No video

Baba mzazi afunguka ukweli kifo cha mwanaye “Sababu iliyotajwa sio chanzo”

  Рет қаралды 41,426

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Baba mzazi wa Beneth Kiwelu ambaye alikuwa mwanafunzi wa shule ya msingi Mount Sayuni, Laurence Kiwelu amesema mwanae hakufariki kwa kupigwa na mwalimu bali alikuwa akisumbuliwa na magonjwa mengine.
Kiwelu ameyasema hayo katika mahojiano aliyofanya na Mwananchi Digital muda mchache tangu kusambaa kwa taarifa za kifo cha mwanae huku sababu kubwa ikitajwa kuwa kipigo kutoka kwa mwalimu kilichomfanya alazwe katika chumba cha uangalizi maalumu (ICU).

Пікірлер: 125
@sashahauke2032
@sashahauke2032 Жыл бұрын
Kwakweli Mungu akubariki sana kwa kua mkweli baba yesu akulinde maisha yako yote lakini nimegundua kitu hii familia ni ya watu waungwana sana sana
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 Жыл бұрын
Familiar hii ni wacha Mungu, kwa kweli, Asante kwa kuwa wakweli.
@eshyndibalema1529
@eshyndibalema1529 Жыл бұрын
Poleni wazazi na asanteni kwa kuepusha mgogoro umekuwa mkweli na mmekuwa waelewa Mungu,awape faraja haikuwa riziki yenu
@KADALAtv255
@KADALAtv255 Жыл бұрын
Asante familia kwa kuwa wa kweli Mungu awape faraja inayodumu.
@dignakanje4508
@dignakanje4508 Жыл бұрын
Poleni sana wazazi namungu awatie moyo kwenye kipindi hiki kigumu.
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 Жыл бұрын
@@dignakanje4508 jaman walim 😭😭😭😭 mungu tuuu jaman umkatie mtt maisha jaman😥😥😭😭
@janethmalaika5241
@janethmalaika5241 Жыл бұрын
@@ayshamahariq6665 walimu wamefanya nini dear mbona wameeleza vizuri tu fimbo mkononi ndo ziharibu ubongo ?
@subirajohn728
@subirajohn728 Жыл бұрын
Amina!
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 Жыл бұрын
@@janethmalaika5241 Nilielewa baayakumaliza kuxikiliza ndugu yangu mungu amrehem🤗🤗😭😭😭
@maryjoseph6973
@maryjoseph6973 Жыл бұрын
Ahsanteni familia daktari na walimu kwa ushirikia no wenu na kutuambia kilicho tokea kwa mtoto kwani ni kitaalamu mungu awatie nguvu na mtoto wetu mungu ampumzishe amina
@simbeyekingsministrytv9035
@simbeyekingsministrytv9035 Жыл бұрын
Poleni sana ndugu zangu.. Inauma sana. Ila Mungu anajua sababu kwanini... Yesu awe faraja yenu.
@berthsmalambugi8225
@berthsmalambugi8225 Жыл бұрын
Pole sana kwa msiba. Na ubarikiwe kwa kuwa mkweli. Mungu aendelee kuwafariji
@sumaiyahussein3578
@sumaiyahussein3578 Жыл бұрын
Izi Sasa ndo faida za kuzaliwa ukoo ambao angalau wamesoma ila wazazi weng wanapaniki sababu elimu inakua kdg kwenye situation kama izi ,all in all Allah ndo mjuzi🤲
@nyamwinukankwera3749
@nyamwinukankwera3749 Жыл бұрын
Family hii inaupendo Mungu awabariki,poleni sana kwa msiba😭😭
@neemaiman1402
@neemaiman1402 Жыл бұрын
Pole sana wapendwa MUNGU awape faraja ,MUNGU awapiganie katika magumu haya.
@alexmatt9504
@alexmatt9504 Жыл бұрын
Poleni sana wazazi, inawezekana alikuwa na hitilafu ya ugonjwa uliojificha.
