Mkojani movie zako nampenda sana usikae mda bila kitupa kitu Bora Cha mafunzo kama hiki apa ❤
@user-kl3bl9px3z5 күн бұрын
❤❤movie tamu sana mashaallah
@user-eh1sq2sf6y19 күн бұрын
Nakubali sana kamgisha
@SameerOzeel19 күн бұрын
Mama chituntu in 🔥🔥
@fatimaharoun-np8uv19 күн бұрын
Mambo ya kimjini mjin😂😂😂
@tanacksheyo738019 күн бұрын
Kila MTU wa kwanza mm wa mwisho basi!!!
@congoboymbeyas244019 күн бұрын
Yani Bushura kila siku uwaga ana cheat tu 😂😂
@Bamutumubaya14 күн бұрын
yeah kweli sijui shida nini, 🤣
@bonventrychevai518318 күн бұрын
Karibu sana Kamkisha, ulikuwa umepotea sana
@erickmisilakuba642615 күн бұрын
Braza men wa Zaman 😂😂😂😂😂
@abumuhammad780213 күн бұрын
Mwanamke mnafiki sana anauma akivivia.
@user-jf7dd7uk9i19 күн бұрын
Hahaha 😂 😂 Jamn wanawak bwan mkojan nakupend san unan c😅😅hekesh
@user-wy7zl2vr6k19 күн бұрын
Jaman eeeeee, 😂😂😂🤣🤣🤣 wana ndoa mkuje huku ninakikao na nyinyi, haya kikao kinaanza , naingia kwenye point nikwamba ndoa ziwe za mkataba sitaki wazo lingine kikao kimeisha🤣🤣🤣
@FaithKayamba-ji5lx17 күн бұрын
😂😂😂😂
@mtendebeachzanzibar18 күн бұрын
Kamugisha upo vzr👏
@AllyMayunga-nn9wh16 күн бұрын
Kwann kamugishq ni lover boy kila sehemu
@mohammedsaleh305119 күн бұрын
Baruti anaimba jamani si mchezo
@InnocentArmadillo-do9vm19 күн бұрын
Team mkojani gang. Kamugisha. Nenda ukaoe. 💯💯💯
@rogasiantamamu928611 күн бұрын
wahind wenzangu😂 where are u?
@AbelFrancis-ww7cb19 күн бұрын
Lasita anaupiga mwingi 🎉🎉🎉🎉😂😂🎉🎉🎉
@mariamfritsi494319 күн бұрын
Kamugisha yupo njia panda 😂 11.07.24.
@user-wy7zl2vr6k19 күн бұрын
Eyi weeeeee funzo kubwa hilo nisawa na mtu anakukaribisha chakula kwa sura ya upendo kumbe kaweka sumu ndo anayoyafanya mke wa mkojani, wanandoa kula chuma hiyo😂
@tanacksheyo738019 күн бұрын
Mbn kama nyumba niyamkojani kweli
@user-py6cs3tx4i19 күн бұрын
Wa Congo🇨🇩🇨🇩wanao mkubali mkojani gongeni like apa 🙏🙏❤
@ShishiClassic19 күн бұрын
Umeenda Mjini mambo yaki kijini Mjini 😅
@FatimaAli-of4gh18 күн бұрын
Ehe kama ya Mau sasa mambo ya kiulaya ulaya😅😅
@mokajoli492819 күн бұрын
Mkojan umemleta shemeji
@OrVaboy19 күн бұрын
Nipeni like zangu wahuni number one from DRC 🇨🇩🇨🇩
@AlexZanda-e5i17 күн бұрын
Niaj
@hamzamao689315 күн бұрын
Kwene vita 🇨🇩🇨🇩
@user-fw2jk3mx7g19 күн бұрын
Wewe bushura kuwa muelewa sasa unataka kumnyima uhuru kamugisha kimbuka kuwa ni mwanao
@hildasanga723412 күн бұрын
Kazi nzul 🎉🎉😂😂❤❤
@SeifHamduni18 күн бұрын
Nzur sna
@emmanulvictory50715 күн бұрын
Demu kaja kuulizia vyovyo😂
@AliK-tc2et19 күн бұрын
Bushura sio poa"wanawake hamtaingia peponi
@MonaaOm19 күн бұрын
Bushura ww ndio umemchangaya kamugisha wamueka kwenye njia panda
@weyayu691415 күн бұрын
From Burundi 🇧🇮 gongeni like
@RukiaKhamis-pu9zv15 күн бұрын
Ndy huyu ni mke wa mkojan kweli
@FahadAli-ni5eu19 күн бұрын
My favorite comedian
@user-qt7dy4we8m17 күн бұрын
kamugisha muache ajiuwe hyo bushura na ww ule raha zako
@user-qq4zr3sk2g18 күн бұрын
Ila kihindi cha humu😂😂
@dafetz080818 күн бұрын
mkojan bin daruesh😂😂 naenjoy nkiwa kwa madiba
@backunit2419919 күн бұрын
Vipandee vidgoo sanaaa
@kassimabussa658316 күн бұрын
Mkojan mnachezaga movie za vichekesho lakini zinamafunzo makubwa sanaaa hongerenisana movie nzuri sanaaa mmeanza vizuri nawaonbea mjitahidi muimalize vizuri nawaaminia mkojan gang
@nahimanabella247816 күн бұрын
Walaa usijali Mjojani anakuwaka na finish nzuri sana❤❤❤❤
@JacksonJames-nw1tv16 күн бұрын
Nakubali😊😂😂😂
@JOHAREHfilms202318 күн бұрын
Asa mbn bushura unamchanganya kamugisha wangu , akiwa na baba ake unamfokea utaoa, uoi😂 Ukiwa nae unamwambia akioa utajiua,.. jmn asa tukuelewe vp??😂😂😂😂🙌
