilamu? Nijukumu letu mimi na wewe ndugu yangu mwisilamu kulengania makafiri waingie uisilamu lakini sio kupiga vita waisilau, hivi kafiri akiona maneno yako atakuwa na hamu ya uisilamu? Rekebisha.
@machoyote3991
@machoyote3991 6 жыл бұрын
Mungu humlipa mja kwa amali anazotenda ,kwa hesabu zangu walimu hatuwawezi kwa amali njema
@minaminaa1669
@minaminaa1669 6 жыл бұрын
Allah atusamehe Makosa yetu binaadamu kwenye dunia lazima tusamehe YA Rabb
@naghiftykhamis1932
@naghiftykhamis1932 4 жыл бұрын
nikimuona sheikh baheero namkumbuka sheikh Aboud Rogo Allah Amuhifazi
@munaseif9769
@munaseif9769 6 жыл бұрын
umenifulahisha sana shekhe bahelo masha Allah
@fardosaabdi5145
@fardosaabdi5145 4 жыл бұрын
Yes sheikh
@cleophacekarega4832
@cleophacekarega4832 7 жыл бұрын
Mashaallah allh atujalie tuwe wenye kumcha allha subhana wataala na kufata adabu na mafundisho ya mtume wa mwenyez mungu
@allyissa5186
@allyissa5186 6 жыл бұрын
She bahero hekma zako za subra na elmu unayotupatia Allah akupe rehema nyingi na atusamehe makosa yetu
@amidujaphary8276
@amidujaphary8276 9 жыл бұрын
Allah ndo mjuz zaid bt mwenye kukosea akubali kukosolewa.
@jumasalum2677
@jumasalum2677 4 жыл бұрын
Kuna taratibu zake na sio kama wanavyo mfanyia sheikh wakimataifa kishki kipenzi chetu
@salehkhalfan7345
@salehkhalfan7345 4 жыл бұрын
Nikwel hata kibinaadamu tu bc n kumwita faragha na mkapeana hoja zitokazo ktk Quran au sunna mwsh wa cku mnafikia malengo
@adam5ramadhan154
@adam5ramadhan154 4 жыл бұрын
Shekh Allah atakulipa kuwa na subra
@user-wv6rl9bs7h
@user-wv6rl9bs7h 6 жыл бұрын
حقا ما قلتم والله أعلم بما في قلوب الناس
@ndikumanaamadi5814
@ndikumanaamadi5814 9 жыл бұрын
maashaallah
@jamaliali3788
@jamaliali3788 6 жыл бұрын
Shekhe Nurdin Kishk acha kuwajibu hao masheh ila endelea kutupa elimu tunao kusikiliza na kufundishika juu ya maneno ya Allah na mtume wake
@bintalhwamer5291
@bintalhwamer5291 6 жыл бұрын
MashaAllah Allah akuepushe na wanafikili shekh wetu kishky
@nkubitojaffar558
@nkubitojaffar558 4 жыл бұрын
kishky tuna kupenda
@hassanabdallah6716
@hassanabdallah6716 6 жыл бұрын
Mashallah
@abdirahmanvideos555
@abdirahmanvideos555 7 жыл бұрын
Allah amu hifadhi
@misbahmagezi3083
@misbahmagezi3083 4 жыл бұрын
Sheikh kishki iyo nimitihani tu lakini wewe usivunjike moyo wewe endelea kufikisha dini ya allah
@jumaabdallah4554
@jumaabdallah4554 4 жыл бұрын
Mungu atupe mioyo ya subra
@salmadashlaquimanelaquiman4427
@salmadashlaquimanelaquiman4427 6 жыл бұрын
Pole Sana shekh wetu una muluwa Wana umia Chuki zisizo msing tuungane kutangaza dini ye2 sio uo ujinga mnao ufanya baadh yenu
@jadinjam8335
@jadinjam8335 6 жыл бұрын
Salmadashlaquimane Laquimane Naomba mnitajie huyo msomaji wa qur an
@jadinjam8335
@jadinjam8335 6 жыл бұрын
Salmadashlaquimane Laquimane naombeni mnitajie msoji wa qur an
@wacmber2131
@wacmber2131 6 жыл бұрын
Salmadashlaquimane Laquimane ya kwanza ni ya sheikh ABDHURRAHMAN SUDAIS
@jumasalum2677
@jumasalum2677 4 жыл бұрын
Nurdeen kishki ni mmoja wapo
@faridahfaa8856
@faridahfaa8856 8 жыл бұрын
mashaallah mtu ulio na matunda haukoc kurushwa mawe ,Allah awaifadhi masheikh wote kwa madui inshaallah
@cheupegmailcomHhcheupe
@cheupegmailcomHhcheupe 8 жыл бұрын
+faridah faa in sha Allah
@ramadhanijumanne9205
@ramadhanijumanne9205 3 жыл бұрын
Aslm alykum
@omarameirsalum8879
@omarameirsalum8879 6 жыл бұрын
Baheroooooo
@rahiimaa.294
@rahiimaa.294 7 жыл бұрын
wacha waseme, nimekuchagua wewe km mwalim wangu. hongera sheikh kishk.
