Ninyi watu mnakuanga aje vijana wetu wamekufa hii campaign ni ya nini uyu babu owino unachangia maafa ulidanganya vijana utawafungulia gate ya parliament vijana wakauwawa uko alafu sahii ni wewe unazurura jamani Babu owino tafathali uta danganya wakenya but uta danganya Mungu
@skyhaker47422 күн бұрын
Bro address your frustrations to ruto who killed the people in parliament.... What does babu have to do with the deaths? Please acha kuongea bure tu!
@okothvincent60272 күн бұрын
Yess so wat uliona akipiga wat u risasi usitulete
@Onyango-oi3gb2 күн бұрын
Peleka shida na makasiriko huko, hii akili ndo uko nayo ama kuna ingine