@ndeterealestate19 күн бұрын
Kwaio simu ni mazrui au zahoro, mbona unatuchanganya😅
@bahozisaidiradjab490219 күн бұрын
❤❤❤❤from DRC❤❤❤
@Bugana41419 күн бұрын
Gen Z kutoka kenya 🇰🇪,..nawakubali sana Mkojani Gang 💯💯💯
@Fine-BoY17 күн бұрын
Njoo andamane uku Tz
@user-bt1vl8nu5n19 күн бұрын
Mkojan dakika 11 kweli ww ndo unafiny dakik pekee ako
@DennisSichinga19 күн бұрын
Tuongeezee mdaa
@RehemaRamadhani-g9w15 күн бұрын
Mamdogo mbona hatukuelewii
@zitto348519 күн бұрын
Noma sna❤❤
@mussayusuph62719 күн бұрын
Mkojani We Noma🎉🎉🎉🎉
@user-um5uw9yo5q19 күн бұрын
Mkojani nakupa kongole hii imeenda
@user-rj8zh8ok7q19 күн бұрын
Ya 🔥🔥🔥🔥🔥
@LovelyMountainLandscape-dd4xe19 күн бұрын
Hii nzuri sana
@Deontaryprinc19 күн бұрын
Mkojan the king
@rehemakatundu702719 күн бұрын
Mambo mazuri 🥰🥰
@mickyjuma282319 күн бұрын
Mkojani umefeli kumuingiza mke wko kwenye hili utakuja kunikumbuka baadae
@user-ih3xp4ze2i19 күн бұрын
Mkojani unaibiwa naomba like jameni nipo uvira
@KoreanDramaMoviesKiswahili19 күн бұрын
❤❤❤
@kidempunga433719 күн бұрын
Mjomba 🎉🎉
@jumannemalungo501816 күн бұрын
Kazi nzuri mkojani
@user-yo6dy7kp2m19 күн бұрын
Namkubali uncle kama huyo kama kumi mbona amani ingejaa
@Seranto86119 күн бұрын
Wanawake sio watu, mtu unamtaka mwanao alafu mwishoni unamuuliza utaoa uoi see more...
@adinanzacharia40919 күн бұрын
Baba mdogo imeanza na moto
@SaidAlly-u4i17 күн бұрын
Kazi nzur ila unatuchanganyia matangaz yk ya biashara
@Gamba8119 күн бұрын
Good good 👍🏾
@TOLA9219 күн бұрын
Mkojani baada ya kunipa scene kwenye Mashemshem ndo umenitupa daaah mbali na usanii pia mimi ni shabiki yako. By me mmakonde mashem shem
@user-lz9mi1ut7q18 күн бұрын
Mkojani Ganga Ni moto🔥
@abdallahshaally1719 күн бұрын
❤amerud
@Qiuniumboy719 күн бұрын
Mkojani usimueke mkee wako kwenye filam yatakukuta ya madebe lidai mkee ni pambio sio kionesho
@MagrethMassawe-ov3ns19 күн бұрын
Hizi story tam hivi unatoleaga wap baba
@saidiabdalahshabani94119 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😢😢
@abubakarhajj75018 күн бұрын
Nyimbo tu like 10000❤❤🎉
@kajairolancaster702819 күн бұрын
Wapi chandimu jamani😢
@joesplatnumz19 күн бұрын
Nani kaimba huo wimbo background?
@ommymehmed888019 күн бұрын
Mi apaaa😂😂😂
@jamesmusukwa22919 күн бұрын
Diamond platnumz
@joesplatnumz19 күн бұрын
@@jamesmusukwa229 unacoment utumbo na hujala...
@joesplatnumz19 күн бұрын
@@ommymehmed8880 congratulations
@ahmedthuva316218 күн бұрын
Mimi niliuliza since 2019
@muniraahmedawadh261918 күн бұрын
Pamoja sana wapendwa wetu
@user-ng2ot8uz5j19 күн бұрын
Apo kweny huyo mjomba angewekwa Bab Haji
@ngoshaog125519 күн бұрын
🔥🔥🔥
@user-bt1vl8nu5n19 күн бұрын
Mambo ya kimchini mchini
@ayubruitere680219 күн бұрын
Move nzuri
@complex758217 күн бұрын
Chandimu yupo wapi
@mohdsaad273619 күн бұрын
❤❤😊😊😊
@elizabethmahenzo722019 күн бұрын
❤❤❤❤
@sharpaliofficial745514 күн бұрын
Jamanii eee mimi hata likes stakii ninachotaka ni tuombeyane mema na mungu atupe afya njema mimi na wewe na family zetu
@SitaniRongo17 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉
@AyishaOman-cw4xs19 күн бұрын
🎉❤
@labunaabouna612219 күн бұрын
Nice
@ChadrackAugustin16 күн бұрын
Kwa Nini kamugisha haonekani kwenye movies za ma star wengine tofauti na mkojani? Jiongeze bwana mdogo kuna Léo na kesho
@mixturechannel698818 күн бұрын
Jambo ninalojiuliza kwann mkojani akiposti video viewers wanakuwa wachache lkn wake ambao amewaenua kama chado akiposti anakuwa na viewers wengi inakuwaje au changamoto Iko wap? Hem mkojani angalia ttz kilo wap au creativity na innovation haipo?