@jumasalum2677
@jumasalum2677 4 жыл бұрын
Na Mimi pia ni mmoja wapo
@allykasumuni2730
@allykasumuni2730 6 жыл бұрын
Innsha allha
@adalabri2791
@adalabri2791 7 жыл бұрын
mtihani tuwafikirieni waislm wezetu heri mbna jmni wachungaji hao wakiristo hawakai kma hivi ssi tujitahidi ukijiona wwe una elimu basi yuko alokuzidi tufuate mwenendo wa mtume na kur;an
@hawayusupph7745
@hawayusupph7745 5 жыл бұрын
Mashaallaah endelea kutupa nasaha
@hamisibora6263
@hamisibora6263 11 жыл бұрын
Wakati una comment fikiria kwanza kabla huja post, hivi wewe ukifa hii post yako itakufa au itabaki hapa kuendeleza unafiki? Ewe mwenyezi Mungu tujaalie sote kusoma dini na vitabu sahihi wala sio vile vya kupotosha. Kataa kutumiwa na watu maana ukifa utajibu maswali yako tu hautajibu ya kwangu.
@tiwasavagefntiwasavage2376
@tiwasavagefntiwasavage2376 4 жыл бұрын
Mungu atakulipa utasimamanae siku ya kiama
@motivationalnation7571
@motivationalnation7571 6 жыл бұрын
may Allah forgive us
@eblaabdullahi5491
@eblaabdullahi5491 4 жыл бұрын
Shehe huyu Hana makosa wacha uhasidi
@mtoramtora9152
@mtoramtora9152 6 жыл бұрын
Hawa mashehe ni mwndo wa taarBu na wenzao huko ndo kumfundisha mungu ama
@fauziamohamed6172
@fauziamohamed6172 11 жыл бұрын
Muogopeni Allah na kumbukeni siku ya malipo kwani utasimamishwa na kuulizwa dhuluma uliyomfanyia mwenzako kwa ajili ya wivu tu. wivu unakula kheyrat kama moto unavyokula kuni. utajutia amali zako ulizozifanya kwa ikhlas umezipoteza kwa husda.
@hakizimanaomar395
@hakizimanaomar395 4 жыл бұрын
Allah atusameh
@hamimumchicha8028
@hamimumchicha8028 6 жыл бұрын
kishki yuko sahihi bali husda tu inawasumbua
@malikkakangaakakangaa6530
@malikkakangaakakangaa6530 6 жыл бұрын
Kishk fainakulu dhineghema makhusudu achananawo hawo ukiwa naneema yeyo te lazima baadhi yawatu watakuchukia wapotezee watabak hivo hivo badala yakulingania
@bellaabu5726
@bellaabu5726 5 жыл бұрын
Qassim mafuta ni mwiba wa koo
@nassorali2626
@nassorali2626 6 жыл бұрын
Dah, huyu jamaa noma
@bashirumpendu9479
@bashirumpendu9479 4 жыл бұрын
Na yeye awena nia mzuri anapokosolewa ktk haqqi akubali
@hawakiza6067
@hawakiza6067 8 жыл бұрын
uwongo wao upo wapi
@khamissalum9285
@khamissalum9285 5 жыл бұрын
Kishiki.tatzo.kubwa.huna hekima
@yasinsaid6354
@yasinsaid6354 5 жыл бұрын
Khamis Salum hekma gani unayoitaka?