@lusubilostaford6794
@lusubilostaford6794 Жыл бұрын
Mungu akawe mfariji wenu katika kipindi hiki kigumu napia tunashukuru baba kuwa mkweli mwanangu alikuwa anasoma na marehem kasema walipigwa mkononi fimbo mbili tena zakawaida Shetani yupo kazini pole na mwalimu
@hamisishabani8470
@hamisishabani8470 Жыл бұрын
Msikilizeni kwa makini mwalimu wake anachokieleza ni typical story ya ugonjwa wa stroke inayotokana na mshipa wa damu kuoasuka ndani ya ubongo. Mtu yoyote akipata hali hii kimbilia hospitali haraka ndani ya masaa manne akipatiwa matibabu ya upasuaji wa ubongo anaweza kuokoa maisha. Vinginevyo basi ni bahati mbaya. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema. Tuishukuru familia kutoa fursa ya kupata elimu hii muhimu na nadra kwa jamii yetu
@florandomba6822
@florandomba6822 Жыл бұрын
Asante familia kwa ufafanuzi mzuri ,,,,mungu akubariki,!!!kwa jinsi walimu wanavyochukiwa na baadhi ya wazazi ,hiyo kesi ilishamdondokea mwl.!!
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Kilakifo kinasababu . Allah mwema Baba wawatu muelewa Allah akujaalie heri
@suzanamwangingo2995
@suzanamwangingo2995 Жыл бұрын
Familia yenye busala hii poleni na mungu awatie nguvu
@ashaali7154
@ashaali7154 Жыл бұрын
Hizi adhabu za kuchapa zifikie mahali zikome. Kuna adhabu nyingi ambazo mtoto anaweza kupewa bila kupigwa. Anaweza kupewa adhabu ya kuifanya hiyo assignment mara hata mia au mara elfu ili asiisahau lakini kupiga tu sio vizuri watoto wengine wana matatizo yao kiafya hadi kuleta madhara kama haya.
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 Жыл бұрын
Ss kapigwa mkononi kunahusihana nn na kichwa
@phinaswai4718
@phinaswai4718 Жыл бұрын
Ushaambiwa mtoto tatizo sio kuchwapwa elewa
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 Жыл бұрын
@@phinaswai4718 namshangaa uyo ht mm anajifanya yy kaumia kuliko wazazi WA mtt
@azizamohamed7692
@azizamohamed7692 Жыл бұрын
@@nishaabdula5015 tatizo awasikilizi kinacho zungumzwa
@faithjonathan3845
@faithjonathan3845 Жыл бұрын
Dasa wewe unalazimisha sababu zako. Mzazi kaweka sababu halisi wewe ubalazimisha walimu ndo sababu. 😏😏😏
@zainabubalama8869
@zainabubalama8869 Жыл бұрын
Poleni sana wafiwa na kuwa wakweli Mungu awatie nguvu
@naomibildad509
@naomibildad509 Жыл бұрын
Poleni sana wapendwa Mungu awe faraja kwenu na Mungu ampumzishe mtoto kwa amani.
@susanarabiel9717
@susanarabiel9717 Жыл бұрын
Polen sana familia ya Kiwelu Mungu aendelee kuwa faraja yenu
@joycekalago532
@joycekalago532 Жыл бұрын
Tumshukuru Mungu kwa yote inaonekana mtoto alikua na shida za ndani kwa ndani ambazo bado zilikua dalili zake hazijajidhihirisha hadharani, apumzike kwa amani
@Kidotii
@Kidotii Жыл бұрын
Mungu awape faraja Roho ya mtoto wetu ipumzike kwa Amani
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 Жыл бұрын
Mtihani mungu amesamekhe makosa yake ishaalah
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
Poleni sana wafiwa R.I.P mtoto 😭
@subirajohn728
@subirajohn728 Жыл бұрын
R.i.p Malaika wetu! Poleni familia Mwenyezimungu awatie nguvu awape faraja!
