BABA ALLY KAMWE ATOA ONYO KALI KWA MWANAE /MIMI MBWA BAADA YA SIMBA KUFUNGWA 5 DHIDI YA YANGA

  Рет қаралды 2,557

Carrymastory

Carrymastory

8 ай бұрын

Пікірлер: 12
@vaxminja9053
@vaxminja9053 8 ай бұрын
Mzee Kamwe yupo yupo sahihi, wasemeji wa timu hizi mbili Yanga na Simba wasaidiwe kutumia lugha nzuri. Ahmed Ally na Ally Kamwe wanavuka mipaka
@ShangweSylus-nf6we
@ShangweSylus-nf6we 8 ай бұрын
Mzee taratibu usitutishee nyie ni woh woh who kwa mujibu😅😅😅😅
@gadielreteu8944
@gadielreteu8944 8 ай бұрын
Mzee tulia dawa ingie pole
@neemamsongo2006
@neemamsongo2006 8 ай бұрын
Mzee Kamwe siyo Alli tu. Ahmedi Ally mbona anatukana sana husemi?
@awetumtengera1147
@awetumtengera1147 8 ай бұрын
Mm naumia sana ninapoona Baba mzazi wa Ally kamwe anaingia kushindana na mtoto inauma sana, unatafuta nn mitandaoni? Au unataka akukosee ili umutafutie laana na kuwapa watu misemo? Kwa nn lakini baba? Fanya kazi zako achana na mitandao unamharibia mwanao kazi vijembe vyao wanavyopeana mitandaoni wakati mwingine vinaburudisha mpira , na soka letu linakuwa. Jifunze kupitia mzee sande manara kipindi mtoto wake yupo simba wala hakuwa kama ww alijua mtoto wake yupo kazini.
@user-gr9px4pi2w
@user-gr9px4pi2w 7 ай бұрын
Mzee mimi namshauri mahojiano yeyote asikubali kuchonganishwa na mwanae azungumzie yeye mapenzi yake na simba tu,, vinginevyo huko mbele utachekwa utaonekana ni mzee wa ovyo sana , Chunga kauri zako hasa wanapokuchonganisha na mwanao
@linuskyando4155
@linuskyando4155 8 ай бұрын
AHMEDY ALIWAHI SEMA YANGA MAITI,MZEE ALI KAMWE HAKUSIKIA?
@user-bv1hu9ih3u
@user-bv1hu9ih3u 8 ай бұрын
Usimtishe mtoto na mapenzi yake juu ya timu yake ww penda timu yako. Kuitwa Simba mbwa ni kosa kwa utani wetu??
@linuskyando4155
@linuskyando4155 8 ай бұрын
JIONDOE KWENYE USHABIKI MZEE ALI KAMWE MADONGO YANATUPWA KWA SHABIKI YEYOTE WA SIMBA,KAMA NI MMOJA WAO ACHA DAWA IKOLEE,MBONA AHMEDY ALI ALISEMA YANGA MAITI MAANA YAKE ALI KAMWE MBONA HUKUMKEMEA
@NiaNayna-lp9cu
@NiaNayna-lp9cu 8 ай бұрын
😂😂
@awetumtengera1147
@awetumtengera1147 8 ай бұрын
Mzee kamwe ww ni simba sawa lakini isifikie mtoto wako ashindwe kufanya kazi kwa sababu ya ww baba yake siyo vizuri. Hii mitandao kuwa nayo makini wanakuja kukuhoji hoji tu ili wakugombanishe na mtoto wako kuwa makini na mitandao. Mwache Ally ashindane na wasemaji wenzake kama ahmedi Ally na siyo ww tena unaingia uko. Baba tafadhali tunakuomba kumbuka Ally yupo kazini kupeana vijembe na wenzake ni kawaida sana, hata yy anapokea maneno machafu vile vile kutoka kwa wenzake mbona hayo huyaoni? Unayaona ya mwanao tu? Kwa nn unamnyima uhuru mtoto wako? Na kama vipo vya kumurekebisha kwa usiongee nae kirafiki mnapokuwa nyumbani ? Ni lazima ufike mitandaoni ? Tunajua mzazi ni mzazi hakosei lakini kwa hili unamkosea sana mtoto wako kuwa na mipaka ya kuongea.
@user-ks8oy9lt7z
@user-ks8oy9lt7z 8 ай бұрын
Anashindana na wasemaji au anatukana watu wote kwa sababu ya tumbo?
ОСКАР vs БАДАБУМЧИК БОЙ!  УВЕЗЛИ на СКОРОЙ!
13:45
Бадабумчик
Рет қаралды 6 МЛН
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 35 МЛН
Дарю Самокат Скейтеру !
00:42
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 8 МЛН
Тигра в команде Вафельки! А ты? 🐯#симбочка #тигра #симба
0:42
My daughter always appears at the most critical moments
0:35
昕昕一家人
Рет қаралды 11 МЛН
Nico’s new friend!#nico #smartnico #funny #dog #cute
0:24
Nico_thepomeranian
Рет қаралды 21 МЛН
Good job hero. #shorts #fyp
0:20
Gbeckett12
Рет қаралды 17 МЛН
Лайфхак с лейкой 🚿
0:37
Сан Тан
Рет қаралды 3,7 МЛН
😱ВСЕМ БЫ ТАКИЕ СТАЛЬНЫЕ НЕРВЫ
0:18
MEXANIK_CHANNEL
Рет қаралды 5 МЛН