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 4 жыл бұрын
Ulishirki kuuwa Kwa Abudu Rogo, weye
@bashirumpendu9479
@bashirumpendu9479 4 жыл бұрын
Huyu sheikh vip
@mbodzebemasika7477
@mbodzebemasika7477 5 жыл бұрын
Mimi.nawaheshimu sana mashekhe mnafanya kazi kubwa..lakini nawaomba mumuangalie Sheikh Athuman Maalim.awe role model wenu..mkikosoa anaejua mnatuchelewesha sie maamuma..
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 5 жыл бұрын
Mama wa nyumba kumi, nampenda sana sheikh Othman maalim kwa ajili ya Allah. Mpole sana
@mbodzebemasika7477
@mbodzebemasika7477 5 жыл бұрын
@@alhamdulillah5796 Allah amuepushe na hali hii ya kukosoana ..aendelee na mstari wake
@allybmfaumes9764
@allybmfaumes9764 5 жыл бұрын
kwann ukubali kuwa maamuma
@mohammedmwandagha9507
@mohammedmwandagha9507 5 жыл бұрын
Hi
@mbossowcb1915
@mbossowcb1915 4 жыл бұрын
Wote ni mawahab
@zeddynatty9338
@zeddynatty9338 6 жыл бұрын
hawampeni Cox iwaongea ukweli
@hassanmatano5407
@hassanmatano5407 5 жыл бұрын
we mwenyewe bahero Mara ngapi umewatolea watu hukumu kuwa makafiri we vipi Leo unaongea kuhusu nasaha
@rashidayoub7784
@rashidayoub7784 10 жыл бұрын
Tatizo ni kutojua wapi tuchukue dini yetu lau tungekua tunajua kwanba hii elimu ya dini ndiyo dini yenyewe tungalichagua mahala pakuchukua
@WeBorn2DieAnyTime
@WeBorn2DieAnyTime 11 жыл бұрын
Ubora si kurikodi, Bali Ubora ni dhini Sawa ya Kislamu, mimi na fikiri ku rikodhi video ya dhini si makosa, Jazaaka Allahu kheiran for sharing.
@allybakari4297
@allybakari4297 7 жыл бұрын
kishk ongeza maalifa yakielimu kwa sababu akuna MTU anae kusengenya isipokua we unacema matabrih ndo wanao mfuata mtume kuliko watu wa sunna muogope Allah shekh
@kingempireempire7894
@kingempireempire7894 4 жыл бұрын
ukitaka kutaja aibu ya mwenzako anza yakoo
@haditvswahili4045
@haditvswahili4045 3 жыл бұрын
KARIBUNU KATIKA CHANNEL YETU, TAFADHALI USIKOSE KUTAZAMA VIPINDI VETU VAA ( BARAKA ZA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN ) VILIVO SHEHENI MAMBO MAZURI MENGI NDANI YAKE kzfaq.info/love/S4qZ4F3dlpXX-uY6XpWQUAvideos
@jasminyiddysulaiman9807
@jasminyiddysulaiman9807 4 жыл бұрын
Mti wenye matunda
@suleimanbakar1271
@suleimanbakar1271 4 жыл бұрын
kishki usijikweze katika dini nawe una maovu kibao
@uledihassan6065
@uledihassan6065 4 жыл бұрын
Maovu ya mtu na toba ya mtu anaijuwa Allah usijivike uungu shetani wewe
@adalabri2791
@adalabri2791 7 жыл бұрын
tufuate mwenendo wa mtume na kur-an
@Noahhersi
@Noahhersi 11 жыл бұрын
Tatiizo ya fitna katika dini ni kutokusoma someni dini ambayo ndio mwongozo qurani na hadithi
@saumuseif9189
@saumuseif9189 4 жыл бұрын
Mti wenye matundaa
@mbagala1
