Рет қаралды 15,403
Baalam
Alitiwa hofu sana
kwa ajili ya kumuona malaika
aliyesimama mbele yake
na upanga mkononi
alikubali kutiwa hatiani asije akauwawa
walakini hakutubu kwa kweli hakugeukania
Tutendaje tubuni basi
mreje ili dhambi zenu
zifutwe kutubu maana yake ni hivi
kuhuzunika kwa ajili ya dhambi
Tena, Tena
Tena, Tena,kujitenga mbali nayo sote
Usione dhambi zako nyingi
Kumbuka mwana Adamu alikuja
kutafuta watu kama wewe
akupenda rudi kwake
usisahau alikutoa mbali kama si neema yake
Tungekufa wote
Yeye mpole mkarimu
amejaa rehema na neema