Raha ya milele umupe ee Bwana na mwanga wamilele umuangazie apumuzike kwa amani amina
@user-yp3qe8cy5o7 ай бұрын
Baba
@patrickmkambilwa99323 жыл бұрын
Tuta kukumbuka daima Baba yetu kwa kazi njema ya utume uliyo fanya katika maisha yako apa Duniani Mungu ailaze roho yako mahali pema peponi ipumuzike kwa amani amina
@josephlugome38386 ай бұрын
😭😭😭😭😭😭upumzike kwa amani
@patrickmkambilwa99323 жыл бұрын
Baba tunamuweka mtumishi wako uyu mikononi mwako umupokee Kamavile ulivyo mpokea mwana wako wakati alipo kata roho yake akasema Baba mikononi mwako naiweka roho yangu pia tunakuomba mikononi mwako umupokee mtumishi wako uyu apumuzike kwa amani amina
@JacobErnest-vk7me8 ай бұрын
Eee Mungu uilaze roho yake mahala pema peponi ameni