@mariakabonga2
@mariakabonga2 Жыл бұрын
yaani hii familia mungu awabariki sana kwa kua wakweli
@abubakarsalanga2497
@abubakarsalanga2497 Жыл бұрын
Polen san hakik sisi ni wa mwenyez mungu na kwake tutarejea
@ellahmakweta4351
@ellahmakweta4351 Жыл бұрын
Poleni sana familia MUNGU awatie nguvu kwa hiki kipindi kigumu😭😭😭
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 Жыл бұрын
Pumzika salama mtoto mzur 💔💔💔mbele yako nyuma yetu😭😭😭
@rosehaule6765
@rosehaule6765 Жыл бұрын
Mungu' ni mwema sana familia yenye utu uelewa na upendo mkubwa sana' ni salama kuishi kwa kumtegemea Mungu siku zote utakuwa na amani rest well baby boy Mungu akupe pumziko la milele 🙏
@fadhilamaulid9843
@fadhilamaulid9843 Жыл бұрын
Mungu awape subira hii familia Ila ingekuwa familia nyengine hapa daa ingekuwa ndio sababu
@WachajiWaForo
@WachajiWaForo Жыл бұрын
Watu wengine huwa tangu awali wanatafuta sababu, wagomvi na kupenda kiyakuza mambo. Huyu mzee abarikiwe kwa kuwa mkweli
@miriamifuja4041
@miriamifuja4041 Жыл бұрын
Hongera baba umekuwa mkweli
@chogaissa1619
@chogaissa1619 Жыл бұрын
Ingekuwa vijiji nahisi mwalimu angekoma Mungu tusaidie kuwa na hekima
@nuruyaufunuoministry
@nuruyaufunuoministry Жыл бұрын
Inalilah wainalilah rajiun.....R .I.P maumivu kwetu sote
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 Жыл бұрын
Polen wazazi mungu Awape nguvu 🤗🤗😭😭😭
@floraleonard9095
@floraleonard9095 Жыл бұрын
Mmebarikiwa hekma, busara na usomi, roho mtakatifu awapatie faraja kwa kipindi mnachopitia.
@happinessmosala2217
@happinessmosala2217 Жыл бұрын
Poleni sana kwa msiba jamani
@sikitingabia2694
@sikitingabia2694 Жыл бұрын
Mpelekeni Kwa ngwajima kabla hamjamzika
@bettymassanja881
@bettymassanja881 Жыл бұрын
@@sikitingabia2694 , hahahaaa huyo TAPELI GWAJIMA ALISHINDWA KUMFUFUA MAMA YAKE MZAZI, ATAMUWEZA HUYO MTOTO WA MUNGU BENETH?. TUMUOMBEE BENETH ASAMEHEWE MAKOSA YAKE NA APUMZIKE KWA AMANI. AMINA.
@mamags8828
@mamags8828 Жыл бұрын
Tuwaombee watoto mashulen R.I.P baby 💔
@yasminjuma9146
@yasminjuma9146 Жыл бұрын
Poleni Wazazi. Mungu atakupeni mwengine mwema zaid. Amin
@vivianlaizer3016
@vivianlaizer3016 Жыл бұрын
Poleni Sana 😭 mungu awatie mguvu
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Inalillahi wainailahi rajuun
@user-sq7pz9ex5g
@user-sq7pz9ex5g Жыл бұрын
Inna lillah wa Inna ilayh rajiun 😭 pole Sana Kwa familia.