@mbagala1 11 жыл бұрын
Hahahahahahahahaha
@hawakiza6067
@hawakiza6067 8 жыл бұрын
ugongao uko wapi
@aliomar5603
@aliomar5603 4 жыл бұрын
Hawa Kiza kiski elimu yake ndogo sana
@abdulrahmanbakar5416
@abdulrahmanbakar5416 8 жыл бұрын
angalieni jamn msishabikie someni jamani
@shaibuismaili4745
@shaibuismaili4745 5 жыл бұрын
Kwanza ww anazungumza mbona waongea pumba maaaana huchungi misingi yakisheria.....halafu waongea tumbo kwanza hujuhata mafirqa pia wakosea hadi kutamka hadithi pia hiyo aya tatsil tukuwkilize halafu waleta ngonjela tooo masalafy lazma wabainishe uhizbi wenu we unaeongea nahuyo unaemdifai
@mumbeaziza4522
@mumbeaziza4522 9 жыл бұрын
Assalaam alayikum. Ww uliye tenga hii video ukisema bahadhi ya makosa ya shrikh Nurdin kishi ..ww ndio una makosa umekosa kazi kazi yako nikuangalia kasoro za wenzako yy pia ni binahadamu akona makosa mbna ww usitowe cd zako tukakuona au tukakusikia kama ww .... In shaa Alla Allah akudhalilishe hapa duniani nankesho Akheri laah si ivyo mfuate sheikh ukamuombe radhi nanudelete hizi video zako za upuuzi AU UPANDE WASHEIKH MM NIKO PAMOJA NA WW NA NAMUHUNGA MKONO NA MM NI MWISLAM TENA AL SUNNAH AL JAMAA .... NA SHEIKH YY ANA MAKOSA ANASEMA WALIO YASEMA WALIO TANGULIA NGABLA YAKE SAWA. MUONGOPE ALLAH WW UNAE MSHAFULIYA JINA MWISLAMUNMWENZAKO... UJUI KAMA UTAULIZWA JUU YA HAYA YAWUL QIYAMA ?? UKISHUNGUZA WW UTAKUWA MIONGONI MWA WANAFIKI AU MAKAFIRI .....MUCHE ALLAH .
@az15113
@az15113 9 жыл бұрын
Kawaida watu wa maulidi hawana maneno wameharibu dina kwa ngoma zao wakiona watu wafnya dawah waona wivu
@mrsdully1613
@mrsdully1613 8 жыл бұрын
swadakta
@machoyote3991
@machoyote3991 6 жыл бұрын
Dulaboy Kibwana wacha ushabiki soma
@khalidunited5978
@khalidunited5978 6 жыл бұрын
Mumbe Aziza kweli
@rahmamohammed2016
@rahmamohammed2016 7 жыл бұрын
Subhanallah
@musamgutu7760
@musamgutu7760 4 жыл бұрын
Jamani nduzangu binadamu hatujakamilika tunaacha Mambo makubwa tunangaalia vitu vidogovidogo kilamtu anamuona anakosea wewe yakwako yakowapi? Tuya onebasi kishiki endelea shekhe tunakupenda manafki yakomengi nahayaishi ukiwa na najuuzuu zako kichwani 3 basina wawe mjuuzii nakupenda shehe
@abubakarmzee3374
@abubakarmzee3374 4 жыл бұрын
Na wewe behero mnafiki tu
@hasanially9294
@hasanially9294 5 жыл бұрын
Ndugu yaonyesha una uchache wa elimu MTU ana hukumiwa dhwahiri yake haya maneno AME yasema harifa wa. Pili OMARI huyo kishiki abainishe mapoti lipi laenda peponi mtume asema umma huu utafarikiana makundi 73 Je ni lipi shia ibadhii watu wamaurid au answari au Sarafiyuu ni lipi
@suleimanbakar1271
@suleimanbakar1271 4 жыл бұрын
kishiki hata kilemba hujui kufunga hapo unasududije?