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 Жыл бұрын
Pole sana wafiwa tunatakiwa tuwe tunachek afya zetu jamani ukiangalia wengine ndo tuko na hali ya chini kumaisha
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 Жыл бұрын
Mshukuru mungu tu baba angu ni HD na cku yk ilifika
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 Жыл бұрын
Poleni baba! Umetumia hekima kwani kumcngixia mwalimu co vxuri
@khadijalambo2138
@khadijalambo2138 Жыл бұрын
Walimu mjifunze kitu hapo,mtoto alikuwa na shida yake kachapwa kafa,acheni kuchapa watoto wetu.Hongera mzazi umekuwa mkweli maana mwl angekaa mahabusu 1kwa usalama wakwe,2 uchunguzi kundelea,walimu acheni jamani
@reganshao
@reganshao Жыл бұрын
Sijaona point hapa mpendwa .. kwan wewe shule umemaliza miaka ya sasa au nawe ni mwenzetu wa miaka hiyo?
@amyesanga2004
@amyesanga2004 Жыл бұрын
mtoto lazima achapwe watoto jeuri Hawa jamani Kama mzazi mwanao unasumbuana naye je kwa mwalimu shule bila fimbo haiendi.
@amyesanga2004
@amyesanga2004 Жыл бұрын
SEMA tuu kiasi kinahitajika lkn sio kusema fimbo zisichapwe ni ngumu mwanafumzi anaogopa fimbo sio mwalimu .
@reganshao
@reganshao Жыл бұрын
@@amyesanga2004 yan maisha ya siku hizi tunafundisha watoto nini sasa.
@MisosimitamuC
@MisosimitamuC Жыл бұрын
Acha wachape tu ila sio kiononi kwenda juu. Nipo France matoto hayana adabu kabisa. Yani natamani kungekua na program ya kubadilishana wafunzi WA huku waje bongo. Vinyooshwe mpaka basi
@saidomary6414
@saidomary6414 Жыл бұрын
Pole sana mzee
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 Жыл бұрын
Mtihani
@lgdnce8309
@lgdnce8309 Жыл бұрын
pole sana inauma poleni sana unabusara sana
@doreenkaiza8037
@doreenkaiza8037 Жыл бұрын
Kiukweli matatizo ya mapafu kujaa maji lime ingia muwe makini mm nime teseka wiki mbili bila kujua tatizo Wala Nini badae ndo walikuja kujua tatizo ni pafu langu la kulia lime jaa maji
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Pole sana
@anodearsulusi7536
@anodearsulusi7536 Жыл бұрын
Bora wewe wiki 2 mie mwezi kabisa
@jackmacha6057
@jackmacha6057 Жыл бұрын
Ulikuwa na dalili gan my na ulienda hospital ipi
@jackmacha6057
@jackmacha6057 Жыл бұрын
Ulienda hospital ipi my
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
@@anodearsulusi7536 pole kwa mtihani
@azizamohamed7692
@azizamohamed7692 Жыл бұрын
Iyo familia ya waelewa ingekuwa familia zetu heeee wangezidi kukuza mambo
@elphazjavan6789
@elphazjavan6789 Жыл бұрын
Hicho nikipigo sema Kuna mchezo , mnaweza mkawa wanafunz weng mnapigwa fimbo mbili mbili akatokea mmoja akaleta ubish fulan ,akpigwa vibao mwalimu ili kumlazimisha akubali fimb tuliopita shule tunajua kila kitu
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 Жыл бұрын
Aisee yani kifo chake ni cha ajabu kweli huyo mtoto
@naomynaomy9349
@naomynaomy9349 Жыл бұрын
Polenisana
@naomynaomy9349
@naomynaomy9349 Жыл бұрын
Tutakuwa pamoja moshi
@janethmalaika5241
@janethmalaika5241 Жыл бұрын
Kwanini watanzania wabishi kuelewa mbona baba kaeleza vizuri sana kwanini mnawasema waalimu tena fimbo mbili mkononi jamani baba wa watu kaelewa na kakubali
@merinankullua5874
@merinankullua5874 Жыл бұрын
Watanzania sio watu waelewa kabisa ,madaktari wameeleza vizuri ,mnapenda kuwakosanisha watu,mpaka mjomba ni Dr pia anaeleza vizuri.
@merinankullua5874
@merinankullua5874 Жыл бұрын
Hao walimu washukuru Mungu familia ni wastaarabu ,ingekuwa familia za kiswahili aisee ingekuwa patashika
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 Жыл бұрын
Mtihani mola wetu awatiye ngu wazazi kwa kipindi hichi kigumu wanacho pitiya
@kiri5807
@kiri5807 Жыл бұрын
Km alikuwa analalamika kichwa mara kwa mara inaonekana alikuwa na pressure kwenye brain mwisho imepasuka vein na pressure ilitokea kwa jicho .
@nyoe1394
@nyoe1394 Жыл бұрын
Itakuwa stroke hiyo. RIP little one.
@khadijasaid5461
@khadijasaid5461 Жыл бұрын
Walimu tafuteni adhabu nyingine acheni kupiga watoto wengine wagonjwa
@edithmbaki1574
@edithmbaki1574 Жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭
@issamohammad3369
@issamohammad3369 Жыл бұрын
Family polen niwatu wamungu zaidi
@telesiakaovera4381
@telesiakaovera4381 Жыл бұрын
Mimi ninachokiona hapo chazo nikipigo SEMA baba amemuachia MUNGU tu
@franciscakiwelu6052
@franciscakiwelu6052 Жыл бұрын
Sio kipigo hyu ni shem wangu kabisa alikuwa na uvimbe kwenye ubongo
@preciouspeter6126
@preciouspeter6126 Жыл бұрын
@@franciscakiwelu6052 Kama nimeelewa vzr kauli ya baba ni kuwa aliambiwa na madaktari kuwa "huenda mtoto alikuwa na uvimbe" sio kitu ambacho ninyi kama familia mlikuwa mnakijua na hata baba inaonekana hakuwa anajua kwa uhakika kuwa mtoto alikuwa na uvimbe.
@joycekaguo8476
@joycekaguo8476 Жыл бұрын
Mapepo ya shule yamepata sababu
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 Жыл бұрын
Hakuna mapepo hiyo ni suala la kawaida tu kifo hutokea tuu
@mwanjaarashidi7402
@mwanjaarashidi7402 Жыл бұрын
Poleni sana wazazi
@nancymwambene6885
@nancymwambene6885 Жыл бұрын
Poleni sana jiran yangu Mungu awape faraja duuh. Its. So sad apumzike kwa amani Ben
@mdzainb3722
@mdzainb3722 Жыл бұрын
Itakuwa alipata presha baada ya kuchwapwa
@dayana5513story
@dayana5513story Жыл бұрын
Mbele yetu nyuma yake 🥲
Pool Bed Prank By My Grandpa 😂 #funny
00:47
SKITS
Рет қаралды 20 МЛН
Little brothers couldn't stay calm when they noticed a bin lorry #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 20 МЛН
А ВЫ УМЕЕТЕ ПЛАВАТЬ?? #shorts
00:21
Паша Осадчий
Рет қаралды 1,5 МЛН
MASHAMBULIZI MAKALI YA URUSI KWA UKRAINE, SITA WAUWAWA MPAKA SASA
2:21
Mwananchi Digital
Рет қаралды 2,3 М.
#EXCLUSIVE: Siri ya Chama, Pacome | Mtaalamu wao wa Dar afichua kila kitu
14:57
Raila's AUC Bid Launch: Tanzania President Samia Suluhu's speech
7:05
BABA YANGU KIPOFU Full episode /31/ #love
40:19
BabaJoan
Рет қаралды 145 М.
GITHAGATHAGO RURACIO-INI RWA DADA SARAH ( PART 1)
20:22
Dada Sarah
Рет қаралды 8 М.
Pool Bed Prank By My Grandpa 😂 #funny
00:47
SKITS
Рет қаралды 20 МЛН