@jumasalum2677
@jumasalum2677 4 жыл бұрын
Wewe ndi0 hujielewi kwani yeye kakwambia anajua au hajui wacha kiki izo hataufanyaje huyo ni sheikh wa kimataifa kishki
@abassking8296
@abassking8296 4 жыл бұрын
Ndo waliotaja hawa kwa mambo madogo tu unamkosoa mwenzio kwani ww na yy anayevaa kilemba Sana Nani
@alishariff8657
@alishariff8657 6 жыл бұрын
Kishki na Bahero ndio mafasiqi wakubwa katika Africa ya mashariki
@hasanially9294
@hasanially9294 5 жыл бұрын
Malengo yako ni kuwa pamoja na watu wa bidaaa
@jumasalum2677
@jumasalum2677 4 жыл бұрын
Wewe unaijua bidaa au na wewe ilimradi ukoment
@alhabibkassim3044
@alhabibkassim3044 11 жыл бұрын
wee salim khatib disco dancer umejaa maasi mpaka sura yako imekosa nuru wacha kudanganya na kutukuwa hela za bure za urongo kwa hababa serikalini, fanzeni kazi warongo wahuni nyiye. eti mwatowa dawah huku wahuni warongo
@yasminyaska.channel8849
@yasminyaska.channel8849 4 жыл бұрын
even the utubers could not post such thinks this create hatred among Muslims even those who r against sheikh nurdin just go and have speech to non Muslims and make them the way of Islam many had no deen
@abdullmohdy5278
@abdullmohdy5278 9 жыл бұрын
Waislam tnatkiwa tuelew na tsome kwanza before to comment anything kwa sabab hii ni dini ya wasomi kwa hio hizi points mnazobishania ni kutokna na elim yetu ndogo na kukataa kusoma swala la kuangaloa weakness za sheikh nuridin tu sasa mbna hamsemi mazuri yake,why hamyatangazi lkni na hayo mabaya yenu hamyasemi mnasema ya masheikh tu
@abuushaakirayubu9476
@abuushaakirayubu9476 5 жыл бұрын
mkamilifu ni Allah wewe mjinga usojifahamu kazi Yako kutaja makosa ya watu umeambiwa yeye nimaasumu???wew unaemtaja kishki au mwingine kwakosa alolifanya. wew ndio mjinga na hatawalimu wako wapumbavu wameieka ilmu so mahala pake..achakuchunguza ya watu..au umeumbwa ili uchunguze ya watu??nyie fanyeni daawa acheni kuwasikiza wapuuzi hawa wapuuzi. kishki na kundi lako fanyeni kazi ya Allah..
@rashidibrahimshemlugu7845
@rashidibrahimshemlugu7845 6 жыл бұрын
Itakuaje shekh nchi yako haijakaa sawa kidini wakimbilia nchi za wenzio unatafta nn? tueneze mihadhara kwanza hapa kwetu Tanzania
@mbagala1
@mbagala1 11 жыл бұрын
Preachers of these days
@nnbb8402
@nnbb8402 6 жыл бұрын
Allah akuzidishie subra sheikh Nurdin Kishki
@makoongwelimited4676
@makoongwelimited4676 5 жыл бұрын
SHEHE. NURUDINI. KISHIKI. UNAKUAUNAPATA. NAFASI. SNA. KUKUTANA. NAMAKUFULI HEBU WATETEE. TUNAUMIA. KULIWALIKO. WAKULU. KAULA. SADIDA.
@asaamwalimu2194
@asaamwalimu2194 4 жыл бұрын
Mungu akupe maisha mareef
@ndalomohamedy2684
@ndalomohamedy2684 8 жыл бұрын
Aslam alekumu kikubwa tusome tujue dini yetu kama mwenyez mungu anavyo sema iQra
@taabohosain3849
@taabohosain3849 6 жыл бұрын
Mashaallah
@WeBorn2DieAnyTime
@WeBorn2DieAnyTime 11 жыл бұрын
Ni kweli kabisa u boora ni kushimiyaana wa Islamu.
@atuzajustine8601
@atuzajustine8601 3 жыл бұрын
Mashaallah
SHEIKH NURDIN KISHK - kumtetea mtume mohamed dhidi ya makafiri
1:38:21
FAIDA 4 WATAKAZOPATA WASOMAJI QURAAN 2-Nurdin Kishki
44:34
RAUDHWAH ISLAMIC CHANNEL
Рет қаралды 42 М.
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 7 МЛН
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 30 МЛН
MAJIBU YETU KWA SALAFIY HUYU PART 1 AND 2 RAMDHAN 1436/2015
1:05:32
Ahlul Istiqamah Channel
Рет қаралды 78 М.
SHEIKH MUHARRAM MZIWANDA AIELEZEA BID`AA
19:51
Masjid Riyadhwa - Kwa Mnyimaki
Рет қаралды 1,5 М.
🔴 Toos: Casharada Dawrada 2aad || Maalinkii 80aad
3:40:19
Dawra Ta'siiliyah Official Channel
Рет қаралды 54 М.
Sheikh Nurdin Kishk - MATATIZO YA VIJANA KATIKA UISLAMU
1:36:10
shining noor
Рет қаралды 203 М.
Khatibu Wa Vetenari (Kishki) ....... Amkufurisha Sheikh Nabahany
1:50:51
Ustadh Muhammad Bin Shariff Said AlBeidh
Рет қаралды 83 М.
kishki mombasa   ndoa yenye baraka day3 2013 0
1:22:40
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 106 М.
Othman Maalim - Hukmu ya Kusoma Maulid
1:50:25
Saleh Ally
Рет қаралды 351 М.
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 7 МЛН